Тёмный

NAMNA YA KUONDOA MATANGAZO (ADS) KWENYE SIMU YAKO!!!!! 

Simukitaa
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@AlkhajidioufYambo
@AlkhajidioufYambo 6 месяцев назад
Yanatesa sana hii video yako yenyewe imekuja baada ya matangazo,yaani video inayahusu lakni yanakuja tu 😮
@Merymtusy
@Merymtusy 2 месяца назад
Wewe mwenyewe tangazo unarudia kila kitu unaongea sana
@annastephen570
@annastephen570 2 месяца назад
😂
@abdulpires9091
@abdulpires9091 Месяц назад
😂😂
@boutrendy9983
@boutrendy9983 9 месяцев назад
Umetisha broh ulitatuzo lilikua linanisumbua cn yn
@khamissheni361
@khamissheni361 9 месяцев назад
ulivyoleta hlo tangazo ndo nikajuwa ndo tangazo lenyeweee 😅😅😅😅😅
@onesmomunuo2669
@onesmomunuo2669 9 месяцев назад
Kama mimi asee😂😂😂
@haslanclassic40
@haslanclassic40 7 месяцев назад
😂😂😂
@haslanclassic40
@haslanclassic40 7 месяцев назад
Nim kua nataka kulitoa kumb yy kaweka
@jossiewilliam
@jossiewilliam 4 месяца назад
😂😂
@mouzahal-alawi6474
@mouzahal-alawi6474 6 месяцев назад
Aisee..ubarikiwe sanaa.nimefanikiwa
@bumbuli4170
@bumbuli4170 9 месяцев назад
Maneno mengi pumba tupu huwez kwenda moja kwa moja
@mahamudmbukuchu5946
@mahamudmbukuchu5946 9 месяцев назад
Aisee ahsante sana ubarikiwe
@LucyKisia-nh7pv
@LucyKisia-nh7pv 4 месяца назад
Mbona kwangu yanazid
@caphrenpius4573
@caphrenpius4573 5 месяцев назад
Ubarikiwe
@OnesmoSimkanga-n8v
@OnesmoSimkanga-n8v Месяц назад
Mimi bado kaka
@muna1744
@muna1744 9 месяцев назад
Asante sana
@aishajaffari58
@aishajaffari58 9 месяцев назад
me kwenye app ya massage bado inagoma nimefanya setting zote ulivyo elekeza
@hamismahmood
@hamismahmood 9 месяцев назад
Unaongea sana go straight to the point...
@pendokileo7882
@pendokileo7882 Месяц назад
Unaongea sana mbwa wewe yani nimesubiri mpaka nimegairi
@fredymwichacha7072
@fredymwichacha7072 9 месяцев назад
Kaka uko vzr sana kwenye maswala ya smartphone umetisha
@deomchoraji5209
@deomchoraji5209 9 месяцев назад
Mbona me matangazo ya youtube bado yapo yanakuja
@ernestmtaju8850
@ernestmtaju8850 6 месяцев назад
Maneno mengi twende kwenye point
@FeliRoby
@FeliRoby 3 месяца назад
We mwenyewe unaongea sana kama matangazo yenyewe 😅
@fermysabun
@fermysabun 9 месяцев назад
Kwenye iPhone tuna fanyaje?.
@dionizkazimoto3706
@dionizkazimoto3706 9 месяцев назад
Tollu sela mnyama umetisha kaka
@BARAKAMLYAKADO
@BARAKAMLYAKADO 9 месяцев назад
Pigup sana bro
@dianaraymond3099
@dianaraymond3099 9 месяцев назад
❤❤❤ mwana kitaa😊
@FranceJickson-nk8bn
@FranceJickson-nk8bn 3 месяца назад
Ww mwenyewe jitaftie namna ujifute matangazo
@aquatic807
@aquatic807 9 месяцев назад
Na kwa iPhone tunafanyaje mkuu
@rahimsaidpagweje828
@rahimsaidpagweje828 9 месяцев назад
Bravooo 🎉❤
@AnkoKamwene
@AnkoKamwene 9 месяцев назад
Saw saw broo
@JoyChoice
@JoyChoice 9 месяцев назад
Umetishaaa
@vannvannjokes2239
@vannvannjokes2239 9 месяцев назад
UMETISHA SANA MWANAKITAA✌️
@faustinemakona-vj9gj
@faustinemakona-vj9gj 9 месяцев назад
Uko sawa mwana kitaa
@alexjuvenary1955
@alexjuvenary1955 7 месяцев назад
unyama sana
@joycenyari4001
@joycenyari4001 4 месяца назад
save time go to the main point
@WitnessNyachi
@WitnessNyachi 9 месяцев назад
For iphone
@salumally9653
@salumally9653 9 месяцев назад
kwenye iphone unatoaje
@Adamlucas-nb5si
@Adamlucas-nb5si 4 месяца назад
Uwo ndo ujanja sasa maana nilikuwa nakeleka saaana
@shalianaurassa2286
@shalianaurassa2286 5 месяцев назад
Sie wa iPhone jamani dah yanakela sanaaaa 😢
@XeneorkidOfficialkid
@XeneorkidOfficialkid 4 месяца назад
Bila shaka wewe ni muhaya
@ProphetQueen-mq6cu
@ProphetQueen-mq6cu 4 месяца назад
uweuna wakumbukka na wenye android
@WilfredyChuwa
@WilfredyChuwa 9 месяцев назад
Ss wenye iPhone vp 😢 jmn
@ChristopherPaul-yb7uy
@ChristopherPaul-yb7uy 4 месяца назад
Unazingua
@fadhiliwilly7364
@fadhiliwilly7364 9 месяцев назад
Unyama
@shaali57
@shaali57 9 месяцев назад
Kitaa kitaa kitaa kitaa 😂
@KIZAGATA
@KIZAGATA 7 месяцев назад
🤝🤝🤝
@henericotitus5590
@henericotitus5590 7 месяцев назад
Too much talking... try to be brief😂😂
@kishatotolbert1270
@kishatotolbert1270 9 месяцев назад
Na sisi wa iphone je
@HappyBabyKittens-wx2mb
@HappyBabyKittens-wx2mb Месяц назад
Unaongea sn
@ismailngwale3702
@ismailngwale3702 9 месяцев назад
Og
@hassanikilete4190
@hassanikilete4190 7 месяцев назад
Unaongea sana
@Joowzeyjp-rh4ux
@Joowzeyjp-rh4ux 6 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅
@faustinemakona-vj9gj
@faustinemakona-vj9gj 9 месяцев назад
🤝🤝🤝
Далее
How To Make $50,372 Per Month on Google (Complete Guide)
1:08:03
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 10 млн
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA SIMU USED
14:09
Просмотров 1,5 тыс.
USIUPDATE iOS 18 BILA KUYASIKILIZA HAYA
9:25
Просмотров 1,3 тыс.
Simu bora duniani na bei zake (2023-2024)
15:07
Просмотров 4,8 тыс.
JINSI YA KUONDOA MATANGAZO (ADS) KWENYE SIMU YAKO
4:14