Asante she mungu akujalie kwaelim hii nilio ipata kupigia wewe Kwan namuota Sana mama yangu mkubwa mara kwamara kumbe niroho zetu zinakutana nimefrai sana❤❤❤asante
Mi nilipewa namba za simu ni dada yangu alisema ukipiga namba hii utanipata na asubuhi nilipoipiga simu ikaita mtu yuko morogoro na nilipotaka kujua kama anamfahamu marehemu alikataa na kukata simu allaha ampunguzie adhabu ya kabri dada yangu
Wallahi nilikua namuota dadaangu ananiambia kaniombee msamaha kwa mamaake wa kufikia au mlezi maana uko ajafika kaburi limemkataa yupo tu Kati uko anafukuzwa bc naliia tuu sijui nifanye je
Mm nilikuwa na ongopa mana baba na mama simalizi mwezi bila kuongea nao handi nikawa natafuta masanda kwaza nikiwa na mawazo ama kufikiria ama kwenye matatizo mangum basi huwa lazima mama niongee naye ndio hicho kitu kifanyika yani amekuwa kama mshauri wangu wa kila wakati❤❤❤❤❤ila nashukuru ka kuelewa mana ya ndoto ya kuota mtu wa kufa
Weka desturi ya kuwaombea Dua labda Kila baada ya sala ya alfajiri,ndio zawadi pekee ya marehem ndio ktk Yale mambo matatu ukifa Mungu hufanya Amana kwako "aulaadu swaalihan" mtoto mwema mwenye kuwaombea wazazi wake Dua wanapotangulia mbele za haki duwa ya mtoto hufika bila kizuwizi kwa mzazi
Ni kweli mm nilikua na mahusiano na mtu wa din nyingine marhum babaangu akanijia usingiz akaniambia nilikuhusia usiolewe na asiyekua muislam achaa nilistuka na nikweli alinihusia enz za uhai wake
Subuhanallh yabi tujarie mwisho mwema je? Nisaidie erimu juu ya hizo doto baada ya kukutana huko baina roho hizo mbili aidha kumuona mzazi wako arietangulia au ndg yko vp hpo ukimuona ypo ktk furaha ina maanisha nini haswa nipe faida yke pia naitaji kujua erimmu hiyo zai ishaallaah
Kua na utulivu katika kusikiliza utaelewa, Kila neno la kiarabu ameli Tafsir na Dalili Kwenye Hadith. Na kwamba maneno ni ya kwely basi itaongelewa kwa Lugha ya kiarabu kulingana na Maneno ya wanazuoni. Tuheshimu ma Sheikh zetu na tutumie lugha nzryy
Nadhani victoria hajakosea yupo sahihi. Anatumia sana lugha ya kiarabu kwa sababu ushahidi anaotolea kwenye Quran na hadithi ama maneno ya MTUME s.a.w lakini pia hujitahidi kuyatafsiri kwa kiswahili. Mashallah nikupongeze Victoria kwa kutafuta elimu zote bila ubaguzi Karibu Zanzibar
Mm nilliota mtu aliyekuwa nishangaz yngu..ila kwenye hyo ndoto nilikuw napiga kelle kma kuomba msaada lakin skumbuki tukio llte wala maongez yyte kti yetu na nilipoamk asubuh nilikuw nimechoka sna na koo linaniuma...hii ina maana gni shekh nisaidie