Тёмный

NAFASI NYINGINE Joel Lwaga Ft Roc Worshipperz 

ROC Worshipperz
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 241 тыс.
50% 1

Umeniita mwana
Niliyekuwa mtumwa
Umenisimamisha katika wingi wa neema
Na umeniketisha mahali pa juu sana
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Maana umenipa
Nafasi nyingine
Umenipenda tena bila kukoma
Nafasi nyingine
Neema yako imeniinua tenah
Nafasi nyingine
Umenipa tena bila kuchoka
Nafasi nyingine
Mungu wa neema (wa neema)
Ahaaaaa.
Wa neema(uuuuh wa neema)
Aaaaah
Wa neema(wa neema)
Aaaah
Wa neema (wa neema)
Aaaaah
Madaktari walisema sitapona tena
Walimu walisema nitafeli
Ndugu na jamaa walisema nimeshindikana
Na kumbe wewe waniwazia mema
Umri uliposogea walisema ndoa sio fungu langu
Nilipofiwa na mpendwa Yule walisema sitaweza tenah
Baada tu ya kufilisika sikumwona wa kuniombea
Na kumbe ndani yao walifurahia niliyopitia
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Maana umenipa
Nafasi nyingine
Umenipenda tenah bila kukoma
Nafasi nyingine
Neema yako imeniinua tenah
Nafasi nyingine
Umenipa tenah bila kuchoka
Nafasi nyingine
Mungu wa neema (Wa neema)
Ahhaaa
Wa neema (Wa neema)
Ahaaaa.
Wa neema (Wa neema)
Ahhaaa (Heeeeyy)
Maana umenipa
Nafasi nyingine (Heeeey)
Kweli umenipa
Nafasi nyingine (Mimi nisiyestahili)
Umenipa
Nafasi nyingine (Heeeey)
Bwana umenipa
Nafasi nyingine
Mungu wa neema (Wa neema)
Aaahh... (Aaahh)
Wa neema (Heeeey Wa neema)
Aaahh (Nashukuru Asante)
Neema (Wa neema)
Aaaah.
Wa neema
#Nafasinyingine #Joellwaga #Rocworshippers

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@RehemaTandala
@RehemaTandala 7 месяцев назад
Walisema nitafel,walisema ctaweza tena now amfly like eagle hii ndo maana halis ya another chance,thx Lord 4everthng😇🙏🙏🙏🙏🙏
@daviceisaacs854
@daviceisaacs854 Год назад
God thank you for keeping me during the day until now it's evening. Glory be yours
@gideongerald2846
@gideongerald2846 3 года назад
Huna nyimbo nyingine ulizorecord live mkuu hili song limekaa safi sana asee
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 3 года назад
Hyo ni zaid ya real music dah so great vibes and Glory Kwa sisi maproducer tunajua huu ndo mziki halisi Big up #joellwaga
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Месяц назад
AMEN.NIMEBARIKIWA SANA.KAKA JOEL MIMI NKO KENYA NA NI SHABIKI WA NYIMBO ZAKO,,,HUA ZINANIPELEKA MAHALI NIKIZISIKILIZA
@cheryleunice5640
@cheryleunice5640 5 месяцев назад
It's 13th April..2024.. nafasi nyimgine❤❤...in deed God is faithful
@edaedamwalimu1407
@edaedamwalimu1407 3 года назад
Wapiga vyombo saf sana
@GibsonLeonard
@GibsonLeonard 3 года назад
Kazi safi wakuu wa MUNGU
@arupharomeo3188
@arupharomeo3188 3 года назад
Good good jamaa anajua
@marthaamenlucas8600
@marthaamenlucas8600 2 месяца назад
Asante roho mtakatifu kwakuniweka nafasi nyingine
@nelsonleyian1906
@nelsonleyian1906 3 года назад
Wow what a nice song,, nafasi nyingine ya kuskiza wimbo mzuri🎶🙏💞
@Harryfavour5142
@Harryfavour5142 3 года назад
Hallelujah, these song describes my whole life,Thankyou Lord for using your servant. Am rejuvenating a new hope.God bles the team.
@engjacjunio107
@engjacjunio107 2 года назад
He's one the african finest gospel singer to be proud of' #joel Lwaga
@MohamedSaid-jz1ph
@MohamedSaid-jz1ph Год назад
Kaka kaz yako ninjema xaan😢😢
@roselynekhasandi2521
@roselynekhasandi2521 3 года назад
God of second third forth and countless times
@prosperlilian1371
@prosperlilian1371 3 года назад
Let's pray for those who down thumped this song
@RehemaTandala
@RehemaTandala 8 месяцев назад
Asant MUNGU Kwa nafasi nyngne🙏😇asante Kwa Kila kitu kwenye maisha yanguu🙏🙏🙏🙏🙏
@monicahnjihia7538
@monicahnjihia7538 3 года назад
Ohh woooow nice song
@pharesmitarya4892
@pharesmitarya4892 3 года назад
Mungu wa Neema ndiye Mungu wangu
@doricemuhando3747
@doricemuhando3747 3 года назад
Awesome song 🙌🙌 Nafasi nyingine,Mungu wa neema!
@petertwili8479
@petertwili8479 Год назад
Mungu wa neema💯❤️
@gracemataba4652
@gracemataba4652 Год назад
Joe,God blessings be with my brother,All the way from County of Dublin
@agnethamussa8767
@agnethamussa8767 3 года назад
Ninaucheka wakati uliopita nikuufuraia ule ujao I love this song
@stephenonyango1505
@stephenonyango1505 3 года назад
Never gets old, God of a second chance
@gertrudechepngetich2856
@gertrudechepngetich2856 3 года назад
God bless you minister,I love your songs
@jayreign5155
@jayreign5155 2 года назад
My Every days blessings....May Good God bless you my brother...
@wamugambikelvin272
@wamugambikelvin272 3 года назад
What if a a reggae cover of this song comes through?? Imagine it
@mbanzamwalyo1682
@mbanzamwalyo1682 3 года назад
Tune Dem band
@sarahshibonje1201
@sarahshibonje1201 3 года назад
Wow!!! His voice waaa na hizo ma moves I love u guys so powerful be blessed
@Yohweritheukman
@Yohweritheukman 3 года назад
The band ongera sana, to Mr Joel lwaga naipenda sana kazi yako
@kushman_
@kushman_ 2 года назад
Lite the instrument are ❤️❤️
@philemonpaulo2172
@philemonpaulo2172 2 года назад
AMEEN
@paulsheshe4839
@paulsheshe4839 3 года назад
Mbarikiwe sana 🙏
@calebmusebe9928
@calebmusebe9928 3 года назад
The drummer is always at the top...he enjoys
@josephmachioofficial9579
@josephmachioofficial9579 3 года назад
Wow amzing
@lynebore1134
@lynebore1134 2 года назад
Uplifting 🙏
@joelmanala5053
@joelmanala5053 3 года назад
The music is just amazing as the singer himself 👏🏼🙌🏽
@sarahshibonje1201
@sarahshibonje1201 3 года назад
Thank u Lord for giving us another chance in this life
@chaekajohnson8954
@chaekajohnson8954 3 года назад
Huyo ndio Mungu wa neema yupo mtu amepewa nafs nyngine tena. Am so blessed
@chaekajohnson8954
@chaekajohnson8954 3 года назад
Gonga like z kutoshaaa watu w mungu
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Месяц назад
Yes,,,Mimi hapa
@witnessjuma9157
@witnessjuma9157 3 года назад
Sir record this audio please it's uplifting .GOD bless you abundantly sir
@connexanyango195
@connexanyango195 3 года назад
Oh God 🙌🙌🙌🙌can't get enough of this
@breezy9398
@breezy9398 3 года назад
Nyako msawa😻
@innocentelphas438
@innocentelphas438 3 года назад
Waoooh that keyboard tone is amazing
@nancykiminza3034
@nancykiminza3034 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@victormaina6407
@victormaina6407 3 года назад
Very powerful
@sophybenedict5706
@sophybenedict5706 3 года назад
This is so amazing........ I love it
@gabinessjeniffer653
@gabinessjeniffer653 3 года назад
Ameen
@balasisiterezia1609
@balasisiterezia1609 3 года назад
I can myself into this song 🎶
@juslinelubika5331
@juslinelubika5331 3 года назад
God bless you 👊
@dorcaskelly1645
@dorcaskelly1645 3 года назад
Beautiful song
@jordanprince3196
@jordanprince3196 3 года назад
Amazing🥰🥰🥰🥰🥰
@susanlombia2489
@susanlombia2489 3 года назад
Amazing, wonderful worship to our God .
@DanWadhamana
@DanWadhamana 3 года назад
I love the song,I love Joel Lwanga but,,,am not comfortable with the lady's huko nyuma 😌😌😌. Am not judging but.....the dance n dress up don't match the song,it's seculaish. Anyway great job bro.
@zebedeemirambi3113
@zebedeemirambi3113 3 года назад
God bless you all 🙌💕💕💕💕🇨🇩
@sso5504
@sso5504 3 года назад
I love this song so so much it has been a blessing to me
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Месяц назад
Me too
@katewairimu744
@katewairimu744 3 года назад
You guys nailed it 👏
@preacherlawihenrymwandisi4259
@preacherlawihenrymwandisi4259 3 года назад
Awesome
@gtv5611
@gtv5611 3 года назад
Nakukubl San broo
@josedrumboy3173
@josedrumboy3173 3 года назад
Nice and powerful song
@gracenzula6962
@gracenzula6962 2 года назад
Nice song
@breezy9398
@breezy9398 3 года назад
😻😻😻😻
@superiusernest8396
@superiusernest8396 Год назад
nice
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 года назад
Great work
@leotupinda8765
@leotupinda8765 3 года назад
God bless you brother,
@edinatubet6757
@edinatubet6757 3 года назад
Music sounds 🔥🔥🔥
@denicelingay8496
@denicelingay8496 3 года назад
Nafasinyingine tena
@eliahkassanga4687
@eliahkassanga4687 3 года назад
Big up
@felisternsumba3690
@felisternsumba3690 3 года назад
♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@eliashombe2432
@eliashombe2432 3 года назад
Nafasi nyingine
@raphaelntambi6404
@raphaelntambi6404 3 года назад
I'm looking forward to Lwaga's live recorded album
@petersawe9778
@petersawe9778 3 года назад
What is the name of the lead solo guitar
@arupharomeo3188
@arupharomeo3188 3 года назад
Fundiiiiiiii
@elishaezekiel1035
@elishaezekiel1035 3 года назад
Ni poa
@andrewsaid7579
@andrewsaid7579 3 года назад
Nimebarikiwa an
@alimashimango1682
@alimashimango1682 2 года назад
9k LLP
@petermponda604
@petermponda604 3 года назад
Nice
@marykasumuni9047
@marykasumuni9047 3 года назад
𝖆𝖜𝖊𝖘𝖔𝖒𝖊 𝖘𝖔𝖓𝖌🇰🇪🇰🇪
@mugishananou6370
@mugishananou6370 3 года назад
l
@ignacekeza5510
@ignacekeza5510 3 года назад
Great work
@paulsingano674
@paulsingano674 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
НЕ БУДИТЕ КОТЯТ#cat
00:21
Просмотров 848 тыс.
Сколько стоит ПП?
00:57
Просмотров 355 тыс.
КОГДА НАКРОШИЛ НА ПОЛ #shorts
00:19
JOEL LWAGA - NAFASI NYINGINE (Official Live Video)
7:55
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Roc Worshipperz - Kuoshwa (Live Music Video)
9:51
Просмотров 6 тыс.
Paul Clement - Neema Ya Mungu ( Official Video )
9:35
Просмотров 328 тыс.
НЕ БУДИТЕ КОТЯТ#cat
00:21
Просмотров 848 тыс.