Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 171 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: MO DEWJI AVUNJA UKIMYA wa HAJI MANARA, AFUNGUKA MENGI - ''SINA KINYONGO NAYE''...
Mwandishi mahiri wa habari za michezo, @salehjembefacts amefanya mahojiano 'exclusive' na Rais wa Heshima wa Simba na mfanyabiashara mkubwa wa Kitanzania, Mohamed Dewji 'Mo' ambapo amefunguka mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui.
Saleh amemuuliza Mo kwamba licha ya kufanya kazi kwa muda mrefu na Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba, alipohamia Yanga alikuwa akimtukana kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari, je, ikitokea amemuombamsamaha yupo tayari kumsamehe? Mo amelijibu swali hilo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 256   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Год назад
Mungu akuzidishie imani na pale unapokosea akuongoze na akulinde na maadui wandani nawanjee
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
Tajiri huwa habishani na masikini big up tajiri wa East Africa nzima MO Dewji one love from Kenya
@tengarashid4703
@tengarashid4703 Год назад
Hahahahaha chawa kwenye ubora wako kusifia wanaume wenzio tafta pesa
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 Год назад
@@tengarashid4703 najua uchawa ni tabia yenu Watanzania mimi sio mtanzania mimi ni mwanaume najituma kwa kazi zangu ila ukweli lazima usemwe tajiri hashindani na masikini
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
​@@tengarashid4703 Wewe una pesa?
@DorahAlbert-e8w
@DorahAlbert-e8w 10 месяцев назад
​@@tengarashid4703Roho imekuuma😂
@stephentossi2626
@stephentossi2626 Год назад
Hongera sana MO kwa hekima yako ndiyo maana unafanikiwa Mungu amekunyoshea Heri kutokana na moyo wako wa ibada
@mercymariki2148
@mercymariki2148 Год назад
Frankly speaking with wise words ☑️ Mo ....God bless you moreeeee
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Год назад
Huyu bro yuko tofauti sana hongera umejaaliwa busara 👏👏👏👍💪🙏🇹🇿
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Год назад
Vizuri sana Dewji, yule kijana si sawa yako, haina maana kujibizana na mtu safihi kama huyo. Matusi yake hayakupi hata kipele.
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Год назад
Mbele ya Mungu binaadamu wote tunalingana
@philemonambilikile
@philemonambilikile Год назад
@@mussandikumana3561 ulinganifu huja kwa kuheshimiana wenyewe
@teamjesuschrist2919
@teamjesuschrist2919 Год назад
​@@mussandikumana3561 ushasema Mungu hata tupo wanadamu😅
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Год назад
Hongera Sana mo kwa kumsamehe manara na yeye ana mapumgufu yake na tunayaona watanzania.
@akidahamad142
@akidahamad142 Год назад
Hekma nyingi mno yani daah safi sana muheshimiwa Allah azidi kukuneemeshea maisha yako nakukjbali sana
@victorkiiru1237
@victorkiiru1237 Год назад
Asante sana boss
@twahambowe440
@twahambowe440 Год назад
MaashaAllah alhamdulillaahi, hapo kwenye wivu upo vizuri sana rais wa heshima, umejipanga vema sana.
@minahaminahaochu255
@minahaminahaochu255 Год назад
Allah akulinde broo uko safi mashallah❤
@seifjuma8422
@seifjuma8422 Год назад
Safi sana mo ujumbe mzuri
@saidchombo5952
@saidchombo5952 Год назад
Busara nzuri sana
@jamesandrew7482
@jamesandrew7482 Год назад
Huyo mwandishi ni mchonganishi anaushahidi na matusi ya haji manara
@yessemwakibete2458
@yessemwakibete2458 Год назад
Daaaa Saafi sana Bosi Mo Mungu akujalie Maisha marefu.
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Год назад
Kipenzi cha Wana simba❤️
@aminamjema-kf7qr
@aminamjema-kf7qr Год назад
Hongera mungu akubariki akulinde akuepushe na mabaya yote
@saidmoussa909
@saidmoussa909 Год назад
SubhanaAllah...Daima Allah huwa khafuru Rahmu. Allah atujaaliye tupate Makhafra yake Allah kabla ya kurejea kwake Yaarab Ameen.Jamani tuwe na tahadhari Sana na midomo yetu tuogope isije kutuponza na tunapo koseana tuweze kusameheana na Tusiwe na viburi na kujifanya wakamilifu kwani hatujijuwi mwisho wetu binaadamu kwani hatuja kamilika na hatuja kamilika kuubwa..Yaarab tujaaliye tukirejea kwako tuwe tumepata Ridhaa zako na Radhi zako Yaarab Ameen.
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 Год назад
Good sms
@twahambowe440
@twahambowe440 Год назад
Ni kweli maisha haya ni mafupi sana, Asante sana mo, rais wa heshima ssc
@pendocharles3187
@pendocharles3187 Год назад
Ndiyo
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Год назад
Daaah aisee Mo Mungu akubariki kwa hilo, ni wachache sana wenye moyo kama huo, emdelea na moyo huo utapata thawabu
@queenlinda255
@queenlinda255 Год назад
Mo eti kafanya jambo baya alafu anamuuliza mtangazaji umenielewa jambo baya big boss ❤
@jumachidi3567
@jumachidi3567 Год назад
mungu akupe maishamarefu mo
@boniventurekiwanuka.8098
@boniventurekiwanuka.8098 Год назад
Hongera sana ndugu,stay safe and be blessed.
@fatmaahamadabass8080
@fatmaahamadabass8080 Год назад
Mashallah ww ni mwanaume nanusu hupaswi kumjibu mtu mpuuz unamengi yakufanya.
@ImaUlendo
@ImaUlendo Месяц назад
Very good mo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Mwandishi umetimia neno ,kutukana ungesema akawa anakusema VIBAYA kwenye mitandao ya kijamii au ndio umeandaliwa 😂😂😂😂
@omarycheyo5534
@omarycheyo5534 Год назад
Kwani hakumtukana?acha upumbavu HIVI angetukanwa baba yako ungejisikiaje
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz Год назад
Ila kweli mwandishi kachochea moto
@saadysaidzahaze5980
@saadysaidzahaze5980 Год назад
Allah akupe zaidi duniani na kesho akhera unamoyo msafi sana na wapekee mo dewji Maashaallah ❤
@paaboytz5855
@paaboytz5855 Год назад
Safi Sanaa mo dewj na global tv
@abelbest4984
@abelbest4984 Год назад
Haji manara Watching
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Год назад
Safi
@geraldkbona5595
@geraldkbona5595 Год назад
tajiri ana busara
@reimushi1185
@reimushi1185 Год назад
Duh!!!! Nyinyi ni chombo kikubwa buana. Haiwezekani intro inaanza hovyo namna hii.
@mendoza.hill1
@mendoza.hill1 Год назад
4:50 nilikufuata mpaka ofisini
@aprow2059
@aprow2059 Год назад
Hongera kwa saprize kwa ssc suports hasa wachezaji jumamosi
@youngchuda1568
@youngchuda1568 Год назад
Ambao hamjaelewa hadithi tujuane hapa😮😮😮
@denismvula300
@denismvula300 Год назад
Kwa kingereza wanasema "wewe unakunywa sumu lakini unamtakia mwenzako afe, huo pia ni wivu mbaya" boss hapo umetupiga 😂😂😂
@kitukizito9178
@kitukizito9178 Год назад
Hivi ni tusi gani haji alimtukana Mo😃😃.Bado nalitafuta Hilo tusi silioni.. Nyie waandishi wa habari hamna weledi na kazi zenu aseee khaaaaaaaah
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 Год назад
Anayemuhoji MO anaonekana kama mwandishi aliyepevuka lakini maswali anayouliza hayana tija kabisa, yakitoto! Namshauri MO ajibu tu, maswali ya msingi kulingana na heshima yake.
@kombokassim9591
@kombokassim9591 Год назад
Anauliza maswali kichawa atume video au clip haji aliyo tukana
@manmgomi3042
@manmgomi3042 Год назад
Boss aangaikii na maskini ambae mbaka atukane watu ndio apate chakupeleka tumboni ivyoo boss ni boss tuu
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Ashura cheupe anamatatizo mengi.uzuri Mo dewj anaakiri nyingi sana.harafu nitajiri sana.kwahiyo hawezi kushindana na Ashura cheupe.anamchukulia jinsi alivyo.nakupenda Sana Mo.unahekima,busara,nvumilivu,una utu,Mungu akubariki na kukulinda.Ameeeni
@fatmamusa1119
@fatmamusa1119 Год назад
Allah akbar
@masolavachui1728
@masolavachui1728 Год назад
Boss kavaa kipesi mbele ya kamela 😂😂sasa vaa ww mwenzang na mm kama utaruhsiwa kwehojiwa😂😂😂
@ModoDodo-nr6ok
@ModoDodo-nr6ok Год назад
Mo safi sana, ila nawe tanguliza kumuomba msamaha kama kuna kosa lolote ulo mkosea. SADAKTA maisha haya mafupi.
@abdallahally421
@abdallahally421 Год назад
Manala ajawai kktukana acha uwongo usiludi kwastaili iyo we njoo kwa madunduka uchukue pesa zao za lobo wajinga ndio waliwao
@riwayazakiswahilitv4635
@riwayazakiswahilitv4635 Год назад
Mo Dewje 🔥🔥🔥
@ephrahimjoel6406
@ephrahimjoel6406 Год назад
Mumgu akubariki sana mo msamehe kwa maana ajitambui
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Ujui lakesho Yake More Ni kweli kabisa kausalem samehehe Mara 100
@jimmydizonga1335
@jimmydizonga1335 Год назад
Jembe kumbe naww unapenda majungu ila ulichokitaka hujakipata MO, kakujibu kikubwa Sana. Muulize MO maswali yenyemantik sio majungu.
@lesterchristopher9838
@lesterchristopher9838 Год назад
Presenter wa hovyo kbx .. kuanzia introo n mbaya.. hajui
@teamjesuschrist2919
@teamjesuschrist2919 Год назад
kwamba global mmeshindwa kuweka hata introduction ya maana kuweni kidogo professional angalien bas hata introduction za wenzetu
@lizzybby2392
@lizzybby2392 Год назад
❤❤❤❤
@AngelacatuveCatuve
@AngelacatuveCatuve Месяц назад
Boss na elimu
@emanuelygavile
@emanuelygavile Год назад
big boss
@almasially6509
@almasially6509 Год назад
subirini majibu ya hovyo ya haji manara, mtasikia anasema mo anatafuta kiki kupitia yeye
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Mo Ana kinyongo na mtu simliona mw.kigwangala ya liisha uslam uikristo ndio inayotakiwa Moore Salute 🙏🙏🙏🙏🙏🙏simba simba oyeee
@hayithammafita4666
@hayithammafita4666 Год назад
1
@allydingi9736
@allydingi9736 Год назад
Salehe jembe ndiyo maana huna fansi wengi kwasababu unaunafki mkubwa sana
@suzancharles1639
@suzancharles1639 Год назад
😂😂😂😂😂😂jmn dah
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Год назад
Ni mjinga mjinga sana huyu Mtangazaji.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Год назад
Manara siyo kijana wa Mo
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 10 месяцев назад
Moo uko vizuri sana sikutegemea kama unaroho ya hekima kiasi hicho manara anatabia za kihuni hatakama mlitofaitiana asingekua na maneno ya vijembe na kejeli kiasi hicho katoka simba kwa hila naatakua alipwa hela nyingi na maadui wa simba ili aendelee kutukana nakuijeli simba kila mala sio moo tu anatukana nakukejeli wanasimba wote
@abushirhaji9474
@abushirhaji9474 Год назад
Hapo alikutukana sana ulikuwa uweke neno njengine Hilo neno linaukakasi sana ila ndo hivo
@naldclever
@naldclever Год назад
Boss ana story za uongo ivyo.... waiii
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 9 месяцев назад
MO HONGERA SANA NIMEKUSIKIA VIZURI NA KUJIFUNZA KUSAMEHE NI KUTAMU MNO NA WIVU PIA NI MBAYA
@stellakagemlo8095
@stellakagemlo8095 Год назад
Nimejifunza kusamehe
@shabanisheka5973
@shabanisheka5973 Год назад
Tajiri hanuniwi kabisaa.. Huyo Zeruzeru ni jinga tu
@malataogtz2080
@malataogtz2080 Год назад
Interview nzima kuhusu Manara duh bongo nyoso kudadadeki
@shijamarco2662
@shijamarco2662 Год назад
Mbona hujahoji kisa cha ku gombana
@radynnyagaly3692
@radynnyagaly3692 Год назад
Saleh umeacha kuuliza maswali juu ya maendeleo ya udhamin wake ndani ya simba na maendeleo ya soka ya Tanzania unauliza mambo ya Haji kama siyo ochonganisho. Unaushahidi wowote juu ya hayo matusi ambayo direct yalirushwa kwake?. Very stupid questions
@mrromantic8889
@mrromantic8889 Год назад
Hii ni party one bro
@richardboniface9280
@richardboniface9280 Год назад
👂
@danielsebastian3352
@danielsebastian3352 Год назад
Tajiri maneno ya dhahabu... Achana na manara mtaji wake mdomo wenye maneno machafu, Simba nguvu moja
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Год назад
Broo nakukubali sana ila ipo siku tutakutana
@MariamHamad-lr3xc
@MariamHamad-lr3xc Год назад
Samahani sana raisi wa heshima ss waislam tunatakiwa kuwa ni mfano kidogo kuhusu kivazi kinanishangaza
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Год назад
Good interview 👏👏👏
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Hakupunguzii wala hakuzidishii 😂
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 Год назад
Tunasubiri balance ya hii stori!
@gibsonkabusola6923
@gibsonkabusola6923 Год назад
Hiyo ndio balance kwa sababu manara ashapewa Sana platform ya kuliongelea hili na kashaongea Sana kwaiyo Nae mo kapewa nafasi
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Год назад
Kwani manara sialiongea yote akamaliza,mlimsikia mo akiongea?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
@@ikramalmas7039 halafu tujue kitu mo ni tajiri muda wa kumzungumzia manara anaweza asiwe nao , manara chawa mtu wakujipendekeza kwa matajiri alipotolewa simba lazma ilikua atafute pakujikomba ili aishi vizuri
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 Год назад
​@@fahadfaraj6474 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
@@aisharajimbo6784 kwani uongo, kina manara ujanja ujanja kukaa karibu na watu wenye hela siku ziende, kujipendekeza sana kwa matajiri , we safari na wakeze wote wawili kipindi kile kapelekwa na watu
@khalifamilulu9109
@khalifamilulu9109 Год назад
Huyu jamaa kuzaliwa tanzania kote huku. Lakini bado hajui kiswahili. Ety wivu ya pili.
@hamisishirikisho2199
@hamisishirikisho2199 Год назад
Tuma hizo clip za Haji alizokua akimtukana MO
@iamdivineimage
@iamdivineimage Год назад
Wewe uko mtandao gani? au unaleta ushabiki hapa?
@suleymankabo
@suleymankabo Месяц назад
Suleyman kabo.😂😂 Mamba. Myamb. Rock sit. Manara. Kaona Tim. Ime. Kua. Fit. Ana. Anza. Shobo🎉. Kwenda
@idrisatv5540
@idrisatv5540 Год назад
Wenye pesa niwepesi sana kuaminisha watu kua wao hawana makosa hivi unakumbuka manara aliwekwa ndani kisa kupaza sauti kisa wewe?
@iamdivineimage
@iamdivineimage Год назад
Manara hata akiwa sahihi ni ngumu kumuamini hana stara na busara
@salomedeus4165
@salomedeus4165 Год назад
@@iamdivineimage kweli aisee tunamuona kama mropokaji tu yeye mwenyewe hajiheshimu
@SouleHamadimfaoume
@SouleHamadimfaoume 2 месяца назад
Mwacheni aende zake Manara kwani ndio nani anaisaidia nini Simba akiondoka Mo hapo tutasikitika
@robertdominiko2667
@robertdominiko2667 Год назад
Nini alitukanwa huyu??? Mbona hivi tena
@MagaliKiswili-bj6yz
@MagaliKiswili-bj6yz Год назад
Manala anawaumiza sana kichwa bugati hatari sana
@ernestsereli8559
@ernestsereli8559 Год назад
Tajirii la afrika Hilo"yaan wew una pesa nyingi af una busara nyingi!sasa manara kichwa kimejaa matopee na pesa Hana ndo maana kila cku anakimbiwa na wanawakee
@musamusa6213
@musamusa6213 Год назад
Waandishi wengi wa kibongo sijui kwa nini wanapenda mambo ya kinafiki ambayo hayatusaidii sisi wala yeye!! Muulize maswali ya msingi ya kuhusu simba! Huyo ni bilionea hafananishwi na wewe wala manala.
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Год назад
Jembe mbona unagombanisha
@masoudmasoud9345
@masoudmasoud9345 Год назад
Allah SWT created us and He knows what is best for us. This is something we often seem to forget. Allah knows it can be very hard to really forgive someone who hurt you and in this ayah, we are given the greatest motivation to push ourselves to forgive; it’s Allah’s forgiveness. When we think of forgiveness we mostly think of Allah’s forgiveness and we forget how important it is that we also forgive. Allah says: الَّذِينَ يُنفِقُونَ فِي السَّرَّاءِ وَالضَّرَّاءِ وَالْكَاظِمِينَ الْغَيْظَ وَالْعَافِينَ عَنِ النَّاسِ وَاللَّهُ يُحِبُّ الْمُحْسِنِينَ “The believers are those who spend in charity during ease and hardship and who restrain their anger and pardon the people, for Allah loves the doers of good.” (Surah Ali Imran 3:134).
@cottamanywele1396
@cottamanywele1396 Год назад
Usiwagombanishe watu huo c uandishi wapi haji manara amewahi kumtukana mo? Wewe salehe ni mshenzi wa tabia au unajpendekeza kwa boss upate kibarua?
@prosperiamdetele1421
@prosperiamdetele1421 Год назад
Kwel mungu alisem tusameheane kipenz Cha Wana msimbaz❤️❤️
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Kwani Hadji alimtukana Mo Dewj? Au Mo Dewj amesahau kumuuliza Mwandishi ametukanwaje na Hadji? Mimi mwenyewe Hadji sina kinyongo naye toka alipohamia yanga lkn kiukweli sijawah kumsikia akimtukana Mo Dewj
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 Год назад
Jembe fanya mazoezi mwili huo "tunakupenda braza!
@PiliIdd-iz7jm
@PiliIdd-iz7jm Год назад
Acha chuki acha ugombanishi katika watu nilikuwa nakuamini sana ila leo nimekuvuwa vyeo vyote
@MONEY_CHANNEL.
@MONEY_CHANNEL. Год назад
Uandishi huo siyo Chuki
@zainakassim6618
@zainakassim6618 Год назад
Hadithi haiendani na uhalisia wa tatizo lililotokea,kikubwa hapo ni kuufungua moyo wake Kwa umma ili umma ujuwe kuwa yeye Hana kinyongo na Manara!!! Je Kama kweli ni hivyo mbona muda umekuwa NI mrefu Sana toka Hilo tukio litokee?Au alikuwa anasubiri hao wachonganishi wafanye naye interview ndiyo atowe huo msamaha!!! Au alikuwa anamsubiri huyo maskini jeuri Kwa upande wake kutokana na kauli yake ampigiye magoti ili msamaha ukamilike!! Hayo yote yanaletwa na hao waandishi hao ndiyo wachochezi na wageuza maneno wakilitaka liwe vita,Shari ama misamaha wao ndiyo watekelezaji WA yote hayoo!! Wao ndiyo wasababishi wakubwa WA migogolo Kati ya MTU na MTU ,nchi na nchi vyama vya siasa n,k Wakiona Hamna anayewatilia uzito wao wenyewe wanatafuta Kiki ya kusuluhisha na Kwa kuzingatia Hilo kwenye chombo kikubwa maswali anayoanza kumuuliza huyo mteja wao ni la ugomvi au usuluhishi WA Manara na bosi wao mteja wao Mo,Ila pongezi Kama amefunguka kidhati kutoka moyoni au Kwa ajili ya kukalilishwa funga yake inayikuja basi Inshallah!! Tunawatakia kila la heri na nyie watia chachandu katika interview maana mmechachuwa sasa mnayaweka vizuri hongereni lengo ni kujenga nchi yenye Amani na si kubomoa nchi kazi kwenu Ila zingatieni maadili ya kazi yenu na siyo kuchochea au kuchonganisha kutokana na maswali yenu tungo tata
@msabimarwa9994
@msabimarwa9994 Год назад
Tuletee Louis mickison boss
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Год назад
Jembe unashangaza hivi kwanini unaanzisha topic inayomhusu huyu zimwi. Kwanini unampa milage. Tulishamsahau sasa mnampatia kisingizio cha yeye kuanza kuzungumza. Hebu uwe unatafuta topic nzuri za kujadili.
@serekachacha-zg2vp
@serekachacha-zg2vp Год назад
Ndio maana unafanikiwa Kaka yangu
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Год назад
Suruali
@abdallahchingua1630
@abdallahchingua1630 9 месяцев назад
yeye anasema akulipwa muda wote aliyekuwa simba wew unasemaje hilo?
@abdallahmanula1627
@abdallahmanula1627 Год назад
Mkumbuke ni sehemu ya kwanza ngoja tuone ndio tukosoe
@nashnene6326
@nashnene6326 Год назад
Sasa hadithi ya kubaka maiti imehusianaje na haji?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
HONGERA SANA MO MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU. WEWE NI TOFAUTI NA WATU WENGINE. MTU UKISHAMJUA HAINA HAJA YAKUJIBISHANA NAYE. TUNAKUPENDA WANA SIMBA. ENDELEA KUCHAPA KAZI SIMBA. ILA USAJILI ULIO BORA USISAHAU. WACHEZAJI WANAJITUMA SANA.
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 Год назад
MO kajaliwa busara na ni mtu wa Imani.
@alexmmbaga441
@alexmmbaga441 Год назад
Mtangazaji hajui kuuliza maswali
@gaudeniciaemmanuel4245
@gaudeniciaemmanuel4245 Год назад
Huyu mtangazaji ndo mchochezi yeye hayo matusi aliyaona wapi?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Namna ulivyovaa Mo umejiangusha,,,,,
@rasterwangu9708
@rasterwangu9708 Год назад
Yupo ndani kwake
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@rasterwangu9708 Ni kweli lakini hiyo taarifa si unaona inakwenda Kwa public
@hamisikanyama984
@hamisikanyama984 Год назад
Ungeuliza b20 zipo benkigani na sawadogo Nani Alie msajili ndiotunahitaji kusikia
@HalfanBiba-mp6sg
@HalfanBiba-mp6sg Год назад
Nategemea kumona haji akijibu sijamzoe kumuona mnyonge,kaka Haji njoo ufyatue Tena
Далее
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
Просмотров 1,6 млн
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 7 млн
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 7 млн