Mimi naona Kelvin akibadilisha mawazo kabla ya harusi...huyu jamaa hawezi oa Tina..huu ni mchezo tu..Kama unaamini hilo weka like tukisonga..ni yule shabiki wenu kutoka Kenya
Aisee kwanza nawapongeza mnafanya kazi mzuri sana,ila ningependa muwe mnabadilisha majina katika movie ili ilete chachu pia muongeze vijana wapya ili ilete kitu yaani Radha tofauti Pia mnyoe pia tofauti sio kila movie mnakuwa na style moja ya mwonekano Leoo naishia hapo
Kelvin unajua ivi loveness yupo tayari kukua kwenye mahusiano nawewe na naona furaha yako imelejea Kevin ata uso unaonyesha tu mbaka babako anakuona pokea maua yenyu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kak jaribu kumuonesh mam frah ata km ana mapunguf ykee mzazi akosei at siku Moja mpe frah mam ajiskie mwenye aman aisee hpo mim nimekuambia ulivyomjib inshort sijapenda 😢😢😢😢😢😢@@Dontatv255