Тёмный

SIYO KILA MUUJIZA NI WA MUNGU•KWA SASA MIUJIZA NA UPAKO VINAUZWA MADUKANI 20M | Mch.Amiel Katekela 

PROMOVER TV
Подписаться 153 тыс.
Просмотров 65 тыс.
50% 1

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 2 месяца назад
Sichokagi kumskiliza huyu mchungaji jmn hakika ww umetumwa na Mungu uokoe kondoo waliopotea Mungu akubarik sana🙏🙏
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 2 месяца назад
Yesu alisema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel je wewe nimuisrael??? Au haya maneno aliyo sema yesu niuongo ?? Alidanganya kwamba yeye hakutumwa Bali kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel???
@lilyg2134
@lilyg2134 2 месяца назад
@@zaidiissa3714 WE NAE TUPISHE SIE, KWANI HUO UISLAM WA BABAKO HUKO MAGWEPANDE? SI LIMUNGU LA KIARABU...NENO LINASEMA WAGALATIA 3:13-14 "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.” 14 Lakini alitukomboa ili baraka aliyo pewa Abrahamu iwafikie na watu wa mataifa mengine kwa njia ya Yesu Kristo. Na kwa kutegemea imani, sisi tupate kupokea Roho Kwa njia ya aman"....... SISI TUPO BUSY TUNASKILIZA NENO WE UNACHOWAZA UFALA WAKO KUTAKA KUBISHANA, ILI MRADI TU KUTUVURUGA USHINDWE KWA JINA LA YESU...KACHEZE UNAKO CHEZAGA
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie Месяц назад
​@@zaidiissa3714uislamu na ukristo wapi na wapi?kasubiri kuzimu wanawake wenye matako makubwa na macho kama kikombe 😅😅😅😅😅😅
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x 3 месяца назад
Mch,Katekela mimi nakupata sana nikiwa Burundi,MUNGU akutumie zaidi hakika ww ninabiii wanyati zamwisho,Ee Tanzania mumebarikiw kuwapata watumishi kama katekela,karibu kwetu Burundi kabisa,Tanzania mumepata neema kuwapata watumishi wazuri kama hao na msipo pokea hiyo neema mtakuw mumelogwa sisi huku burundi tutaipokea tu!Katekelaaaaa YESU KRISTO abarikiw ndani yako,na penda hiyo mtu mzima hatishiwi nyauuu
@ReubenMbanga
@ReubenMbanga 2 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi katekela, watu wamevutwa na upako wa Shetani.
@faithe4063
@faithe4063 3 месяца назад
Najaribu kushare huu ujumbe kwa mamangu ila aelewi amefungwa na awa manabii adi kuomba siku izi anaomba hivi Mungu wa nabii 😢yani jina la Yesu limetoeka kinywani mwake kabisa, sijui ni lini neema ya Mwenyezi Mungu litaokoa mamangu
@annkim2690
@annkim2690 3 месяца назад
Mungu amsaidie mjulishe kuhusu hii channel ya promoverTV
@IbrahimMgimba
@IbrahimMgimba 3 месяца назад
Amini kua wewe ni daraja lake kumwamini Mungu aliye hai kama mama yangu pia alivyoanza kubadilika.. Mungu amsaidie Amina
@myself4128
@myself4128 3 месяца назад
Ukishasikia Mkristo anaongelea Madhabahu za manabii anajiungamanisha ujue basi ni Msukule,Mitume na manabii wote waongo sababu Nabii hajawahi Kuongoza Kanisa,Neno la Mungu linayoaha kuponya hauhitaji Mafuta wala maji wewe uendelee kumuombea tu ipo siku atakombolewa!
@faithe4063
@faithe4063 3 месяца назад
@@myself4128 yeah sitakata tamaa nitaomba ata kufunga Mam wangu ndio alinifanya nimjue Yesu kwa hiyo sipendi apoteswe na awa waongo
@faithe4063
@faithe4063 3 месяца назад
@@annkim2690 ata uwa na share ili azikilize mwenyewe ila unajua awa manabii sijui wakona na kifumba macho asikii kweli atakubali leo kesho unasikia ameenda uko 😭neema ya Yesu imkumbuke tu
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 3 месяца назад
Mnaompinga amieli kaeni kimya na BWANA wetu YESU kiristo wa nazaleti awakemee.
@IBRAHIMSOKONI
@IBRAHIMSOKONI 19 дней назад
Mungu azidi kukupigania kamanda wa yesu piga injili ya yesu katekela
@peninahndinda2874
@peninahndinda2874 Месяц назад
Ameen mchungaji katekela na Mungu azidi kukuwezesha kufumbua huu ukweli kwa ulimwengu wote
@makoti77
@makoti77 3 месяца назад
Huyu ndo katekela tunayemjua sisi sasa,Wuuuuuh Hatari sana.. piga baba MUNGU yuko pamoja na wewe, na sisi tunakuombea.. maana hapa katikati ulianza kuwa na hekima flani unapozesha maneno, ila hii ndiyo dawa yenyewe imeingia...🙌🙌🙌🙌
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 3 месяца назад
Ilikuwa mwezi wa11 nikiwa nimejifungua kwa opp na mwanagu nikampoteza yule nabii alinambia mpaka mwezi wa1 utakuwa umebeba mimba nayo itakuua sasa tuma sadaka nikukomboe walah alivonambia vile nikakata sim sikumtafuta tena ila mpaka sasa nipo na mimba haijawahi ingia namtukuza Mwenyezi Mungu tangu siku hiyo niliacha kusikiliza hawa wanajiita manabii
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 3 месяца назад
Ukisikia tu neno tuma pesa nikuombee basiiiii kimbiaaaaa maombi hayauzwi. Sadaka ni hiari ya moyo. Kama ni Roho Mtakatifu anamuongoza mtumishi kusema utoe Huwa haiwi kama lazima. Manabii wa kweli wapo ila wachache sio kwamba hawapo. Lakin kuwajua LAZIMA uwe na Roho Mtakatifu ndani yako . Bila hivyo hutatofautisha. Ubarikiwe ulikata simu kabisa ndugu v
@sarahmaro215
@sarahmaro215 3 месяца назад
Ubarikiwe, YESU akutunze na Huyo mtoto aje awe mtumishi wa MUNGU.
@LatiphaMwanga
@LatiphaMwanga 3 месяца назад
Nafuu ulisanuka mapema maana alikuwa anataka kukufanya wewe kitega uchumi
@idrisajaphary8275
@idrisajaphary8275 3 месяца назад
Unafikiri kwa nn manabii watu wanawapenda ni ule upako wa uponyjaji kufufua misekure na unajua hatima sasa uwezi sikia nabii ana mzungumza vibaya mchungaji
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 3 месяца назад
Kwakweli ulikuja kutuokiloa wengi ...mimi nimewahi kunywa mafuta ya upako ya nabii mmoja mpaka tulikua tunamwekea kaka etu kwa chakula ili kiu ya pombe na sigara ikate lakini haikukata....lakini namshukuru Mungu sana baada ya kukufahamu mch katekela alinifanya niokoke baada ya kusikia shuhuda zake kwa muda mrefu na alipokua matemela songea niliona analia na kusema mnakataa kuokoka ninyi aaah nililia na nikaokoka japo ilikua ngumu sana ...mpaka leo nimeokoka na namuona Mungu kwa viwango vya juu sana......Nasema mch katelela Mungu amekutuma kwaajiri yetu.....Naubarikiwe na Bwana kwa huduma
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 3 месяца назад
Mungu akutunze
@SodioNyunga
@SodioNyunga 2 месяца назад
Mafundisho hayo ya mchungaji Katekela ni ya uongo kwa sababu watumishi hao wanakuambia uchukue maji yako ya nyumbani kwako unaomba nao na matokeo yanaonekana. Halafu toa mfano wako wewe wala sio watu waliokufa. Tunataka na wewe ufanye miujiza. Mbona unarukaruka tu?. Umesema miujiza ya Mungu haina formula, mbona unataka wote wafuate akina Moses kulola walivyokuwa wanafanya? Hata mkipiga MANENO hamuwezi. Mbona wagonjwa wenu wanakwenda kuponea kwao? Kinachofanya watu waende kwao ni kwa sababu ninyi hamna upako. Watu wanakaa kwenu na mizigo kama utasa hawapati matokeo. Rudini kwa Mungu Ili awape UPAKO. KULIKO kushambulia. Baada ya Kuwa mmekosa upako, Mungu amegeukia upande wao.
@JosephChilemile
@JosephChilemile 2 месяца назад
Mungu akutunze sana. Ushuhuda wako umenigusa....sana ..Yesu akukuze katika wokovu...
@mutabebwa-bm6pm
@mutabebwa-bm6pm 2 месяца назад
Wote MATAPELI
@prosperousbuildingconstruc3500
@prosperousbuildingconstruc3500 3 месяца назад
Nakubariana ne waw 100% from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@israelimarco6465
@israelimarco6465 2 месяца назад
mlete Mungu wa kweli mi naona kama haumleti Mungu wa kweli na kuonysha kwa watu m naona unawapromote
@joycekaje8755
@joycekaje8755 3 месяца назад
Ubarikiwe mno baba Mchungaji, nabarikiwa na mahubiri yako .Nakufuatilia kutoka Uholanzi.
@sarahmaro215
@sarahmaro215 3 месяца назад
Bendera chuma mlingoti chuma. Nimependa hiyo,❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EliasHamisi-uy7qo
@EliasHamisi-uy7qo 2 месяца назад
MTUMISHI UBARIKIWE SANA KWAKUFANYA LISAJI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NA KUWAUMBUA WATOTO WA SHETANI
@JAMESMUTUNGI-o3b
@JAMESMUTUNGI-o3b Месяц назад
Asante kwa kumfafanua kristo..utukufu umrudie yesu wa nazareti.Amina
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 3 месяца назад
Mungu wa isaka na yakobo akuinue sema sana mara sabin
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 3 месяца назад
Nabarikiwa Babaa,maelfu ya watu wanaenda kuzimu kwa sababu ya kukosa mafundisho sahihi.
@isayalemberua9195
@isayalemberua9195 2 месяца назад
mtumishi wa Bwana yesu asifiwe sana umeubiri vizuri sana kazamwendo baba
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 3 месяца назад
Sema kweli mchungaji wenye masikio wasikie . Wenye macho waone wenye akili watatambua. Wabishi wataangamizwa tumepewa kuchagua uzima na mauti
@EricMaingi-f8b
@EricMaingi-f8b 2 месяца назад
Amina, mchungaji Amiel, Mungu amekupa Neema kuu.
@lusajomwakibinga6912
@lusajomwakibinga6912 3 месяца назад
Huwa nabarikiwa Sana kukusikiza kaka God bless you
@andreasemoja-yn6pz
@andreasemoja-yn6pz 2 месяца назад
Mungu wa mbiguni akuzidishe Sana yaani. Hii ya wa totowachanga niliijua siku nyingi Sana huku Chuga
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 2 месяца назад
Amina Amina Mtumish injili isonge mbele kwa jina la YESU
@agnethapaul6057
@agnethapaul6057 2 месяца назад
Amina , Damu ya Yesu ikufiche .
@MeryNaftali
@MeryNaftali 3 месяца назад
Mungu akubariki sana pastor katekela wewe ni mtumishi wa kweli na Mungu amekutuma ili utufungue kwenye uteka wa kuzimu
@YudatadeyMassawe
@YudatadeyMassawe 2 месяца назад
Mungu akubariki,injili kama hii kwa nyakati zetu inahitajika ili kurudisha waliopote,,
@TitoFute
@TitoFute 2 дня назад
Mungu akulinde sana
@lulungunda354
@lulungunda354 3 месяца назад
Namufatilia sana sana ,ulinivusha mahali,.promover Yesu akutunze na timu nzima,
@ndeletwakidin8717
@ndeletwakidin8717 2 месяца назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@BoazRambo
@BoazRambo Месяц назад
Mungu atusaidie sana. Mungu akubariki sana.mtumishi wa Mungu.
@kennethchinguku
@kennethchinguku 2 месяца назад
Barikiwa pastor watu wamefungwa watu wa Mungu wa kweli hawawataki ,hakuna mafanikio bila bidii (prophet Kenny mbeya
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 3 месяца назад
Mtumishi wa Mungu unayosema ni ya kweli, ila mateso ya magonjwa watu wanayopitia ndio yanayowafanya waende huko.Mfano mimi nina imani sana, ila nateseka sana na magonjwa,niombee niponye,nimechoka na hospitali.Unadhani ukiniombea nikapona nitafikiria au kuwaza kwenda huko.Nimeombewa wee wapi siponi,mwishowe naambiwa sina imani hee.Hapana ile kwenda kukubali kuombewa tayari ni kama chembe ya haladari,vipi siponi? Tena nasali TAG nikitokea Lutheran nikiaminishwa kuwa kule hakuna nguvu za Mungu,nisaidie mtumishi nina magonjwa kama yote.Mimi nitatuma hata nauli uje kwangu uniombee.Naomba wee kwa Imani ila wapi.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 месяца назад
Pole Maria Mimi ni mkristo kama wewe 2020 niliugua vidonda vya tumbo nilikuwa na hali mbaya sana ikizingatiwa nimesikia haviponagi. Niliamua kukiri neno la uzima katika biblia mfululizo ndani ya siku tatu tu sikujua ugonjwa ulipotelea wapi Hadi Leo mimi ni mzima
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 3 месяца назад
​@@RubenMtuwaMungu-bz8ee.Ruben nateseka sio mchezo.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 3 месяца назад
Ruben ningekupa mateso ninayopita usingewexa
@anna19805974
@anna19805974 2 месяца назад
Pole sana Maria. Katika Biblia kuna mwanamke ambae alishika vazi la Yesu akapona, Mama huyu aliugua kwa muda mrefu kwa kutoka damu akamaliza waganga lakini hakupona alijiambia nikishika vazi la Yesu nitapona. Ile imani ilimgusa hadi Yesu akagundua kuna mtu amemgusa akapona saa ile ile. Mimi nina imani yakuwa simama na hilo andiko weka imani vazi la Yesu iwe damu ya Yesu ikakuponye tafuta mafungu ya uponyaji katika biblia uyafanye yawe yako omba yakalete miujiza na ukapone ikawe shuhuda tukamtukuze Mungu. Mungu akuponye na magonjwa yote
@SabinaOchami
@SabinaOchami 19 дней назад
Nishaa shirikishwa kuweka chumvi majini niganyake ndani miguu mara saba mtoto wangu akasmbiwa na mwingine akiwa na mimba ya wasiwasi akaambiwa aoge maji ya chumvi na awake penye barabara zinakutanika
@GggyJhh-y4x
@GggyJhh-y4x 3 месяца назад
Be blessed pastor amiel katekela am blessed more
@rishyatuni
@rishyatuni 2 месяца назад
Nabii, Bw Yesu asifiwe. Nimependa kipindi chako. Naomba msaada wako kwa familia yangu Baba
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 2 месяца назад
Yesu alisema Mimi yesu skutumwa bali wa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel jee haya maneno ya yesu kusema Mimi sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel niyauongo???
@faithe4063
@faithe4063 2 месяца назад
@@zaidiissa3714 umejipu vyema
@LovenessHango
@LovenessHango 2 месяца назад
Amen mtumshi wa Mungu,,
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 2 месяца назад
MUNGU akulinde mtumishi uzidi kutuelewesha maana watu wengi wanapotea kws manabii wa uongo
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 3 месяца назад
Ezekiel 13:1 ( tusome tuelewe) mchungaji katekela ubarikiwe sana pamoja na promover Tv
@mosesmagehema615
@mosesmagehema615 2 месяца назад
Rahel
@LudovikLudovika
@LudovikLudovika 2 месяца назад
Ameen,Mtumishi,ni kweli tupu tunayaona
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Месяц назад
Miujiza tangu zamani ilikuwapo. Wakati wa Musa miujiza ya mungu na miujiza ya shetani ilfanyika
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 21 день назад
Miujiza yote inayofanyika sasa ni nguvu ya upotovu, hakuna kanisa Sasa, kanisa halisi linajengwa na, Mjumbe wa agano pekee, wengine wote ni waongo na watendakazi wa shetani.
@utawalarecordstudiosnairob5929
@utawalarecordstudiosnairob5929 Месяц назад
Kweli kabisaa MUNGU akubariki 🙏🙏🙏🙏
@markmwau8387
@markmwau8387 14 дней назад
Swali langu ni... Mungu aliye wa kweli huwa anafanya ninii kwa sababu karibu kila kitu chanzo chake ni shetani😢😢😢
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 21 день назад
Ameen chuma Cha YESU kristo
@carolinemrosso9006
@carolinemrosso9006 3 месяца назад
Sasa mtumishi wa Mungu kwa wale ambao tayari wameshakanyaga hizo madhabahu zao na kutoa sadaka zao pale wakiamini pana Mungu,, na mafuta wakakanyaga na kuyanywa na maji ya upako na keki ya upako wakala je watafanyaje wajiengue na hilo agano??
@bobutingababayo5047
@bobutingababayo5047 3 месяца назад
Hakuna kinachoshindikana kwenye Toba Waombe toba ya kweli na kuacha kuendelea nayo kabisa na damu ya Yesu itamsafisha na kumuondolea vyote viliokuwa vimeingia ndani
@Majaliwa-ov3vk
@Majaliwa-ov3vk 2 месяца назад
Inawezekana kwa yesu
@LudovikLudovika
@LudovikLudovika 2 месяца назад
Mtumishi me nifanyeje,nimetumia sana Mafuta ya Mwamposa,kukanyaga,kunywa na kujipaka,mpaka saivi nina miaka 2,situmii lakini maisha yangu ni shida2
@NephiapiusiMbwelwa
@NephiapiusiMbwelwa Месяц назад
Mungu atusaidie
@Rukundo-z4k
@Rukundo-z4k 3 месяца назад
Ubarikiwe mchungaji karibu kwetu burundi ❤
@RehemaFilipatli
@RehemaFilipatli 3 месяца назад
Ubarikiwe sana,Moses kulola wa baadae,Mungu akutunze
@josephjames4587
@josephjames4587 3 месяца назад
MUNGU akubariki sana mtumishii mie ukwel unazidi kunifunguaa
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 2 месяца назад
Hongela mtumishi bendera chuma mulingoti chuma
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p Месяц назад
Waaambie ukweli bro waache kutapeliwa unakuta mama yuko tayari watoto walale njaa na kuwateza watoto ili tu apate pesa ya kuwapelekea hao matapeli wasio muogopa mungu wajinga wao
@BelithaFedrick
@BelithaFedrick 2 месяца назад
Balikiwa sana kwa mafundisho yako ❤❤❤❤❤❤❤
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 3 месяца назад
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, ASANTE MUNGU KWA NENO HILI.
@MagangaNdalu
@MagangaNdalu Месяц назад
Asante mchungaji
@utawalarecordstudiosnairob5929
@utawalarecordstudiosnairob5929 Месяц назад
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
@angelamvaa2229
@angelamvaa2229 Месяц назад
Amen, Mungu turehemu
@fitinamarando
@fitinamarando 3 месяца назад
Asante sana Mch Katekella nabarikiwa sana
@maryjohn2580
@maryjohn2580 3 месяца назад
Barikiwa Mtumishi, Roho Mtakatifu Asichezewe nimependa sanaaaaaaaa❤
@CateringAmare
@CateringAmare 2 месяца назад
Mm ni mhasi lkn kwa mahubiri yako,mungu azidi kukupa nguvu ya kuhubiri.
@Esendi56
@Esendi56 21 день назад
Yes upako mwingine ni wa kubuy lkn mungu dio kila kitu
@Shadiasemdami
@Shadiasemdami 3 месяца назад
Ubarikiwe. Mtumishi. Kunifu gua. Mana,
@dericksteven6455
@dericksteven6455 2 месяца назад
Elisha aliombea chumvi ikatibu maji yaliyokua yanazaa mapooza Yesu alitumia tope kumponya kipofu Ukisoma yakobo 5:14 kuna maelekezo ya kutumia, lakin pia hata samweli alimpaka daud mafuta, mafuta sio upako ila uthibitisho kwa ishara Kama maji yanatumiwa kubatiza lakin hayo hayo unayasema hayafai zitakua hazimtoshi Sisemi kua manabii wa uongo hawapo ila sometimes pia kila mtu anaposimama kusema jambo hua anakua na interest zake
@nurukasebele5433
@nurukasebele5433 2 месяца назад
Ni kweli ila haikuwa kanuni Kila Mmoja aliponywa Kwa kadri ya tatizo lako
@teyllalugazia
@teyllalugazia 20 дней назад
Sauti ya mtu aliyenyikani, itengenezeni njia ya Bwana yanyoosheni mapito yake
@LucasLagos-dq4mh
@LucasLagos-dq4mh 2 месяца назад
Ubalikiwe sana simamia kweli
@ASHIRAFMBARACK
@ASHIRAFMBARACK 2 месяца назад
Ubarikiwe xana mchungaji katekela
@JacksonMakuta
@JacksonMakuta 2 месяца назад
Mungu akulinde sana mtumishi
@MariaLazaro-kq2tv
@MariaLazaro-kq2tv 2 месяца назад
Mungu akubariki mtumish
@israelimarco6465
@israelimarco6465 2 месяца назад
wananchi na WA Tanzania wenzangu ngoje nikwambie kitu hebu tufuatilie vzr injili ya kristo. injili ya kristo ilitembea na nguvu na miujiza Sasa hebu katikela watu wengi wanahitaji misaada ya mwili mpe mtu miujiza ya kweli na watu watakifuata wenyewe watanzania wanahitaji msaada
@serapionmnenuka
@serapionmnenuka 2 месяца назад
Asante sana Mchunqaji
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 3 месяца назад
Bwana YESU ATUSAIDIE TUU ni ukweli wanatoa watu sacrifice sana sana
@MeshackSamwel-sj6bn
@MeshackSamwel-sj6bn Месяц назад
Ubarikiwe Sana mtumishi
@ElianMbuba
@ElianMbuba Месяц назад
Amina mtumishi
@KateWinslet-j8q
@KateWinslet-j8q 3 месяца назад
Ukweli kabisa ❤
@DevothaBenedictor
@DevothaBenedictor 3 месяца назад
Nakukubali sana mungu akubaliki sana, 12:44
@sarahmaro215
@sarahmaro215 3 месяца назад
Unanibariki sana Katekela, karibu Tabora
@beatricekasolo
@beatricekasolo 2 месяца назад
Bendera chuma mlingoti chuma napenda sana hiyo ward Yako Huwa maumbiri Yako yanitia nguvu sana
@mariamibrahim6544
@mariamibrahim6544 2 месяца назад
Majini kila mahali, hatuko salamaa,
@SabinaOchami
@SabinaOchami 19 дней назад
Hata nasikia kuna wenye kutoa watu vitu mwilini mfano sindani
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 3 месяца назад
kweli mwalimu nimeloweka kweli kwaujumbe yaani umenifungua akili kweli!
@ntakirutimanaetienne592
@ntakirutimanaetienne592 2 месяца назад
fungukeni
@tausimwinuka
@tausimwinuka 3 месяца назад
Nimepona Baba🙏
@AusyNkone
@AusyNkone 3 месяца назад
Amen
@samwelndaki201
@samwelndaki201 2 месяца назад
Ubarikiwe sana sijui uko wapi?
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 3 месяца назад
Mtu mmoja anipee namba ya huyu mtumish tafadhali sana naomba kuogea nae ju ya maradhi yasio na tiba
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 3 месяца назад
Unawezapata namba yake ukifuatilia zile ushuhuda zake promover TV na hata ukimwita kumpata ni shida sana maana watu ni wengi sana wanao mtafuta
@carolinemrosso9006
@carolinemrosso9006 3 месяца назад
Jaman tupeni namba zake uwiiiii mafuta na maji na keki tumezila saana na sadaka tukatoa lakin tupo vile vile na zaidi sana tumezidi kupoteza na kuharibika
@PeterSegire
@PeterSegire 2 месяца назад
Makanisa ya jumapili mungu wao tumbo mungu wao pesa
@ShazilMohamedi
@ShazilMohamedi 3 месяца назад
Fact
@SabinaOchami
@SabinaOchami 19 дней назад
Roho wanehema anipe ufunuo wa kujua zaidi
@NesiasJastin
@NesiasJastin 10 дней назад
Edelea kusema mwenyekusikia apone.
@jobabibyambanju226
@jobabibyambanju226 2 месяца назад
Amen tusaidie tupone
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 месяца назад
Mungu amekuokowa.
@upendokikwelele620
@upendokikwelele620 2 месяца назад
Napenda mafundisho yake. Anapatikana wapi
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 месяца назад
Anapatikana Geita Tanzania
@Elizabethmuronji
@Elizabethmuronji 3 месяца назад
AMEEEN
@JamilaJamilahjane
@JamilaJamilahjane 2 месяца назад
Mungu abariki Neno lake
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 3 месяца назад
Wakristo tatizo tumelala sana tunaona ndugu zetu wanateseka tunachukulia poa
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 2 месяца назад
Mungu atuhurumie sana 😔
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 2 месяца назад
Mungu baba tuepushe na manabii wa uongo
@apostlejoshuadaniel2105
@apostlejoshuadaniel2105 2 месяца назад
Ndugu hubiri injili iletayp toba iletayo ondoleo la dhambi. Hizo habari za kuzimu siyo lengo la Kristo
@AnnoyedBabyTurtles-ub5rb
@AnnoyedBabyTurtles-ub5rb 2 месяца назад
Acha aseme ukwel
@adeladaudi2047
@adeladaudi2047 2 месяца назад
Hata mseme hawezi kunyamaza, Dhambi zenyewe anazisababisha huyo anayeishi kuzim acha atwambie tujue, bahati nzr nimeshajua shetani hawezi kunidanganya tena ng'o
@norineraymond8098
@norineraymond8098 2 месяца назад
Yeye katumwa Kwa Hilo wewe fundisha hiyo Toba unayoijua wewe,Roho Ni Yule Yule humpa kila mtu kadri apendavyo
@GeophreyMsomba
@GeophreyMsomba 2 дня назад
❤mch🙏
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 3 месяца назад
Yaan pamoja na mtu wa Mungu kusema ukweli hivi. Bado kuna watu hawataamini wanakimbilia mafuta. Jamaniiiiii kuwa makiniiii yaan manabii wengi wanatumikia shetaniiiiii usitishwe na unabii wanaoutoa
@gracembando3872
@gracembando3872 3 месяца назад
Acha tu jmn Mungu turehemu daaa
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 3 месяца назад
@@gracembando3872 yaan ni kukimbia hawafai hata kidogo. Na wanawatoa kafara waumini wao
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 2 месяца назад
🙄🙄🙄
@silvanusjeremiah8256
@silvanusjeremiah8256 3 месяца назад
Yesu yu karibu sana kurudi. Tuokoke jamani
Далее
НЮША УСПОКОИЛА КОТЯТ#cat
00:43
Просмотров 916 тыс.
Mch Moses Magembe  - NDOTO YA NEBUKADREZA | MLOWO 04
2:40:57
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16