Hajra pisi Kali San wallah!!nikiokota fuko la hela ...popote halipo taoa ...hat km ameolewa tawapenda wote yeye na uyo bwana ake,,😄😄 nampenda San anajua anachokifnya San San big up
Nataka mujuwe ulayani ni umaskini Afilika njo paradise paradizo mwenyenzi Mungu alitupatiya vyote ,wazungu juhu yawivu wawo njo qanakuja kuchanganya vihongo
Munajuwa ni huruma saana watu wehusi kufikiriya ulaya ni pa zuri kuna maisha kweli ya kula chakula ya kujaziwa madawa,hewa mbaya maji mabayi kujazwa madawa imetugehuza ngozi nywele zinakatika na ngozi zimeharibika. Na
Ulaya ni umask8ni wandugu mubaki Afilika paradizo kama ulaya kuna vyote kwa nini wazungu wanazagaha zagaha ndenge kupanda kwetu afilika, ooooh afilika maskini. uwongo wazungu ni wevu saaanaaa roho mbaya za uhuwaji. Kwa hiyomupende afilika paradizo