Тёмный

MZEE WA GIZA_EP20 

LIKOMA
Подписаться 121 тыс.
Просмотров 156 тыс.
50% 1

#mzeelikoma #mzeewagiza #kpnazebuu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 261   
@zaykham155
@zaykham155 11 месяцев назад
Yuhuuuu sijachelw san naomba like 5 😢❤tuh za mzee likoma na dibozi 🎉🎉🎉
@lydiawaweru6391
@lydiawaweru6391 11 месяцев назад
Congratulations 👏👏👏 guys KP n zebuu Mzee likoma mchawi dibos pongezi sna Sheila shulaji pongezi sna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mtotowarasta8046
@mtotowarasta8046 11 месяцев назад
Leo me ndo wakwanza nipewe like zangu mtoto wa raster kutok Kenya
@mbagee
@mbagee 11 месяцев назад
chukuwa baba congratulations
@Chebet254
@Chebet254 11 месяцев назад
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tupo kama kahawa🎉🎉
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 11 месяцев назад
Jamani nawapenda sana likoma nakukubali ❤❤❤
@nurusaid4698
@nurusaid4698 11 месяцев назад
Aki Likoma Unapendeza Sana Ukiwa Mzee Kuliko Kijanaa Love From Qatar❤❤❤❤
@aysha9932
@aysha9932 11 месяцев назад
Sema akiwa Mzee Ndo uact vzur c kua ety akiwa Mzee Ndo uapendeza 🥰😜😁
@user-ls8rn4tz5m
@user-ls8rn4tz5m 11 месяцев назад
​@@aysha9932😂😂😂😂😂
@olphanyaboke6206
@olphanyaboke6206 11 месяцев назад
Umeona hivo 😂😂😂 ana act vizuri sana
@VkCl-h4r
@VkCl-h4r 11 месяцев назад
Kikubwa house is for zebuu never disappointed 😂😂😂 nkupenda sana zebuu
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 11 месяцев назад
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
@usterbae
@usterbae 11 месяцев назад
Wakwanza good job ❤ nawapenda bure 💜 Mr likoma kiss my comment I will appreciate ❤
@LukimbaEster
@LukimbaEster 11 месяцев назад
Dada zebuu pole kwa wakati mgumu nawazee.wagiza
@richardcandidus186
@richardcandidus186 11 месяцев назад
Achelewesha sana episode zake mpaka tunasahau, movie nzuri ila inaboa tunasubiri sana kuona inayofuata changamk
@MariamuKulumba
@MariamuKulumba 11 месяцев назад
Zebuu atashinda hii vita inshallah ❤❤❤
@IsmailChikawe
@IsmailChikawe 9 месяцев назад
Nikweli anashinda ila away jamaa kwakweli wanajua
@shahrayn93
@shahrayn93 11 месяцев назад
Sheyla mnafki mshakunaku nyiee cjapata kuona lol😂😂😂shindwe kabisa pepo mbaya😮
@chrispusmutuginyabura4036
@chrispusmutuginyabura4036 11 месяцев назад
Kazi nzuriii san jamani vipenzii vyangu ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 11 месяцев назад
Zebu rafiki yangu kwenye hii Dunia inatatikiwa usimwaamini mtu yoyote hatakama ni mtu wako wa karibu. Hatakama ni ndugu yako usimwamini😊❤😮😢
@YusterKalisti
@YusterKalisti 10 месяцев назад
Kabisa saiv hakuna binadamu ni unyama tuu unafki ndo ulojaa
@IsmailChikawe
@IsmailChikawe 9 месяцев назад
Kauli yako mwamba imetisha yani said ya magufuli😅
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 ila Sheila anakela jamani 😂😂
@DanielSaid-tv7dd
@DanielSaid-tv7dd 11 месяцев назад
Mzeee likomaaa bigapu sanaaaaaaa unaweza balaaaa
@Pauline-y6t
@Pauline-y6t 11 месяцев назад
Zebuu angalia Sheila mpango wake badae usije ukalia maana jinsi yamelegezwa weee😂😂😂😂
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 11 месяцев назад
Oy nakubali san tem KP hamna kazi chafu yaani ni unyam kama wote munaupiga mwing san kwkawli
@BintmohamedNasiri
@BintmohamedNasiri 11 месяцев назад
Wakwanza leo 🎉🎉naombeni like zangu
@Rajabnyamawi
@Rajabnyamawi 11 месяцев назад
Much love ❤❤❤from Kenya 🇰🇪
@ukhtysahu-s3v
@ukhtysahu-s3v 11 месяцев назад
Shaila❤❤❤
@lightnessgoodluck8123
@lightnessgoodluck8123 11 месяцев назад
Bint wa dibozi ana rangi na sura nzurii❤❤
@MwanaidiJuma-sz1wr
@MwanaidiJuma-sz1wr 11 месяцев назад
Kila mtu wakwanza aya pia mm wakwanza jamani naomba like zangu 😂😂 i say unyama ndio mwingi nawapenda bure❤ team mzee wa giza
@LucasChuchul
@LucasChuchul 11 месяцев назад
Ila sheila jmn nakupenda bureee
@RalasimoNzero
@RalasimoNzero 11 месяцев назад
Sheria hapo nimekubali unajua kazi
@CésarMulenga-k4g
@CésarMulenga-k4g 11 месяцев назад
Nawapenda sana jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@RahmaMed-j5h
@RahmaMed-j5h 11 месяцев назад
Sheira u ni bonge moja wa hekta upo vzur mpenz
@allynimbona-dx1oo
@allynimbona-dx1oo 11 месяцев назад
Amazing😍😍
@ronyalkh
@ronyalkh 11 месяцев назад
Hongera Kwa kazi nzuri
@bukiwatzarakey5084
@bukiwatzarakey5084 11 месяцев назад
This is amazing 😻
@LovesweetThuva-qj4tb
@LovesweetThuva-qj4tb 11 месяцев назад
Likoma eti mm nataka wajukuu,🤣🤣
@Monissa1132
@Monissa1132 11 месяцев назад
Great job guys 👏 keep going
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud 11 месяцев назад
Dibozi hiyo Shati unaibaka kwani ni ndogo kwako😊
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 11 месяцев назад
Nani anahisi kp hajaweka ile kitu ktka juice alete like yake hapa
@MWANAIDIRULIMBIYE
@MWANAIDIRULIMBIYE 11 месяцев назад
Sheila siku zote gaidi😅😅😅😅
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 11 месяцев назад
Imani yangu inanipa KP hatofanya mapenzi na Sheila please naomba iwe ivyo
@StephenKozgei
@StephenKozgei 11 месяцев назад
Rafiki yako ndio adui nawapenda sana 💕💕💕
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica 11 месяцев назад
Ni msanii nelcyafrica from kenya much ❤❤❤❤ waigizaji
@RoseOwiti-t3t
@RoseOwiti-t3t 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅wajukuu wanakuja yaani kitakulamba pia LIKOMA
@Daestoto
@Daestoto 11 месяцев назад
Sheila unajua kuyapanga kwel kwel safi sana
@BrendaKenzie
@BrendaKenzie 11 месяцев назад
Sheila i love you much love from kenya you do you work nice l respect you ❤❤❤❤🎉
@Adivera196Kishobera
@Adivera196Kishobera 9 месяцев назад
Marafiki nyoko 😢
@madymag6926
@madymag6926 11 месяцев назад
Nawakubali nyote kwakazi yenu❤❤❤😂😂😂
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 11 месяцев назад
Hatar na nusu 🔥💯🙏 ushanasa kp 🤣🤣🤣 kwenye mtego wa Sheila
@PeterMakunyu-uz5et
@PeterMakunyu-uz5et 10 месяцев назад
Following from Kenya 🇰🇪
@chadiaofficial
@chadiaofficial 11 месяцев назад
Love from Chadia Official to🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Aishaawadhimsloki
@Aishaawadhimsloki 11 месяцев назад
Sheila unajichimbia shimo mwenyewe😂😂 ila mnajuasana baba kp ndio ananimsliza na kicheko😂😂😂
@RoseOwiti-t3t
@RoseOwiti-t3t 10 месяцев назад
Yaani narudia tena nipee like LIKOMA
@TerenaStevelii-1995
@TerenaStevelii-1995 11 месяцев назад
ᵂᵃᵏʷᵃⁿᶻᵃ ᵐᵐ ᵃᵖᵃ ʲᵃᵐᵃⁿ ʷᵃᵖⁱ ˡⁱᵏᵉˢ
@millicentgitaari9965
@millicentgitaari9965 11 месяцев назад
Kazi nzuri sana,Kenya well represented
@rosemarenga832
@rosemarenga832 10 месяцев назад
❤❤❤
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 11 месяцев назад
Jmn like zangu nimejitaidi kuwah
@عايشهعلي-و5ع
@عايشهعلي-و5ع 11 месяцев назад
Sheila wanimaliza na kicheko sha kimbea🎉🎉🎉
@Mwanamkasi-s5e
@Mwanamkasi-s5e 11 месяцев назад
😂😂😂😂nacheka kwanzma kp mbona macho n makavu ivo n mwenzio ameroa chakari ,sheila kkijijini kuna kuita 😂😂😂ww n dibozi n uyo binti yke,mimba sio tatizo 😂😂😂wadhani wamkomoa zebuu,subiri kikurambe,nko pale
@classicboysofficial4662
@classicboysofficial4662 4 месяца назад
Nawapenda sana toka drc Congo
@LeahDavid-rn2ii
@LeahDavid-rn2ii 11 месяцев назад
Zebuu don't sleep,,,,kp come on remember please don't make the mistake
@Mariam-h6h6v
@Mariam-h6h6v 11 месяцев назад
😂😂😂nmechelewa ila nmependa snaa sheilla❤❤
@JosephinaJosephina-k7x
@JosephinaJosephina-k7x 11 месяцев назад
Mnachelewesha muv balaa had uwondo unapita
@DaudaJohn-vx8lx
@DaudaJohn-vx8lx 11 месяцев назад
Sheila nakupenda ❤️❤️❤️
@PrstlaNan
@PrstlaNan 10 месяцев назад
Akhi sheila mungu anakuona mbinguni utafika umechoka kwa roho yako mbaya😢😢😢😢
@johnmarubiri6729
@johnmarubiri6729 11 месяцев назад
Mnachelewesha kazi
@AdamKazaka
@AdamKazaka 11 месяцев назад
❤❤❤❤Sheila unanimaliza
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- 11 месяцев назад
Daah aisee kazi nzuri sana kwakweli hadi raha
@KhadijaSaid-vj9kh
@KhadijaSaid-vj9kh 10 месяцев назад
Kp.mchezo mnataka kuuharibu huo
@MaulidAmri-zt2gv
@MaulidAmri-zt2gv 11 месяцев назад
Likoma respect 🇹🇿
@janethmmaxxy6162
@janethmmaxxy6162 11 месяцев назад
Jamani na me leoh nimewahi 😢
@kennedysang4015
@kennedysang4015 11 месяцев назад
Much love from kenya
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 11 месяцев назад
Nakukimbia kwangu Kate nimechelewa 2 hour's ago na mi nipeeni like zangu hivyohivyo
@eligiambigi4884
@eligiambigi4884 8 месяцев назад
Diboz nakukubali sana
@monicahmaradi-ze7ug
@monicahmaradi-ze7ug 11 месяцев назад
Aki leo fire 🔥 🔥 🔥
@devothamgaya9421
@devothamgaya9421 10 месяцев назад
Duuuu!kikulacho ki nguoni mwakooo!
@NansiJuma
@NansiJuma 11 месяцев назад
❤❤ wow
@NuruJuma-yz1eh
@NuruJuma-yz1eh 10 месяцев назад
Nawapenda sana watu wangu❤❤❤
@habibasungur9375
@habibasungur9375 11 месяцев назад
Sheila hip myimba sio ya kp utakuja juta na mimba wewe na huyo kp wako mkifukuzwa ooh
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 11 месяцев назад
Sheila ni shetani kweli
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 10 месяцев назад
❤❤❤❤❤ very nice 👍
@barakakakobe2888
@barakakakobe2888 11 месяцев назад
Iko njema sana ila punguzene kuchelewesha yaani duh mpaka watu tuna sahau
@jehoshaphatkapesa6882
@jehoshaphatkapesa6882 4 месяца назад
Crew nzima ni ya mission jamn
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 9 месяцев назад
Kweli hii inaitwa kikulacho
@aliceshija3123
@aliceshija3123 11 месяцев назад
Kaz nzr❤
@FgfRt-t6j
@FgfRt-t6j 11 месяцев назад
Eeee jamani makubwa haya😂😂😂
@naomnyamoitaosiangochannel5552
@naomnyamoitaosiangochannel5552 11 месяцев назад
Apa kuna kazi waaaaa
@bintyhamisi8311
@bintyhamisi8311 11 месяцев назад
Tamaa itawaponnza nyie
@MatildaKeneth-k2v
@MatildaKeneth-k2v 11 месяцев назад
Sheila jicho lako tu 😂😂😂
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 11 месяцев назад
Da maski hawa watu wanamgombania kp kumbe yy mwenywe kaolewa watu
@juliahmwaka7184
@juliahmwaka7184 11 месяцев назад
😂😂❤weeeeee hatari sana
@NdaturuMaduhu
@NdaturuMaduhu 11 месяцев назад
hamniachi ata kidgo, ni msobemsobe bamwise.
@DanLava-j7s
@DanLava-j7s 11 месяцев назад
Nawapenda wote faith from Kenya
@IsmailChikawe
@IsmailChikawe 9 месяцев назад
Sorry embe itume kwanza namba yako😊😊😊😊😊
@Mariam-er8nn
@Mariam-er8nn 11 месяцев назад
Nawapenda sana
@isackerasto5360
@isackerasto5360 11 месяцев назад
Wa kwanza
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 11 месяцев назад
Nakubali sanaaa
@chitabenson2897
@chitabenson2897 11 месяцев назад
Love from 🇰🇪 represented
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 4 месяца назад
Tabiya zacheila siku zote kama mchawi
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt 11 месяцев назад
Naomba Sheila ashikwe na zebuu atimuliwe ka mbwa
@theinsider07
@theinsider07 11 месяцев назад
Ever first, nipeni like jamani from Kenya
@quincermokeira9374
@quincermokeira9374 11 месяцев назад
Good job
@NeemaLameck-l1c
@NeemaLameck-l1c 7 месяцев назад
Baba nae wa hovyo
@ZenaAthman-q4m
@ZenaAthman-q4m 11 месяцев назад
Mgeongtuonyesh hiz picha jmn 😂😂😂😂
@misheckmrk8848
@misheckmrk8848 11 месяцев назад
Kp naona unajisahau
@adelynnicholous2825
@adelynnicholous2825 11 месяцев назад
Wakwanza mm leo naombeni like zangu
Далее
MZEE WA GIZA_EP21
23:24
Просмотров 170 тыс.
MZEE WA GIZA_EP23
15:02
Просмотров 178 тыс.
MR MONEY_EP14
22:00
Просмотров 113 тыс.
MZEE WA GIZA_EP30
20:59
Просмотров 161 тыс.
BENZEMA FULL MOVIE   KP NA ZEBUU
3:20:38
Просмотров 266 тыс.
DADA NA KAKA | Full Movie HD
1:29:45
Просмотров 316 тыс.
MZEE WA GIZA_EP24
15:07
Просмотров 156 тыс.