@gudfreygudfrey9080 Ulitoa ombi la kupata angaa likes 10 hivi umepata 39 chukua dakika yako moja tuu umshukuru Mungu kwa neema hiyo hii hapa shukuru sasa hhm 🎤
Ndaro suti na koti lako lipo wpi? Ukipiga lile na buti lako na kikofia tu ni ID tosha kua huyu ndaro. Ila frsh cku moja moja kubadilika sio mbaya. Tubaki ktk suti ytu ya mchongo. Steve🙌🙌🙌 eti c tumesoma wte katavi😂😂😂