Тёмный

MZEE WA GIZA_EP06 

LIKOMA
Подписаться 115 тыс.
Просмотров 169 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti Год назад
Zebuu mpenz unamtihan na uyo baba mkwe pole. Kaz nzur♥️♥️
@eligiambigi4884
@eligiambigi4884 8 месяцев назад
Kazi nzuriii sana chukuweni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mariambahati-yv5pv
@mariambahati-yv5pv Год назад
Jaman mzee likoma utaniuwa mwenzako yan nakupenda tu lakni pia nampenda zebuu❤❤❤
@chitabenson2897
@chitabenson2897 Год назад
First comment from kenya twawapenda sana ❤❤❤ kama we n mkenya mwenzangu ngonga like
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x Год назад
❤❤❤❤wakenya tupo tele kama mtele
@bintisaidmwaganjoni5207
@bintisaidmwaganjoni5207 Год назад
mzee likoma uko juu nimecheka ila leo umeshikwa😂😂haya nawapenda sna nyote ❤❤❤
@wawinasuzan
@wawinasuzan Год назад
Mmesema leo hatutamuona kp sawa tu namsubiria suraji😂😂😂baba sura ya kazi iko kitengo umekipatia suraji salute kwako❤❤❤
@MosesObuya-zg6ug
@MosesObuya-zg6ug Год назад
Uko sawa napenda kazi zako
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un Год назад
Likoma leo amepatikana na mchepuko😂😂😂😂
@NuruWhite-k3i
@NuruWhite-k3i Год назад
Nakukubali san kp god blessed uzd kutuletea vgongo vkali ❤
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Год назад
Mzee likomwe leo umepatikan😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤zebu hebu mpe makof km matatu aki imkae Sawa huyo mzee jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh Год назад
Aaaaa weuweeee nipo ndani kama mimba wap like zangu ❤❤❤❤❤❤❤😂
@bibiswalehemwanyere5493
@bibiswalehemwanyere5493 Год назад
Nimewahi leo wapenzi wangu, Tugonge likes Wadau wenzngu❤
@Hekimagospelupendo
@Hekimagospelupendo 11 месяцев назад
Maajabu
@Hekimagospelupendo
@Hekimagospelupendo 11 месяцев назад
Maajabu
@Chidibenz-kj1pf
@Chidibenz-kj1pf 3 месяца назад
Mvi zakutombana 1:57
@Chidibenz-kj1pf
@Chidibenz-kj1pf 3 месяца назад
2:06 you
@MariamuKulumba
@MariamuKulumba Год назад
We Sheila jamani kila siku we nimnafiki wa zebuu acha ivyo bwana😂😂😂😂
@IbrahimSharif-fy6xb
@IbrahimSharif-fy6xb Год назад
Yy kazi yk sheila kuja kuharibu mipango tuu ndio alichoa gwizaa hicho
@ReachelMutuku-sg1nq
@ReachelMutuku-sg1nq Год назад
Mzee likoma kwa majibu weee nakupenda bure😂😂😂😂😂😂😂
@LukimbaEster
@LukimbaEster Год назад
Mzee likoma ameingia kwenyemtego Wa diboz na Sheila 😂😂😂😂😂😮😮
@DaJoanadrzbeatz
@DaJoanadrzbeatz Год назад
Mzze likoma Mimi na Taka namba sanko
@ChristianRugenge-kd1xh
@ChristianRugenge-kd1xh Год назад
Like kwa likoma jamani mbavu zangu zina uma Sana naku Cheka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@leecy016
@leecy016 Год назад
Sheila jamani haujawai kuwa na moyo mzuri hata 😂😂😂😂 Sema hicho kitengo unakiweza😮
@Marimu-if2zk
@Marimu-if2zk Год назад
Mzee likoma umeamua kumfanyia zebuu aonekani nuksi Kwa mumewe kisa Ni maneno ya Sheila,,,ujue kitakuramba mwenyewe kma ile keki ya birthday 🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna vitu najifunza Mimi Kwa hizi muvi zenu nawapenda ♥️ nyote team mafunzo na parti ya Leo sikuona KP ama haja Rudi kutoka kazini🤔🤔🤔 love you guys 💋💋💋💋 Kenya tuko Bamba tu Bamba na nyinyi
@rosemaryhamis3529
@rosemaryhamis3529 Год назад
Kabisa kunavyakujifunza.
@xvany_tz2837
@xvany_tz2837 Год назад
😊🙏
@Marimu-if2zk
@Marimu-if2zk Год назад
Sana tuu
@Josephinejosephine-gc1fk
@Josephinejosephine-gc1fk Год назад
😂😂😂😂likoma m baya ww mmm jmni packet yote ya chumvi mmm likoma usiwe ivyo
@halimamohammedsuleiman5159
@halimamohammedsuleiman5159 Год назад
😂😂😂😂😂mzee likoma umenaswa
@fatumaandrea247
@fatumaandrea247 Год назад
Hahahaha mungu akusaidie uepuke kikombe icho😂😂😂
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 Год назад
Woooiiii ndo mana cpendag mashoga mie😂😂 ata kumuonesha mpnz wng ctk yalinikuta shoga wngn s shoga😂😂😂
@aishaaisha2224
@aishaaisha2224 Год назад
🤣🤣🤣zamwizi 39 ikifika 40 ukamatwa likoma umekamatwa🤣🤣🤣👌
@Andrewnchenge-il7ij
@Andrewnchenge-il7ij Год назад
Hahahahahaah! Nmecheka hadi wakuu wangu kazin wamenzengua, likoma anasema "huu ni mtego ulionona"
@kiswaswadu2132
@kiswaswadu2132 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂likoma leo kashikwa natamani zebuu ungekuwa nakamura hapo kp antenatal ushahidi tosha❤
@ZoazinaJohn
@ZoazinaJohn Год назад
Duuuuuuuh we kazee weweee 😅hiyo michumvi ndio unataka ZEBUU afukuzwe kwa kosa hiloooo😂 haya bhana mi kuwapenda tu ndio kitu najuaga❤❤❤❤
@MrsThabeet
@MrsThabeet Год назад
Mzee likoma jaman 😂utapotea kama mbosso ww❤
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Год назад
😂😂😂😂😂😂daaaah mbavu zang jmn mzee likoma ww
@EsterMwalongo-er1wq
@EsterMwalongo-er1wq Год назад
😂😂😂😂kasheila kuigiza loho mbaya kana penda sikapendi mimi
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 Год назад
Kazi nzur mashaallah
@janetymwakupha4784
@janetymwakupha4784 Год назад
Wow nzuri sana 👑❤❤❤💯💯💯💯
@Meshack-s6g
@Meshack-s6g Год назад
Ongereni sana
@RashidMfaume-e6t
@RashidMfaume-e6t Год назад
Mzee likoma kiboko jamani😂😂
@GloriaNduku-mw2jk
@GloriaNduku-mw2jk Год назад
Likoma hiko kikombe ulikinunua mwenyewe sasa uwezi kiepua kwann unaambia Mungu akusaidie🤣🤣🤣🤣but nimeipenda sana
@deboraayo931
@deboraayo931 Год назад
😂😂😂 zebuu akikisha huyo bab mkwe anakula Hy chakula yote Kwan yey ndio ameweka chunvi yote😅😅😅
@AshaMbeyu
@AshaMbeyu Год назад
Mzee likoma mtaka yote hukosa yote 😂😂❤❤❤
@gladysriziki2442
@gladysriziki2442 Год назад
Jamani mzee Likoma ntumie hela ya dawa nmecheka mpaka naumwa😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@catherinesanka
@catherinesanka Год назад
Sheila Kila muv unaroho mby tu jomon nawapenda sana
@issajuma1948
@issajuma1948 Год назад
Sheila hajawahi kuwa na roho nzuri😮😮😮
@IbrahimSharif-fy6xb
@IbrahimSharif-fy6xb Год назад
Ilo kwelii hta ktk ule mchezo wa wamangush alkuwa antk amuuwe zebuu sema hjfanikiwa
@BiisheBugao
@BiisheBugao Год назад
Sheila acha unafiki wako mie kumuombea zebuu wakati roho yako n mbaya siku zote
@florencemalingu2076
@florencemalingu2076 Год назад
Likoma na dimbozi jamani wanachekesha sana
@sergesnshimirimana6049
@sergesnshimirimana6049 Год назад
Zébu ufupi unazi 😂😂😂likoma Acha 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tu pamoja
@philohmutua2968
@philohmutua2968 Год назад
Weww sheila na likoma hamuezi zebb
@Daestoto
@Daestoto Год назад
Zebuu yani mara hii umepatikana kwa mzee likoma
@Mildah-t7v
@Mildah-t7v Год назад
Duuh mzee likoma jamani haya umedakwa leo twendeleeni jamani🤣🤣🤣
@SenioroggyKE
@SenioroggyKE Год назад
Wapi likes zangu jamen
@Amal-iq1wg
@Amal-iq1wg Год назад
Kime kurambaa likomaa leoooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@minahsamwel
@minahsamwel Год назад
😂😂😂😂ila mzeee likoma bhan
@Thepoulfamily
@Thepoulfamily Год назад
Sheila Sheila akuna siku utakua mzuri jamani 😂😂😂😂 na napenda dreads zako aki ❤#kenyankslove
@AsuntaZubel
@AsuntaZubel Год назад
Mzee likoma Leo umeumbuka😂😂😂😂
@allymtalika9839
@allymtalika9839 Год назад
kiukweli mzee likoma natamani nione episode zote, mi nakupa mauwa yako
@MalkiaMlusi
@MalkiaMlusi Год назад
Sheila hajawai kunoga😂😂
@حليمهالبلوشي-ز5ث
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ mzee likoma kimemkuta
@dollar105
@dollar105 Год назад
😂😂😂we kazee na kukula 😢Leo umewahiwa
@EstellaNshimirimana-up9jo
@EstellaNshimirimana-up9jo Год назад
Weeee mzeee weee!!!iyo chumvi utakula pekee yako ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉,Nesi unataka sugar daddy!!!
@omorakerakemmyofficail254
@omorakerakemmyofficail254 Год назад
Mzee likoma Leo umepatu😂😂😂😂😂😂😂❤❤
@YvoneKagonya
@YvoneKagonya Год назад
Mzee likoma aki ww nmecheka sana leo 😂😂😂😂😂
@DenniskMwita
@DenniskMwita 11 месяцев назад
Noma xana yaani 😅😅😅😅😅😅 hadi nimechoka jamani mnanimaliza
@mwanamisikadongo8596
@mwanamisikadongo8596 Год назад
Mtego ulio nona 😂😂😂😂
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 Год назад
😂😂😂 et natafutwa😂
@Aishajafari23
@Aishajafari23 Год назад
Hii imeendaa🎉
@MohdSlemani23
@MohdSlemani23 10 месяцев назад
Mzee likoma umetisha vibaya Sana❤
@nzyokikitonyo2760
@nzyokikitonyo2760 11 месяцев назад
🤣😂😂 noma sana
@twalihamohamedi898
@twalihamohamedi898 Год назад
Hahahahahahaha leo kafimwaaaa patamu apoooo
@MagrethElikana-ew1rw
@MagrethElikana-ew1rw Год назад
Mzee likoma jaman mhurumie zebu 🤣🤣🤣🤣
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt Год назад
Tuleteeni benzema wamangushi na mzee wa giza na kaka na dada mumetuweka sana
@JamesBaraka-fy5lk
@JamesBaraka-fy5lk Год назад
Jaman likom umetisha kinoma
@renatusphilibert9252
@renatusphilibert9252 Год назад
Mzee likoma mhuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gaf9874
@gaf9874 11 месяцев назад
vulimili zebuu .likoma nmaisha na nessi.likoma bako banamudanganya.nessi nimubaya ivo bsi
@DieudonnéNtirambirwa
@DieudonnéNtirambirwa Год назад
Safi sana like zangu mi watatu
@selemansalumu-qq5ck
@selemansalumu-qq5ck Год назад
Kazi safi sana
@MwanapiliSidi
@MwanapiliSidi Год назад
Sheila WW simtu mzuri,kabisa aki
@terrymuriithi-vd8zt
@terrymuriithi-vd8zt Год назад
Number one today😂😂likoma n Mpenzi y kizee😅😅😅😅❤
@xvany_tz2837
@xvany_tz2837 Год назад
👏🙏
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 Год назад
😂😂😂😂😂wazee wanaleya
@akimanasuzane1321
@akimanasuzane1321 Год назад
Muzehe likoma mwenyewe😂😂😂
@maryammussa9735
@maryammussa9735 Год назад
Waaah!! We kazee leo umebambwa na Zebuu 😆😆🙆
@JumaAbdallah-js4br
@JumaAbdallah-js4br Год назад
Hiyo sura mbaya kama Umedondokewa Na kimondo me Hoi,, na Sheila Nae, et acha niwaishe ili komwe Nyumbn, duh!!😂😂
@nasraally4740
@nasraally4740 Год назад
Mzee likoma😂😂😂 napenda vituko vyako😂😂😂 sasa leo umefumwa sijui utamjibu nn Zebuu
@chantalnishimwe6506
@chantalnishimwe6506 Год назад
😂😂😂😂😂😂 next episode full plz
@fatumaandrea247
@fatumaandrea247 Год назад
Kumbe uyu shoga mbaya dah mmhh...😢😢😢
@MuzzamilAli-zn9le
@MuzzamilAli-zn9le Год назад
Wa kwanza leo like kwa likomaaaa
@charlesmaungu5104
@charlesmaungu5104 Год назад
Wanaofwatilia tangu mwanzo like
@ChantalMugisha-v8g
@ChantalMugisha-v8g Год назад
😂😂😂😂rikoma jamani Na mbavu zangu😮😮😮
@WistoniSiliveri
@WistoniSiliveri 6 месяцев назад
Mmepotea jaman😢
@JoyceHaule-v7t
@JoyceHaule-v7t Год назад
Hapo Mzee Likoma huchomoi
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Год назад
Ukimpata mkwe kqmq huyu ni shida mzee likoma mmhh😂😂
@Meshack-s6g
@Meshack-s6g Год назад
Likoma upo goodsana
@edithamashayo905
@edithamashayo905 Год назад
Likoma utakoma leo 😂😂😂😂😂
@nibitangarode9890
@nibitangarode9890 Год назад
Vumilia zebu.likom nimubaya na nessi.likom bako banamudanganya.nessi nimubaya sana
@lydiawaweru6391
@lydiawaweru6391 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😢😢Leo umekamtwa ukiweka chumvi ukule hyo chakula umalize
@JosephMaganga-wl3cn
@JosephMaganga-wl3cn 4 месяца назад
Ni hatar ogopa ❤❤❤❤
@Monissa1132
@Monissa1132 Год назад
😂😂😂mzee likome wanbamba
@deusleonard5304
@deusleonard5304 Год назад
Hatimae Leo amenaswa😂😂😂
@LindaRobson-qn1br
@LindaRobson-qn1br Год назад
Me likoma ananiua na hayo mawan😁😁😁😁😁
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Год назад
Mzee likoma 😢
@sanidahkaisi
@sanidahkaisi Год назад
Kwa Mara ya kwanza kuweka comment jamani mzee likoma naenjoy Sana uwepo wako🙌
@GloriaNduku-mw2jk
@GloriaNduku-mw2jk Год назад
Dimpoz ukicheza na likoma ata kutoa kwenye reli😂😂😂😂
@nabwikejelemiah7419
@nabwikejelemiah7419 Год назад
Mmmmh
@StephenKozgei
@StephenKozgei Год назад
Mzee likoma 😅😅 a e I o u😂😂😂
@HalimaAdam-v7e
@HalimaAdam-v7e Год назад
Jiongezee mzee
@sokisigrace6836
@sokisigrace6836 Год назад
Mzee likoma unamambo yaovyo sana
Далее
MZEE WA GIZA_EP07
11:11
Просмотров 177 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 84 тыс.
MZAMIAJI
10:32
Просмотров 140 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 189 тыс.
PENZI LA JINI MALAYA MWENYE UTAJIRI
11:46
Просмотров 659 тыс.
MZEE WA GIZA_EP13
13:38
Просмотров 170 тыс.
GININGI FULL /ZIGAMBA GABO/SABBY ANGLE/KORONGO
40:53
Просмотров 245 тыс.
PENZI LA KAKA |Love Story 💞DONTA TV
26:42
Просмотров 86 тыс.
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 4)
13:27
Просмотров 1,9 млн
MZEE WA GIZA_EP09
12:40
Просмотров 158 тыс.
MZEE WA GIZA_EP15
19:01
Просмотров 167 тыс.