Тёмный
No video :(

MWIJAKU AZUA BALAA MCHANA KWEUPEE/ AMVAA MC GARA B/ MAPYA YAIBUKA/ MWENYEWE AFUNGUKA MAZITO 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Mwijaku #Mcgarab #Alikiba

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 131   
@jeanbaek7607
@jeanbaek7607 Год назад
Dah, huyu Gara B ana hakiri sana jamaa nimemkubali ameweza kufix mambo mpaka nimependa
@directorpatron6995
@directorpatron6995 Год назад
Gara b umetumia ustarabu wa hali ya juu umetumia akiri ku control temper ukamalza mchezo kirahisi
@DogodixKidanga
@DogodixKidanga 5 месяцев назад
Vip
@Peter-fk4ld
@Peter-fk4ld Год назад
Vitu vingine kwenye kazi avipaswi kuwepo mbona kamtambulisha mdada kiheshima kwann anamtambulisha mwenzie kwa kumkashifu Mwijaku apo yupi kazini , Gara b asingemtambulisha ivyo .
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 месяцев назад
Daah
@swabry
@swabry Год назад
😂😂😂 mwijaku Degree mbili tu ndio anapiga kelele nazo kila mahali😂😂😂😂
@Entertainmen_tv2024
@Entertainmen_tv2024 Год назад
Chawa huyo mwijaku
@dorinally4698
@dorinally4698 Год назад
Kiukweli mwijaku mim simpendi hata hiv wanavyo mpaaa madili wanaacha watu wenye talanta na kiyooo cha jamiii
@stanleymhagama1574
@stanleymhagama1574 Год назад
Chawa hataki kazi yake ijulikane kwa watu
@ibrahdedonny1238
@ibrahdedonny1238 Год назад
Nmexema cku zote Mwijaku angepimwa akili, lakin watanzania wanahic Mwijaku labda ako fanny
@ezekielhezron8865
@ezekielhezron8865 Год назад
Mi nilikuona naona ili jambo la kupimwa akili lingeanza kwako kwanza ,
@GloryCharlesy
@GloryCharlesy Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Hongera Garabii nimekupenda you are Gentreman Saluteand Gotbess you🙏🙏🙏🙏
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Nataka niwe chawa wako
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Год назад
Kazur San hakokadada garab hongera
@TatuMasoud-ox7qo
@TatuMasoud-ox7qo Год назад
Yaani mwijaku kanikela sana pole garabee
@veenpoul900
@veenpoul900 Год назад
Chawa kama chawa anapojaribu kukikataa kipaji chakweeee
@user-dy2mx7qc6i
@user-dy2mx7qc6i 11 месяцев назад
mwijaku chawaa
@priscayusuph3861
@priscayusuph3861 Год назад
Chawa anaisalit kazi yake kweli ukweli unauma
@germinapontian2037
@germinapontian2037 5 месяцев назад
Kwani SI kweli anauchawa kwenye kipindi mwijaku anaboab
@emanuelneriwa6619
@emanuelneriwa6619 Год назад
Sema garab kazingua mwijaku nae ameshindwa kumezea😂
@azizbashir
@azizbashir Год назад
HUYU MWIJAKU HAJAPIGWA ANAPENDA KUJARIBU JARIBU WATU SANA
@martinngenzi6276
@martinngenzi6276 Год назад
Uyu achapwe siku moja
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 Год назад
Kwakweliiii Yaniii anatakiwa achapikeee
@fidelemirindi3689
@fidelemirindi3689 Год назад
To be honest Mr Gaea b you are wrong somewhere you are a speaker 🔈 as you said you should have not talk bad things about your brother mwijaku some people need respect ✊🏿 too you are working together and you need to respect each other I hope your mistakes won’t happen again you need to apologise to your brother mwijaku you don’t have right to talk about people life in the interview that why you didn’t have anything to say after you see him angry with you Tnx you for your understanding hope my brother mwijaku did forgive you too
@SamoMgore
@SamoMgore 8 месяцев назад
Usijikeshe Galla b umemkosea mwijaku
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Ammy gal Yule girl daah umenenepa Hadi nimekusahau afu ukawa mweupe noma Sana Wcb4life
@dianerditto
@dianerditto Год назад
Sahz amepungua vzr yaan anaonekana poa
@omarytobaomary7148
@omarytobaomary7148 Год назад
Mwijaku apo angetumia kama kumwambia name angelewatu ilaapoinaonekana kama kaukwel kameuma
@hemedsuleiman9034
@hemedsuleiman9034 Год назад
Chawa nakukubali
@willeleornad7079
@willeleornad7079 Год назад
Gara b amekosea kumdharau mwenzake kwenye serious ishu.
@danieldaudi1631
@danieldaudi1631 Год назад
Hajazalau ukweli ndo huo mwijaku kazingua yeye mbona mlopokaji sana nani kamzingua
@Peter-fk4ld
@Peter-fk4ld Год назад
Yes kakosea mtu yupo kazini apaswi kuleta utani
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Год назад
Maneno hayo hayo ya GaraB angesema Baba levo ingekuwa sawa kwa vile wana uchizi wao na wanaelewana. lkn hpa GaraB kakosea kwa vile si mtani wake. Ila Mwijaku nae ajue kuwa ujinga wake ndio unamuondolea heshima
@mulesi68
@mulesi68 Год назад
FYI Gara B na Mwijaku ni watani wa jadi ( Wahaya na Waha). Hapo amekosena nanihi tu... He he he.
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Год назад
@@mulesi68 sasa wao kuwa watani wa jadi haikuleta picha nzuri kwa Hiyo shuhuli iliyowaleta hapo. utani wa jadi kwenye official engagement? Like who does that?. Nimeona GaraB hakuwa na sura ya bashasha baada ya Mwijaku kumdukua begani. Narudia haikuna utani wa kumwambia eti wanamsaidia Mwijaku. Na Mwijaku clearly hakupenda
@victorphilipo
@victorphilipo Год назад
Achana na mwijaku ni mpuuzi kwenye shook
@harusilive643
@harusilive643 Год назад
Nimoja ya kazi amefanya apo tulieni
@SamoMgore
@SamoMgore 8 месяцев назад
Huwezi kumuita mtu majina ya kumdhalilisha sehem kama hiyo kumbuka mbasha na mchomvu ilikuaje Tena huyo gala b ashukuru mwijaku ilitakiwa hzo sifa zakihaya zingemuisha
@user-wl7ew9fn6q
@user-wl7ew9fn6q Год назад
Daah mr gara b uko vizuri sana ila mwijaku unajikuta wewe nani kwa mfano aiseeee unatia hasira 😂
@barakatlemu6976
@barakatlemu6976 Год назад
Kuna professor mmoja alikua anapenda kusema ukicheza na makalio yatakupaka mavi ndicho alichofanya gara b
@mtktv597
@mtktv597 Год назад
😂😂😂😂😂
@harusilive643
@harusilive643 Год назад
Aloooo
@victorphilipo
@victorphilipo Год назад
Naomba muongeze Mr right wawe 6
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Год назад
Hata kama ni utani munaaribu khaaa
@liberathanicomedi4286
@liberathanicomedi4286 Год назад
Afya ya akili haiko sawa
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
Mwijaku chawa anapanic nini Sasa,chawa kunguni huyo alafu kakutana na mtu mtastaarabu angekutana na kichwa Kama Cha Adam mchomvu angefura😁😁
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Год назад
Ety namkeee mzriii😂😂😂😂😂😂😂
@justinenyamuru890
@justinenyamuru890 Год назад
Kipindi nakipenda sana na nafatilia sana hakika nikizuri mno Lakini mnafupisha sana kwenye clip mtandaoni jaribuni kuweka show kamili mtandaoni wengine hatupati nafasi ya kutazama kwenye Tv ila kutokana na majukumu Wekeni kamili
@CharlesMchivala-pg1sx
@CharlesMchivala-pg1sx Год назад
Kweli mwijaku shule haijamkomboa na sijui hizo degree amezipataje 😂😂😂😂😂 kiukweli mwijaku kichwani hamna kitu
@JuniorAlex-iy4ml
@JuniorAlex-iy4ml 11 месяцев назад
ahahahah gar b vzr kwel ulixem ukwel uyoo chawaa t amn kit apooo
@bernadethakahemele4609
@bernadethakahemele4609 Год назад
Ila gar b kamaind apo sema mwanamme tu kajikazaa mubaba wawatu😢
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Mwijaku we piga keleleeee ila GARA B huendani nae kbs we Pambana na kina Baba levo uko
@matimfuko641
@matimfuko641 Год назад
HV hii kweli au maigizo?
@lydi791
@lydi791 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 Mwijaku Marioo sikubali kama uko chawa
@SamoMgore
@SamoMgore 8 месяцев назад
Tunaomba mtuekee hicho kipindi hata Huku Azam tv
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 Год назад
😅😅😅😅kumbe chawa hataki uchawa 😂😂😂
@rehemapeter9430
@rehemapeter9430 Год назад
Mwijaku ka sio mwanaume at duuh shida hiii
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Acha kufananisha mwanaume na mwijaku sawa kuna wanaume na wenye jinsia ya uanaume.mwijaku ana jinsia ya kiume tu ila hana sifa ya kiume sawa.
@upendolove3588
@upendolove3588 Год назад
Jamaa garab una dharau wewe uwezi ukamkejeli mwenzio kwa styli hiyo
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 Год назад
Nyie nmnamwona vipi Gara B kwani?
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 Год назад
Mwijaku ana sbb ya kukwazik
@Peter-fk4ld
@Peter-fk4ld Год назад
Kweli izo ni dharau
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 Год назад
Gara B Ni mwanamme wa nguvu hana papara yupo tuliii
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Год назад
Lakin kaongea kiutan lakn co sehem sahihi me binafs huwa cpend dharau xo mwijaku yupo sahihi
@Peter-fk4ld
@Peter-fk4ld Год назад
Uko sawa mkuu
@BukuruIbrahim-o3m
@BukuruIbrahim-o3m Месяц назад
Pis burundi tunangoja G
@FatumaomaryIbrahim-hh5ch
@FatumaomaryIbrahim-hh5ch Год назад
mmh mwejaku naye anatakataa kaz yake,,,,
@justinenyamuru890
@justinenyamuru890 Год назад
Mtandaoni mnaweka viclip vifupi weka show kamili
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Khaaa!!!Unamzidi mke mzuri? Uzuri wa mkeo upumbavu wa macho yako kaka hata wake mzuri kwake. Mwanaume maneno gani hayo ss
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
😂😂😂hata wewe ni pisi haswaa kweli tako unalo
@victorphilipo
@victorphilipo Год назад
Kwanini munamgangania huyo nimwehu achana naye
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Год назад
Mhaya na kigoma moja gala b na mwijaku
@jessemhally5385
@jessemhally5385 Год назад
Wametengeneza hiyo
@Yusufu940
@Yusufu940 Год назад
Lakini Mujaku alichamusha press
@sayimadaha4988
@sayimadaha4988 Год назад
Sasa nyie hamjui huyo n mwehu
@nestor384
@nestor384 Год назад
Mwijaku mpuuzi mmoja hivi, Alipaswa kuwa mvumilivu wakimaliza pale amwambie then coz kipindi kitaanza wange-correct tofauti hizo za ulimi.
@ezekielhezron8865
@ezekielhezron8865 Год назад
Khaa hayo mambo uwa wanayapanga mzee unachukulia personal
@tonyjames6658
@tonyjames6658 Год назад
Hamna ugomvi apo ni maigizo..awo wote waigizaji 🤣🤣
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Год назад
Wazimu huyu mwijaku
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Год назад
Mmeingiza Sumu.. atakuharibia tuu huyo.. muulize babalevo..👀
@user-bq7gx1jh9s
@user-bq7gx1jh9s Год назад
Kiasili Hao ni watani
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 11 месяцев назад
Mwijaku kaa chini mheshimu mc
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Год назад
izo vulugu za kupangwa hii bongo hii daa utazani wanagombana kweli kumbe sehemu ya kazi
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Unaeza sema imepangwa kumbe mwijaku tu akili zake
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Sasa kama huyo Mwijaku mnamuwekaga kwenye Mambo hayo Kwa nini? Daah
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Год назад
Kama GaraB hajamtaja jina Amy girl sikuwa nimemjua kabisa .poda yote ya Dar kaimalizia usoni mwake hishhhh😢
@ms_teeonly
@ms_teeonly Год назад
Amenenepa 😅
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Год назад
@@ms_teeonly yeah pia amenenepa
@priscayusuph3861
@priscayusuph3861 Год назад
Apo penyewe kashafanya uchawa wake tayali kusifia mabos kutujulisha kua walio weka hela nu kina fran
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 Год назад
Huyo Michawa tu hataakichukia tena guchawa guliko pitiliza.
@sayimadaha4988
@sayimadaha4988 Год назад
Mnafanya kaz bila kutumia hakili kama mnategemea tutawafatilia namabaloz wenu wehu hao msahau
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Mi ntawafatilia
@abcosecomartialarts4321
@abcosecomartialarts4321 Год назад
Amemdhalilisha kwa namna alivyomtambulisha Mwijaku
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Lakin si ni kwel
@erickjastine1439
@erickjastine1439 Год назад
Hamna ugomvi wowote apo, KIKI KIKI KIKI
@tonyjames6658
@tonyjames6658 Год назад
Amna hawa wametengeneza hii tukio ili itrend ifatiliwe
@c75923
@c75923 Год назад
Huyu msenge kuna siku atajichanganya akutane na kichwa mbovu kama ya kwangu kumammake nampa bonge la ndosi kumamake yaani haamki kumanina zake daaah yaani he's boiled my blood maamake vibaya sana....ipo siku
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 Год назад
Broo yani nimejikuta nacheka peke yng ety ndosi😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Unamzimisha Apo Apo Sio😂😂
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 Год назад
Na ndio maana wahuni kama nyie sehemu kama hii hamtakiwi we unawaza kupigana tu labda nikwambie iyo imetengenezwa iwe ivyo hakuna uwalisia wa hili
@ibrahdedonny1238
@ibrahdedonny1238 Год назад
Huyu Mwijaku mm nakuambia ingekua mm tayar angekua amelala yoo, police badae
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
🤣🤣akutane na Adam mchomvu
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs Год назад
Mwikwaju usivuluge
@Yusufu940
@Yusufu940 Год назад
😅😅😂 Mujaku anambo
@martinngenzi6276
@martinngenzi6276 Год назад
😁😁😁😁😁
@khamisnyembo7901
@khamisnyembo7901 Год назад
Ni nani amesikia vizuri alichoongea huyo jamaa white wa pembeni? mi ninesikia tu MTIHANI.............!
@user-qo7mb3vb2v
@user-qo7mb3vb2v 7 месяцев назад
Hilo shirika si liwapime wahudumu wake akili
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 Год назад
Ni drama hii
@hassanmkangwa2062
@hassanmkangwa2062 Год назад
MC Gara B. amesema ukweli na siku zote ukweli unauma.
@mwasa_tv
@mwasa_tv Год назад
kwan uongo chawa ilo
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Год назад
Mtu ameshajaa upepo hapo ise
@henryedmund1046
@henryedmund1046 Год назад
Kiki iyo
@robertmodestmushema1297
@robertmodestmushema1297 Год назад
Mmmnh! Kama ni scene mliipanga ili kuvuta attention, Mwijaku kaharibu. Bora angefanya utani fulani kuliko kuonekana kama anamaindi. Kweli kama alivyosema Gara B, kazi ya mwijaku na baba levo ni uchawa. Mengine yapo lakini wao ndo wameitambulisha hiyo kazi yao ya uchawa kwa jamii. BAD IMPRESSION
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
sijuhi kama haijapangwa
@mauvaisecompagnie951
@mauvaisecompagnie951 Год назад
Mwijaku mbona una Mindi...wakati ndio maisha ulio chagua ..we chawaa tuu
@Sevelin-qs9pg
@Sevelin-qs9pg Год назад
Lichawa likubwahilo
@hassanmoalimmuse6014
@hassanmoalimmuse6014 Год назад
Gala B , kazingua kumtambulisha kwake
@ninaseleman5738
@ninaseleman5738 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣mwijaku
@SOFIAALI-kg7wp
@SOFIAALI-kg7wp Год назад
Hangira gara b
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Mambo gani haya Mwijaku, huu ni Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
@danielljohn
@danielljohn Год назад
Hahahah sifa muda mwingne zinahitaji wastan wake
@abdulirashidi8439
@abdulirashidi8439 Год назад
Huyu mwijaku bhn hana akili kabisa
@petersynto2043
@petersynto2043 Год назад
Mmeona madhara yakuwapa vichaa machaka
@tinasulle101
@tinasulle101 Год назад
Hhhh
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
UNAVOJIWEKA NDO UTAKAVOCHUKULIWA,,POPOTE PALE
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Год назад
Wahaya ndivyo walivyo dharau mingi
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Sio dharau ni ukwelii unauumaa bwanae kwnai mwiijako ananini kaolewa kazi aliyo nayo haiezi kukimu mahitaji ya mke ila mke ndio anye mlisha na kumleleea😂🤣
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Nan muhaya apo🤣🤣
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 месяцев назад
​@@lovvy854true 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 месяцев назад
​@@nancyg8664 mwijaku
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 252 тыс.
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 252 тыс.