Тёмный

MY MOTHER EP 16 | Sad Story 💔💔 

BUSATI TV
Подписаться 133 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

#bongomovie #mymother #housegirl

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@JulianaMligo-b7k
@JulianaMligo-b7k 8 часов назад
Jamn nimekuw wa kwanz Leo like bas ndug zang nawapenda san💖💖 from the 🇹🇿
@SesiliaAndrew-c6y
@SesiliaAndrew-c6y Час назад
Mmh jmn mbon mama sibo mbon kafanana na jasmin au ndo mamake jmn duuuh aliyeona hilo like apa ❤
@marryJacob-z7i
@marryJacob-z7i Час назад
Mpo vizuri kwasani wamaimadha mukazo tu nakuomba mungu mfke mbili zaidi
@ZakiaChangoma
@ZakiaChangoma 6 часов назад
Sebo toa hivo vilemba vinakera hata hupendezi ila ukiwa huna kilemba unakuwa mzuli sana ila wewe nimzuli kweli kweli 🤭😅 mashaallah ❣️❣️🎉🎉
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😊😊😊😊 vilemba ni Yolanda huyo anasema anavipenda sijui ndo mganga wake 😂
@sinarohasina9175
@sinarohasina9175 4 часа назад
Hii ndio comment nilipokua natafuta hapendezi kabsaa
@ZakiaChangoma
@ZakiaChangoma 4 часа назад
@@NyagawaEmmanuel 😅😅😅😅ama kweli haya bwana 😅 angalia tu asikutoe kafara 😅😂 nawapenda sana wete ❤️ mnanipa Raha 🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 2 часа назад
Duu akiwa.hana kilemba anapendeza maanshalla muzuri ira Yolanda unapata zambi
@Beatrice-kp7uw
@Beatrice-kp7uw 2 часа назад
Hawezi toa kilemba juu anatembea nmke wa mtu😅😅😅
@MariaKahind
@MariaKahind 6 часов назад
Jaman samahanini kama nitakosea au kukwanza mtu.....my mother...ilianza vizuri..yenye mafunzo..ila mwatupoteza jamani mwatuekea madanga ..muda mwingi jamani😢😢😢😢
@HusnaX-u6q
@HusnaX-u6q 5 часов назад
Kabisa sio madanga tu na liyoranda mda wote
@MariaKahind
@MariaKahind 5 часов назад
@@HusnaX-u6q wanatubooo...aky juu my mother ilikuwa na mafunzo tena mazuri..ila kwa sasa havieleweki..muda wote ni madanga tu
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 3 часа назад
Kweli kabisa
@Nailaty564
@Nailaty564 Час назад
Sibo na rahma wameendana wote wazuri Masha Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 3 часа назад
Najua jamani hii nayo inazidi kua nzuri kila kipande msicheleweshe tunaipenda mno 🎉🎉🎉❤❤❤
@NebrahNelly-sn8qs
@NebrahNelly-sn8qs 8 часов назад
Naipenda sna ila zatity mungu atambariki
@Kimwana255
@Kimwana255 8 часов назад
Nimewai jamani naombeni like na musiniulize Kwani unauza izo like 😅😅
@DoreenWanyonyi-x8y
@DoreenWanyonyi-x8y 7 часов назад
Kumbe unajua 😂😂😂unazipeleka wapi
@AzamMgasha-t5s
@AzamMgasha-t5s 8 часов назад
Wow next time very good
@Kai_busati
@Kai_busati 8 часов назад
Hili ni Dude kubwa sana🔥🙌🏾
@SelinahKeny
@SelinahKeny 8 часов назад
Am number one 🎉🎉🎉 i like this
@AdassaMsafiri
@AdassaMsafiri 8 часов назад
Naombaa like hata mojaa jamanii
@saadaally5705
@saadaally5705 6 часов назад
Mwanaume amejitanda kichwa wanawake kama kendi wendawazimu kichwa wazi tumuogope Allah yupo Alali wala Asizihi
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 7 часов назад
Hii move mnaichezeza kama sio kama ya my mother aki juu story nyingi vitendo vingi
@NsabiyumvaEvelyne
@NsabiyumvaEvelyne 8 часов назад
Leo nimeramukiya nawapenda cana ❤❤
@FatumaWazir
@FatumaWazir Час назад
Mama kashaingia na Tamaa
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 7 часов назад
Like hapa ukiona mtu ameandika ujumbe kama Huu Jua ameboeka hajafatilia movie.mcwe wachoyo nipeni like Hata 10iliuzipeleke wapi
@BrendaMogambi
@BrendaMogambi 6 часов назад
Toka 254 pia atujaachwa nyumba gonga kidogo
@Phoebenafula
@Phoebenafula 8 часов назад
Wa kwanza kutoka Kenya likes zangu hapa tukisonga mbele🎉🎉🎉❤
@LuciaJoseph-j7q
@LuciaJoseph-j7q 8 часов назад
Naomben like ata 10 leo wa kwnza jmn
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 6 часов назад
Nampenda sibo bure anaongea vizur
@lucymoses-t1v
@lucymoses-t1v 6 часов назад
🎉pamoja napenda anavyoongea anaongea vzr na ana maneno ya busara
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 6 часов назад
Sina lakusema bali nawapa hongera sana wahusika ❤❤❤❤and 🎉🎉🎉
@rizikisalim6630
@rizikisalim6630 7 часов назад
Iiiiiiih Yani mwanamume akiwa hivi yuaboa Yani nkili zako timamu lkn wee wategemea kuhongwa na mwanamke iiih wallah huaga nasinywa sana😏😏😏😏😏
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr 4 часа назад
Dhaaaa kazi nzuri jamani nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc 5 часов назад
Zatiti nakupenda tu San mungu hakulinde ppote hulipo
@MariaHussein-f5w
@MariaHussein-f5w 5 часов назад
Kwan sibo anashda gan akikutana na yolanda had ajifunge kilemba
@Betty-t9q
@Betty-t9q 2 часа назад
Hapo Tasha ulikosea kaabisa tabia zako haziendani na huyo kinyangulo danga😅
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Honger San zatiti kwa kumuweka mam sehem Salam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 7 часов назад
Jamani nipewe hyu Sibo, mbna mzuri snaa, alfu mama mkwe hyo ni advice gani unayompa sibo wanguu😂, mtoto wa kiume anafaa kupambana kutafuta hela zke na si kutegemea mwanamke
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
Mama ameshindwa kuvumilia shida 😅😂
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 8 часов назад
Mama warida huruma akili mbili jaman 😢😢😢😢
@ClaraAdam-i1o
@ClaraAdam-i1o 3 часа назад
Jaman da warda ni mzuri nakapenda sana🎉🎉❤❤
@LinahUmazi-x4z
@LinahUmazi-x4z 8 часов назад
Leo nmewahi jme🎉🎉🎉❤
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Honger San ang kwa kumpokea mam chiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZZawadi-s5v
@ZZawadi-s5v 6 часов назад
Jamen wanaume tafuten kazi mfanye sio umutumaini mwana mke😢😢😢😢
@yonisabdullah2528
@yonisabdullah2528 Час назад
Nowdays wanaume wengi wako hivyo 😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Mwanaum unatakiwa kupamban na sio kulelewa na mwanamke
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 часов назад
Mana sibo huna msimamo maskin...hongera daa zatiti
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v 8 часов назад
Mbona kachanganyikiwaaa😊,kwani kunamtoto asiye kosea kwa mzazi??😳😳hakuna Bora bana,chibi mwache mwenzako apewe msamaha namamaake
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 7 часов назад
Mmmmh zatiti endelea kumpambania huyo mama Mungu atakulipia inshallah 🙏🙏🙏
@FatumaWazir
@FatumaWazir Час назад
Sibo na ww pesa izo za mwanaume mwenzio zitakutoke puan
@McT-m1m
@McT-m1m 6 часов назад
Na mimi nimememuelewa sibo anampenda mana ake afu ana msimamo tattoo tu si matafutaji
@RahmaRahmaabdallah
@RahmaRahmaabdallah 7 часов назад
Mmh warda weeweee unamwambia ivyo kaka yako matabeeee 👐👐👐
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 7 часов назад
Mama ndio chanzo mama wengine yule mtoto anaempambania kumjali sie anae mpenda
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Jaman wazazi tuwapend san
@riziki8406
@riziki8406 6 часов назад
Yani candy na sania kila mahali nyinyi ni wachepuko kweli hakuna mahali mutakuwa sawa na kutulia keeh
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 4 часа назад
Wanaume wanategemea pessa kutoka kwa wanawake nihatari sanaaa ❤❤❤
@buru1235
@buru1235 6 часов назад
Mama n mama tu wallai tunafanyia mama mambo mengine lkn n lazima wasimame n Sisi thanks Sana mama bt huyo mwanao apunguze coz afanyia Zatiti.poa at all😮
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 7 часов назад
Afadhali kuishi maskini lakin hayo mawaida ya mama Warda kwa kijana yake cjapenda
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Chiko pole San huna Mke hapo huy yupo ki maslah tu
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Yan rahm yake yanamshind anaingilia ya kak ake
@افااقع
@افااقع 5 часов назад
Zatity hongera sana 🎉🎉🎉🎉
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 7 часов назад
Warda unanikosha kiukweli Yani eti sibo SIO mwanaume kweli😂😂😂sema mko vizur team my mother 🔥🔥🔥🔥
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 6 часов назад
Yolanda amezama kwnye penzi LA chibo 😂😂❤ chiko ulifanya makosa kumkabidhi mkeo password n A.T.M yako subiri akufilisi😂ila zatiti ana moyo kaja muomba mjomba amsaidie kumuhifadhi huyo mama na wakati chiko hata hajali katekwa maxima n mkewe yolanda😂 hii filamu yafunza
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 7 часов назад
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤
@AminaNgumba
@AminaNgumba 8 часов назад
Yaan candy ana mdomo lkn kwa sibo t mdomo wote unaish😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂 kila mjanja Ana mjanja wake
@MariamJaberi-g5y
@MariamJaberi-g5y 6 часов назад
Nawapenda San jaman ❤❤
@DareshiSlm
@DareshiSlm 3 часа назад
Sibo nakupenda ❤❤
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Kazi nzur San wapendwa
@LovenessLucas-r2x
@LovenessLucas-r2x 4 часа назад
Sibo njo kwangu tukatafute mshangaziiii tumchune😂
@SanuraNamlola
@SanuraNamlola 3 часа назад
We uogopi
@LovenessLucas-r2x
@LovenessLucas-r2x 3 часа назад
Naanzaje ​@@SanuraNamlola
@Nailaty564
@Nailaty564 Час назад
😂😂😂😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Asanten san busati TV kwa kutupatia mwendelezo tunawapend san wapenda wetu
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Sibo naw so utoe hy skafu unaona aibu au
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 часа назад
Duuu huyu mama kaaza vyemaq ilaa kapatwa natamaaa mwishoni 😢😢😢
@NeemaLuambano
@NeemaLuambano 2 часа назад
Mama yupi
@DareshiSlm
@DareshiSlm 3 часа назад
Hili batuli linajiona jirembo sanaa nongoo😏
@Omoisirisasi396
@Omoisirisasi396 8 часов назад
All the way from +254🇰🇪
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Yani kai anapagaw na hela t na sio mapenz ya dhati pole San Kai haujataka ushauri WA mam ipo siku utajut
@lutfiyahsaidi6666
@lutfiyahsaidi6666 6 часов назад
Yani hicho kishingi cha sibo kinaniuzi anakua kama mwanajeshi wa alshabab
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 8 часов назад
nna bahati kua wa 6 from Oman 🇴🇲 jaman tujuane
@ApsaraMob
@ApsaraMob 3 часа назад
Zatiti nakupend san🎉🎉🎉🎉
@ShamimAbdul-tf3fw
@ShamimAbdul-tf3fw 5 часов назад
Mama sibo. naona unatetea penz la mwanao hali yakuwa si umwambie ajitahid kutafuta sasa si tukiwatafutia wanaum wanawak tutafutiwe na nani Yolanda atakisema sibo anakuwa tengemez nikwel🎉🎉🎉 Yolanda
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 7 часов назад
Kai utakumbuka maneno ya mama, acha tamaa hiv ni vya muda tu agalia mtu sahihi kwako cyo batul 😢😢😢😢
@AllyahKaseka-hq4fv
@AllyahKaseka-hq4fv 8 часов назад
Good job🎉🎉🎉
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Yan mam sibo anamshaur mwanae kurud kwa yoland jaman pes haram mam anamshaur mwanae kudang jaman pole sibo
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
Asante jaman Mama Sibo anakwama tu kdg
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Watu weny mam kam sibo tujuan jaman pesa balaa
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂 mama shida ni mjukuu wake
@NuruenezaJosephEnock
@NuruenezaJosephEnock 7 часов назад
Kazi nzuri sana
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 4 часа назад
Sibo samahan acha kuvaa herin na chen
@PhilbertHabonimana-o1z
@PhilbertHabonimana-o1z 7 часов назад
Leo wakwanza burundi
@faustinejoseph7702
@faustinejoseph7702 5 часов назад
😂😂😂 batul bhn anambwembwe kama unaamini kay anaumwa mafua gonga like tujuwane jmn
@edimaralupenza917
@edimaralupenza917 8 часов назад
Wa kwanza Leo jaman🎉
@HadirialssaShund
@HadirialssaShund 7 часов назад
Leo niméwaaahi namie naombeni like
@MyimunaTz
@MyimunaTz 2 часа назад
Oyo iyo seba malioo ajekwangu nakupa mpaka m kulima hahahahaha😂
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 часа назад
Sibo yuwapenda mitandio jaman 😂😂😂😂😂😂
@hutahuta1170
@hutahuta1170 6 часов назад
Kazi nzr
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 3 часа назад
Uyu chiko anajisima data eti anatamani mama yake arudi kwa Hali ya kawaida na yeye kamfanya ivo alivyo😢😢😢😢kitakukuta jambo wewe alafu mama Sibo akili hana kabisaa
@Queen-hm1bh
@Queen-hm1bh 3 часа назад
Sebo jamani mbona vitambaa kichwani jamani hata haupendezi ila kama hauna kitambaa ukaa mwaaaaaah😂😂
@sasharora36
@sasharora36 3 часа назад
Mmmhh jaman Sibo na scarf....bado uvae dera na abaya 😂
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt Час назад
sebo umeongea vyema kabisa 😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Yan Hao vivuruge tena Sania shoga ake
@EDINAKEDMONI
@EDINAKEDMONI 7 часов назад
Duh leo nimejitahidi kuwahi
@MustyNgongo
@MustyNgongo 6 часов назад
Ongereni mko poa xnaaa
@DominPallangyo
@DominPallangyo 7 часов назад
Yan kinachonichekesha zaid Sebo hapendi kuambiwa ukwel 😂😂😂 maskini Jeuri 😂😂😂 akiambiwa ukwel analeta vitisho badala ya kujishughulisha
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂 Ukwel gani bhana
@DominPallangyo
@DominPallangyo 4 часа назад
@@NyagawaEmmanuel si akiambiwa aache kuwa tegemez atafte ela anakasirika
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k 7 часов назад
leo nimewahi jaman 🎉🎉🎉munipee like
@PurityDida
@PurityDida 6 часов назад
Wakwanza jamanii😂😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤
@awadhfarha6991
@awadhfarha6991 8 часов назад
Jmn na mm leo nimewahi
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Kai huyo batul atakuach njiapad
@Shinyg3l
@Shinyg3l 6 часов назад
Nyie mnaosema sibo na hizo tqmbala zake kichwan ,kumbe hamjawah kudate na muhuni nyie yan Kila anakoenda ni hivo au provaa zenye kofia asee wanaume nyie🤣🤣
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂😂😂 limekukuta jambo
@Shinyg3l
@Shinyg3l 5 часов назад
@@NyagawaEmmanuel acha tu kipenziii Yan ukidate na hao watu ogopaa
@LuciajeremiaEnock
@LuciajeremiaEnock 4 часа назад
Jaman Nan kaona hlo wigi la yolanda Kama kchaka vileee
@JohnThomas-mq5fw
@JohnThomas-mq5fw 4 часа назад
Zatiti hongera sana 🎉❤
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
Maua yenu Busat tv🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RukiaKhamis-pu9zv
@RukiaKhamis-pu9zv 8 часов назад
Sibo kavaa ushungi 😂😂😂
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 5 часов назад
😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 7 часов назад
I love you my mother❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ruthyohanesy3739
@ruthyohanesy3739 4 часа назад
Tuendelee kama tulivyoanza
Далее
Интересный наборчик 😀
00:12
Просмотров 11 тыс.
CHOZI LA YATIMA Part 1
20:02
Просмотров 2,8 тыс.
DRUNKEN LOVE ❤️《02》
28:25
Просмотров 13 тыс.
MATHNA{UKEWENZA}💕💘..SEHEMU YA SITA
28:13
Просмотров 4,1 тыс.