Unasikiliza nyimbo na stimu Kali kichwan ujue ukisikiliza maneno wanayotoa wasinii wazamani kweli bongo fleva ilikuwa inatendewa haki unajikuta mtu mpaka machozi yanataka kutoka sio wasanii wasikuizi wanapiga kelele tu..... Yani wasanii wasikuizi maneno yakiwa mazuri bac biti baya na biti likiwa zuri bac maneno ya nyimbo mabaya tu matusi tu Yani tafarani