Mashaallah sheikhe wetu Allah akuzidishie umri wenye Afya njema uzidi kutuelimisha umma waumini duniani kwakweli simalizi hamu yakukuskiliza mawaidha yako nakupenda sana sheikhe kwa ajili ya Allah
Shehk othma usi haribu maawehda yako tuna kupenda sanalakin una fanya kama nurdin atisha akitowa maawehda anajifanya sana kama ajua sana ama kuvutiya nakujifanya mawaedha yake nafikiriya una nielewa tuna penda maawehda amiin ishaallah