Тёмный
No video :(

nako 2 nako - mchizi wangu remix 

Chibrav
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 1 млн
50% 1

bongo flava

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 477   
@yusuphcharles1497
@yusuphcharles1497 7 месяцев назад
2024 kama bado unaisikilizaga hii ngoma gonga like😂😂
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 6 месяцев назад
Bado tupo pamoja😂😂😂😂
@mohamedsalim6086
@mohamedsalim6086 6 месяцев назад
Pamoja
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 6 месяцев назад
Zamni watu walikuwa na mistar haswa
@criminalminds7723
@criminalminds7723 4 месяца назад
Inaonekana KAZI ni ngumu Sana kupat
@johnmsogoti8552
@johnmsogoti8552 3 месяца назад
Hi ngoma taisikiliza mpaka nakufa naipenda sana
@wayfarer7328
@wayfarer7328 2 месяца назад
Kama uko hapa 2024 leo hii wee ndio mchizi wangu na usininyime like❤❤❤
@All_school254
@All_school254 2 месяца назад
mchizi wangu
@kajoletarimo8056
@kajoletarimo8056 4 года назад
like za Chid benz zikowapi ?
@robinsonjames9711
@robinsonjames9711 Год назад
Big up Adam Mchomvu kwa kuunganisha hivi vichwa kwenye hii ngoma
@issamohamed6536
@issamohamed6536 6 лет назад
MOYO unanienda mbio kama unaendeshwa na Schumacher..... Niga one....
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 года назад
Kila nkiwaza mchizi wangu huenda anateseka.!
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 5 лет назад
Gonga like kama unaangalia hii ngoma mpka Leo 2019 hpo kwa playlist
@elifazmpozayo2930
@elifazmpozayo2930 3 года назад
Farid na chid benz wameua sanaaa big 🆙 2020 kama unacheki ngoma like here
@abdulmtausi6672
@abdulmtausi6672 7 лет назад
Mtoto wa Ilala,Chid benzzzzzzzzzzzzz,acha madawa kaka,mfalme uliyepotea kabla ya kuimarisha utawala,
@kevinmbokuh9092
@kevinmbokuh9092 5 лет назад
Sitangoja 2019, gongeni like machiz na mabeste doo...
@ronaldmwanakawa4943
@ronaldmwanakawa4943 Год назад
Hii sasa ndo mzuka,, old is gold old school bongo fan from Kenya 🇰🇪
@cheobaking1861
@cheobaking1861 5 лет назад
Semaa jiaa kma umecheki i dude 2019 zaid ya cypher!!!!!! Gonga like
@joelsule4111
@joelsule4111 5 лет назад
Mimi si mpenzi wa nyimbo hizi, lkn hii colabo ni noma sana!!! Hapa nimefurahia uhusiano mzuri kati wasanii wetu ambao unaweza kudhani pengine labda walisingeelewa kwa sababu ya ushindani wa biashara ya talanta zao. R. I. P Mchizi wangu @pancholatino, makazi ya milele yawe faraja kwako kwa matunda mema uliyotuachia duniani! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe!!!! Amen. 🙏🙏🙏
@mrrudeighayi7140
@mrrudeighayi7140 5 лет назад
Dah tupo kama kawa 2019 tinawakilisha IBRA ze hustle
@pakanyeusi8003
@pakanyeusi8003 4 года назад
2020 in the building likee twendeee sawaaa 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@jknurtiz
@jknurtiz 8 лет назад
this is the best track....I love tz hip-hop ....ila lord eyes kapitiliza saana
@ignasbrasius6989
@ignasbrasius6989 3 года назад
From konde communities! !!!!! Mchizi wangu boscooo respect sanaaaa jah bless tumalize mwaka Mtama Tanzania piga kelellel
@alexjulius2271
@alexjulius2271 6 лет назад
hii ndo hiphop sasa enzi zetu izo rashidi👏👏👏👏
@Mswahili-12
@Mswahili-12 3 месяца назад
08/05/2024 nani yupo hapa.
@athumanihamidu8673
@athumanihamidu8673 4 года назад
Hii sasa ndio hip hop yenyewe. Jamaa walifanya Poa sana aisee
@martindeogratius6547
@martindeogratius6547 5 лет назад
Gonga like kama umeiona hii ngoma 2019
@josephaugustino607
@josephaugustino607 5 лет назад
martin deogratius 03/07/2019
@gaspermagambo5997
@gaspermagambo5997 4 года назад
20/10/2019 kutoka Zanzibar
@stellamasero2580
@stellamasero2580 4 года назад
Mchizi Wang nan 2020 ngonga like twende mchiiiziii
@denisrugiga9742
@denisrugiga9742 Год назад
2023
@chuwaloonlinetv6672
@chuwaloonlinetv6672 5 лет назад
2019 Kama unaangalia hii vidéo gonga like twende Sawa
@Mosetyi
@Mosetyi 10 лет назад
hawa ndo machizi wangu... Bongo Hip hop at its best
@williamkalume4138
@williamkalume4138 2 года назад
Waha ndio machizi wetu
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 5 лет назад
2019 nawaona wakali wangu long time ago Like kama bado unaikubali Ngoma hii
@samtole
@samtole 2 года назад
This makes me miss my bongo niggaz! Ghetto boyz foeva!
@gabrielkavishe550
@gabrielkavishe550 2 года назад
The real best collabo HipHop...!!! Getto boys foeva...
@DonKhalifah
@DonKhalifah 3 года назад
Mzazi Willy M Tuva introduced this track in Kenya #HipHopTuesday kwenye #mambomseto #CitizenRadio much love Tuva
@gaza8479
@gaza8479 Год назад
B4 we had radio free africa every friday .Presented this hard stuff .
@agostnleon6685
@agostnleon6685 2 года назад
2022 najipata huku , Tbt Nzuri sana!!!! Kwa wale wanaoelewa hip hop Thumbs up👍👍👍
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 года назад
Mchizi wangu wa ukweli namjua kwenye mboni macho hayafichagi siri km sikendo mtaani mooh!
@tolumsukuma4850
@tolumsukuma4850 2 года назад
wewe ndio mchiz wang noma
@beathanyzacharia4022
@beathanyzacharia4022 Год назад
Mansulin aliua kinomaaa one love hppop 4 life
@trinity29chanell58
@trinity29chanell58 5 лет назад
Kama unaagalia hizi hits September 2019 gonga like milion kwa hip hop legends wa Bongo
@edgarmwambapa2789
@edgarmwambapa2789 4 года назад
Yeeeh
@kulwajames4178
@kulwajames4178 5 лет назад
Chid Benz mnyamaaaaa umetishaa 2019 💥💥
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 6 лет назад
temba mwehu kweli eti ukifaa na kiu baharini huo ni uzembee😅😅😅😅
@markoneofthebestmutuku6764
@markoneofthebestmutuku6764 Месяц назад
Umeona kumbe😂😂hakuna ujanja zaidi ya shule
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 4 года назад
Gonga like twende sawa kama umeagalia hii ngoma 2020
@capitainrogers741
@capitainrogers741 5 лет назад
Chidi Benz Best Rapper forever
@jumarajabu1479
@jumarajabu1479 2 года назад
Mchizi wangu 2021 unyama Sana 🔥🔥💯 jay ndunda ✌️
@johndugudichi426
@johndugudichi426 2 года назад
Still sounds fresh off the lab. Big up to all real solid dawgs
@athmanbakari5932
@athmanbakari5932 5 лет назад
Maad colabo😎 Tanzanian artists rule hip hop across east Africa.
@bonnieface1
@bonnieface1 13 лет назад
wazito wakiangusha vina vya kweli............big up machizi wangu wote..........iano.etc.kim.ngure
@Young_nyuki
@Young_nyuki Год назад
Nyindo machiz waaaangu 💥2023 bado tunaskiza 🇰🇪
@SayiMugana
@SayiMugana 2 месяца назад
Wendo mchizi wangu... 2024🔥🔥🔥🔥
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 6 лет назад
Binamu umeuwa vbaya. chid umenata na beat kinoma
@scariothagreat
@scariothagreat 3 года назад
Kama unaona chidbenze hanastail kuitwa legend (goat) 🐐 gonga like
@barrysila3729
@barrysila3729 Год назад
Mwanangu hio lazima
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 4 года назад
Chid unawaliza wengi wanaongalia hii ngoma.
@joemwangi2511
@joemwangi2511 Год назад
This was the real hip hop! Spitting 'em rhymes!
@gideonmathias9705
@gideonmathias9705 6 лет назад
Kama unaangalia hii 2018 gonga like
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 лет назад
Wadau wa hippop tumemis track kama hii ya true hippop madgo sasahv wanatuzingua
@wankyroshna5544
@wankyroshna5544 6 лет назад
Kama unangalia hii vitu 2017 gonga like
@drmike4201
@drmike4201 6 лет назад
Salute
@godlovekwayu1516
@godlovekwayu1516 6 лет назад
2018
@flowila82
@flowila82 9 лет назад
Mabovu na Fa wameua, Lolenzo mchizi wangu means my good G
@joshuamwepesi670
@joshuamwepesi670 5 дней назад
Inauma kuona dogo alipotea na lyrical brain,huu wimbo haukutenewa haki na media houses
@husseinrashid5046
@husseinrashid5046 6 лет назад
Weeeweee ndo mchizz waaangu..!!!...#team kubwaaaa
@noelkaaya4559
@noelkaaya4559 6 лет назад
Hipop imepoteza muelekeo...zamani ilikuwa really
@dullahkesi9547
@dullahkesi9547 4 года назад
Noel Kaaya yaa
@isaacmwaniki3281
@isaacmwaniki3281 Год назад
Hit of the hip-hop,I really love this song
@danydavid7461
@danydavid7461 4 года назад
This era 🔥🔥 2020 still here
@mfaumeakida4389
@mfaumeakida4389 6 лет назад
2018 still naona ndo zmetoka Jana yan.....really appriciated
@tundamanofficaly4874
@tundamanofficaly4874 5 лет назад
Mfaume Akida we ndo mchizi wangu
@ahmedh9882
@ahmedh9882 6 лет назад
R chuga hip hop Ndio ilipozaliwa bongo live. A town mpooooooooo ngaramtoni kwetu
@geofreyfelix86
@geofreyfelix86 2 года назад
MANSOUR dah asee 🔥🔥🔥🔥
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 2 года назад
Chid na Lord eyez wameua Ila ngwea alitakiwa kwenye hiii ngoma
@sashamoshi8964
@sashamoshi8964 5 лет назад
Chiddy fa jay mo mmetishAa
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 6 лет назад
daah king ngosha nakukubari sana daah nikifikiria hvi vchwa sijui ingekuaje hadi Leo ngwea chidi chuma
@zambonie86
@zambonie86 3 месяца назад
Nakumbuka A town kijenge ya juu mwaka 2004 pale maskani na kina Pizza, Wizzo, Issa, Jigga na Jaco. Nawamiss sana aisee.
@markoneofthebestmutuku6764
@markoneofthebestmutuku6764 16 дней назад
Ukifa Kwa kiu baharini huo ni unyonge ....# temba mwehu kweli😂😂😂
@gabrielsixtus1718
@gabrielsixtus1718 8 лет назад
hip hop collabo ni nuksi yan
@wesleyidah1401
@wesleyidah1401 2 года назад
This was agreat tune ...when real hip hop rule the world ....way back
@rabanikisusi386
@rabanikisusi386 4 года назад
Gonga like kuanzia 2020 hpo
@mkalimtz3804
@mkalimtz3804 6 лет назад
Noma sana chid $# we ndo mchezi wangu
@singlebaba1271
@singlebaba1271 5 лет назад
2019 gonga dore kama umemuelea Chid benz
@benedictpatrickwilliam2758
@benedictpatrickwilliam2758 4 года назад
Gonga like hapa kama bado unaangalia huu wimbo 2020
@brysonmusita8183
@brysonmusita8183 8 лет назад
R.I.P Ngwair Geez Mabov YP..
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 2 года назад
Machizi wanamwaga madini hip hop ilikuwa noma kweny tambo zetu.
@theictguru5791
@theictguru5791 5 лет назад
Chid Benz kaua sana kwenye hii ngoma
@albanbros7210
@albanbros7210 5 лет назад
Hii ngoma watu wamechana kama ugomvi.
@ibrahimason
@ibrahimason 11 лет назад
Kama unajua mistari...sikiza Mansu Li..huyu jamaa ni mdeadly!!
@eliuschonjo7706
@eliuschonjo7706 6 лет назад
G,,,,,,, mansul
@Berchiche14
@Berchiche14 15 лет назад
Mh.Temba hapa ameeleza poa kabisa maneno yake yanafunza,Chid Benz ana mikwara mchizi wangu kama kiuno na tako.Binamu yeye ni kitu kingine,Fid Q hapa amefanya kazi nzuri na wengine wote nawezasema good job men. Nyimbo ni kali imetulia sana.
@ayubueliudimlaga4993
@ayubueliudimlaga4993 3 года назад
Jay Moe ulitisha mzee baba, wale Weusi wanaojiita wanajua Hip Hop Hawawezi kabisa kutia spoko zao humu ndani
@timothyhandy2408
@timothyhandy2408 5 лет назад
datc hip hop xio wavaa vikuku na vibegi alafu wanajiita wanachana, this iz hip hop nat grasshopers of nowdays.R.I.P mangwear na geez mabov
@franksonsimchimba8845
@franksonsimchimba8845 2 года назад
Nataman steve to k angekuwepo ye ndo mchiz wang kama pingu na denso kalii sana hi ngoma
@nobertkavishe4304
@nobertkavishe4304 2 года назад
Ilikuwa booonge la kolabo💪 Wana kibaaao
@enilson1254
@enilson1254 12 лет назад
chidi benzzzzzzzzzzzzz!!
@MadHouss
@MadHouss Год назад
I'm here after khaligraph diss just to know Tanzanian hiphop.I must say Its good.
@westcijosh
@westcijosh 11 месяцев назад
Hii time tulikua juu
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 5 лет назад
Respect N2N..Nako2Nako
@AliHassan-fy6zk
@AliHassan-fy6zk 2 месяца назад
Respect kwa Mr kubanda
@stephenziro8530
@stephenziro8530 5 лет назад
Fid Q Chid Benz Mansu lii Temba Mwana fa Giz mabov Langa Adam mchomvu IBRA da husla Jay moo K wa mapacha **** Lord eyes Wapi nilikosea na huyo nilimuekea star ni nani 2019
@jumajasjas2925
@jumajasjas2925 5 лет назад
Baada Geez mabovu n Babou wa kitaa
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 5 лет назад
** ni Adili Hisabati
@oldskuladimuzabongo8873
@oldskuladimuzabongo8873 5 лет назад
Langa X huyo ni Babuu
@babasikander5760
@babasikander5760 4 года назад
Hakuna Langa humu ni babuu wa Kitaa huyo
@bboyem4645
@bboyem4645 4 года назад
Babuu
@contempo_builders
@contempo_builders 4 года назад
Chid ameua sanaaaaa... 04th May, 2020
@isacknicholaus9040
@isacknicholaus9040 4 года назад
Dude halichuji..2020 likes hapa🔥🔥
@miriamnicholaus4841
@miriamnicholaus4841 3 года назад
Anae sikiliza 2021 gonga like💋
@alexmuema6219
@alexmuema6219 6 лет назад
major tbt..back then when i was in high school...more love from 254...
@lulustephano8628
@lulustephano8628 5 лет назад
2019 nipe tano 😍
@jumahashim
@jumahashim 15 лет назад
WOW i gotta tell u man dis is 1 off d best hip hop mixes if heard from africa ... keep it up... bongo 4 life!!!!
@isaachamisy1308
@isaachamisy1308 7 лет назад
Mo Records producer Q the Don alidondosha Bonge la Beat.
@Curioustraveller254
@Curioustraveller254 Месяц назад
Jaymo is a lyrical genius
@maulidsaid9448
@maulidsaid9448 3 года назад
Nyimbo za zamani ziko poa sana, tatizo ni video zao nahisi vifaa enzi hizo hazikuwa na ubora mzuri tofauti na sasa🔥🔥
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 Год назад
Vifaa vya analogy na digital nitofauti ndugu
@yoram_5838
@yoram_5838 3 года назад
October 24 2008 hadi July 09 2021...🔥🔥🔥
@yassinabdy8962
@yassinabdy8962 5 лет назад
Mwanamziki wa zamani asie kuwa na maendeleo,wengine waja na kumuuacha ,acha mziki fungua kanisa ,hela za chap chap .
@christophernjoolay3337
@christophernjoolay3337 3 года назад
Yeah 2021! Bado tupo nayo, twende pamoja
@ashagichero3067
@ashagichero3067 Год назад
Love kwa "snichi"😂😂
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 7 лет назад
daaaah Hip Hop was really here I like babu nd J mo verse hongerreni xana nako2nako
@peterlothi9080
@peterlothi9080 4 года назад
👑 ni 👑
@brysonmusita8183
@brysonmusita8183 8 лет назад
Mansu Li Chid n Mo Killed it,Fid Q king wa Hiphoo
@kambua2547
@kambua2547 8 лет назад
love the chidy verse
@kevinevans9923
@kevinevans9923 6 дней назад
Chid Benz killed it
@sammbiu6692
@sammbiu6692 11 месяцев назад
Listening to this During Khali vs Tz epic beef 2023. Kwa Kweli Bongo HipHop ilitulea.
@emmanuelmushi2774
@emmanuelmushi2774 5 лет назад
2019 nimewa miss hawa watu
@tumainiyonah2595
@tumainiyonah2595 5 лет назад
2019 may mpooo gonga like tuelewane
Далее
Hawatuwezi (feat. Enika)
4:54
Просмотров 283 тыс.
REFLEX CHALLENGE vs FOOTBALL MACHINE 🙈😱
00:24
Просмотров 2,6 млн
Juma nature-Kisa demu
5:25
Просмотров 369 тыс.
Zali la Mentali Prof Jay fet Juma Nature
6:09
Просмотров 8 млн
Barua (feat. Daz Nundaz)
5:26
Просмотров 119 тыс.
Juacali feat Sana - kwaheri (Official Video)
4:14
Просмотров 3,3 млн
B.O.B & Micharazo - Shut Up (Kimya) [Official Video]
4:29
Elimu dunia (feat. Daz nundaz)
5:06
Просмотров 38 тыс.