Тёмный

MWIJAKU ABANANISHWA NA DAHUU, GEAH ISHU YA KUPEWA GARI NA MKEWE, TAZAMA AKIJITETEA ATOBOA SIRI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 199   
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Год назад
Hongera Mwijaku mwanaume mwenye kujiamini 👍👍👍
@Official83640
@Official83640 2 года назад
Asante Da Huu umeweka ukweli halisi hakuna kuficha. Hizo hela za Royal Tours aseme tu ukweli sio kudanya umma
@methuselamarco7108
@methuselamarco7108 2 года назад
Asante dadaangu umeliumbua lipumbavuu hiloo
@dogojahman9381
@dogojahman9381 2 года назад
Uyo mwamba waga namkubali sana yeye na Levo 💪💪💪💪💪💪 maisha niku pambana kwa kila njia mna jua kuzi saka saana
@mesikamesika3008
@mesikamesika3008 2 года назад
Elimu bila kujitambuwa ni adhabu ya kichwa. Huyu bwana hekima hana wala hofu ya mungu. Vijana tupambane maisha ni fumbo
@deotvonline2776
@deotvonline2776 2 года назад
Kama umemuelewa mwijaku kaamua kujinunulia gari ili kumkumbusha Mama Samia amkumbuke kwa kujipendekeza kwake gonga like hapa🤣🤣🤣🤣😂😂
@rahima928
@rahima928 2 года назад
Gari amepewa na silence ocean ya biashara yeye na baba levo yani uonyeshe upendo sehemu nyingine baada ya familia yake eti akupe gari unajitia sheikh unasema daimond na rayvan wanatembea na wanawake wakristo wakati wako umeshindwa kumbadilisha dini wala jina
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 2 года назад
Chama la wana
@hdggu6792
@hdggu6792 2 года назад
Huyu baba muongo jamani midevu kama striwaya😂😂😂
@KamstheMixologist
@KamstheMixologist 2 года назад
Mwijaku we love you from Congo 🇨🇩
@allenudindo3803
@allenudindo3803 2 года назад
fresh sana mwijaku,sifa za mwanamke wako ni kitu kikubwa sana ,upendo 🌹
@josephmateru8892
@josephmateru8892 2 года назад
Nimewapenda bure mmeongea ukweli mwijaku mpigaji cna na vijana wanachulia vtu simple cna
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 2 года назад
ila mwijaku usife sasa ivi mungu akuweke tunacheka sana juuu yako,
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 года назад
Da geah mzuri
@saleheheda4537
@saleheheda4537 2 года назад
Mwajaku Chawa mwenye Akili nyingi
@sophiamumbe888
@sophiamumbe888 Год назад
Hiyo gari kanunuwa mwenyewe mwijaku wewe unapenda sana sifa na kubwiiru
@almachiusemmanuel9506
@almachiusemmanuel9506 2 года назад
Mwijaku uko sahihi mkuu
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 2 года назад
Mwijaku we unajua kufurahisha binaadam big up bro me uo uso wako ndo unanifurahisha yani unaonesha kabisaa km unaongea unachojiskia tu kuongea. 😀😀😀👍
@lelarubea6405
@lelarubea6405 2 года назад
Mwijaku muongo amenunua mwenyewe anataka kuonesha amenunua,aliona akionesha mwenyewe watu watamchamba kwasababu anasema watu kila siku
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 2 года назад
😀😁😂 ananifurahisha sana Mwijaku mambo yake
Далее
I Built 3 SECRET Rooms In School!
33:34
Просмотров 13 млн