Тёмный

NCHIMBI ATOBOA SIRI "RAIS SAMIA AMEKATAA KWENDA KUHUTUBIA MAREKANI NA KWENDA RUVUMA" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 319 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

NCHIMBI ATOBOA SIRI "RAIS SAMIA AMEKATAA KWENDA KUHUTUBIA MAREKANI NA KWENDA RUVUMA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 часов назад
Hajaenda kwa Sababu kule anakuta watanganyika walioko huko wangempa za uso. Kwa sababu hatupendi. Huwezi kupenda watanganyika unauza lasilimali zao . Huko ni kupendwa? Ila kwa sababu unawafahamu kuwa watanganyika wanapenda uchawa kwahiyo ameona aendelee kuwafanya watanganyika wachawa wake tu.
@melch3097
@melch3097 4 часа назад
Marekani hata usipoenda watakusaka tuu, wanakuangalia tuu sasaivi, ikifika mda hawana utani
@starlily07
@starlily07 5 часов назад
Haoooooo, aibu yenu, mnajitetea ila sisi tunajua sababu iliyofanya asiende, shame on her, pyeeeeee
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 6 часов назад
Ni uongo marekani watanganyika hatumtaki hata tone
@MwitaTv
@MwitaTv 6 часов назад
Hajaenda kwa sababu kule marekani angeukizwa Maswala ya Mauaji angejibu nini ????, Ameona aende songea awadanganye wakubali arudi ikulu
@musa-v3f
@musa-v3f 5 часов назад
ameanza mwenyewe kujitaja kuwa ni muuaji/the guilty are always afraid damu za watu wasio na hatia zimeanza kumtafuna na bado
@CallwayBagamoyo
@CallwayBagamoyo 6 часов назад
Piga kazi
@deogratiusprosper4796
@deogratiusprosper4796 18 минут назад
Anavyopenda kusafiri hcho unachotuambia bwana Nchimbi ni uongo
@justicebridge
@justicebridge 40 минут назад
Siasa za kizamani sana za maji ya mfereji.angeacha kutuma prime minister
@mangarajumanne-op6oe
@mangarajumanne-op6oe 5 часов назад
Aende Marekani?? Democratic country!!
@lucianakweyunga8187
@lucianakweyunga8187 5 часов назад
Amefanya vizur Mana maswali yangekuwa mengi ,nimefurahi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 часа назад
Mama Rais Samia nimependa thumbnail ya hii clip..imetoka vizuri mno Samia binti yake Suluhu mama yetu MREMBO mnooo
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 5 часов назад
Nani akahutubie America? Anaeruhusiwa kuhutubia au kuingia Whitehouse ni nchi ya haki kaktika democrac
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali 5 часов назад
Tunakupenda mama yetuu🎉SAMIA MITANO TENAAA2025🎉🎉🎉🎉🎉❤
@musa-v3f
@musa-v3f 5 часов назад
usitumie neno tuna sema unampenda wewe peke yako muuaji wa watanganyika wasio na hatia
@ElibarikiMahonge
@ElibarikiMahonge 3 часа назад
Kabisaaa aseme yeye asitusemee sisi​@@musa-v3f
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 часа назад
Ndio tunampenda mwenye wivu ajinyonge
@barnaba3037
@barnaba3037 4 часа назад
Wananchi wa Mungu sio vinginevyo
@MichaelBahati-o8h
@MichaelBahati-o8h 2 часа назад
Na wewe ushakuwa jeraha kaka
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Час назад
Kule wangekutwanga maswali 😂na watz wangeandamana ubalozini 😂😂😂😂 kaogoa na nahisi hataenda kwa muda😂😂😂😂
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d 53 минуты назад
jamaa kama mtoto hana fact
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 2 часа назад
Hee yaan nyie ccm mnatufanya wajinga Toka ln atupende wakat alikuwa anaenda kila Kona ya Dunia tunaijuwa iyoo uchaguz umekarbia Ndo maana
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d 53 минуты назад
anajitekenya
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 5 часов назад
Kwani rais huwezi ukapanga siku nyingine ukaenda Ruvuma? Hata kwenda Marekani ni kutumikia nchi, acha kumpamba huyo rais muuaji. Aliogopa akienda NY ataulizwa maswali mengi sana kuhusu mauaji na utekaji na hana majibu ya maana zaidi ya kujiuna uma, ooh sijui wanajiteka wenyewe.
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d 54 минуты назад
angeanza kujiuma kwanza mpk asome😅😅
Далее
КАК БОМЖУ ЗАРАБОТАТЬ НА ТАЧКУ
1:36:32
How to win a argument
9:28
Просмотров 570 тыс.
WARNING to ADANI
16:32
Просмотров 6 тыс.