Тёмный

MZEE ATOA SIKU 14 ARUDISHIWE SIMU YAKE ILIYOIBIWA ZANZIBAR, AWEKA MATANGAZO MITAANI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Exclusive Na Mzee Mohamed Aliezua Gumzo Visiwani Zanzibar ambae ameibiwa Simu yake siku chache zilizopita ameamua Kuweka Matangazo Aliyochapisha Mtaani kwake Maeneo ya Mwanakwerekwe Visiwani.

Опубликовано:

 

25 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 169   
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 2 года назад
Km nawewe umeona Mtangazaji kafanana na mzee Mohamedy gonga like hapa😅
@Cyper255
@Cyper255 2 года назад
Watakuwa ni ndugu hawa
@rajabujohn3416
@rajabujohn3416 2 года назад
Dahh Mzee mpambanaji kutoka kua polisi had bodaboda🙏🙏🙏🙏
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojal
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 года назад
Huyu anamgandisha mtu kabisaaa,kamera hizi ndo maana anazungusha maneno ila anampindisha mtu huyu....
@joycekimaro6685
@joycekimaro6685 2 года назад
Eti wanakuibia simu January Alaaaaahhhhhh🤔🤔 ungetakiwa uwape siku 1
@jacklinegabriel8093
@jacklinegabriel8093 2 года назад
Asiyefunzwa namamaye atafunzwa na mzee Mohammed
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃💃💃💃
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 года назад
😆😆😆😆😆😆😆
@rahmaramadhani3470
@rahmaramadhani3470 2 года назад
😅😅😅😅😅
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sameermilo4907
@sameermilo4907 2 года назад
Huyo mwizi ashukuru kamuibia mtu mpole na mwenye imani, Ingekua mimi ningelishamtwanga Halbadir 7 mfululizo .
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
😂😂😂😂😂
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 года назад
🤣🤣🤣
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 2 года назад
🤣🤣🤣🤪🤪
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 2 года назад
Hiyo pesa ta Albadiri ungekuwa ushanunua nyingine
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
Astaghfirullah laadwim 😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Mfunze adabu huy mwizi iwe mfano kwa wenzio
@yussufamour6567
@yussufamour6567 2 года назад
Muuombe m.mungu ili iwe funzo
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 2 года назад
Hahaaa waizi nyie mtakoma 2022
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 года назад
Mmmmh hii ni hatari wengine huwa tunasamehe tu Dunia tunapita
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 года назад
Aliepo sema tu kazaliwa makumduchi tu nimenyoosha mikono👐nimeshapata matukio yao na jirani zetu
@aminaally8475
@aminaally8475 2 года назад
Mmmhhh mmakunduchi nowma sana 🖐️🖐️🖐️
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
Salam zangu kutoka USA marekani zanzibar home people together
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад
Mletee simu babu yako
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
@@ruwaidaal-ismaily9099 simu many 👍
@rosemarymathius2258
@rosemarymathius2258 2 года назад
Mie mwenyewe niliibiwa infinix hot 9 Sina hamu na vibaka jamani 😥😥😥😥
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Polee dear
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
Kuna watu wanaibiwa simu na risiti wanazo na boxi za simu zenye namba wanazo wanashtaki polisi lakini polisi hawawezi kuzipata hizo simu pamoja na kuwepo na vielelezo vyote vya hizo simu yaani simu ikiibiwa ndiyo imekwenda hairudi
@georgenkanawa7156
@georgenkanawa7156 2 года назад
Siku zimepita nini kinaendelea huko😥😅😅
@raheemahamees6410
@raheemahamees6410 2 года назад
Towa namba zako
@rajabujohn3416
@rajabujohn3416 2 года назад
Atali sana
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 года назад
Mh dunia hiii MUACHIE MUNGU INAUMA SHUKURU ALHAMDULILLAH
@fettyabiola1389
@fettyabiola1389 2 года назад
Mbona mumefanana😁😁
@sameermilo4907
@sameermilo4907 2 года назад
Usiku wa Alkhamis kuamkia ijumaa kuna siri kubwa hapa kwa wanojua . اللهم صل وسلم وبارك عليه
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 2 года назад
Acha bidaa
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 2 года назад
Acha bidaa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
@@unjuusalvatory5331 😅😂😂😂
@sameermilo4907
@sameermilo4907 2 года назад
Pole kwa upungufu wa ufahamu . Wahabi mbovu
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
@@kassimrajabu7805 AKHUI Qaasim naona kila maeneo upo 😂😂😂
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад
Halbadir mbaya sana kuna siku kuliibiwa ndizi ikasomwa hiyo mpaka mbebaji kaenda punda kaenda usiombe ikukute
@raheemahamees6410
@raheemahamees6410 2 года назад
Baba towa namba Zako
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 года назад
Baba nitakutafuta nikijaliwa uhai kuna watu 2 nawadai pesa zangu za halali 😭😭😭wananisumbua sn na cdhn km watanilipa kwa hiyo nisha amua km dhambi tutajuana kesho akhera 😭😭
@fatimahahmadlamar1241
@fatimahahmadlamar1241 2 года назад
Mmmmmmhhhhhh!!!!!
@tunzatunza2746
@tunzatunza2746 2 года назад
Namimi ningepata namba yake ningewashughulikia ninaowadai
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 2 года назад
mimi kuna nimedhulumiwa shs laki 411000 na watu watatu, mwaka wa tatu huu, nimeona nimuachie mungu tu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
@@khadijamisayo7476 zako ndogo sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Ukipta namba zake namm unip Kuna watu Wana kusud sana na pesa za wenzao
@hashimali7925
@hashimali7925 2 года назад
We msamehee tu
@raheemahamees6410
@raheemahamees6410 2 года назад
Umesema unakaa Mkowa gn. Nikutafute Nije. Huko Kwako
@fadymoses4994
@fadymoses4994 2 года назад
Mbona sku nyingi ivyo🤣🤣🤣
@ernestjames1766
@ernestjames1766 Год назад
huyo Hana kityu anawatisha tyuu Ili wailidishee ninayo mm anifatee xx
@tabynas4485
@tabynas4485 2 года назад
Nasiirudishi....
@mwadinikibata7086
@mwadinikibata7086 2 года назад
Daa siku zani
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 года назад
Jamani heshima yk ndiyo nn vijana aacheni usanii
@jamalrichmond2892
@jamalrichmond2892 2 года назад
Aache ujinga simu haijaibiwa kaipoteza na kila mtu anapoteza vitu vingi tu fanya kazi nunua nyingine maisha yaendelee ila uwe makini siku nyingine
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 2 года назад
Kama kapoteza alookota wajibu amtafute mwenyewe. Lazima zimo namba za mtu wa karibu angepiga na angemoata au asingezima simu hata wiki kwani alopotezq lazima ataipiga
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 2 года назад
Aliyedhulumiwa hata kama kafiei Dua yake iogope Kwa sababu hairudi
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 Год назад
Ww utakuwa mwizi
@samuelmabusio2813
@samuelmabusio2813 2 года назад
weka number yako hapo tukuchangie simu.
@enockrwehumbiza3555
@enockrwehumbiza3555 2 года назад
2weeks zimepita vipi uko?
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 года назад
Vipi tena. Jamaa cm yake karejeshewa?
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 года назад
Hii inaitwa wahun sio watu wazur
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Mbona mnafanana mtangazaj na huyo. Mzeee, ila alieiba arudishe jaman oooh atajamba moshi wakat Ali Kuni 🤣🤣🤣😊😊😂
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Год назад
Mikwala hiyo
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 2 года назад
Kabisa akiomba dua usiku wamanane inajibu
@dicksonmadauda9871
@dicksonmadauda9871 2 года назад
Kimeumana
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Leo tarehe 17
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 года назад
How do you still a phone, I thought all phones have location capability. You log in any device and will locate where it is. Hii mpya kwangu. And providers have the capability to know where you are and where the phone is.
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 года назад
Steal *
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 2 года назад
bit la ngomani
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Nimeibiwa mume nipe conection niwafundishe adabu🙈🙈🙃🙃
@rukaiyaahmadsuleiman3951
@rukaiyaahmadsuleiman3951 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatmaabasi8312
@fatmaabasi8312 2 года назад
Mume haibiwi Bali anafanya utovu wanizamu mwenyewe au kaoa Kwa Sheria..jitasmin kwann akutoke
@kamobcooler1077
@kamobcooler1077 2 года назад
😋Huna maajabu ndani, kukimbiwa dakika 0' "hujui kupika, Kiuno gogo 😜,ubishi na NK.
@lailajuma1018
@lailajuma1018 2 года назад
Umenigusa
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 года назад
Mzee,cm yako nimeiba mimi na siirudishi,na nipo mtaan ss hv natafuta mteja,
@yassiniyassini6180
@yassiniyassini6180 2 года назад
Shauri yako
@bintnouh4483
@bintnouh4483 2 года назад
Huyu mzee anatabasam Nimemuogopa
@matildakejo7785
@matildakejo7785 2 года назад
Ss kaibiwa simu lakini anapigiwa simu na anatumiwa message duuh
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Mmmh
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 2 года назад
Kuna watu wana simu zaidi ya moja , labda ana kitochi
@ayoubpapiy4712
@ayoubpapiy4712 2 года назад
Weee" mzee utaangamiza jamaayako mwenyewe ndiye alioiba simu.
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 года назад
😝😝
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 2 года назад
Hebu amtake Allah msamaha hyo simu tuu ikufanye hta wasio kuwepo wadhuurike hla eti kaanza na jina la Allah uislamu gni huo
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
Astagfirullah laadwim 😳 unaongea tuu kwasababu hayajakukuta hilo ni jasho lake acha achukuwe hatua yoyote ile ili haki yake irudi,msikitini kwenyewe wakiimba vitu vya msikiti wanatoa tangazo aloiba arudishe ndani ya siku tatu kabla ya kufanya dua,vip yeye asiseme wallaaaaa 😠
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 года назад
Unajua cm aliitumiaje? au ndo wewe umekwapua unataka apotezee ili uwe na amani??
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 года назад
@@saimonijonas4356 😂 Astaghfirullah laadhwim
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Muache awakomeshe tuu
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Kamnunulie nyingine
@JohnJohn-gm7yb
@JohnJohn-gm7yb 2 года назад
Piga jini tu hao b
@mikidadiligogi4311
@mikidadiligogi4311 2 года назад
Sema ayo tv utuletei mlejesho
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Nasoma koment 🤣🤣🤣
@wazirimohammed9207
@wazirimohammed9207 2 года назад
Huyo mwizi ashukuru kamuibia huyu mzee ambayo Hana noma kivile
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 года назад
Alieiba alalbadiri siku 14
@ahmedmohd9132
@ahmedmohd9132 2 года назад
Huyu mzee hatari
@oliversimpliskimariokimari3510
@oliversimpliskimariokimari3510 2 года назад
Utupe mrejesho tafadhali
@yazidutumbo1581
@yazidutumbo1581 2 года назад
Infinix pop 5 ndo simu gan mbona anatuchanganya????? Pop 5 ni tecno jaman au kaibiwa simu mbili???
@allysuleiman6022
@allysuleiman6022 2 года назад
Kwani wew ndio uliiba wabongo nanyinyi mmmhhh mmenishinda tabia
@yazidutumbo1581
@yazidutumbo1581 2 года назад
@@allysuleiman6022 kaka pop 5 ni tecno sasa yeye anasema ameibiwa simu aina ya infinix pop 5 na wakat infinix hawana simu inayoitwa pop 5
@happynelson1136
@happynelson1136 2 года назад
Aliibiwa simu mbili moja aliibiwa akiwa nje na wahuni halafu moja kaibiwa nyumbani au
@jamessichimata36
@jamessichimata36 2 года назад
Huyu mzee anaonekana hana wasiwasi (anatabasam)
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 года назад
Anajua kitu kizito kitakachompiga aliyeimba iyo simu atatambaa mbapa Zanzibar ata kama yuko bara 🤣🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Alie iba arudishe sasa
@jayjay4313
@jayjay4313 2 года назад
Unaweza lusikia na mwenye komenti hii nae namuhitaji nimuone. Ohoooo🤣
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 года назад
Acha mikwara!! ninayo na siirudishi.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 года назад
Loh unajisikia ujinga
@credo7837
@credo7837 2 года назад
@@aishaarusha894 😂😂😂😂
@joharijohn7005
@joharijohn7005 2 года назад
Sasa kuibiwa Simi ndo umuue mtu jamani tena umetumia mwaka mzima
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 2 года назад
Wapi kasema anataka kuua
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 года назад
Lakini ni yake
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 года назад
Ni yake
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 2 года назад
Uzembe wake mwenyewe tukio la kwaza linafanana na tukio la pil,, hayuko makin na hizo simu
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 2 года назад
Uzembe gani mzee kwani we hujui zenji kila kitu ndo hivyo😃
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 2 года назад
@@aminmohammed4249 mskize vizuri utaelewa ninacho maanisha"
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Kwhy km mzembe ndo wamuibie?!
@vero57
@vero57 2 года назад
Uliza watu unao kaanao kwanza, kabla huja amua unacho taka kuamua.
@salumkhamis5468
@salumkhamis5468 2 года назад
Karogwa mtu hahahah
@kitalambobabloja8742
@kitalambobabloja8742 2 года назад
Mkwara uwo
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
Jmn koment zinachekesha🤣🤣🤣da
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 года назад
I meant steal a phone
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
Siregeshi
@seifalkan_tanzania3986
@seifalkan_tanzania3986 2 года назад
Mzee heshima yako ndio nini...!!! sema shikamoo Mzee.
@Burner_Acc
@Burner_Acc 2 года назад
Wanaoamini kwamba huu upuuzi unafanya kazi nao ni wapuuzi. Ingekua hivyo wizi ungeisha duniani.
@mwanakijana31
@mwanakijana31 2 года назад
Akifanya jambo lake tuone huyo aloiba lmkuta nini maana jeuri
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
🤣🤣🤣We unatak Kuona atakuaje eee
@mwanakijana31
@mwanakijana31 2 года назад
@@aminatanzanya7475 yaaah an likimpata la kumpata watuonyeshe kawaje
@zainabboss5619
@zainabboss5619 2 года назад
Naomba namba yahuyo mzee
@mwanakijana31
@mwanakijana31 2 года назад
@@zainabboss5619 ukiskiiza hapo anaitaja
@zainabboss5619
@zainabboss5619 2 года назад
Nimesiliza ndio maana nahitaji namba zahuyo alie ibiwa sim kwasabu hata mimi nimezumiwa pesa namimi nahitaji kuwakomesha
@mcubic434
@mcubic434 2 года назад
😂😂😂🤣🤣
@dumelatembo6802
@dumelatembo6802 2 года назад
USIKU ALKHAMIS KUAMKIA IJUMAA ? WAISLAM NAOMBA MNISADIE HILI?
@mariammmbaga976
@mariammmbaga976 2 года назад
Usaidiwe nn?
@samuelmabusio2813
@samuelmabusio2813 2 года назад
This number can be used by the police to locate your lost or misplaced cell phone. Even with a different SIM, the moment a call is made, the IMEI number helps police to track your phone to the exact or nearby cell phone tower.Go to the police station and report this case and you will be asisted
@peter_plumbingservice9856
@peter_plumbingservice9856 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 года назад
Bor ufanye fundisho mzee wezi wamezoea fanya fundisho
@fadymoses4994
@fadymoses4994 2 года назад
Mbona sku nyingi ivyo🤣🤣🤣
Далее