Тёмный

MZEE MASATU: WENDA MO SIO SIMBA!! | SIZUNGUMZI HADI SIMBA DAY | WASAMBARATISHE UONGOZI 

wispoti tv
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 4 месяца назад
Hata Yanga hawakupendi Mzee ongelea team yako😂,,yaan hapo Bado mpaka msemee💚💛🙏🏿
@arnoldrwegoshora449
@arnoldrwegoshora449 4 месяца назад
Huyu mzee na mzee said nawapenda sana licha ya kwmb wote mashabiki wa Kitimoto FC😂😂😂
@petermanala6138
@petermanala6138 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 4 месяца назад
Kweli masatu.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 месяца назад
Mzee Masatu umeongea ukwer viongoz wanashida sana sijui wanatuchukulieje sisi wanasimba
@laurentnazary5624
@laurentnazary5624 4 месяца назад
Mzee masatu Simba haipangwi vizuri uwanjani. Mfano foard yetu 8 Mpe Kapombe7Kibu 9Fred 10 babakari 11 Chama.Pale mbele fanya jihadi. Nyuma weka 6 Shemaron 5 Inonga 4 Kenedy 2 Israel 3 Husen
@RomaJorojick
@RomaJorojick 3 месяца назад
Apishe
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 4 месяца назад
Uko sawa kwa sababu wanaongelea kufurahishwa na matokeo kama vile wameshinda
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 4 месяца назад
Mzee saidi una Akili sana Mo yuko lwa maslahi anatoa pesa na analenga kupata pesa zaidi. Pesa kidogo anazotoa kwa ajili ya usajili ameweka kama mtego tu au uchonganishi pesa kidogo inakwenda kwenye usajili na nyingine watu wanatia ndani na mwisho wa siku wenyewe mtamuomba arudi na akirudi atarudi kwa masharti masharti yenyewe asiulizwe ili apate kula vizuri.
@user-ri2cr2zp4o
@user-ri2cr2zp4o 4 месяца назад
sana mzee masatu unaongea vizuri sana hadi saizi tunaumwa kwaajili ya kuipenda simba hata ww masatu jitaidi kama itawezekana uweze kuonana naye kwaajili ya ushauri
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 4 месяца назад
Asante Mzee hii changamoto ya fitna kubwa Sana aibu haija wahi tokea Inshallah Boss MO awachomoe wake na wanasimba tubadilishe wetu hiyo ndio jawabu mollah anajua kadhiaa hii tunayo pata😅
@victorernest7702
@victorernest7702 4 месяца назад
Manzoki yeye anasemaje kwan?😂😂😂
@mwanangusana
@mwanangusana 4 месяца назад
Wamchukue na mayele wakasaidiane ......
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 4 месяца назад
Kabisa Somo tunge pigwa 10 ili tupate fundisho mwakani usajili uwe bora Inakera
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 4 месяца назад
Jikaze mzee
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 4 месяца назад
Kam awachukui ayo twende namawe tu kuwapiga au tukawachomee ndani
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 4 месяца назад
MO Mjanja alikuwa anatoa hongo kwa wachezaji na merefa
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 4 месяца назад
Kama ni kweli Mangungu kuja Simba Sc katokea Pan Afrika fc ambalo ni tawi la yanga basi watu wamedhamiria kuiua Simba Sc kabisa.
@petermanala6138
@petermanala6138 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hackileo
@hackileo 4 месяца назад
Bado hamjasema mpka mseme
@nuruosward8161
@nuruosward8161 4 месяца назад
Wajiudhuru jmn kwann hawatuelew watuachie timu yetu sisi wanaharibu timu hawana hata habar na malalamiko yetu jmn huzun kweli😢
@amaniandrew534
@amaniandrew534 4 месяца назад
Ww masatu yanga utaipendaje wakati ww ni simba,ongelea simba yako yanga haikuhusu
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 4 месяца назад
Ona huu ng'ombe ya njano na kijani🚮
@MussaMarwa-z3n
@MussaMarwa-z3n 4 месяца назад
Jamani tuletew kati
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 4 месяца назад
Yaani wazee nyie tunawaheshimu, ifike mahali msiwe mnaongea shombo, maana vipigo tulivyowapiga ni MINYAMA NJE MINYAMA NDANI...!
@user-to9xw2mc9m
@user-to9xw2mc9m 4 месяца назад
Sisi tumefulai yanga nbili tosha
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct 4 месяца назад
Amedy alli anapapana sana mo ivi unaona haya kweli mashabiki tuna lalamika huoni
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 4 месяца назад
Yan mnateseka,lkn hamjapitia kipindi cha Bakuli km Yanga
@user-ir4fk4cs7k
@user-ir4fk4cs7k 4 месяца назад
Kamiulizee mama yakoo
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 4 месяца назад
Hawazidi wawili madunduka wenye kuelewa
@mussastephano4938
@mussastephano4938 4 месяца назад
nyie simba wahuni sana mnazima simu.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 4 месяца назад
Mo sio mpenzi wa Simba anatafuta umaarufu tu. Alishasema anapata hasara hawezi kuweka pesa wakati anapata hasara. Arudishe timu kwa wanachama akafadhili cricketi.
@gtvonlinemdee7001
@gtvonlinemdee7001 4 месяца назад
Nilichogundua bado mashabiki wa simba hawajajua tatizo ni nn... tatizo ni mifumo ya uendeshaji wa club...hata nchi hii matatizo mengi yanatokea kutokana na mifumo iliyopo
@buzaglomichael4339
@buzaglomichael4339 4 месяца назад
Sasa Man U wafanyeje, kama nyinyi mnalia hivi
@user-ct4jp1ux1z
@user-ct4jp1ux1z 4 месяца назад
Huipendi yanga, kwani umesikia yanga wanakupenda ww, hatukupendi kabisa.achana na Yanga yetu Chuki zaki ndio zinakutafuna!
@mussastephano4938
@mussastephano4938 4 месяца назад
niwape pole, ili mnusuruke na ubeberu huo, mtuombee yanga msimu ujao tuwapige simba 10-0 nje na 0-10 ndani.
@josephjila957
@josephjila957 4 месяца назад
Nadhani ifike viongozi wa simba wajitadhini kama wanafaa!!
@Stephano722
@Stephano722 4 месяца назад
Dugu mtan🎉😅😊 I'llgazaji wandishi wa habalim😂tusaidie kina😂cho
@mussastephano4938
@mussastephano4938 4 месяца назад
Dunduka lenye hekima na Busara.
@arnoldrwegoshora449
@arnoldrwegoshora449 4 месяца назад
Asa MO akuhurumie kvp wakat sasa hv unaambiwa MO extra energy ndo bidhaa inayouzwa sana. Kila sehem mna matangazo yake. Awahurumie kwa lipi..??? Muindi hana huruma, kikubwa pesa. Msiposhtuka mtapotea. Shauri yenu, akina Try again na Mangungu mambo kwao swafi kabsa
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 месяца назад
Huwapendi ndo mafundi,nyinyi mtabaki bla bla tu😂😂😂 mko mabinafsi
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk 4 месяца назад
Yaani Mo ninaemjua mim eti atoloke peper marekani aje kuangalia smba na mashujaa THUBUTU
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 4 месяца назад
Ndugu mtangazaji hebu mwambiye huyo mzee asiweke simu kwenye mapigo ya moyo ni hatari aiweke mfuko wa suruali tafadhari sana
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 месяца назад
Hawezi akakubali atakwambia wewe ni Yanga. Hawa kwa sasa hawako sawa hata uaingizi hawalali Mzaramo ndio kabisaaaa
@user-mx9bt2mj2l
@user-mx9bt2mj2l 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@petermanala6138
@petermanala6138 4 месяца назад
​@@BrunoNamanga🤣🤣🤣🤣🤣✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 месяца назад
​@Brun😂😂😂oNamanga
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад
MO Mangungo Tray again wote wapigaji ndiomaana wakodi police kukamata mashabik Gb 64
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 4 месяца назад
Mangungu mnamuonea tu hapo yeye hana kauli yupo kama boya tu
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 4 месяца назад
Uongozi.na.wachezaji.sio
@mussastephano4938
@mussastephano4938 4 месяца назад
Mo akiondoka Benchika anaondoka??? timu apewe kibadeni.
@AthumanKingu
@AthumanKingu 4 месяца назад
Mzee wapende tuu usiye mpendwa kaka hamna namna😂
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 4 месяца назад
Huu usenge wenu wa kuweka matokeo feki kishabiki 7-2 ni uchoko acheni kufwira
@ramadhanidaudi5878
@ramadhanidaudi5878 4 месяца назад
acha matus we bangi lako pekeka bugurun uko we ushafilwa mara ngapi? hi sio vita mshamba wee au matako yanakuwasha?
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 4 месяца назад
@@ramadhanidaudi5878 nitolee usenge na wewe unaona raha kuchafua nembo ya Simba na hao wanahabari wako uchwara
@ramadhanidaudi5878
@ramadhanidaudi5878 4 месяца назад
sasa serikal itatusaidiaje wakat serikal ni adui wa simba? simba ikeshiliki kimataifa mara 5 rimbo fainal iyo serikal unayo sema imetusapot nn? uto mangungu mwenyewe kirus kutoka ukouko ccm, simba inanaadui wengi, raisi mwenyewe yanga utakimbilia wap?
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 4 месяца назад
Mo.ni.simba.damu
@petermanala6138
@petermanala6138 4 месяца назад
😂😂😂😂Simba dam angeyafurahia haya😢😢😢😢
@Stephano722
@Stephano722 4 месяца назад
Kwa Nini matola hafukuzwi? Kunanini hapo alieda kusoma kuja kuiuwa simba? Sisi tunajua kila kitu yote kwa yote matola ajihuzuru timu Haina matatizo wengine wote mnawaonea waliomusomesha matola hawakujua Yani matola hajielewi
Далее
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 100 тыс.