Sheila nlikuwambia mtaenda kijijini 😂😂😂dibozi likoma kijijini kunawaita😂😂😂😂binti dibozi bodo ukae chini n mlinzi mjue jinsi y kulea mtto 😂😂😂, nmechelewa lkn naomba like nmmi japo 5 mwenzenu ❤❤❤❤nawapenda bure sana
Masikini kp😮 kupoteza kumbukumbu kumemponza😮😮😢😢. Mzee likoma na wageni wake wanapingania nyumba na Mali. Mmmmh wangejua wasingekuwa na kihere here😊😊😊nimeipenda iyo zebuu ❤❤
Aki diboz na mwanawe mumenichekesha atar bt kp ongea ukweli Sheila yy ndie alikutaka kimapenzi na ukamuekea dawaa yy mwenyewe ambayo dawa hiyo ilikuwa iekewe zebuu😂😂😂😂