Тёмный
No video :(

MZEE ABDUL Afunguka baada ya kuambiwa DIAMOND sio MTOTO wake' NITAMSHITAKI DIAMOND" 

Rick Media
Подписаться 873 тыс.
Просмотров 405 тыс.
50% 1

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#DIAMONDPLATNUMZ #MAMADANGOTE

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,5 тыс.   
@salomenjoroge9834
@salomenjoroge9834 3 года назад
Pesa ni maua......mzee stepped up when his biological father didn't,hongera mzee.your 👑 crown is somewhere.
@runexdicern2632
@runexdicern2632 3 года назад
Du
@alhajimbaga3395
@alhajimbaga3395 3 года назад
Mzeee usjali atakufa siku sio nyingi usjali
@mauayusufumauayusufu7862
@mauayusufumauayusufu7862 3 года назад
Mungu akujalie mwisho mwema mzee Abdully, Dunia Mapito umeongea maneno yenye hekima waelewa tumekuelewa vizuri sana.
@3azxtv843
@3azxtv843 3 года назад
Khadija Mzee unamaneno mzuri mungu atakusaidia usijali mungu yupo pamoja na ww
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 года назад
We mama mond una roho ya chui huyu baba nampenda Sana Ana majibu mazur Sana sikuzote mungu akupe furaha mda wore inshallA
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 3 года назад
Mwenyez Mungu akutie subra na akuzidishie kheri 😭😭
@lovvy854
@lovvy854 3 года назад
Ameen
@victorkabingo888
@victorkabingo888 3 года назад
Uyu mama naona atakufa
@williumgeorge3888
@williumgeorge3888 3 года назад
@@lovvy854 😭😭
@patrickvove
@patrickvove 3 года назад
Big respect to Baba Diamond cause he positive and he didn’t care about how rich his son is so big up 😍😍😍😍
@mercya3429
@mercya3429 3 года назад
True
@babylucky892
@babylucky892 3 года назад
Acha nae babangu Yule mama sio mzima,,, Ana laana yule na bado atalaanika yeye pamoja na uyo mwanae
@abdblue9158
@abdblue9158 3 года назад
Big respect to man up
@mjunimjuni9982
@mjunimjuni9982 3 года назад
“Yule marehemu mtarajiwa tu kama mimi” yooooh hii kauli Noma sana asee. Plus mzee yuko cool sana money doesn’t faze him AT ALL !!! RESPECT ✊🏿 TO THAT
@eliakamanga6220
@eliakamanga6220 3 года назад
Mungu andelee kukupa hekima mzee,uko vizuri sana mzee wetu.
@zayanaduduna1405
@zayanaduduna1405 3 года назад
Aibu kubwa Sana be strong father we love you I wish to see again my father May ALLAH grant him in the jannah Amin
@badigrandson1728
@badigrandson1728 3 года назад
Lets unfollow the WCB FAMILY ..uyu mzee ana hekma sana
@obbynomwa7143
@obbynomwa7143 3 года назад
Respect father, Huo ni moyo ambao Mungu anautaka
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 3 года назад
This is one of negative sides of social medias!pole Sana mzee Abdul!!
@swafiyamansur4326
@swafiyamansur4326 3 года назад
Inahuzunisha sana mzee mungu akupe subra Sana ina uma Sana😭
@Bantushine_film
@Bantushine_film 3 года назад
Pesa ndio zinawafanya hivyoo 💵💸🤌🏽🤌🏽 nzee Abdul be strong 💪🏾 jikaze tuu
@tboymsafi1641
@tboymsafi1641 3 года назад
Miee wasafii kindakindaki ilaa ukweli uyuu bimkubwa anatupotezea mashabiki nimemaindi sanaa afu anamyumbisha mondi kwa umalaya wake😆😆😆
@salisali174
@salisali174 3 года назад
Ule mama fimbo ya Mungu, siku itampiga ataingia Google na kuandika how can I stop to cry🤞🏾
@dullazero7465
@dullazero7465 3 года назад
Nilisema mm uyu mama ni malaya
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 3 года назад
Ataingia hadi play store
@michellewangoe2244
@michellewangoe2244 3 года назад
@@dullazero7465 haloooooo
@dullazero7465
@dullazero7465 3 года назад
@@michellewangoe2244 oi
@samtokarubandika387
@samtokarubandika387 3 года назад
Huyu mzee ana hekima sana, he has come to closure, amekubali na ameelewa kwa nini alitengwa, amejikubali. Sandra (mama Dangote) ndiye wakulaumiwa hapa.Mama muhuni kuanzia usichana hadi uzeeni.
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 года назад
Hahaha kabisa
@asmaathuman3803
@asmaathuman3803 3 года назад
😂😂😂😂 kabisa
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 года назад
Huyu mama alikua malaya katoa mimba alafu kachepuka akatiwa mimba akaileta kwa mwanamume mwengine shwain
@didaamohsin6594
@didaamohsin6594 3 года назад
Mbavuu zanguu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zakiaramadhani1125
@zakiaramadhani1125 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 года назад
Huyu mzee ana hekima sana. Mungu ambariki sana. Ingawa kaumia sana. Waandishi mumuache apunguze mawazo.
@kwizerasamia5397
@kwizerasamia5397 3 года назад
Stay strong baba abdoul 💪 malipo ni hapa hapa dunian NA kher kuisabiliwa 😔allah akupe nguvu insha allah 🤲
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 года назад
Ameen
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 3 года назад
Ameen thuma Ameen
@lovvy854
@lovvy854 3 года назад
Ameen duhh inahuzunisha Dunia hii
@evansoluoch6574
@evansoluoch6574 3 года назад
Wisdom is needed in such situation,thank you abdul
@sofiemwita1836
@sofiemwita1836 2 года назад
Daymondi kumbuka huyu ni baba mzazi wako unacho kipanda utakifuna na vizazi vyako vyote pesa isikukudanganye kumbe uliteseka na mama yako ukiwa tumboni mungu anakuona 😭😭😭😭😭
@zou7470
@zou7470 3 года назад
Baba nakuombea kila lakher allah atakulipa kwa kuwa baba mlezi na malipo niapa apa duniani🤗🤗
@salamajuma5481
@salamajuma5481 3 года назад
Maskini dhiki za mnyonge si za mwenye nguvu 😭😭😭
@salamajuma5481
@salamajuma5481 3 года назад
Baba Abdul usiwafate tena Allah yuko pamoja na wewe
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 года назад
@@salamajuma5481 kabisaaa
@willykikwete3176
@willykikwete3176 3 года назад
Katika maisha wanazuoni hukiri wazi kwamba, "hekima haimuishii mtu Bali utajiri wa fedha na Mali huisha kwa mtu". Mzee Abdul your so good aisee mwenyezi Mungu akubariki. Achana nao hao
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 года назад
Majibu ya mzee adbul ata mimi ningejibu ivo, yule mama kalewa pesa tu🙌
@khalfanmakota3905
@khalfanmakota3905 3 года назад
Daaah aise Mzee Abdul uko vzr sana mbali na wao kusema hvyo ila cc pia mashuhuda jinsi ulivyofanana na mwanao nasibu inauma sana!!gonga like kama unaamin Mzee Abdul ni baba mzazi wa nasibu but all in all harmonize ndio source
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 3 года назад
MUNGU AKU Bless Baba Angu 😭😭😭Inaniliza Hakika Pesa Mbaya Wallah
@locolartfrank8643
@locolartfrank8643 3 года назад
Ogopa hii species, pesa ni maua. This man is a role model
@NadiaNadia-gb7zs
@NadiaNadia-gb7zs 3 года назад
Harmonize umeamsha mengi kwenye wimbo wa wapo big up na pia MUNGU akupe kila jema katika maisha yako mzee Abduly
@vualemakamr6410
@vualemakamr6410 3 года назад
Day mama dai umekosea Sana na halipendezi kwa kweli,mzee kweli unabusara lkn malipo hapa hapa duniani
@johannahakim8470
@johannahakim8470 3 года назад
Baba wahekim ALLAH akulipe kila lakheri Ako kamama kana laana Tutaona mwisho wa awowatu Unaongeya kiutu uzima ki hekima
@emmamtembei4890
@emmamtembei4890 3 года назад
Kijana jiongeze,pesa ni maua tu,Ujuwe unaishi na mama ambaye hajielewi!Jiongeze bwana!!
@furahamdoe3432
@furahamdoe3432 3 года назад
Mzee mungu akutie nguvu ila mama dangote Malipo ni hapa duniani
@dyandyan7775
@dyandyan7775 3 года назад
Wallah huyo mama Mungu atamrpa kwri naumia kama baba angu 😭😭😭😭
@josephchongolo6916
@josephchongolo6916 3 года назад
Ni kweli
@hadjimbugi8681
@hadjimbugi8681 2 года назад
@@josephchongolo6916 wanawake wanaweza!!!
@fatmamansor8138
@fatmamansor8138 3 года назад
Nakupongeza sana Mzee Abdul! Kwa kuijali karama yako! Utajiri sio pesa utajiri ni roho ! Hivo wewe ni tajiri mkubwa! Usijali mzee wangu Allah atakujaali Afya, Furaha na Rizki za halali! Huyo Diamond ndio mwenye hasara si wewe! In Shaa Allah! Allah atakupa Subra! Luv u always Baba yangu!
@nolynenzisa351
@nolynenzisa351 3 года назад
Jmn mungu akupe nguvu naomba msamehe mtoto hana makosa. Nmehisi uchungu sana 😭😭
@abdulrazakihamisi6201
@abdulrazakihamisi6201 3 года назад
Bigap Sana mzee mungu yupo nawe ucjar Sana
@3mani2010
@3mani2010 3 года назад
Mtoto pia anakosa kwani yeye hajielewi
@elizabethidasso8823
@elizabethidasso8823 3 года назад
Kuna kitu kina nifikirisha kidogo .......hivi mwaka 1990 huyu mzee abdul alikua ana miliki deki ya VHS ....?
@gadoshtv7266
@gadoshtv7266 3 года назад
Kama umeskia sauti ni sawa na ya Mondi gonga like hahahaa vitu vingine vipo wazi
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад
Umeona eeee mungu anazalilisha
@sindibuzelouange8720
@sindibuzelouange8720 3 года назад
DUNIANI TUNAPITA TUU😭😭🙏 mwenyezi mungu akulinde baba
@josephmkuar7133
@josephmkuar7133 3 года назад
Haya maisha tu mzee wangu wala usiuzunike...Pesa umbadilisha mtu tabia Pesa ubadilisha ukwel kuwa uongo...mungu akutia nguvu inshallah
@othumanikamilagwa1129
@othumanikamilagwa1129 3 года назад
Mama mdangaji mungu atakulipa mzee km ni mali hayo maisha tu
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Mdanganyi namba moja halafu anampeleka Dylan DNA
@kenkimathi2133
@kenkimathi2133 3 года назад
Don't worry mzee,,,everything happens for reason and papers,, mungu you pamoja nawe am from🇰🇪
@athumanimohammed9318
@athumanimohammed9318 3 года назад
Pamoja mtuwangu😀😀
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 3 года назад
Pôle mzee malipo hapo kwa . Mungu waachie tuu waendelee
@bennbarton3629
@bennbarton3629 3 года назад
Daah mzee amenyang'anywa mtoto lakini mungu yupo mzeee mondi na babaake haitaji DNA
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 3 года назад
Huyu mama shetani kuliko shetani mwenyewe inauma sana kwakweli mzee you are so smart mungu atakulipa pepo kwa majibu yako
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 года назад
Pole Mzee Wangu. Mungu Atakusimamia..Haki Aiombwi.
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 года назад
Kabisa
@M7-Band
@M7-Band 3 года назад
Pole sana mzee,wameamua watafute mbinu wakunawe live live.
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 3 года назад
Kweli mashart yao hawaezi msaidia ndio mana wameamua kumkana
@ratifamzima1255
@ratifamzima1255 3 года назад
We umeona mbali
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 года назад
Innaa lillah wainna ilayh raajiuun huu ni mtihani mzito san dada zetu wanawake mnayo yafanya ni mazito mpk ibilis anaogopa subhanallah mungu tunusuru na hii mitihani dah inauma vibaya mno
@batatukatotolabikay5296
@batatukatotolabikay5296 3 года назад
Mzee wangu mwenyezi mungu ndiye anayo fahamu kila kitu. Kwa kweli inaniuma sanaa baba. Mzazi ni mzazi tu. Kwa gisi munavyo fanana na huyo diamond hata DNA haina kazi. May Allah be with you all the time. You will always be a happy dad. I wish to you(natamani nikuone) Inshaallah tutaona,
@AhmadAhmad-wl7zv
@AhmadAhmad-wl7zv 3 года назад
Jaman so sad huyu mama hana mafunzo ndo mana esma hana adabu Mungu kupe nguvu baba
@izackbarnaba9510
@izackbarnaba9510 3 года назад
Kumbe uyo mama kondom ilipasukia ndani duuu
@ahhe9035
@ahhe9035 3 года назад
Atalipwa huyo mama
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 3 года назад
Esma na Diamond wote ni damu chafu hawajatokea ktk damu safi basi wakiwa na tabia nchafu kama mama yao ni stahili ndomaana mkaona kuzazaa kwao wote yeye na dada yake hawajui ndoa nini kuza wana haramu kama walivyo zaliwa kwao c'est une famille de la honte
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 3 года назад
esma ni mtoto wa dadake mama daimond
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 3 года назад
Umeonaee mungu atamlipa sana huyu mama
@rashidedisonkarabu769
@rashidedisonkarabu769 3 года назад
Harmonize popote ulipo mungu akubariki kwa kazi nzuri unayo fanya, umeamsha walio lala kupitia nyimbo yako #@ wapo
@nyamushaladorika3876
@nyamushaladorika3876 3 года назад
Jamani kama kuna mtu anazo namba za uyu baba nitumie plz niko Nederlad Europe 🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱🇳🇱
@ellymagoke6079
@ellymagoke6079 3 года назад
Ok
@AaAa-qg1pc
@AaAa-qg1pc 3 года назад
Mtafute instagram anatumia mzee abduli
@anahna6788
@anahna6788 3 года назад
Mtafute ist
@urbanchannel6299
@urbanchannel6299 3 года назад
Njoo whatsapp +255712605229
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 3 года назад
Dada msaidie huyu mzee jamani 😭😭😭😭
@omarimwigula3248
@omarimwigula3248 3 года назад
Hivi baba mlezi hana thamani? kwa uelewa wangu ana thamani kuliko baba mzazi alie kutelekeza ALLAH atujaalie mwisho mwema
@athumanimohammed9318
@athumanimohammed9318 3 года назад
Ameen
@jamesoduororawo8379
@jamesoduororawo8379 3 года назад
So sad 😭 in deed .God gives and God takes ..
@asiathoya7660
@asiathoya7660 3 года назад
Pole Baba. Usichukue pesa zake huyo diamond ni za mashetani. Mungu amekuepusha na mengi Sana . Acha kungangania vi Tu vya kimashetani. Mungu hatakuucha kabisaaaaaa
@nobertmulesi3387
@nobertmulesi3387 3 года назад
Mzee ametaja mambo makubwa sana
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 года назад
So sad😭😭😭😭😭
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 года назад
Very very sad
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 года назад
Hana hekima bimkubwa 😔😔
@cynthianiipyana2602
@cynthianiipyana2602 2 года назад
duuh mugu akubaliki baba wawatu inshallah waache waendeleee baba yangu mungu atakuwa na wewe
@Donrugi
@Donrugi 3 года назад
Dah saa moja moja mmeshafika kuongea naye appreciated 💪🏽💪🏽
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
Wacheza na watangazaji ww wa tz🤣🤣
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 года назад
Hawachelew
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
Chezea online tv weweee
@fabicshofficial
@fabicshofficial 3 года назад
Even a fool will see diamond looks like his dad
@janepherkhisa1801
@janepherkhisa1801 3 года назад
Oooh my God! Mungu atusamehe walimwengu
@johnnjoroge2773
@johnnjoroge2773 3 года назад
Very sad indeed. Kuza siyo kazi mbali kulea ndio kazi. Huyu Mzee Umebarikiwa. God Bless...
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 года назад
MZEE ana BUSARA SANA MUNGU nijaalie busara kama za huyu mzee nami imenitokea nimenyimwa DAMU yangu kapewa mtu mwingine MUNGU atie nguvu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Dah😭😭😭😭
@saudismailbkri1894
@saudismailbkri1894 3 года назад
Pole sana
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 3 года назад
Pole sana Boss DNA fanya jibu utapata tu.
@salhaayoob2504
@salhaayoob2504 3 года назад
Pole sana kaka angu
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 года назад
@@salhaayoob2504 ahsante DUNIA duara ulimwengu shujaa Allah ndie mjuzi
@masogangemasogange7835
@masogangemasogange7835 3 года назад
Pole Sana mzee Mungu akupe nguvu, jipe moyo mkuu, Mungu mwenye haki atajibu.
@wemanatenda383
@wemanatenda383 3 года назад
Daaaah pole sana baba Abdul jamani mungu atakupa shufaa t inshallah kama ipoipo ty jamani kwasababu malipo n hapahapa dunian
@farhatdantte3019
@farhatdantte3019 3 года назад
Maisha duara Mr abduli maisha tuuu na mungu analipa hapa hapa dunian
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Nimejiskia vibaya utafkiri mimi Allah tusamehe waja wako daaa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Saaana aiseeee😥😥😥😥😥
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 3 года назад
Sio wew tu jamani angamstir maana hatujui tuendako Jamani😭😭
@fauzishma8033
@fauzishma8033 3 года назад
@@kimarohuba7441 sasa kumsitiri vp na nasibu amfanana babake hiyo ni aibu kwa mama sura iko pale pale haibadiliki
@milcahussein3899
@milcahussein3899 3 года назад
Mungu ndiyo ajuae usipime DNI mwachie Mungu yote ni maisha🤲
@victormushi6641
@victormushi6641 3 года назад
MAMA DAI JIFUNZE KWA MAMA KANUMBA HAYA NI MAISHA TU
@mishibakarikanwa3055
@mishibakarikanwa3055 3 года назад
Victor mushi ..meonaee
@dizzboss7526
@dizzboss7526 3 года назад
Kabisaaaaa
@othmansalum4191
@othmansalum4191 3 года назад
Ajifunze nini... kumlilia Lulu kila siku km ndo mpitisha hukumu ya kifo cha mtoto wake au...
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Kabisaaa jmn haya ni maisha na yana mwisho
@irenesadro7394
@irenesadro7394 3 года назад
Kabisa
@jabilingandule6621
@jabilingandule6621 3 года назад
It's really heartbreaking, very sad 😪
@leahchacha2514
@leahchacha2514 3 года назад
Don’t let money fool you😳🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 3 года назад
True
@DebestHubTv
@DebestHubTv 3 года назад
When you allow fame and money to control you then your life will end up in a miserable way. (How you translate this statement is up to you)
@tuchannyitike
@tuchannyitike 3 года назад
Well spoken "👍👍👍"big up
@mohamedbarrie8168
@mohamedbarrie8168 3 года назад
U are absolutely right well said bro
@waziriboy8886
@waziriboy8886 3 года назад
Omg this is Cray's
@kinyamal8201
@kinyamal8201 3 года назад
Dah Mzee, Mungu atakupigania.
@user-jf7dn4st2s
@user-jf7dn4st2s 10 месяцев назад
Alie lea mimba ndio anajua thamani ya mtoto, mungu akujalie mwisho mwema baba amin❤
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 года назад
Umeniuliza baba kwa maneno yako Allah mkubwa atakulipa.
@zamzamzakaria8095
@zamzamzakaria8095 3 года назад
Wee diamond jirekebishe huyu mzee ni babako mzazi wee utapata laana malipo ni hapa hapa duniani alfu hizi pesa utaziacha uvichwe sanda nyeweupe hata si misuti.bwege sana ww ufffffffff
@neemalyimo2039
@neemalyimo2039 3 года назад
Pole sana baba yangu we endekea kulia na mungu ipo siku atakuona wathamani na siku zote mungu hamtupi mja wake.
@geofnjaux8014
@geofnjaux8014 3 года назад
mzee anaongea vizuri sana
@naumydan9817
@naumydan9817 3 года назад
Woyee uchungu mkubwa 😥😥nimwjifunza mengi kutoka kwako mzee mungu akupee nguvu 🙏 hii dunia ina mambo kwanza uyo mama malipo n papa hapa
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Ile DNA mama Dangote alimfanyia Dylan, sasa mzee Abdul pia aitishe DNA
@deelissa2746
@deelissa2746 3 года назад
Ya nin hakiwa anapata nin awaache tu maan ht hawana msaad kwake ht akijua mtt ni wake atapt faida gan🍓
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 года назад
🤣🤣🤣umetisha mtu wangu
@asmaathuman3803
@asmaathuman3803 3 года назад
😂😂😂😂
@rehemakitara9978
@rehemakitara9978 3 года назад
Hata akifanyiwa ikajulikana ni wke bdo haisaidii kma mama anavyosema alimkataa mtoto kumsaidia tka akiwa shule na kma ni kweli mtoto alishuhudia hy pia ni tatizo kwake hy mzee ndy maana tunashaur msionyeshe tofaut zenu kw watoto matokeo yk ndy hayo
@fadhilifantastic5032
@fadhilifantastic5032 3 года назад
Huyu mzee anaonesha anafahamu kuwa ni kweli yeye sio baba mzazi sema tu ilikuwa siri,, so hamna cha DNA hapo
@swedish_james
@swedish_james 3 года назад
Ushauri wangu... Konde Boy Jeshi tengeneza paybill namba sote kama wana Africa Mashariki tumbadilishie maisha kwa kidogo kidogo tutakachotuma let's do this if you guy's really feel this 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chibudyside5617
@chibudyside5617 3 года назад
yani huyu mzee nampenda hadi bc hapanik ananyosha maelezo
@flowinmwanyika6935
@flowinmwanyika6935 3 года назад
Huo ni uongo wa kutengeneza kwa namna diamond anavyofanana na mzee Nasibu si kweli hayo ni maigizo
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 3 года назад
@@flowinmwanyika6935 maigizo wakati mbeba mimba kaongea, ukiwa na mama vile ni aibu
@abdulbebeto9703
@abdulbebeto9703 3 года назад
@@begukulemosobe9685 hana akili yule mwanamke
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 года назад
Mmh dai laana hiyooo
@abdulbebeto9703
@abdulbebeto9703 3 года назад
@@linahsemindu4261 kweli kabisaaa
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 3 года назад
Alhmdhulilah kiukweli inauma Sana lakin Mzee we nikama babangu nitakacho kusihi mshukr m mungu Kwa yote swali raka mbili mshkr mola wako NAMI kama Mimi ikiwa unamin mola Yuko nakila Jambo Lina sababu yake sasa huuu ndio mwanzo WA mafanikio Yako mze Amin nakwambia Mimi sina chakukupa Ila Namin dua zangu inshallah inshallah utafanikiwa maishan subra babangu
@warrensantana1570
@warrensantana1570 3 года назад
Diamond na Recardo hawafanani,ata heri uniambie Pacha Mondi nkt!!
@youngcarlos6343
@youngcarlos6343 3 года назад
Hata kidogo
@natumsifumbadjo3167
@natumsifumbadjo3167 3 года назад
Muangalie nasibu na uyo mzee utauliza kweli Kuna maisha badala ya kesho
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 года назад
Pesa tu , ndio zimewapa kiburi chote hiko
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 года назад
Allah atakulipia haki yako baba hapa hapa duniani
@OfficialKadumba
@OfficialKadumba 3 года назад
Mzee usijali mungu ata kulipa na hao wana tabishwa na hamonaizi
@jonasjohn1384
@jonasjohn1384 3 года назад
Wewe mzee mungu aku bariki Sana daimondi nimtoto wako kabisa Mimi natwa Jonas john makwambula. Uwo ndo ukweri. Sija lizika mka pime dna
@cyedahmad4287
@cyedahmad4287 3 года назад
I'm speechless! This is really hurts.
@nureathman3921
@nureathman3921 3 года назад
Baba u have a good Heart... God bless You..
@lydiarichard1283
@lydiarichard1283 3 года назад
Mungu akutie wepesi baba angu
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 года назад
Ameen inauma sana
@lydiarichard1283
@lydiarichard1283 3 года назад
Sana kuliko maelezo
@edwinkaombwe831
@edwinkaombwe831 Год назад
Wazazi wa kiume huwa wanafeli sana. Mtoto anavyokua unatakiwa kuwa karibunae. Watoto wanaathirika sana kuishi na mzazi mmoja wakati hawajatoboa; wakitoboa wanaanza kuwa karibu. Hafu wanakuja na kisingizio cha laana kwasababu ya kuwa mzazi. Sio poa wazazi wazazi wa kiume. Mnaumiza sana watoto. Kuwa mzazi sio kigezo shughulikeni pia kwenye makuzi ya mtoto..
@najmanajma-4765
@najmanajma-4765 3 года назад
Pole mzee wangu yote muachie Mungu ndiye mueza wa yote
@lailajuma5680
@lailajuma5680 3 года назад
Eee mungu labda kama wan mungu wao Ila Kam ni mungu huyhuy tunaemuabud mungu atatenda haki katika hili mzee Abdul pole Sana baaba
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
It's so sad wallah nime feel vibaya 😢😢😢😢😢
@jes1lod449
@jes1lod449 3 года назад
wandi shi muzi weke vizuri na taree na mwaka mungu yuko na mzee hi is a gro man i like him
@othumanikamilagwa1129
@othumanikamilagwa1129 3 года назад
Mama ana roho mbaya sana ......
@mejumaaharunigaluzagaluza9249
@mejumaaharunigaluzagaluza9249 3 года назад
Hongera sana mzee mola akujalie moyo zaidi wa subra katika hii dunia n kesho kwa Allah
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 года назад
Ni kweli achee kutumia jina la mzee Abdul
@jasinkai6326
@jasinkai6326 3 года назад
Kabisaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 года назад
Si bab yake
@raveenagasper8491
@raveenagasper8491 3 года назад
Imeniumaaa sanaaa...maishaaa hayaa .pumziii inatufanya tusieshimianee..shibee zinatufanyaaa tudharaulianeee.....unafikirii hawaa wakina mondii wakiwa nanjaaa watakuwaa nanguvuu yakupayukapayukaaa.....shibee inamfanya mtuu asahauu alipotokaa
@furahacheya866
@furahacheya866 3 года назад
Waaaah hiyo kali
@benedictoemanuel9925
@benedictoemanuel9925 2 года назад
Mzee Abduli nimependa uelewa wake hongela baba mtoto hagombaniwi.🙏🙏🙏🙏
@hanschuma7734
@hanschuma7734 3 года назад
Diamond n.a. familiar yake mama dada Kaka wote machokokoka washenzi kwel dah..... midume ndio tujifunze hapo ukiambiwa wanaaake hatari hua unaelewa
@officialb_first1369
@officialb_first1369 3 года назад
Dah big point mzee baba
@Fgldesigns
@Fgldesigns 3 года назад
Inabidi tukipata mtoto tukapime kwanza DNA ndo tuendelee kulea
@suzyjowzey8150
@suzyjowzey8150 3 года назад
Mama dangote Ni limbukeni hata iweje kwa mwanamke mwny akili hawez kumkana BABA
@harunakamgisha7661
@harunakamgisha7661 3 года назад
Baba kapumzike cku zote Mungu uwa amtupi mja wake hii family imelahaniwa Mwenyezi Mungu atakulipia baba mzuri.
@amoswekesa1476
@amoswekesa1476 3 года назад
Pole baba,mond ni kama mwana mpotefu,mwache dunia itamfunza na uyo mamake,
@smmak7140
@smmak7140 3 года назад
Marehemu mtarajiwa tu , pesa ni maua tu yaani vitu vya kupita ! Huyo mama ni mtu mbaya sana ila Malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani ! Pole sana mzee
@sophiezakaria
@sophiezakaria 3 года назад
Thunder that will strike her, is at Mt Kilimanjaro doing pressups, mali ya illuminati ni ya muda tu mama, kuwa mpole, wewe c wa kwanza kuzaa superstar
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 года назад
Pole sana mzee wangu, Mungu atakupa faraja, Usijali baba yatapita ishallah,Mungu atawapa maumivu makubwa walah
@ifrahali8707
@ifrahali8707 3 года назад
baba mlezi ni baba tu.for sure diamond knew this for a very long time and qeeun darlin remained his sister
@danymak5800
@danymak5800 3 года назад
Yeye. Ni real dad. Mom gets money and wants to control the silly son. Tupesa todogo makes Sandra feel she has reached heaven.
@getrudagabriel6370
@getrudagabriel6370 2 года назад
Baba hongera,, Mungu akusaidia,,pesa Ni maua,,zaid yote dunian tunapita
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 года назад
Hapa duniani malipo yapo kesho hesabu. Hata kama ni mlezi wake huyo ni baba tuu kwa vyovyote hata Dada wakazi akikuleya mpaka mkubwa huyo ni mama tuu mlezi.
Далее
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 760 тыс.