Тёмный
No video :(

MZEE MAGOMA ENG.HERSI KATIBA HAIMTAMBUI/AFUNGUKA SABABU YA KUISHTAKI BODI YA WADHAMIN/YANGA INAIBIWA 

JEMBESPORTS
Подписаться 90 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@jimmyernest1727
@jimmyernest1727 Месяц назад
mzeee magoma upo vizuri sana...
@ramadhaniikona6461
@ramadhaniikona6461 Месяц назад
Magoma moambanaji yangu enzi za mzee mzimba yanga kampuni na yanga asili anapigania haki
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Месяц назад
Alhajj magoma anamwqga mboga huku
@ramadhaniikona6461
@ramadhaniikona6461 Месяц назад
Siku hizi wamezuka yanga oyaoya hawaijui yanga wanamuona msaliti
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Месяц назад
Mwenye yanga yake huyo sasa,anatokea mtoto mmoja kazaliwq miaka ya 90, anasema magona hana anachokijua
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Месяц назад
Uyu mzee yuko smart na ana uelewa wa mpira na matumiz ya fedha.mwamba anajua yanga wanaibiwa .
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Месяц назад
Mzee wakikugusa wasomee kisomo cha kurujuani atake husika atake panga atake fikiria kukudhuruu wote safarii
@Davidthestardavidthestar
@Davidthestardavidthestar Месяц назад
huyu mzee guneus sana 🎉🎉
@saidmansoury1526
@saidmansoury1526 Месяц назад
Magoma yuko sawa ana hoja ya msingi ajibiwe watu wanapiga wanatuzuga na ushindi tu tunapingwa tuamke tuache ushabiki maandazi
@AmosKayega
@AmosKayega Месяц назад
Huyo mzee mtakuja kumkumbuka huyo mzee magoma Yuko sahihi acheni kuwa vipofu Wana yanga kwajili ya kuchukuwa makombe inapigwa pesa kweli tumieni akili sana
@mariamwaisaka8748
@mariamwaisaka8748 Месяц назад
Nilicho gundua vijana sisi akili hatuna …. Tunawaza tu team imeshindaaaa hatuangalii future ya team 😢😢😢
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Месяц назад
Hebu msikilizeni vizuri huyu Mzee nyie yanga .sio kuhemuka tu hapo yanga panamambo hapo mkienda ovyo hata kufungiwa Mzee anapointi sana
@yungsuru1796
@yungsuru1796 Месяц назад
kumbe nawe akili huna
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn Месяц назад
@@yungsuru1796 wewe unazo ? inaelekea wewe ziro kabisa
@titobernard383
@titobernard383 Месяц назад
Hana point yeyote wala hoja
@titobernard383
@titobernard383 Месяц назад
@@yungsuru1796😂😂😂😂
@SilvesterKazimoto-yk7hp
@SilvesterKazimoto-yk7hp Месяц назад
Wewe Mzee unalako jambo umwogope mungu
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Месяц назад
Kaongea ukweli na uyu ndo mwana yanga halis
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike Месяц назад
Nilichokigundua ni kwamba huyu mzee anataka gawio la pesa
@issaabdi9129
@issaabdi9129 10 дней назад
Klub ya mjomba wako. Maana wanachama wa yanga wako krb alfu 30.sasa wote wakija utawaweka wapi? Hata nchi hii inawakilishwa mfumo wa wabunge wanatuwakilisha millioni 70
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 Месяц назад
Haaaahhh mzee MAGOMA mzee wa pangani Atasoma Ahalulibadir Duhhh Ubayaaa ubwelaaa 😅
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Месяц назад
Kama yanga hawafuti utaratibu wawa zee wao bas nyie wazee fanyeni mtakalo😅😅
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike Месяц назад
Mfano kukiwa na wanachama milioni wote wahudhurie mikutano?
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Месяц назад
Mzee anaongea utasema tim ni yake😅😅😅
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 Месяц назад
MZEE YUKO OK KBS ANA POINTS NA NDIO MAANA AMESHINDA KESI . MSIKILIZENI KWA MAKINI MTAMUELEWA
@yonasumbi7567
@yonasumbi7567 Месяц назад
Elimu elimu elimu
@salumuomari6069
@salumuomari6069 Месяц назад
Timu imevamiwa na wajanja
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 Месяц назад
mzee uko shallow mno.....ndo maana umefoji saini za wadhamii
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Месяц назад
Inawezekana Magoma na Mwezake wametowa hongo mahakamani ili wasikilizwe wao tu na itolewe maamuzi bila viongozi wa Yanga kusikilizwa na kutolewa maamuzi ni hivyo. Swali huyo Magoma ni mwanacha na kadi yake anailipiya ?
@issambassa5901
@issambassa5901 Месяц назад
GSM NA HERSI WATUACHIE TIMU YETU TUTACHANGA WENYEWE UENDESHAJI WA TIMU…..
Далее
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 461 тыс.
ALI KAMWE AMCHARUA SIMBA SC KISA FEI TOTO
11:08
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 461 тыс.