Тёмный

NAFASI YA PESA KWENYE NDOA | Deo Sukambi 

Deo Sukambi
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza NAFASI YA
PESA KWENYE
NDOA
Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@imanimwakinga4934
@imanimwakinga4934 3 месяца назад
Asante sana pastor deo, Asante mno. Kumbe sipaswi kujisikia vibaya sababu Sina pesa. Huku nje kunaleta presha sana aseee
@SubiraSanga
@SubiraSanga 3 месяца назад
Asanteh!
@magdalenasulley112
@magdalenasulley112 3 месяца назад
Kutoka Songea Ruvuma nakupata sana!!
@vitusingonyani
@vitusingonyani 3 месяца назад
naitwa vitus ngonyani nimependa sana mada zako zina mafuzo sana kwajamii
@EnocEdiga
@EnocEdiga 3 месяца назад
Thanks pastor i got something new
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo 3 месяца назад
Thanks nimepata kitu 🇨🇭
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 3 месяца назад
Hakika mungu akutunze
@magdalenasulley112
@magdalenasulley112 3 месяца назад
Pastor mimi nina swali nikipata pesa huwa sitamani mme wangu ajue nataka niifanyie matumizi yangu hata kama itakuwani matumizi ya ndani,najiulizaga au mim ni mbinafsi? Lkn huwa nashindwa kumuomba hela nachukia anapokuwa haelewi kama nina mahitaji na yy ni yule mtu wa kusubiria aombwe hela
@DeoSukambi
@DeoSukambi 3 месяца назад
Its obvious una tatizo la kisaikolojia ambalo linakusumbua..hizo tabia ikiwemo ya kuficha hela zako usiulizwe halafu yeye ajiongeze kuhusu mahitaji yao na hutaki kuomba hela ni dalili ya tatizo..nashauri upate msaada wa kisaikolojia kujua hasa tatizo ni nini
@magdalenasulley112
@magdalenasulley112 3 месяца назад
@@DeoSukambi duu!! Nashukuru
@CharlesAlbano
@CharlesAlbano 3 месяца назад
Well said Pastor
@MeshackWisdom
@MeshackWisdom 3 месяца назад
Asante sana umenisaindia
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 месяца назад
Kweli biblia Agano la kale lilisema kutatokea Manabii wa uongo na Magonjwa yasiyotibika ndiyo nyie wa sasa hivi Mapostor kibao tena Vijana Wasomi kutokana ukosokanaji wa ajirq
@magdalenasulley112
@magdalenasulley112 3 месяца назад
Mmh Kwan usingecomment ungepatwa na Nini?
@nyiranzimami728
@nyiranzimami728 3 месяца назад
😂😂😂
@chrissg4026
@chrissg4026 3 месяца назад
Uyu Pastor ukitaka kumwelewa inabidi utumie akili nyingi sana😂
Далее
HATUA 5 ZA TATIZO LA AFYA YA AKILI | Deo Sukambi
36:33
Просмотров 1,1 тыс.
SABABU 4 ZA MTU KUMNYANYASA MWENZI WAKE | Deo Sukambi
32:32
КТО БОИТСЯ КЛЕЩЕЙ?? #shorts
00:18
Просмотров 2,1 млн
Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa
13:33
Просмотров 250 тыс.
SIRI NNE (4) KUHUSU MAUMIVU |  DEO SUKAMBI
45:38
Просмотров 3,9 тыс.
MAMBO 4 YANAYOATHIRI NGUVU ZA KIUME | Deo Sukambi
46:36