Тёмный

MZEE WA UPAKO NA WAZIRI MKUU KWENYE MTOKO WA PASAKA 

Mzee wa upako
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: / mzeewaupakotzz
IG: / mzeewaupako_tz
TIKTOK: / mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RU-vid Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
#mzeewaupako #tanzania #tanzania

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@FahadMohamed-ip1lc
@FahadMohamed-ip1lc 6 месяцев назад
Mzee wa upako
@anethkabelinde5350
@anethkabelinde5350 6 месяцев назад
Ukilikana jina la Yesu HADHARANI atakukana ivyoivyo,ila Asante Kwa Bwana wetu Yesu anawafunua wale wa uongo,SEMA vichwa vya watu vmeshajazwa maji hawaelew Wala HAWAAMBILIKI,maji na mafuta vimeshawaharibu akili
@Unceasing-prayers
@Unceasing-prayers 6 месяцев назад
Naona ulikataaa kabisa kulitaja jina la yesu 😢 ukaishia kusema katika jina............????? Jesus Jesus Jesus 😭🙌
@christophermsekena616
@christophermsekena616 6 месяцев назад
Mzee unalionea HAYA jina kuu la YESU😢
@WisdomJohn-hz6pq
@WisdomJohn-hz6pq 6 месяцев назад
JESUS
@andrewjilesi
@andrewjilesi 6 месяцев назад
Mzee wa mchongo katika jina la nani 😂
@brother_majesty
@brother_majesty 6 месяцев назад
Mh..katika jina la nani? Hatuna mtu hapo
Далее
MZEE WA UPAKO
17:09
Просмотров 209
How to win a argument
9:28
Просмотров 607 тыс.
Angel Magoti (Friday Worship) -  Nikufananishe
6:08
Просмотров 8 тыс.
Israel's War Plans: The Coming Catastrophe
18:19
Просмотров 507 тыс.