Yani épisode hii imenipa Raha sana 👌 jaman Yani ni mecheka hadi mbavu zangu mie jamani,😀😀😀,Pia Miss Zebuu unapo jitanda Shungi unapendeza mno Na kuonekana Mrembo zaidi Na zaidi
Mpo vizuri but why mnakaa mda mrefu kutuma epsods jitaidini walau baada ya siku 3 mue mnaweka chengine mns tunyima laza oya we mzee na huyo bint mkewa mtu ❤❤❤❤❤ mna maua yenu