Wala hata sioni ufahari kuongea au kuzungumza hiyo lugha ya Mkoloni unayoipigia Upatu. Lugha Mama yangu ni Kiswahili. Najivunia lugha yangu ya Taifa. Wewe unayejivunia lugha ya Wakoloni waliowanyanyasa na kuwatesa Babu zetu pole sana kwa kuendelea kuwa Mtumwa wa fikra . Jivunie chako si cha Wengine. Kuwa na Mkululo wa fikra na jitahidi kuwa na akili tunduizi. Bob Marley kwenye kibao chake cha Redemption song aliimba :". Emancipate yourself from mentally slavery , non but ourselves can free our minds.........."
@@omarisiliverio2965 Mpumbavu mwenyewe unayejivunia lugha ya Wazungu. Kwani nani alikuambia kemia haiwezi kufundishwa kwa Kiswahili? Acha umaskini wa fikra.