Тёмный

MWIZI GHOROFANI KARIAKOO ATAKA JIRUSHA, AIBA SIMU, TAZAMA MWANZO MWISHO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@AngelaEmmanuel-b1f
@AngelaEmmanuel-b1f 3 часа назад
Af kwa mwili wake ata hafai kua mwiz jmn 😢 Mungu atupe rizki za halali Inshaallah
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 часа назад
Ndio maana watt wetu wengi hawasikii tunajiuliza kwa nini kumbe watt wetu wanakula vya halam tokea wapo matumboni mungu tusaidie 😢😢
@SaimonEmmanuel-h9t
@SaimonEmmanuel-h9t 2 часа назад
Tamaa mbaya sana jmn 😊😊😊
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq 2 часа назад
Mission Impossible 😂😂😂
@japhetadelard9465
@japhetadelard9465 Час назад
😂
@WahuBoth
@WahuBoth 3 часа назад
👍 this is ayo Media 👍
@DavidmyJohnDavidmyJohn
@DavidmyJohnDavidmyJohn 3 часа назад
Unstoppable ayoo
@muzneali4747
@muzneali4747 Час назад
ALITAKA kujifanya Jack Chan 😂😂😂 mambo yamegoma
@blacknighttv7148
@blacknighttv7148 3 часа назад
Duh ayo nakubali kaka uko vzr tukio la mlandizi jana nililishuhudia leo naona umelipost ur so active bro
@hildajoel5
@hildajoel5 3 часа назад
Angejirusha tu bwana atupunguzie hekaheka. Unarisk maisha yako kwa vitu vidogo. Vijana tuache tamaa
@deejay__best
@deejay__best 3 часа назад
Vijana Maisha Ni Magumu Kweli Lakini Tutatufeni Tuu Riziki Za Halali Ili Tuwe Na Aman Na Uhuru Na Pesa Zetu Za Halali Aya Mambo Ya Shortcut Aise Yana Mashaka Sana Ona Sasa Huyu...
@muzneali4747
@muzneali4747 Час назад
Maneno ya RC chalamila NI kweli kavaa vizuri lkn mwizi
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Час назад
Subhannallah jamani wanaume fanyeni kazi
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 2 часа назад
Hizi siku za mwizi40 ikiwezekana zipunguzwe ziwe hata28 Kama hujawahi kuibiwa huwezi kuamini ila kama yamekukuta🤣🤣🤣🙏🏼
@waridimaliki
@waridimaliki 3 часа назад
Siku ya kufanyani miti yote huyeleza😅😅
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 часа назад
Subhanallah 😢
@sadamissa5687
@sadamissa5687 3 часа назад
Kariakoo kazi nyingi sana ukiwa mwaminifu ameshindwa ata kua winga mwaminifu apate ata afumbili afutatu daah
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Час назад
Halafu mungu tu hapo aliposimama muda wote anaweza kudondoka maana hizo bomba tu
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 36 минут назад
Mwalimu wa kichina au mwalimu anaefundisha kichina ila huyo mwizi wangempitishia fatwa ya kiislamu wangemkata kiganja cha kulia lakini baada kuthibitika
@BabuallyAbdul
@BabuallyAbdul 3 часа назад
Kama kifo kizuri mwacheni ajirushe! Pigeni simu gari la taka lije kuzoa mabaki!
@franklinmganga736
@franklinmganga736 3 часа назад
Nakuona mwanangu stevu
@rashidnzunda
@rashidnzunda 2 часа назад
Hatari kwakweli
@nashonobeid
@nashonobeid 4 часа назад
😂😂😂😂 kwahiyo mwiz kasaidiwa kushuka daaa!!!😮😮
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 часа назад
Ati anabembelezwa 😂😂
@yunamirambo2121
@yunamirambo2121 2 часа назад
Ilikuwa unataka nnww
@mohdmassoud3052
@mohdmassoud3052 3 часа назад
Ilikua mumtumie mawe angeshuka mwenyewe tu huyo mbwa
@nmkandawile
@nmkandawile 2 часа назад
😂😂😂 movie za kizungu zi me muharibu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 часа назад
Duu mwizi anajiweza ...ilammekosea mjatuonyesha sula yake
@JohnsonMichael-c2x
@JohnsonMichael-c2x 2 часа назад
Kama anataka hela rahisi mpelekeni kwa pididy
@EmmaTembo-l7o
@EmmaTembo-l7o 2 часа назад
Ntakuja mnifunze ki china Shule lapata na tangazo bila malipo mwizi oyeeeeh
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 2 часа назад
Kisa sm tu inatk kukutoa uai wako, mn wananch wnaweza kukuuwa kwa v2 vdg tu
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 3 часа назад
Yaan mpk mwizi mnaficha sura yake ???!!!
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 3 часа назад
Watu wa dar wakija mikoani wanatuvimbia utazan Wana makampuni lakin shunghuli zao ndiyo ni upuuzi mtupu mkija mikoani mnakuta sisi tushajenga Tena nyumba nzuri bati za kisasa Cha msingi ni kujishunghulisha kuachana na tamaa za kukimbilia mijini ukitaraji uta survive bila kazi ya maana
@MohammedMashaka-si4id
@MohammedMashaka-si4id 4 часа назад
Waizii shidaa sana
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 3 часа назад
Hizo shida zote zimeletwa na samia ugumu wa maisha zanziba wanafaidika sisi tunaUmuia
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 часа назад
Fanyeni kazi sisi vijijini huku hatuna njaa hizi nyie na tabia wenu za wizi matokeo yake mnafanya kisingizi samia
@hamimjamal3113
@hamimjamal3113 3 часа назад
Yani ktk watu ambao hawana akili wakwanza ni ww
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 часа назад
Wizi ni tabia yamtu kwani ss wote tunapesa mbona tunalizika na Alizetu. Kwani Rais samia ndiyo kamtuma. acha udaku ww
@hanifamziray277
@hanifamziray277 4 часа назад
Ila mwizi khaaaaa
@KisagaJohn
@KisagaJohn Час назад
Misheni faired 😂😂😂😂😂
@WilliamSomela
@WilliamSomela 2 часа назад
Anashindwa kwenda kubeba zege huko apate hela kazi kuiba tu .
@MariaMsuku
@MariaMsuku 3 часа назад
Alf mbaba mtu mzima tuu yuko na nguvu zakutosha kwann asifanye kz
@princejusticelugaziya5689
@princejusticelugaziya5689 2 часа назад
haha wizi ume advance...mpk ghorofan...mamaree
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 3 часа назад
Nimemkataza mume Wangu hakusikia iphone imemponza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@InocentPius
@InocentPius 3 часа назад
Ayo tv wamekosa taarifa mpaka mnaleta habari za mwizi wa kuku
@MODHKASSIMMODH
@MODHKASSIMMODH 2 часа назад
Wange muacha tu hapo hspo alau wiki
@upendoabraham2010
@upendoabraham2010 Час назад
😂😂😂 angekufa huku kasimama
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 3 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂mwizi kasaidiwa siyoo😂😂sasa cm na laptop.baba zima vikusaidie nn ila jamnii😂
@catherineitemo166
@catherineitemo166 2 часа назад
😂😂😂hee
@beatricejoseph2784
@beatricejoseph2784 2 часа назад
Ajitupe tu bhana anapoteza mda 😂
@onespour7189
@onespour7189 3 часа назад
KAZI ya wizi ni ngumu sana😆
@eliaszephania3115
@eliaszephania3115 3 часа назад
Cm xaiv za mikopo kibao Hadi 30k unaenda kuiba sa pesa utakayolipa hy si balaa
@danielmkama24
@danielmkama24 3 часа назад
Kwan haangaliag movie huyu nae!
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 часа назад
roho mbaya imemuingia ,nahalimbaya zimemvaa watu wamejichokea ,bado ni asubuhi mchana unakuja na jioni inakuja, nakila zamu ina mamboyake mtayaona meengii nikuwa na macho tuu yakuonea yatakayo endelea kutokea
@Biphograh
@Biphograh 4 часа назад
Huyu mwalimu myakyusa huyu
@yuzzob
@yuzzob 3 часа назад
Sure, bila shaka ni mwatusimu huyu wa busokole kumatoki 😅
@ChristianSiwale-iw7ex
@ChristianSiwale-iw7ex 3 часа назад
Ndugu yake senga 😂😂wanyakyusa 😂😂 pwaaa chin😅😅
@CatherineJanken
@CatherineJanken 3 часа назад
Mungu saidia vijana wapate shughuli za kufanya waachane na tamaa 😅😅
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 3 часа назад
Vijana tufanye kazi...tuache shortcut..
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 4 часа назад
Binadamu tota futeni kazi hatakama n chakokoto kuliko hayo😢😢😢
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 часа назад
😢
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 3 часа назад
MWIZI KAKWAMA
@Ndenza
@Ndenza 4 часа назад
Ila mwiz ad kaliakoo
@ireneshao7950
@ireneshao7950 3 часа назад
Yani mwizi asinge one kama mfanya usafi angepata Kesi ya wiz Mungu tusaidie
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 часа назад
Alikuwa ana dip kifo mchana kweupe unataka kupigwa uuliwe bure uwape simanzi ndugu zako ukitoka salama huko police pitia comment yangu na ukasome dua wamekuacha salama tungekuwa tunazungumzia marehemu mwizi wa simu
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 4 часа назад
Iv wenzie mnahakiri gan eee unakuja kupoteza maisha kwa vitu vidgo sana sm si fanyeni Kaz jmn utapata jmn mchana kweupe mnaiba hata haibu hakuna
@Emmanuelmwafugo-xo7xl
@Emmanuelmwafugo-xo7xl 2 часа назад
Mlinzi ni mnyakyusa
@StarnslausVital
@StarnslausVital 3 часа назад
Wakwanza leo naombeni like zangu
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 4 часа назад
Wenzako wanaenda Dar kufanya biashara wewe unaenda Dar kuiba wewe kiboko
@Don.26Alien
@Don.26Alien 3 часа назад
Dar ndo Mackani sio kila aliye Dar et kaja... Ukute uyo nd kazaliwa Dar na kaiba toka utoto... Wanaiba wenyej.... wakuja huw wanakj ksaka Life tu
@DJJIMYTZ
@DJJIMYTZ 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
MR NANA -AMKA ( Official Video )
3:44
Просмотров 15 тыс.
MPINA KUFYATUA KOMBORA LINGINE
5:26
Просмотров 6 тыс.