Тёмный

NAIBU KATIBU MKUU BARA MHE BENSON KIGAILA KULISAIDIA JESHI LA POLISI 

Chadema Media TV
Подписаться 205 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 174   
@akramissa3393
@akramissa3393 6 дней назад
Safiiiii! Nimezaliwa katika Familia ya Ccm ila nimetokea kuichukia sana kwa moyo wangu wote, kimekua chama cha ajabu sana, hamna utu. Nimehimiza with a serious order watu wote under my roof hamna kupiga kura hata moja kwa mwana ccm
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 6 дней назад
Ndugu yangu nani kakuambia kura zetu zitaamua mustakabali wetu? Katiba mpya tu ndio itatukomboa la sivyo tutatawaliwa na ccm hadi kiama.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Iyo ni sahihi chama hicho kimepoteza sifa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 дней назад
Pingu zinamilikiwa na vyombo vya usalama ! Polisi. Magereza.. Usalama waTaifa..! Ni kielelezo kwamba kuhusika kwa wamiliki wa pingu kunaashiria kuhusika na matumizi ya pingu kwa mkamatwaji nk
@thadeovitus3435
@thadeovitus3435 6 дней назад
Fumbo mfumbe MJINGA mwerevu atang'amua!! WATANZANIA wameelimika!! Sio kama zamani!!!
@thomasmsenyele2940
@thomasmsenyele2940 6 дней назад
Qq
@JoshuaJulius-m5w
@JoshuaJulius-m5w 6 дней назад
Sativa awekewe ulinzi hawa jamaa wanaweza kuja kumalizia kazi yao ili wapoteze ushahidi na polisi wasiruhusiwe karibu nae alindwe na watu wengine masaa 24
@leokamil6284
@leokamil6284 6 дней назад
Kweli kabisa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Sahihi aekeww uulinzi mkali
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 6 дней назад
Mungu keshawapa jibu la utekaji baada ya kumnusuru saliva,
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 6 дней назад
Serikali inahusika na utekaji maana Kila anaye ikosowa serikali anapewa vitisho mwisho kutekwa
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 6 дней назад
Naombeni samia achunguze kuhusu elimu yake
@aloycetarimo4632
@aloycetarimo4632 6 дней назад
100%
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 4 дня назад
Mpuuzi tu fulani
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 6 дней назад
SAHIHI KABISA ULIYOYASEMA BENSONI .
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 дней назад
Msipate shida, aliechora ramani yote ni PETER MSGWA,huyu ndie mhusika
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Kasema nani kama yeye ni muhusika kiuchunguuzi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 дня назад
Subiri uchunguzi. Msigwa anamjua nani ili wapange issue hii lakini pia ili iwe nini.
@JumaMkiji
@JumaMkiji 6 дней назад
Ongea baba
@mpendamema3694
@mpendamema3694 6 дней назад
Ben mshipa wa uoga umekatika hapo namuelewa sana😂 hakuugua maleria 😢
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 6 дней назад
Wamutekeni kwanza abdul mtoto wa samia
@ktk-ke7mh
@ktk-ke7mh 6 дней назад
ivi kwa nn ety wasimbebe na yey
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris 6 дней назад
😂😂😂 haya maisha bhana!!
@FurahaNelson-z6c
@FurahaNelson-z6c 5 дней назад
Huyo hakimu anapewa maelekezo na polisi inchi ya ajabu sana
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 дней назад
Mtu alieshuka na mzee kibao kwenye bus,inasemekana alikuwa MSIGWA
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Inasemekana sio lauli ya Ushahid wa kutosha
@user-ky8ux9yu7f
@user-ky8ux9yu7f 6 дней назад
Wao wana uwezo wa kuteka na sisi MUNGU ametupa uwezo wakujua kinacho endelea ktk inchi,yote haya MUNGU amenyamaza Kama hayaoni,mjue hizo ni laana juu yenu pamoja na familia zenu, mnazo zihangaikia.
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 6 дней назад
Kuna ombwe kubwa kwenye uongozi wetu. Mama kaupiga mwingi hata kudhulumu uhai ni kuupiga mwingi. Ni dhahiri wana wake kuongoza Taifa bado sana. Binafsi sintompigia kura mwanamke yeyote aniongoze
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 дней назад
Mfumo dume
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 6 дней назад
Mfumo dume
@f.a6043
@f.a6043 6 дней назад
Sio vibaya wakitawala hadi kiama lkn baada ya kiama nawao watatawaliwa milele na ibilisi muovu shetani milele kwenye jehanam 👹👈🏼 ya moto🔥🔥🔥 hapo ndio watajua dawa ya moto 🔥 ni moto 🔥🥵🥵🥵
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 6 дней назад
Mungu tusaidie viongoz wametugeuza Sisi wananchi wake niwakutolewa kafara mungu ingilia kati wanao tumekosa wapi
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 6 дней назад
Heeee nimepumua maana kifua changu kilijaa hasira kwamaelezo haya yamejitosheleza bila kupepesa macho kweri hapo pana utatu wa uharibifu na hawa ndio watekaji halisia kwa maelezo haya chadema mmenitibu jeraha tuone serikali itasemaje hili ,,kwasasa ninaimani na chadema 100%
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 дней назад
Mungu amependa kuwaonyesha hili jambo liwe hadharani....
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 дней назад
Nchi inahitaji kubadilishwa mfumo wa Uongozi.
@msadikijustinekimaro8073
@msadikijustinekimaro8073 6 дней назад
Kwa ujasiri huu, mficheni Sativa ikiwezekana, hata Nje ya Nchi maana hao wasiojulikana wanaweza kumuua ili kupoteza ushahidi, msijiamini Sativa si salama Tena fanyeni haraka.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Wewe ni nani unasema nini na ni ni unakusuudia eti (SATIVA AFICHWE) hatuwezi kushika ilo wazo kama ni ujinga ndio na kama upumbavu ndo namba moja ataabaki hapa na itakua ni Kielelezo cha kuwatia hatiani watesi wake
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 4 дня назад
Inaumiza sana,watekaji wakibainika wafukuzwe misikitini na makanisani.
@SedekiaIsrael
@SedekiaIsrael 3 дня назад
Nakubali sana kigaila
@LamaLama-rf6xu
@LamaLama-rf6xu 6 дней назад
Safi sana Kamanda Kigaila. Waanze kumkamata na kumchunguza yule kijana wa ccm Kagera aliyetamba mbele ya MKUTANO wa uvccm, na kuwaambia polisi wasiwatafute watu wanaopotezwa na wao uviccm!!
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 6 дней назад
Mzee wetu KIBAO aliemuuza ni PETER MSIGWA
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 дней назад
Nchi hii kibokoooooo haki hakuna kabisa Tanzania Polisi inauwa wananchi wake kiaa Vyama vya Siasa
@tanzanite9944
@tanzanite9944 6 дней назад
Una ushahidi au unasikiliza Porojo na kulishwa matango Pori na ukaingia line.
@Mosmwampa
@Mosmwampa 6 дней назад
​@@tanzanite9944yaan watu wanatekwa na kuuwawa unasema unasikiliza porojo, ila haishangazi maana mshasema ni mambo yote ni drama. Majambazi wakubwa ninyi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 6 дней назад
​@@tanzanite9944chizi wewe chawa roporopo
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm 6 дней назад
Wewe unaona porojo
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 6 дней назад
​@@tanzanite9944Wewe una ushahidi kwamba hawahusiki? unataka ushahidi gani ujue kwamba wanahusika?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 6 дней назад
Hii nchi amani hakuna tena kila mtu hana uhakika na kesho yake,mioyo ipo juu juu tu,,kifupi Rais tuzingatie tunaumia sana tunaposikia haya matukio😢😢
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 6 дней назад
mama au baba mzuri wa familia ni yule anayejua wajibu wake kwa familia yake,ikiwepo kuhakikisha shibe, afya njema,malazi na usalama wa familia, vinginevyo atakuwa mzazi wa aina gani?nasi watoto tukishagundua tabia ya wazazi wetu ni jukumu letu kumuomba Mungu atupe marifa na kujipanga jinsi ya kujiongoza na kujenga msingi imara wa kesho ilikuhakikisha kizazi tunacho kijenga kinakuwa bora natutapata wazazi wazuri kesho,tukizubaa imekula kwetu, tukutane 2025 tuijenge kesho yetu for the benefit of present and future generations
@DayanaSuphian
@DayanaSuphian 6 дней назад
ila msisahau mama amenunua silaha mpya za kivita 😅😅
@GoodluckNjau-km3ym
@GoodluckNjau-km3ym 22 часа назад
Watanzania tumeanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe inaa maana Tanzania hakuna amani kama watu wana tekwa na ku uwawa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 дней назад
Hkuna uchunguzi utakafanyika na mapolisi wa ccm, hiyo ndio kazi zao kutesa wananchi, nchi inahitaji KATIBA Mpya na Sheria mpya.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 6 дней назад
Kuna lisenge. La fisiemu lifisi limsukule linatukana
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 6 дней назад
Tufanye maandamano kupinga utekaji, laa sivyo kwenye uongoz wa samia tutakwisha, hata watalii wameshaanza kuhamia kenya, watanzania hatuna amani, bali tunaishi kwa uvumilivu.
@eunho9529
@eunho9529 6 дней назад
polisi wasicheze mchezo wa kuigiza, kisa cha sativa hata ukimpatia mtu asiye na elimu ya uchunguzi atajua nani alihusika na nani mhusika wa matukio ya namna hiyo.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 6 дней назад
MAMBO YANAZIDI KUWA MUBASHARS😂😂😂😂😂
@hijasaid7606
@hijasaid7606 6 дней назад
Nashukuru umenifundisha kitu Leo baba
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 4 дня назад
Lakini yote haya ni matokeo ya SAMIA kukubali kuwa Raisi kikatiba, sasa GENGE alilolibwaga likiongozwa na KOMREDI mzoefuuuuu kabsa sasa watamfanya aonekane hafai ,,,💯 na hii itamla mpka achie ngazi wanahela hao
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 дней назад
Waziri wa Mambo ya Ndani jiudhuru tu kama hayati Ally Hassan alivyojiudhuru kipindi cha Mwalimu Nyerere Baba huyu hakuwa na makosa kamwe alikuwa Muungwana
@tanzanite9944
@tanzanite9944 6 дней назад
Acha Ujinga.. Waziri anahusika nini na majambazi? Sema achukue hatua na sio kujiuzulu.
@user-zo9ti2xe1z
@user-zo9ti2xe1z 6 дней назад
hatua gani ndugu na kila cku hatua kiukweli km hatutaki matatizo wacheni mambo haya siasa
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 6 дней назад
Ajiuzuru, mpaka Sasa kashindwa kuchukua hatua zinazoeleweka,hadi utekaji umekithiri.
@JumaMkiji
@JumaMkiji 6 дней назад
Kwani awajui wanafanya kusudi wauaji wanajitokeza mbakamitandaoni wao wanakaa kimya kiboko Yao kujitoa muanga Kwa maandamano ya mapambano
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 6 дней назад
Mauaji ya Kibiti/Rufiji yalivyokithiri hayati Magufuli alimtengua IGP Mangu.Lakini mama anashindwa kumtengua huyu IGP kuendelea kulipwa mshahara na posho zinazotokana na kodi za wananchi,wakati IGP kashindwa kudhibiti uhalifu wa utekaji wa Wananchi hao ndo wanataabika kwa kutekwa na kuuwawa.Hii ni dharau na fedheha kwa taifa.
@samsonrusagira5168
@samsonrusagira5168 5 дней назад
Kama kweli polisi wanachunguza suala la Sativa mimi natarajia Polisi waliokuwa zamu pale Oysterbay wanapaswa kuwa wako ndani watekaji watajulikana tu kwa kuwahoji hao walioķuwa zamu hapo Oysterbay.Hawawezi kufanya hivyo basi wanaficha jambo na Rais Samia hatapewa taarifa yoyote ya maana.Polisi hawawezi kujichunguza .Wao ni watuhumiwa.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 6 дней назад
Umeongea kwa uchungu sana. Sasa ninachoshangaa eti wewe tena ukaisaidie polisi!!! Wahusika si wapo? Sativa yupo, Mbwana wanae, waanzie hapo.
@ErastoNzibonera
@ErastoNzibonera 6 дней назад
Huu ushaiidi unaukweli asilimia100000000000
@user-zo9ti2xe1z
@user-zo9ti2xe1z 6 дней назад
mm nipo na akili ndogo sn ndio mpk leo nashukuru na ishi kiukweli siasa za tanzania dah noma sn hao bac wachieni watawale cku zote bac
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Chadema nyinyi ni wakali kwenye kuongea lakini hamutendi kweli wao wanaua wanaumiza na kuteka wananchi wanachama wa chaddema kisha munacheka naoooooo vp PEOPLE POWER haionekani kwenye utekelezaji
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Mimi ninacho kiona hapo ccm ndio wanahusika kwa asilimia 60% kutokana na yale wanayoyasema wenyewe kwenye mitandao chinjachinja vip tusianze nawao
@user-ky8ux9yu7f
@user-ky8ux9yu7f 6 дней назад
Basi jeshi la polisi sio professional mpaka inafikia sisi wanainchi tunawafundisha.
@leokamil6284
@leokamil6284 6 дней назад
Wapo na intelejensia tu wanapotaka kuwahujumu Chadema. Ila kwa mengine wanahitaji uchaguzi wa raia ndio utashangaa wanalipwa kwa nini ?.Walipompa Mbowe kesi walijuaje ?kama walijua yote yale basi wanataka ushahidi wa raia kivipi
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 6 дней назад
Na vitambulisho wanavyo onyesha vya polisi wamevitowa wapi vitambulisho vyakazi jamani niwawo tupige kampeni wanatuteka ili tuwe wawoga
@BadiFakibadi
@BadiFakibadi 6 дней назад
Wanajua kira kitu wamezowea kujitoa ufahamu
@TumahSaid
@TumahSaid 6 дней назад
Wakianza wao nchi itaingia barabarani
@The1979bornagain
@The1979bornagain 6 дней назад
Mimi nafikiri hata Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuchunguzwa kama ni mtu kweli hata akawa Rais au tunaongozwa kiumbe chenye sura ya mtu tu?
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 дня назад
Kwa sheria gani mamlaka hiyo police
@egdldm4981
@egdldm4981 6 дней назад
Hata kifo cha Magufuli tulipohoji juu ya kifo chake na kutaka uchunguzi ufanyike, si tuliulizwa na Samia mwenyewe kama tuna ushahidi?
@user-ky8ux9yu7f
@user-ky8ux9yu7f 6 дней назад
Hii wanainchi tumechoka.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 6 дней назад
Au nasisi tuteke watoto wawo ili waone maumivu jamani mimi nawona vita mbele ccm hawataki kutoka na wanasema kila siku watamaliza wasemaji ili watu wazofike
@hijasaid7606
@hijasaid7606 6 дней назад
Mama kamtumbua yule hafai
@GerrardLaizzer
@GerrardLaizzer 6 дней назад
Daaa😭😭😭jaman hii sio sawa ni vile tu cc ma chicken
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 5 дней назад
Hawajataka, walitaka siku moja tuu wanawakamata watekaji na wauwaji.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 дней назад
👍👊✌️.
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 дня назад
Uyo mama nae ni mshenzy kwa nini aspige kelele
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 5 дней назад
wana chadema tunaomba maandamano ya kila mkoa kwa kila alie potelewa na ndugu yake atoke na picha nchi nzima muone tatizo lilivyo kubwa na watu watawaunga mkono rejea mikutano ya makonda kila mkoa watu wamepotea sio chini ya watu watano
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 5 дней назад
Mahakama zenyewe zipi.........?
@Stevenmwanisawa-dt5vb
@Stevenmwanisawa-dt5vb 6 дней назад
Kwa hapa ata mtoto wa darasa la kwanza anaweza kukupa jibu kwa haya matukio
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 6 дней назад
Km kombo aliambiw kajeng eneo la mtu . CCM ndo imenunua hlo eneo au ? Mbna mnahusisha vtu wkt jibu mnalo .c ugomv wa ardhi huo?
@user-oh4vs2fs2v
@user-oh4vs2fs2v 3 дня назад
Amesema ukweli, Rais alisema, wachunguze na matukio mengine kama hayo, ni vyema waanze na hao waliotekwa kipindi Cha nyuma AMBAO maelezo Yao Yako wazi waliitwa na nani mpaka wakatekwa huko, Ina maana wanatumia kauli za mitego, wakimuita mtu kupitia mtego kumbe ndio njia ya kumkamata, waanzie hapo kabisa
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 6 дней назад
Dunia inaangamia Mungu utusaidie ktk hali ilivyo kwa sasa ni mbaya
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 дня назад
Kwa mtu mwenye akili huu mkakati ni watu wanaupanga kutuaribia nchi polisi kuweni makini hayo yote kayasababisha rais kuachia mamikutano watu hawafanyi kazibkazi ni kyandamana tu
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 6 дней назад
Hemu chadema sikilizeni mumelala sana amkeni ni vip mtu anakamatwa na vijana wa ccm kijiwe cha boda halafu aoo watu walio hapo boda wenzake Wan aangalia tuuuu n ivip kama ivo inatokea hemu watangazieni MGUU SUPU ao ccm
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 5 дней назад
Anaweza kuwa alikata ticket lakini LABDA hakuandika jina lake halali. Sidhani kama mabasi wanahakiki na vitambulisho wakati wa kukata ticket. So aliyejeti Nyuma ya Mzee Kibao anaweza asijulikane LABDA Sasa mabasi yawe na camera.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 6 дней назад
Eti viongozi kama hawa ndo wapewe waongoze nchi chadema hawana viongozi wenye sifa ya kuongoza nchi wana watu wenye vichwa vibovu kama hili zezeta kigaila
@SedekiaIsrael
@SedekiaIsrael 3 дня назад
Msenge tu wewe kafie huko
@henerichmombury2682
@henerichmombury2682 6 дней назад
ALLAH Hutenda aonavyo inafaa. RAIS WETU KUMBUKA MANENO YA MHE. GETRUDE MONGELA. JUU YAKO. BINAFSI YAKO ULIWAAMBIA WALIOKUWA WAKIITWA MABEBERU KUWA : HAIKUWA KAZI RAHISI KUFANYA KAZI NA MTANGULIZI WAKO. MWISHO MSIKILIZE KIGAILA WA CHADEMA.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 5 дней назад
anae simamia account zote za chadema hasomi comment na ajibu
@estambuya3901
@estambuya3901 6 дней назад
Polisi wanahusika,usalama wa taifa wanahusika, ccm wanahusika.
@JumaMkiji
@JumaMkiji 6 дней назад
Nikweli kabisa wanausika
@RajabuSeify
@RajabuSeify 6 дней назад
Je wewe kama pia kwa vile huwaamini jeshi la polisi utaajiri wakwako wafanye upelelezi.hutoshi ndio maana chadema kuchukua nchi nivigumu tuonane kwenye majukwaa ccm oyee subiri😅
@travellahmsafirihiphop5325
@travellahmsafirihiphop5325 6 дней назад
Dah ukweli ni kwamba chadema ni mkombozi wa nchi hii inawatu wenye akili nyingi sana
@paulombay6884
@paulombay6884 6 дней назад
Mbn kama rais ndo anajua kila kitu afu anajifany mzur
@henerichmombury2682
@henerichmombury2682 6 дней назад
KUMBUKENI TUKIO LA ZACHARIA MWEMYE MABUS KASKAZINI. WALIOMKAMATA. WALIPOZIDIWA NA BODABODA WALIJISALIMISHA NA KUTHIBITISHA NI KINA NANI. ALLAH SHUSHA DUWA YA UFAHAMU KWA WA TANZANIA ZAIDI.
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 6 дней назад
Mm sitaki kuamini watu wote tz kwamba hatuwafaham hawa watu na tunaishi nao, kwan pale gar lilipocmama hakuna camera yeyote wakavujisha video tuanze kuzoom
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 5 дней назад
tatizo chadema hamsomi maoni
@henerichmombury2682
@henerichmombury2682 6 дней назад
UTEUZI WA IGP NA DCI KWA NIA NJEMA YA RAIS WETU . UTAFANYA WANANCHI WATIE SHAKA. .
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 6 дней назад
Jamani ccm ndo selikaliyenyewe na wasiyojulikana wapo ndani ya selikali jamani ninani anae miliki bunduki kama siyo waoo ! Siyo swala la kujiuliza jibu tunalo wote
@fr.edgarngowiosa6599
@fr.edgarngowiosa6599 6 дней назад
Mark my words: Kombo Mbwana hawatamuachia akiwa hai. They are just making a delay of time to hide evidence.
@AlexMkwama
@AlexMkwama 6 дней назад
Ni majira ya kuiombea Nchi yetu
@paulombay6884
@paulombay6884 6 дней назад
Tuandamane tu tanzania yote
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 6 дней назад
Muogopeni Mtu anayejifanya mpenda Watu kumbe nikiumbe Mbaya sana. Tumezoea kusifu nakuwa wanyonge. Waaminifu Hakuna ktk Nchi yetu Ule usemi wa Ndugu umekufa Sasa ni kujiadhari yoyote haaminiki ni adui Wako
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 6 дней назад
Ushauri wangu tujkite kuchunguz kwann polis wanatek wat ama kuwaua kabisa? Hpo suluhu itapakana, huend wtu ndan ya Chama chochote wanachuki zao wanatek hku wakjua ccm ndo itachafuliwa ( serikali)
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha 6 дней назад
Sio kosalako kusama hivyo subiri Baba yako Mama yako Mtto wako watekwe ndo akili itakupanda pumbavu sana wwe
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 5 дней назад
Una ulinzi??
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 6 дней назад
WAZIRI HUSIKA AJIUDHURU TU,NAE NI TATIZO KUBWA.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 6 дней назад
Waziri amefanya kosa gani? In maana aziri akujiuzulu ndio tatizo limeisha? Huna Akili..
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 6 дней назад
​@@tanzanite9944wewe ndiyo huna akili na elimu kiongozi kujiuzulu ni kuonyesha kutofurahiwa na utendaji wa walio chini yake mfano ni Hayati Ally Hassan Mwinyi alipokuwa waziri wa mambo ya ndani kwa mauaji ya Shinyanga Lowasa alijiuzulu kwa swala la Richmond nk
@Mosmwampa
@Mosmwampa 6 дней назад
​@@tanzanite9944kwahiyo Kwa akili yako nani awajibike katika yote yanayotokea, Rais au waziri
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 6 дней назад
Benson
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 6 дней назад
Sativa c aseme nan alimtoa Ostabay hd katavi? Mbn simple tu jmn c ypo hai !!
@leokamil6284
@leokamil6284 6 дней назад
Humu you tube Sativa kasema yote tafuta utaona
@Veni584
@Veni584 6 дней назад
Askofu alisema unapokamatwa piga picha lakini hatuelewi, kibao kakamatwa hakuna aliyejishughulisha
@ubunifu113
@ubunifu113 6 дней назад
Huo muda wa kuwasha simu unaupata wapi? Wewe unafahamu mtutu?????? Kumbuka huwa ni tukio la ghafula
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo 6 дней назад
😂 pia kama watu wanakuja kumchukua mbele za watu nakuondoka nae na slaha wanajiamini nn Ina maana hiyo picha haito Sadia lolote kama hata mjadala tu bungeni spika aliona hauna tija huku ukweli unaonekana watu wanatekwa ili wanaichafua sana hii nchi mwisho tutaingiliwa na watu wabaya kwa kisingizio hicho hicho
@JohnSelelii
@JohnSelelii 6 дней назад
Wanakuwekea mitutu kichwani utapigaje picha mfano kibao ndani ya basi mchana kweupe watu wanaona abiria wengine na wahudumu wa basi walishuhudia halafu mmmh
@widimaelimushi
@widimaelimushi 6 дней назад
Jamani uwo unaoneka Ni mpango mkakati , chadema tembeeni kwa makundi na muwe na chochote chakulida kuweni makini Sana,
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 дней назад
Mfumo wa KIDIKTETA wa magufuli unaendelezwa.
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d 6 дней назад
Uchunguzi uanzie kwenu kwa mujibu doctor sla nanuku huyo mze sla chadema tunatekana
@eliapandamnkeni2155
@eliapandamnkeni2155 6 дней назад
Wehu
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 6 дней назад
Chadema jmn kwann hzo hatua zinazotarajiw kuchukuliw ktk tukio la kibao ,zisianze kwa wakin soka kwanz il tuwaokoe
@StephenMpallange
@StephenMpallange 6 дней назад
Nashauri Taasisi za Dini na Taasisi zinazohusika na Haki za Binadamu ziunde Tume Huru Maalum ya Uchinguzi wa Masuala yote haya ya Watu kutekwa,kupotezwa, na kuuawa.Tume ya aina hii ndio tuna Imani nayo ,Lakini Tume ya Police Watanzania hatuiamini.
@agustinoandrea6030
@agustinoandrea6030 6 дней назад
Nakunakiongoz mwngne wa ccm aliesema kua tukiwapoteza msiwatafute,kwnn hawajamkamata mpaka Leo????
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 6 дней назад
Naomba gata msingwa achunguzwe
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 6 дней назад
Chadema wamemtoa kafara alli kubao alaf wanakuja kutudanganya mbele ya spika pumbav sana hawa kenge!!
@leokamil6284
@leokamil6284 6 дней назад
Wao wapo above the Goverment hawakamatiki ?si wakamatwe
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 5 дней назад
Sawa. Mungu anakuona ishi miaka1000
Далее
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 12 тыс.
MAULID KITENGE PRESHA YAPANDA GHAFLA STUDIO KISA....
10:56
MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI
11:46
Просмотров 21 тыс.