Hivo vi cent kidogo kidogo vipokeee Nimemtuma Bashiri Akuleteee Na vinepi vya mtoto Pokeaah Karibu nitarud Ngojea Najua Mwanangu Hamjui baba, Toka nimwache tumboni miezi saba Jitunze we usije kuwa kahaba, Ukimbemenda mimi nitakubeba 🙌 That verse Bro 🔥🔥
20% upo simple sana... Yaani una kiswaswadu chako unakitoa kwenye interview huwazi wala nini.. jamaa you are so simple and Genius yaan unajibu maswali very simple
Shettan ananguvu sana kwann nimesema ivo uhalisia wahuu mziki wa bongo alpaswa huyu jamaa ndo aongoze mziki wabongo maana ukicheki nyimbo zake hazina upuuz kbx
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 nitarudi na roho yangu itawatokea kama nilivyo watokea zamani hii inahuzunisha sana bimana mda atapokua hayupo duniani kizazi chake kitafanya kama yeye inshallah mwenyezi Mungu akusaidie kudumu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏❤️❤️❤️❤️❤️🙏
Huyu cyo mbishi, huyu anajiamini sana, ogopa watu wanaojiamini, wanapitiaga mapito makubwa sana na hawawezi kumuomba mtu msaada wanaumia ndani kwa ndani😢
🇹🇿/🇺🇲💕💯 Mashaallah Interview yake Tamuuuuu Yaaniii Najikutaa Nina rewind over kumsikilizaaa. Yaani Yaani Vido na 20% Mmetishaa. Napendaa Tungooo za kisaniii za huyu kaka zimenyookaaa Sanaaa. Allah bless what you believe in yourself Brother 20%. 🙏
Hii interview ina message kubwa sana asa kwasisi vijana tunajitafuta .)))Tuepuke tamaa na fedha za masharti bora kula tembele la kuchemsha kuliko Nyama choma yenye masharti
Wasanii wa zamani wanaongeaga point sana angalia chidi chillah sele juma nature nk ila wa sasa hapo ingekuwa vijembe tu angalia mond harmo nk yani dunia inazunguka
@@puregamers4215 zinduka amsha akili yako acha kukalili fanya utafiti alieweka pumzi ndani yetu ndie baba yetu na tumefanyika wanawe kwakutii na kusgika sheria zake acha kugandisha akili