Тёмный

Nazlin Umar Afichua Yote Kuhusu Uhusiano Wake Na Aden Duale 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 414 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@brianmugo9341
@brianmugo9341 6 лет назад
Kielelezo chema kutoka kwa Nazlin na Duale... As Kenyans we should make love more amongst ourselves than war.
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 лет назад
😅😅hivi ndio doh za serekali zinaendanga zinajenga mapenzi sio nchi
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Maureen Muhonja umemsikia gidi akisema angemwambia anataka meli hiyo ni sisi na huyo gidi too tutainunua.... mkenya atabaki 👉😬ushuru wetu ulifanya kazi gani kumbe ni ile meli
@loulox9694
@loulox9694 6 лет назад
haha she is an old gold digger
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 лет назад
+Happy Times😅😅😅😅kabisa. watu wanaabudu mapenzi aky
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 лет назад
+Happy Times😅😅😅sikuizi tutapatanisha gidi +ghost na hiyo meli
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Maureen Muhonja mapenzi ni balaa aki yakikubeba huna sei tena aki waaah hiyo ni kali
@shizzlemreal1811
@shizzlemreal1811 6 лет назад
Ukafungulia Duale server??? SMH huyo c mtu
@ivororuko6588
@ivororuko6588 6 лет назад
Shizzle mreal...hahahaa
@Okwirisam254
@Okwirisam254 6 лет назад
Shizzle mreal Heheheee 😂😂😂😂😂
@MJRashiid
@MJRashiid 6 лет назад
Hii kenya mafisi ni wengi haki
@madamboss348
@madamboss348 6 лет назад
I named my baby gal Nazlin she is very beautiful......but ukweli cpendi Duale 😂😂😂😂 Kwani huyu Duale hana wife ama n fisi😧
@stevebiko2101
@stevebiko2101 6 лет назад
sex lady really.
@fatumamoha5307
@fatumamoha5307 6 лет назад
Duale has three women more to marry according to his culture and religion. They are allowed to mary a maximum of four wives
@madamboss348
@madamboss348 6 лет назад
Fatuma Moha 😃😃😃😃😃age imekataa angeanza kuoa mapema 😂😂😂😂😂naona akitombewa na vijana wadogo
@ivororuko6588
@ivororuko6588 6 лет назад
sex lady....umenimaliza kwanza na hiyo comment yako ya last hehehe
@sheikhasaid3646
@sheikhasaid3646 6 лет назад
mapenzi ya kaimati.. sukari ya juu
@onsoch2144
@onsoch2144 6 лет назад
Nazlin RIP your leadership in Africa. But pia huyu Dwale we shall revisit coz yeye pia kama si godfathers wake wacha tu
@owangh86
@owangh86 6 лет назад
Password to nazlins serve is Lexus n a home...
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 6 лет назад
Do you love me duale asking.... Madem wanakubali lakin washindwa kusema yes
@سالمالسعدي-ز9ج
@سالمالسعدي-ز9ج 6 лет назад
Vile uko msupa ivi ukatolea Duale suruali wah gidi na nyinyi mmemuanika vibaya nyinyi hatari ghost hapo anapenda
@sofiaomar5088
@sofiaomar5088 6 лет назад
سالم السعدhuyo mama kizere msupuu gani aden anaweza pata wasichana wakisomali wazuri zaidi n.a. aden alikuwa anamchezea tu
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
I TABIDI NIMTAFUTE👣👣👣👣 DUALE NAMI ANI NUNULIE. NDEGE
@ndubivincent2823
@ndubivincent2823 6 лет назад
plz gidi nitumie number ya radio jambo plz lagant do smt.
@issaabdi9129
@issaabdi9129 6 лет назад
Anaruhusiwa four wife kwani kuna ubaya gani. kwani hawa hawana feeling to love Achene udaku.
@Okwirisam254
@Okwirisam254 6 лет назад
Ati hawa ndio ma leaders wana nyonjiii kwa ma phone hivi... Nkt
@ian_ochii
@ian_ochii 6 лет назад
I die
@ian_ochii
@ian_ochii 6 лет назад
😂😂😂😂😂
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Ww ulijitongoza mwenyewe duale alikua anakoroma tu kumbe hajui kukatia....... mulee umejipiga mdomo hapo 2:36...... nisiokotwe kwa hilo dimbwi la LOVE kupenda ni gharama
@mrsmuriukijubilletosha6537
@mrsmuriukijubilletosha6537 6 лет назад
Happy Times yenyewe unapenda hii kipindi twafanana good luck
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Good luck u too
@mrsmuriukijubilletosha6537
@mrsmuriukijubilletosha6537 6 лет назад
Happy Times Nani anafutwa mwengine nimetoka kwa denis mwenye amé witness ajali bado nikakupata hahaha
@samueljr9105
@samueljr9105 6 лет назад
Mrs muriuki jubille tosha eree ndio unani fuata coz unanipata nikiwa nishapita hehrheee tutakutana kwa room mahali haya
@mrsmuriukijubilletosha6537
@mrsmuriukijubilletosha6537 6 лет назад
Happy Times hahaha nimeasha bt Comments zako huwa poa sana. gdnt
@momfive8847
@momfive8847 6 лет назад
Those men who were talking abt nduale they are all stupit mwanaume mgani mzuri.bure kabisa ninyi
@narshaonaon2652
@narshaonaon2652 6 лет назад
Mapenzi Yana nguvu kuliko breakdown. Mkotiano ni uleule uwe mp ama gardener lugha ni Ile ile
@cawilcajabi9524
@cawilcajabi9524 6 лет назад
Islam allows upto 4 wives but forbids fornication and adultery hence he never committed a crime.
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 6 лет назад
Heheee team mafisi
@sheikhasaid3646
@sheikhasaid3646 6 лет назад
I think she set him up.. otherwise duale wouldn't be begging knowing he would expose himself. its an application to record all calls .
@marymary4357
@marymary4357 6 лет назад
3years
@rihannasulwe1702
@rihannasulwe1702 6 лет назад
Hehehehe huwa wanasema radio jambo n watu gani ? Hata vifaranga vimejua uhusiano wa Duale na kipenzi chake Nazlin
@owangh86
@owangh86 6 лет назад
Duale you've made me never to use this joke called love....yawa
@ekaleekwamjay3687
@ekaleekwamjay3687 6 лет назад
looks stage managed! to Kill some Story and as usual media is helping
@rihannasulwe1702
@rihannasulwe1702 6 лет назад
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣 kumbe mapenzi haina mwisho maserver zitafunguliwa Mara kadha waaaa watoto wameshangaa sanaaa!!!!!.😰😰😰🙈🙈🙈
@sheikhasaid3646
@sheikhasaid3646 6 лет назад
wah! ukipenda chongo..
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 6 лет назад
Team mafisi
@wycliffemurunga9181
@wycliffemurunga9181 6 лет назад
hapo sasa
@chuindovu
@chuindovu 6 лет назад
Sasa amekukula?
@mamahalima1117
@mamahalima1117 6 лет назад
Duale is ours he can never fall for you Nazlin...mind your steps
@eddieeddie5189
@eddieeddie5189 6 лет назад
Huu ni upumbavu watu wazima ovyo upto now na watoto wenu mulio zaa nao duale na mkewe nazlin na mumewe hao watoto wote sai wanawafikiriaje the wife aliezaa na wototo eee shit!
@everlastthomas3549
@everlastthomas3549 6 лет назад
Hey Nazlin, hiyo inaitwa immorality. Duale should not be majority leader, bad character.
@neemasheikh1682
@neemasheikh1682 6 лет назад
ester kadenyi lol saint are you ?
@linetmudengan4988
@linetmudengan4988 6 лет назад
Mtu kama duale ajui mistari anarudia do you love me ata appe inaishi server inajam lol.😂
@samstevebiko3930
@samstevebiko3930 6 лет назад
fungua server
@chuindovu
@chuindovu 6 лет назад
+ Sam Odiwuor..... i like that
@abdullahifarah8099
@abdullahifarah8099 6 лет назад
kenyans i think they are not resist but i knew now
@personaltrainingkenyadrazo2472
Insisting on how she is a leader and having an extra marital affair so shameless.
@akinyiokeyo4618
@akinyiokeyo4618 6 лет назад
Haki Ghost na Gidi....
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 6 лет назад
Even me I dont love duale
@abdullahifarah8099
@abdullahifarah8099 6 лет назад
we love duale and he is our hero and we are over 10 milions all wold how is that you are alone
@omarbardash1204
@omarbardash1204 6 лет назад
+Abdullahi Farah we love our hero Aden Dualle
@trassysee6629
@trassysee6629 6 лет назад
😁😁😁😁
@annickgalaxy8281
@annickgalaxy8281 6 лет назад
😂😂 dah and is this woman married or single...????
@marwaanmohamed7932
@marwaanmohamed7932 6 лет назад
Annick Galaxy she is single and her husband died
@philipngumbi4394
@philipngumbi4394 6 лет назад
Kweli mapenzi ni kama kikohozi hayafichiki..
@mamanyamiraKemmy2027
@mamanyamiraKemmy2027 6 лет назад
Annick Galaxy she is a widow
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂we
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@owangh86
@owangh86 6 лет назад
This Joke called love knows no position Order Order majority Leader you're misused this Joke overboard.
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 6 лет назад
wacha maneno mengi sema tu vile unaulizwa unampenda au lah?
@abdullahifarah8099
@abdullahifarah8099 6 лет назад
she sound like set up nice try
@margaretkimani1137
@margaretkimani1137 6 лет назад
😂😂😂😂
Далее
Распаковка Monster High Potions №4
00:46
Просмотров 50 тыс.
Game: Kiss, Marry, Slap With Nazlin Umar
6:37
Просмотров 4,6 тыс.
Tubonge Bila Kiki. Dan Sonko (Mental Health Warrior)
54:25
Распаковка Monster High Potions №4
00:46
Просмотров 50 тыс.