Yani jamani niseme tu huyu dada mke wa mwenyekiti move zake zote anajua kuongea pia busara ndo zilipozaliwa kama na maisha yake ya kawaida yupo hivi basi yeye na mmewe navyohisi wanamaisha mazuri sana
Wanawake waga nawaheshimu sana maana waga wanamawazo ya hekima na busara sana binafsi waga wanatusaidia sana sisi wanaume hongera sana olanda kwa kucheza ki uharisia