Mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Tixon Nzunda umefikishwa nyumbani kwake katika eneo la Shanty Town katika manispaa ya Moshi siku chache baada ya kufariki dunia kwa ajali mbaya iliyotokea eneo la Mjohororoni nje kidogo yam ji wa Boimang’ombe wilaya ya Hai.
6 сен 2024