Ndio halingi ata mimi kipindi kabla hajatoka wakati uwo alikuwa anatafuta sapoti jaman alipiga jitaa paka tulimpenda na mama mdogo walitowa na namba zake nikamcheki akajibu vizur tu nilimwambia tukijaliwa nitakusapiti ata kununuwa sidii nikaja shangaa badaye akaja kuwa star
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Jp2P5xhqWFc.html Karibu usikilize wimbo wako kwani huyu jamaa anamaajabu. Ni mtu wako wa nyumbani. Usiache🔥🔥🔥
Kwan nandy ni nani Yani..kwamba Nandi ni mzuri Sana mbona wa kawaida tu..Halafu umeielewa interview?..Mana mana mbona kama umehisi mapenzi wakat mwenzio walikuwa wanajadili kuhusu kazi.