Тёмный

MAHOJIANO MAALUMU NABII KIBOKO YA WACHAWI USWAHILINI BUZA KWA LULENGE / KWANINI ANAOGOPWA NA WACHAWI 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

MAHOJIANO MAALUMU NABII KIBOKO YA WACHAWI USWAHILINI BUZA KWA LULENGE / KWANINI ANAOGOPWA NA WACHAWI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm #trending #mswahili #virah

Развлечения

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 182   
@worth_monkey
@worth_monkey 12 дней назад
jamni umasikinii utatuburuzaa sisi wabongooo tutumie akiliiii hawa watu ni matapelii na washirikinaaaa hata kwa macho hatuoniii jamaniii dah
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 12 дней назад
Nilichokuelewa ni kwamba ww ni tajiri wa moyo ndo mana una uthubutu wakutoa sadaka sanaa na ndo mana unatamani watumishi wako wajenge wawe na magari wasije pia na mashat yaliochanika god bless my broo
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 12 дней назад
Huyu jamaa. Ukimzingatia na ukiwa na akili timamu utajua anamuabudu nani. Kama C3 huna hutonielewa. Mungu atuongoze.
@wildlife5730
@wildlife5730 12 дней назад
Wakristo tusome biblia vzr tusibebwe na huu upepo
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 12 дней назад
Wacha uhuni wewe uchawi ndionini ? Yaani mzee wamiaka 70 akifa tayari ni mchawi ? Kweli?
@paulmushi2428
@paulmushi2428 13 дней назад
Sokuona sababu ya muziki huo katikati ya mahojiano
@ChristinaNshatsi
@ChristinaNshatsi 2 дня назад
Jamani mnahukumu adi mnakela
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 12 дней назад
Aisee nimesikiliza vizuri sana jamaa unajua kujieleza vyema una utaniutani kitu ambacho ni kizuri pia God bless all of us
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 11 дней назад
Mwizi tu kupitia imani ira mungu anawaona kazi ipo kwenye malipizo
@nekaagripa3993
@nekaagripa3993 12 дней назад
Watu 70,000 hivi anawajua? Means uwanja wa mkapa?? Watu bwana
@SalimSalimu-z5c
@SalimSalimu-z5c 13 дней назад
Dalili za kuchochea Ushoga kwa Huyu ??
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 11 дней назад
😂😂😂😂
@Commentsplus
@Commentsplus 11 дней назад
Yani hera Hera ndo neno Lake Kuu umakini uwepo wakati ukimsikiliza
@Tg.7_7
@Tg.7_7 12 дней назад
This man Big Brain,🙌 mengine sijui nawaachie walimwengu!!😅
@lilianmnkondya150
@lilianmnkondya150 4 дня назад
Amina Baba piga kazi umenisaidia sana Madhabahu yako ina nguvu🙌
@shinshi9696
@shinshi9696 12 дней назад
Huyu bishop anahitaji matibabu ya akili
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 12 дней назад
Binafsi nilikuwa ckufwatilii kabsa lakn kws maelezo haya nahis kama naanza kukuelewa sanaaa sanaaaa sanaaaa nankukufwatilia umachosema ni kweli kabisa
@erickmsigala138
@erickmsigala138 11 дней назад
Mimi ni Mkristo huyu jamii ni tapel wa kiroho hafai hata kusikilizwa kwa mtu anaye mjua Mungu lakini kwasababu ya ujinga wenu ataendelea kuwa ibia hana ukibo wowote
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 13 дней назад
Kuhusu vitambi nimecheka 🤣🤣Nakupenda ❤
@naturelle1097
@naturelle1097 8 дней назад
Hapo kwa watumishi wako hawajapauka wala mashati yaliyo chanika nakupa pongezi..big high five!
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 13 дней назад
Aamina sana Mtumishi wa Mungu.
@PaulinaNyanzalashija
@PaulinaNyanzalashija 12 дней назад
Nabiii wote ni safi tu wewe unaeita nabii tapeli no moja ni wewe zungumza yako msiwachafue manabii wazuri wanasaidia sana
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 11 дней назад
Tapeli Mwingine😂😂😂😂
@shinshi9696
@shinshi9696 10 дней назад
@@PaulinaNyanzalashija fala Paulina shija
@didasmajor9288
@didasmajor9288 6 дней назад
Dada Mimi ni mkristo, nitafute tufanye maombi Mungu mwenyewe atuoneshe kipi ni kipi
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 5 дней назад
Usijali roho mtakatifu atawashukia😊​@@didasmajor9288
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 12 дней назад
Tapeli wa kikongo huyu uhamiaji weka ndani wewe ndie mchawi mkubwa mshirikina wa kwanza kwanza ni mchochezi eti wazee wachawi imaana ata babu yako kule kongo ni mchawi eti tumepiga maombi wazee wamekufa sasa unawaponya watu au unaua watu mpigaji mkubwa..
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 11 дней назад
Yaani anafurahi kuua wazee. Una uhakika gani Kama ni wachawi kuweni makini jamii
@GluckSifaeli
@GluckSifaeli 6 дней назад
watu wa mungu tusikilze sauti ya mungu tuu
@coolsinare8824
@coolsinare8824 9 дней назад
kuna mambo kadhaa umeyasema nimefurah..moja wapo ni kuwa”utajiri wa kweli ni kile unachokiacha kwenye mioyo ya watu”ni ujumbe tosha na nadhan kwa hali ilivyo sasa watumishi wa Mungu,Raisi wa nchi na viongozi wake jalini sana mioyo ya wananchi mnaiachaje kutokana na nguvu za mamlaka mliyopewa na Mungu
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 11 дней назад
Biggerup Mtumishi wa Mungu Dominiq, Mungu awalindee woote
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 4 дня назад
Hapo pa kuwapenda mashemasi na wahudumu nimekukubali, mtu huwezi kuwa mbaya kwa nyanja zote.
@ElionaMbise
@ElionaMbise 11 дней назад
Mtu.wa.mungu piga kazi.mungu.amekupa Kibali.cha.kuwa.kiboko.cha.wachawi.hapa 🇹🇿
@ElionaMbise
@ElionaMbise 11 дней назад
Nabii.nipo.harusha.nimefatilia maji na.tishet.sijawakuta.watendakazi.stedim arusha❤
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 12 дней назад
Najivunia sana kuwa mkiristo wa kikatoliki
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 11 дней назад
Walewale Wote Wasaka Tonge😂😂😂😂
@user-bs7dj7ps9g
@user-bs7dj7ps9g 12 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂watu niwajinga sana
@justusngonyani165
@justusngonyani165 7 дней назад
Mbingu si ya wakristo,bali ya waliookoka.Waliomkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi.
@user-tm5ls1ml6d
@user-tm5ls1ml6d 12 дней назад
Wenye wivu acheni upuuzi hebu kuwen makini na maneno yake katika maisha yangu sikutegemea kuwakubali wachungaji ila kwahuyu kiboko acheni wivu.jaman pambaneni na hali zenu tunampenda huyu baba mie nipo oman namkubali kula tano👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪
@shinshi9696
@shinshi9696 12 дней назад
Utakuwa fala wa mwisho wewe. Nahisi mkeo na watoto wanatombwa na houseboy au housegirl wako jinsi akili zako zilivyo. ulivyoshikwa akili fala mbwa mzee wewe 😅😅😅
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 11 дней назад
Uc ya nn kama mtu humuelewi kaa pembeni
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 11 дней назад
Wazawa woote wa buza mpaka daladala zoote zimeneemekakama huku wai kufika kanisani kwake nenda kaone usithubutu kutukanavkabla magereza hospital polise kooote kapeleka magari namisoc
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 12 дней назад
YEREMIA 50:6. YEHOVA ACMA KONDOO WANGU WANAPOTEZWA NA WACHUNGAJI WAO.
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 11 дней назад
Ana sifa huyo namajigambo mmh nilishatapeliwA pesa nyingi na mgonjwa broo hakupona fyuuuu anawapaga watu anaogea kwenye redio vinzur lkn ukienda kanisani anakuchamba wee sijawai onaa utakufa utaenda motoni kafiri wewe
@imanimahundi8293
@imanimahundi8293 11 дней назад
Wagawanye tuwatawale. Shida ndio zinatusonga mpaka tusijue lakufanya EE mungu tujalie ufahamu
@MulshiduYusuph-yw2os
@MulshiduYusuph-yw2os День назад
Nakukubali baba
@CamillahAdam
@CamillahAdam 12 дней назад
Mtumishi wa mungu 🎉
@AhadiPromise-z3z
@AhadiPromise-z3z 5 дней назад
Nakukubali sana wataongea sana awakuwezi babaa wambie😂😂
@BonifaceOirere
@BonifaceOirere 6 дней назад
Hapa ni biashara na uganga Bali si injili ya kueneza ukombozi.Mungu akaokoe kondoo na mchunga wao
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 12 дней назад
UJINGA MTUPU NENDA KAJITANGAZE KUA WEWE NI KIBOKO YA WACHAWI TANGA AU SUMBAWANGA VIJIJINI ACHENI UJINGA dar Kuna wachawi hizo ni biashara za utapeli wahuni nyie
@michaelmbeti5040
@michaelmbeti5040 3 дня назад
Naomba mwili upoe kwa nguvu sana
@justineswai5885
@justineswai5885 10 дней назад
Wamejivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu, ole wenu KRISTO YESU anarudi
@lickumikidadi7630
@lickumikidadi7630 9 дней назад
Aaaminaaaa
@omarally5460
@omarally5460 9 дней назад
Hii issue ni mtambuka, Jamaa kaanzia kuziba midomo watendaji wa chini wa Serikali na Jeshi la police, Ni Ngumu kumchukulia hatua zozote,, Inahitaji maamuzi magumu sana. 🤔🤔🤔
@R1Lifestyle-f6n
@R1Lifestyle-f6n 12 дней назад
huyo jamaa ni sponser😂😂😂
@bobdelwinsky9363
@bobdelwinsky9363 12 дней назад
Msaka tonge muhuni na Mhuni makini
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 12 дней назад
Najivunia Sana kua Muislam maana nina uwelewa wa hali ya juu sana huyu jamaa ni tapeli tu na hao wote anaojifanya anawatibu anawapanga
@bobdelwinsky9363
@bobdelwinsky9363 12 дней назад
Hauhitaji kuwa muislamu kujua uhuni wa mwamba. Hata wakristo wanajua mwamba ni msakatonge sheikh. Ni vile tunajivunia kuvumiliana na umoja ndio maana wahuni kama hawa wanaibuka kama uyoga. Sheria na taratibu za nchi zitakapobadilika kuwashughulikia hawa watu kihalali kama kutaifisha mali na kuwafunga watajifikiria sana.
@richardvallerian1003
@richardvallerian1003 12 дней назад
Hauhitajiki uelewa wa juu kujua huyu ni tapeli, ni uelewa wa kawaida kabisa!
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 12 дней назад
Weslam nao wanachanga moto yao acheni unafki nyinyi Weslam huku unajiitq Mweslam baadaye unaenda Gest kufirwa mkunduni
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 12 дней назад
​@@bobdelwinsky9363 ubarikiwe kakangu unasema ukweli kabisa Yani nahitaji Serekali iwashike handi Ndani hata myaka 10 kumi tu watanyooka kweli kweli
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 12 дней назад
Wee ni mwanga TU umepangwa na shetani na wewe!
@irenemuro5077
@irenemuro5077 8 дней назад
Jamaa muongo sana, hakuna mwenye ufahamu na uwelewa wa Aliyeumba wote, vyote na yote atakaye mwelewa huyu jamaa inaonyesha dhahiri kuwa yuko nyuma ya Pazia laaa!!!!😏
@andrewkamese8492
@andrewkamese8492 12 дней назад
Kama umeshinda jaribu la pesa basii nabii kiboko Sio mtumishi wa mchezomchezo!
@Commentsplus
@Commentsplus 11 дней назад
Huyu ni muhalifu!!! Ila inabidi uwe na elimu ya #cuba
@ElionaMbise
@ElionaMbise 11 дней назад
Kweli nabii.umesema ukweli.hapo.hata.kama.wanasema.wewe.ni.nabii.wa.uongo wanakuonea wife.piga.kazi.baba.fufua.watu.wataelewa tuu.mungu.akitie.nguvu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 12 дней назад
Kwaiyo hizo sadaka umeona uwape bodaboda wenye kipato kuliko kuwapa wasio jiweza Kaya maskini, magereza na hospitalini
@mbarukumakakala4895
@mbarukumakakala4895 12 дней назад
Uyu ni mkongomani kamata rudisha kwao
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 11 дней назад
Mwacheni afanye kazi yake. Msihukumu. Hiyo siyo kazi yetu. Unahukumu kuwa huyu ni tapeli. Je wewe ni nani? Ulishajichunguza tabia yako je upo salama
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 12 дней назад
Nabii yupo vizuri aendereza huduma hiyo haina upinzani?
@AberhartNdauka-nu3do
@AberhartNdauka-nu3do 10 дней назад
We msenge kweli tapeli mkubwa kabsa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 12 дней назад
Ni mupango wa ubunge
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj 12 дней назад
Amna k2 apoo
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 11 дней назад
Kiboko ya wachawi nimependa hilo jina. Wachawi niwakuchapa sana
@worth_monkey
@worth_monkey 12 дней назад
watuu mbona hamfungukiii akili zenuuu huyu ni tapeliii jamaniii fungukeniiiii
@GislaMushi
@GislaMushi 12 дней назад
Amewai kukutapeli Nini?😂
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 11 дней назад
Tapeli la Kikongo Kawasaidie Congo..Vita ishe..
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 дней назад
Huyu mtu hauhitaji udhahidi kuwa ni muongo huwenda kajijazia misukule pale sisi tunaona ni watu
@mbarukumakakala4895
@mbarukumakakala4895 12 дней назад
Sasa unasema mtu mwenye kitambi hana yesu kwa sababu yesu akuwa na kitambi mbona yesu akuwq na pesa ww pesa unatoa wapi pia yesu akuoa ww kwann uoe umejipiga mkorogo umenyoa wey mmh
@KaguluZuu
@KaguluZuu 9 дней назад
Nasisi waislam tunawo mataperi kama huyu baba acheni kulaumu ukiristo biblia ilisema manabii feki watajitokeza wakiristo wanaojielewa huwakuti kwa huyu jangiri hata siku moja.sijui serikari iko wapi kanisa uchwara zinajitokeza kila kona imekuwa biashara Kawanunulia police nini?😮
@GodloveTyoe-fv8or
@GodloveTyoe-fv8or День назад
Kwaio kila mzee ni mchawi selkai usiken uu ni uchochez wa mambo ya kipuz husababisha watu kuja kukosa aman wazee wetu
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 11 дней назад
Natamani niende hata leo kwa huyu nabii.
@barakanatus5676
@barakanatus5676 9 дней назад
Uyu jamaa kweli anaongea kweli
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 12 дней назад
Mungu wenu alikua analindwa na panga
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 11 дней назад
😂😂😂😂 Watuwangu wana angamia kwa kukosa maarifa poleni sana kondoo wake
@user-do1xs4om1b
@user-do1xs4om1b 12 дней назад
Ndo maana ccm chama tawala imetulia kwa maana ya kwamba wana muunga mkono huyu jamaa wanapata maslah.
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc 11 дней назад
Huyu jamaa ni muongo sana anataja namba ukipiga hapokei kumbe wanapangwa wakupokea
@musamusa6374
@musamusa6374 11 дней назад
Watu 70000 unajua ni zaidi ya watu wanaoingia kwa mkapa
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 10 дней назад
unakuta limtu lizima limekaa kanisani ni kusema amenii ameniii shenzi na nusu
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 13 дней назад
Mmmh mbona kama nimeanza kukuelewa mtumishi
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 12 дней назад
Wote nyiei ni iwezi tu
@alicesimbeye7978
@alicesimbeye7978 7 дней назад
Tunaosoma Comment tujuane
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 12 дней назад
Ile ni pesa Yako au ni , ?
@dianaemmanuel3471
@dianaemmanuel3471 12 дней назад
Baba Niko mwanza nataka kuzulumiwa asilimia zangu za uchimbaji wadhahabu Niko mwanza baba nisaidie
@shinshi9696
@shinshi9696 12 дней назад
Tafuta mwanasheria haraka na acha kujilengesha laa sivyo utatapeliwa na utalia zaidi. Pole sana
@HangiMakina-wf8hw
@HangiMakina-wf8hw 12 дней назад
Mgodi gani huyo kunajamaangu anaweza saidia
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 13 дней назад
Safi sn umetengeneza urafiki mkubwa mno na bodaboda,
@LuckyTemu
@LuckyTemu 12 дней назад
Kumwaga hela ndo kumpa m2 hela😅
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 10 дней назад
yanii mtu anatoka kongo anakuja Tanzania kuchoma wazee wetu kwamba ni wachawii
@memehhhahshshdhdhd
@memehhhahshshdhdhd 12 дней назад
Hivi wachawi ni wazee tu peke yao? Hata watoto,vijana wapo wachawi
@shinshi9696
@shinshi9696 12 дней назад
Thank you for this comment aisee. Pastor huyu ni kama anacampaign dhidi ya wazee maskini angekuwa nnchi niliyopo leo hii angelala jela for hateful speech. Pastor amejichubua hadi akili coz he is so stupid. hivi life expectancy ya nnchi maskini na familia maskini ni umri gani. Na wachawi vijana jee?
@user-uy5nx1bj5r
@user-uy5nx1bj5r 11 дней назад
Hii move mwisho wake tutauona
@CHAMSATV
@CHAMSATV 11 дней назад
NENO LANGU ;TUMCHE MUNGU NDIYE ANAYE JUA KESHO YA MWANADAMU
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 10 дней назад
Hujui kusoma hata picha huioni
@YustaMfugale
@YustaMfugale 11 дней назад
Pastor anaway yake imetulia awee not this in God's Kingdom 😢
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 11 дней назад
Wanao enda kanisani kwa huyu jamaaaa Hawana akili
@deejeydaev
@deejeydaev 12 дней назад
Shemasi aliye pauka pauka hahahah
@BongoflevaHits
@BongoflevaHits 11 дней назад
Tapeli la kikongo
@user-gr9kx8hz6t
@user-gr9kx8hz6t 10 дней назад
Uwongo una mwisho
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 11 дней назад
Wakristo wenzangu someni biblia. Hawo manabii achanani nao
@igurusitv6553
@igurusitv6553 11 дней назад
Atuambie amepata wapi hela?
@barakamanga5502
@barakamanga5502 11 дней назад
Someni bible
@nickb3289
@nickb3289 13 дней назад
Koboko ya wachawi
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 13 дней назад
Weweunakanisalipi lisilimujuaMungu. namwana waMungu ? Unamuombananikama ndiyo hivyo.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 11 дней назад
Mmmmmmmh
@SifuniKasimba
@SifuniKasimba 10 дней назад
Wanangu waangamia kwakukosa maalifa somen biblia
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 12 дней назад
Mjini matapeli ni wengi
@RichVoicetz-z9r
@RichVoicetz-z9r 10 дней назад
shetani mkubwa wewe pepo chafuu Mimi naumia sana kuona waTanzania na akiri zenu kabsa mmekaa mnamsikiliza huyu pepo
@GluckSifaeli
@GluckSifaeli 6 дней назад
shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake
@kassimkikwete3357
@kassimkikwete3357 11 дней назад
Uyu nae kama wala tu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 13 дней назад
mi nilimkataa pale alipomfukuza muumini😊 kazini kwake
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 13 дней назад
Kuma la mamayako
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 13 дней назад
@@elijahchegere4974 mamako ana bwawa...kuma nn
@lucasmasumbuko2098
@lucasmasumbuko2098 13 дней назад
na wewe​@@elijahchegere4974
@paulmushi2428
@paulmushi2428 13 дней назад
​@@elijahchegere4974 Jamani matusi ya nini? Kwani mama yako ana nini? Na wewe ulizaliwa na mama yako kupitia wapi? Matusi yanaonyesha wewe ni mtu wa namna gani!
@elijahchegere4974
@elijahchegere4974 13 дней назад
Tatizo comment zingine zinazingua
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 11 дней назад
Wamalize tu,iunamalizaje ni yako
@wizebiligetwaziri5540
@wizebiligetwaziri5540 13 дней назад
Alafu utasikia mpuuzi mmoja ana sema unatumika nashetani ukimuuliza ulifunuliwa nanani anakusomea andikotu lisemalo "watajitokeza manabii wauongo " shida yabongo wajuaji wengi
@EllyMoshi-vd9ds
@EllyMoshi-vd9ds 13 дней назад
Wewe utafurahishwa😂 tulia na ubishi wako unapenda kuombewa eee
@mobilebeats3086
@mobilebeats3086 13 дней назад
Anapenda kuombewa huyo haelewi mtandao unasumbua kama angeielewa biblia asingeongea utumbo uo
@kutailass6671
@kutailass6671 13 дней назад
Kwan uongo? Hakuna nabii zama hiz wote matapel tu washirikina tu
@designdesign4426
@designdesign4426 13 дней назад
inaonekana akilizako nifupisana naww unategemewa kua nafamilia polesana
@mobilebeats3086
@mobilebeats3086 13 дней назад
@@kutailass6671 hayo umesema wewe
@HaroldEliud
@HaroldEliud 13 дней назад
😂huyu jamaa apendi uchawi ,
@mulashanibrasio8151
@mulashanibrasio8151 12 дней назад
Niçe interview, May God bless you
Далее
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 236 тыс.
Роналду совсем другой! 😱
0:45