Siku chache zimebaki tumalize 2023 tuanze 2024 happy new year in advance wote mnaompenda professor jay tunamuombeya maisha marefu na Mungu amuvushe mwaka professor na kumponya kabisa 🎉🎉🎉
Furaha isiyo kifani ilifanyika bonge la party, watoto uswahilini walibeba wali kwenye mashati.kama wakubali kuwa haya mashairi yalienda shule gonga likes zote za prof.
Nilimpa change,,,oooh no keep change una mawazo mengi itakufariji weekend. 🥂This verse hits deep❤️❤️. Hata Mimi nategea baraka zangu huu mwaka wa 2022. Eeeh Mwenyez Mungu ntumie zali za mentali huu mwaka
@@silaskamau364 skiza bwana kamau Hua wakati Kila mtu alikua Ni mkali usiulize wachuja nafaka wagosi wa Kaya,Daz baba,Johny walker,ngwea nk sio kama sasa Ni wasafi tu lakini mtu kuanza sema eti ahead of us time niku Andika maneno maana waona watu waandika tu sasa hio head of tym akiambiwa aseme hata hajui
I wake up daily alive alhamdulilah and start with watching this video it never gets old 🎉❤ Professor jay was mentor frl The 🐐 ever and Ever. Achana na wale wameanza kuimba nyimbo siku Karibu but professor ni mtu wa zamani Sana Keep up from Kenya 🇰🇪❤️ big fan.
Ilinipa Hela za kula maandaz na ice cream enzi izo ili goma limetoka,siku 5 tu Nlkuwa nmeshalikalili watu wanasema niwachanie then wananpa pesa,daaaah I was very young but nlikuwa na uwezo Wa kukalili nyimbo Kwa muda mchache Sana. Big up Kwa prof J.
Get well soon Kaka Joseph Haule. You are one of the greatest legends of East African Music. You have inspired many of today's popular artists in East Africa
This song really touches my bones whenever my ears land on it. It has a strongly concentrated message, nice beats and rhythm. The legend Prof Jay with the magician, Juma Nature💥Kenyan here🖐