Тёмный

KAULI TATA YA KIJANA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA BAADA YA AACHIWA HURU 

Baharia TV
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 356   
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 12 дней назад
Sasa fain iyo kalipwa samia au nani 😢😢😢 picha tuu milion 5 shikamoo tanzania
@talibsaid8096
@talibsaid8096 10 дней назад
Sheria ni sheria tu ingekuwa we we Mzee wako katukwanwa na mtu bila sababu ungesikiaje pia maisha magumu lakini kila usiku mko bar hamtaki kujishughulisha watanzania wacheni kuchezea amani waangalieni kenya ilivyo vurugu la muda mfupi lakini litawarudisha miaka kadhaa nyuma na Jawa mawakili hawana la kufanya
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 10 дней назад
@@talibsaid8096 tusi gani alio tukanwa pengine kachora vibaya picha kaamua kuunguza,, kusema wa tanzania hatu ji shughulishi unatulidha weye,, ukome labda wewe una maisha magumu mwenzio nishajenga na maisha yangu tuu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 7 дней назад
Kwahio wakenya wote wameshindwa baa?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 7 дней назад
Alitukana tusi gani
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 7 дней назад
@@user-wi8og3sv4j hapo sasa ana njaa huyu mkenya
@iddidandodando6063
@iddidandodando6063 12 дней назад
Safi Sana mliosimamia kuhakikisha chaula yupo huru,Hali ya maisha ni mbaya Sana.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 12 дней назад
Kuna mijitu ipo serikalini mijizi ya pesa za umma lkn hawakamatwi wala hawashtakiwi, huyu mnyonge amechana picha tu na kusema ukweli kuwa maisha magumu amefungwa, yaani nyinyi mahakimu mtakwenda kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea wanyonge
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 11 дней назад
Kabisaaa na watahukumiwa kama wanavohukumu wenzao
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 7 дней назад
Anaetukana na mlarushwa nani mwenye madhara zaidi?
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 5 дней назад
TRA ni moja ya wahalifu
@dulaabdallarashid
@dulaabdallarashid 11 дней назад
Kenya twachoma hadi bunge na hafungwi mtu nyie picha tu raisi amepanik
@denicegaspar9479
@denicegaspar9479 9 дней назад
😂😂😂😂
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 8 дней назад
Yupo sahih ndoman wamemchangia😅😅
@johnbidya119
@johnbidya119 8 дней назад
Democracy zero..
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 7 дней назад
Kenya hamjafungwa bali mliuwawa😊kufungwa na kuwawa vipi hapo
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 7 дней назад
​@@NuruJuma-zv3yzangekuwa angecomemti vip kakoment marehemu?
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 12 дней назад
Wacheni ujinga kwani amechoma picha ya Mungu mnaacha kushughulika na mambo ya maana kuna mijizi huko serikalini mbona hamuishitaki
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 10 дней назад
Iyo pesa ingeenda mojakwa Moja kusidia wananchi
@KASSIMMHILU-oh5ch
@KASSIMMHILU-oh5ch 8 дней назад
Yani 😀😀 MIMI ndio mana Adi umeme nimeweka wangu tu mana serikali Hamna kitu
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 12 дней назад
Huu ni ujumbe mwenye akili na aelewe watu wanaumia maisha magumu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 12 дней назад
Ni kweli yy kasema kweli maisha magumu shida ni ipi hata huku ulaya maisha magumu juzi tumepiga kura tumechagua kiongozi mwengine muhindi tumempiga na chini juu maisha magumu 😢
@floraflora5717
@floraflora5717 11 дней назад
Uyo kwaza. Sio raisa alipigiwa kura lini uchanguzi ulifanyika lini mimi naamini tuu tazania akuna rais rais alikufa atujachagua bado
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 10 дней назад
Kwa muujibu wa katiba ya Tanzania anapokufa raisi makamu wa raisi anachukuwa uraisi bila kupiga kura nyengine, kwani kawaida ya kura Tanzania mgombea wa urais na makamu wake wanachaguliwa pamoja kwa iyo ukisema hukumpigia kura unajidanganya,INSHA ALLAH mitano tena hata kwa shari maana kinachowauma ni asili ya huyo mama si jengine lolote wala hamukutarajia kuona raisi kutoka zanzibar lakini Mungu mkubwa ameficha tusivyovijuwa,kitawauma sanaaaaa na bado
@mariakabonga2
@mariakabonga2 10 дней назад
😂😂😂😂 yaani uko sawa kabisa
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 10 дней назад
We ni mijnga sana hatakama ujui kusoma hata picha huni​@@jumahamadomar9124
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 9 дней назад
@@jumahamadomar9124 huyo mama hafai
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 8 дней назад
yes,,nakuunga mkono na ndio maana Hana uchungu na ardhi yetu ama nchi yetu
@Amirimwashembe
@Amirimwashembe 8 дней назад
P1 na koment zte nzur za kumpongeza kijana au kuwapongeza waliomsaidia ila mm namuombea dua ya maisha yke usalama wake kua Allah amhifadh aise
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 12 дней назад
Watu wananyea Mavi picha ya Samia kwenye kanga mbona hamuongei.Sio kila mtanzania muoga.Safi sana bro.Salute
@nancolower_8032
@nancolower_8032 11 дней назад
Ujinga
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 7 дней назад
Na ya mama Yako ikifanyiwa mbele yako utasemaje samia ana familia yake
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 7 дней назад
Uyo sio Mama yako ukilala njaa hawezi kukuletea chakula ila Familia yake hawezi kuacha walale njaa.Sio Mama yangu ni raisi tu kama Marais wengine
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 7 дней назад
@@HappyBooks-dj6oy nakuuliz ni rais Lkn n mzaz wa mwenzako je angekuwa ni mama yako mzazi ungefurahia
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 12 дней назад
Kuna wezi wa CAG mnawaacha mnaenda kufunga mtoto
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter 11 дней назад
😂😂😂 mtoto😅
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n 6 дней назад
😅
@CeciliaShauri-vc7up
@CeciliaShauri-vc7up 10 дней назад
Kweli maisha ni magumu mno. Kuna baadhi wanakimbiwa na waume zao, mama wanabaki na watoto kwa mateso makubwa. Mungu tusaidie hatujui kesho yetu.
@harshkirit6780
@harshkirit6780 12 дней назад
Safi sana. Hongereni watanzania wenzangu kwa kumsaidia ndugu yetu.. kuna mijitu serikalini wanatunyanyasa wananchi. Haya sasa wajiandae 2025 kama watapita hayamajitu PIPOZ PAWA...HAPO SAWA
@jaybajay9973
@jaybajay9973 11 дней назад
Watapita maana wasanii wa sanaa totauti tofauti eanampigia Debe
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 7 дней назад
Ingelikua Samia ni mama yako mzazi ungekuj kupongeza watu km unavyofanya juu ya mama w mwengin
@pyerinajilatu2884
@pyerinajilatu2884 8 дней назад
Mbarikiwe sana mnaojitoa kusaidia watu Kwa moyo wa upendo Atawalipa Mungu
@user-ex4rk2yx4s
@user-ex4rk2yx4s 12 дней назад
Musiwatukuze marais kama manabii
@user-do2id6pp4g
@user-do2id6pp4g 8 дней назад
Mwinyi alipigwa Kofi lkn alisema mwacheni huyo mtu asifanywe chochote hivi jamani viongozi tuangalieni nafasi zetu no mitihani tu wala sio raha kuwa hapo
@EliaShirima-rh4wq
@EliaShirima-rh4wq 5 дней назад
❤❤tumechoka utawala wa kikoloni watupe katiba utawala huu ni wa utumwani
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 12 дней назад
Anayeona ni vurugu ana maisha mazuri. Tunaoshindia buku tunafurahi sana
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 7 дней назад
Angefanyiwa mama yako je
@TeleziaMwaipopo
@TeleziaMwaipopo 5 дней назад
Safii Sana kijana Kwa kumchamba MTU xxxx😅😅😅
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 6 дней назад
Msionee watanzania kwani hiyo picha ariyo choma niayamwenyez Mungu au niyamwanadam
@zulekhamohamed3431
@zulekhamohamed3431 10 дней назад
Mume wangu amechoma picha yangu nimshitaki??
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 День назад
Fanya haraka iwezekanavo ila ujue asipochangia fain humpati tena 😂😂😂
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 12 дней назад
Mama samia umeona nguvu ya watanzania ndo ujue tumekuchoka
@MnubiMm
@MnubiMm 12 дней назад
@@SalmaAthuman-hp3en nguvu Ujinga huo wangechoma ya Mama yako na kukashifu ungeshabikia hivi umechoka na Nani? Kwa nini mnakuwa mnapenda kuwachanganya watu kwenye mambo yenu ya na fikra zenu wewe na wenzio saw usifikili wa msifikili Kila unachoona sawa wewena wengine ni hivyo hili mnalo sifu ni Jambo la hivyo kabisa subili wazazi wenu waanze kuzaliliswa ndio mtajua
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 8 дней назад
Umemchaka wewe,
@AbdallaMpambika-bp6ub
@AbdallaMpambika-bp6ub 7 дней назад
Acha ujinga wewe rais mwenyew hameifanya kesi iwe rahisi kama angeonesha amechukizwa uyo jamaa angekaa jera
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 7 дней назад
@@AbdallaMpambika-bp6ub milembe iko wazi muda wote muhimbili sibishani na vichaa
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 7 дней назад
@@NuruJuma-zv3yz tumemchoka ndiyo wewe anakusaidia nini 😂kichaa ww
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 12 дней назад
Hakimu rudisha pesa za fain kwani kamchoma rais au picha wizi ulokithiri tanzania yetu
@BasiliClement-ql1yg
@BasiliClement-ql1yg 7 дней назад
Napenda tu kutoa hongera kwa makanda wenye uchungu na nchi yao mawakili wameonyesha uzalendo juu ya nchi yao na wananchi kiujumla
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 12 дней назад
Uzuri amechangiwa na chenji imebaki amepata na kianzio
@Mona-pn2pv
@Mona-pn2pv День назад
Pole watanzania kwaku kosa uhuru wenu mpaka picha piya 😢 Allah awasamehe na viongozi wenu
@LeloJonas
@LeloJonas 4 дня назад
Hauna adabu kabisa una choma picha ya raisi
@danielkanso
@danielkanso 11 дней назад
Hawa watu wameshindwa kutatua mahitaji ya wananchi kazi kufuatilia mambo ya picha si ichorwe tena kwa raisi au ndiyo tuseme raisi amechomwa short mind
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 12 дней назад
ASANTENI SANA WASHIRIKA. MBALI KIDOGO. LAKINI UMOJA NI NGUVU, NA MUNGU YUPO PAMOJA NA WENYE KUPAMBANA KWA HAKI
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 11 дней назад
Ugumu wa maisha ni kweli jamani kadi kwenye umeme kodi kubwa sana
@RajaaRajaa-id5wx
@RajaaRajaa-id5wx 7 дней назад
Mm binafsi huyu rais cmpend
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 4 дня назад
😂😂😂😂
@jullythedone8615
@jullythedone8615 5 часов назад
Ndyo maana watoto wa wafanya Kaz serikalini hawafanyi vzuri mashulen maana wanavaa na kula Hela za damu
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 12 дней назад
Jamani jamani inamaana Samia anahadhi kubwa sana kuliko Muumba watu wanamtukana Muumba mchana kweupe hatujackia hata kufikishwa kwa mjumbe
@user-os8qc7pl1g
@user-os8qc7pl1g 12 дней назад
Mama umeshachokwa achiangazi
@leokamil6284
@leokamil6284 12 дней назад
Mchanganyiko kiakili maisha magumu wachache wanakula maisha, maumivu ya ndani kwa ndani mpaka mtu anaona liwalo naliwe
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 19 часов назад
Huyo muhuni tu kama wahuni wengine chezea Dola we
@user-vc8cc2pt7n
@user-vc8cc2pt7n 5 дней назад
Ndo wajue wananchi wanechoka maisha magum serikari imeka kimya tu watanzania sasa tumechoka
@MsJuniormjunyhandsomeboy
@MsJuniormjunyhandsomeboy 11 дней назад
Mubarikiwe sana wapendw
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 2 дня назад
WAMELIPIA KODI KUPITIA PICHA .😂😂
@AdiaOmari
@AdiaOmari 20 часов назад
😅😅😅😅😅😅😅 Duuuh nimejue kuchek Jamani et Kenya t mwachom bunge ss pich t tumepanic Duuuh khataei
@zulekhamohamed3431
@zulekhamohamed3431 10 дней назад
Watanzania Wana njaa
@HasanooTozzy
@HasanooTozzy 4 дня назад
Mbona kama bado amjamuachia awo jamaa sina imani nao
@MomyMomt
@MomyMomt 3 дня назад
Kasema kweli bwana maisha magumu
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 8 дней назад
Utashangaa anakua chizi kshachomwa sindano huyo
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 12 дней назад
Una bahati angelikuwa mwamba sa hz ingelikuwa historia
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 12 дней назад
Mwamba ndiyo kitu gani? Ni ujinga kusifia ukatili!
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 12 дней назад
Nikusifia au huo ndo uhalisia
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 7 дней назад
Tupunguze kukata miti na kuchoma mkaa lakini umeme na ges vimeeeeee
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 9 дней назад
Safi sana,ni uchawa tupu wote huo unao sumbua,yaani achore yeye afu ahukumiwe,mahakama zetu ni shida sana
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 8 дней назад
hongereni sana watanzania hongereni sana sheria wetu,hamjawah kufeli
@user-py9jj5yr9l
@user-py9jj5yr9l 8 дней назад
Kwakweli mungu azidi kuwa barick sana
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp День назад
nyinyi munao Pinga faini kweni yeye mtuumiwa kufanya vile lengo lake nini sikujiamin na kumzalilisha rais kweni cheo. Cha rais nikikubwa sana ata kama aumpendi. Aina aja umzalilishe kama ingekua Mimi u uyo mtoto ange potea kama walio potea wengine .uyo jeuli kweni nchi Ii yababayako .Mimi mbona magufuli nilikua simpendi ila sikusubutu kumzalilisha nilituza .ishima yake
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 9 дней назад
Asante sana kwa kumsaidia huyu kijana.
@ShaahenAbas
@ShaahenAbas 12 дней назад
Mimi niulize kwamba kwanini aliamua kujirikodi kama picha kachora yeye na kaona hana haja nayo kwanini ajirikodi ? Kwanini aongee kwamfumo wa hasira kivile mbona hapo anaonesha mpole kama sio yeye au siku anajirikodi alilewa ? Mipaka ya wanasheria ikoje hata kutete ujinga nakooo ? Kwanini watu wamemtumia hela ili atoke kama hajafanya kosa kwa fikra zao ? Maneno ya atakaye taka kuelewa Jee wee uko tayari kuchorwa ama kupigwa picha na mtu kujitokeza na kuchoma picha yako hadharani na kuitupa hivo jee wanao ndugu jamaa watakuona wee picha yako iliyochomwa ni kama siiichochote wala lolote Jee rais wetu picha yake ya kuchora ama laa kuchomwa moto ni sawa na kwa kejeli ya maneno kama yale ? Akiiachiwa hamuon tatizo litakuwa kubwaa wengine wataiga ujinga zaidi ya huo Kuchomwa picha ya mtu ni sawa na kuchomwa mtu kweli ,kwakuwa picha ni nusu uhalisia wa mtu Kama anatumika kisiasa hatuwezi kuamini ? Jeee mtu akiiba kwako ukakuta picha imeanguka kwa kumfukuza mwizi jeee hatua ya kuanza kumtafuta mwiz utaanzia wapi ? DNA inaonesha damu na mtu husika kwanini isiwe picha pia inaonesha uhalisia wa mtu
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 11 дней назад
Wao wanakosea wanaiba pesa za uma wanafanywa nini Hao viongozi mtu anachoma picha kesi mungu ndio mtoa hukumu
@msemakweli243
@msemakweli243 9 дней назад
Tanzania 🇹🇿 sheria zinawagusa masikini tu mijizi ilitajwa na CAG ipo tu CCM hatari sana kuchoma picha kesi inachukua siku moja na kifungo hapo hapo
@naturelle1097
@naturelle1097 6 дней назад
At least huyu sio mnafki
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 5 дней назад
Mungu awabariki sana
@fotunatusiMsongole
@fotunatusiMsongole 11 дней назад
Mungu mlindee na wasiojulikanaa. Mungu anasamehee na wewe samehe
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 12 дней назад
Dogo wa Tz tumekuelewa na tumekupenda kwa udogo wako message imefika ila imegusa panapouma tuombe Mungu kwamba hawajakudhuru afya yako.
@MnubiMm
@MnubiMm 12 дней назад
Hebu usiwasemee watanzania semea wenzio na wewe Mliofurahi Mama kutukanwa na kuona ni Jambo lafahali na furaha Mama Samia KUTUKANWA mjiandae Mama zenu nao KUTUKANWA au kuzalishwa Kama huyu alivyomfanyia Mama nasi tutafurahi na kuchangia pesa kwa ajili ya sherehe
@monicamwita7865
@monicamwita7865 12 дней назад
Anajitambuà huyo kijani.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 12 дней назад
Uchawa unakusumbua wewe sio bure.
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 7 дней назад
KUMBE HAKUNA USHAHIDI WA KOSA HILO HIZO MILIONI 5 MMELIPA ZA NINI?!
@fetyalmas698
@fetyalmas698 10 дней назад
Na yeye alisema kbs anachoma kwa sababu Ana mungi, na kweli Mungu kamuona
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 11 дней назад
Nchi hii naishangaa sana na kwa kweli inakwenda kubaya kwani imeacha maadili ya kwanza ya binadamu na kurukia madili ya kutetea viongozi na haki za binadamu zitokanazo na wazungu waliopotoka. Taasisi zinazoendesha mambo ya ushoga na upinzani dhidi ya maagizo ya Mungu hazichuliwi hatua kali. Ushoga na uinua juu wanawake dhidi ya wanaume ni uovu mkuu kuliko kuchoma picha ya Rais, japokuwa hilo nalo ni vyema. Miziki ya ovyo ipo huru kwenye mabasi na mitaani na kwenye TV; Wasichana na wanawake wanavaa mavazi ya uchi mitaani na maofisini lakini hakuna sheria au hatua zinazochukuliwa!!! Mfumo jike uko kazini duniani kwa matakwa ya shetani akiwatumia wazungu ambao nao hutumia wale wasiopenda kutawaliwa na Neno la Mungu.
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo 4 дня назад
Wakati fulani wanao haribu taswila ya Rais ni watendaji wake wanao chukulia kila jambo kisiasa ushauri wangu watendaji waserikali kuna jumbe nikuzifanyia kazi kwa kuhojiana nao ili wajue namna yakumshauri Rais kwa faida ya nchi yetu na utawala bora
@wanjiramasau2887
@wanjiramasau2887 12 дней назад
Kamchome live
@TeamKRX
@TeamKRX 12 дней назад
Jamani soma kommet tungemchoma live kijana mungu akubariki
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 11 дней назад
Dogo yupo freshi mama hatumwelewi kabisha Maisha Magumu
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 11 дней назад
Ay mgeeni kichwa hiii serikali xo Kama mzaniavo
@officialisaiah3979
@officialisaiah3979 8 дней назад
Af nikajua syo mtanzania😅 maana ii nchi mazee
@joycefrances4516
@joycefrances4516 8 дней назад
Tunaomba huyu kijana arudishiwe pesa zake,afanye mtaji,hali ni ngumu kweli,vitu vimepanda kila mahali
@molenicharles9107
@molenicharles9107 12 дней назад
Mmemlopia 5mls...je yeye ana sh. ngapi mfukoni yakuanziaa maisha...hatari HAWA ndiyo wasomi wetu wa Sheria tz.☹️☹️
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 10 дней назад
Funzo kwa wengine maana kama hali ngumu na hiyo milioni tano je ni ndogo? Tupatiwe Mikopo tufanye biashara tu inatosha.
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 12 дней назад
Hii imewapa picha kuwa watanzania wamechoka,na cku wakiamua ndipo haya majizi yatatuelewa vzr
@monicamwita7865
@monicamwita7865 12 дней назад
Sahihi kabisa
@jkifutu7936
@jkifutu7936 10 дней назад
CCM wengi wezi tufanyeni tuitoe mdalakani maisha magumu kweli tena kweli
@DouglasMkude
@DouglasMkude 9 дней назад
Itafika kipindi watajua awajui
@malimilandegemabunhi8528
@malimilandegemabunhi8528 9 дней назад
Kweli hii nchi,usipokuwa makini unawezapelekeshwa Kama kuku,watu wanacheza na media siku hiz,huyo kijana ni askar,wanatuchezea filam tuu yaani ni maigizo tuu,
@jamalkishangu
@jamalkishangu 4 дня назад
Kwa hiyo mtamtuma akamtukane baba yake, mama yake au viongozi wake wa dini? Huyo dogo alikosea Watanzania hatujafika katika hali ya kuwadharau watu wazima achilia mbali kiongozi wa nje
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 11 дней назад
Huyu ndo ameukataa umsukule. Kila mtu awe huru kukataa kufanywa msukule na ccm
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 12 дней назад
Kama Raisi Samia hataingilia jambo hili na akaliwacha lifanikiwe maanayake Mama kweli kuleta mageuzi ya kidemokrasiya nchini na jakubali hukumu ya mahakama bila ya kujali lolote lile
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 12 дней назад
Kachome tena
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 11 дней назад
Kwani afungwe amekosea nini kaongea kilicho moyoni mwake na ukweli mtupu maisha ya watanzania ni magumu
@NuhuOmar-wx2ym
@NuhuOmar-wx2ym 12 дней назад
@user-lx2yc8tj5h
@user-lx2yc8tj5h 12 дней назад
Mwamba
@RashidMohamed-j9p
@RashidMohamed-j9p 10 дней назад
Mwenye inch kashaga kuf
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 12 дней назад
Wanyakyusa hao
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 10 дней назад
Kwan kuchoma picha Kuna shida gan Hii nchi some inaendeshwa kidictetaa
@user-pv2jh5wb1o
@user-pv2jh5wb1o 12 дней назад
Kwani alichoma mchoro au
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 5 дней назад
Amepewa nani
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 10 дней назад
Tafuteni chanzo wananchi tumechoka
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 9 дней назад
TANZANIA 🇹🇿 NDO ILITAKIWA KUANDAMANA KULIKO KENYA 🇰🇪 ILA WAPO KIMYA 😂😂😂
@AbubakariBausi-zd6xf
@AbubakariBausi-zd6xf 8 дней назад
Kuna vitu nimejifujza huyu masikini walimsweka ndani wakampa faini ya milioni tano ili akae ndani jumla niwaaambie allha atawaukum nyote makafili madhalim msio na huluma
@JacksonThobias-wc6ml
@JacksonThobias-wc6ml 8 дней назад
Nacho shindwa kuelewa unaelezea sana sisi tunataka tumsikie mtuhumiwa
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l 11 дней назад
Wanalazimisha etiserekari ya awamuyasita izokura. Kupiga nani wemarizia miakairiyobaki ya makufuri raisi. Wawanyonge
@mosesmaduhutv7985
@mosesmaduhutv7985 9 дней назад
Mtu wa Mungu Mungu huyoooo
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es 9 дней назад
Ongera chaura umemshinda shetani ulikuasawa
@marthakimia4075
@marthakimia4075 6 дней назад
Mnamtania Mungu
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 11 дней назад
KUNA MJITU SERIKALINI NA NDANI YA CCM INAJICHOTEA PESA ZA WIZI, UFISADI NA KULAWITI WANAFUNZI CHUONI NA MASHULENI MBONA WAO HAWAFUNGWI WALA KUKAMATWA NA POLISI?
@mmungajieanpirre4655
@mmungajieanpirre4655 3 дня назад
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️💯💯
@user-do2id6pp4g
@user-do2id6pp4g 8 дней назад
Ila hii nchi kuna sura ya mapinduzi huko mbele dalili hizi na coment hizi inaonekana watanzania wamechoka kwa kweli
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 11 дней назад
Labda alikoseakuchora vizuri
@Oswaldpaulkimario
@Oswaldpaulkimario 11 дней назад
Tunaomba wasio julikana sasa watamuwinda achungwe jamani
@KamiliLyimo
@KamiliLyimo 12 дней назад
Hapo.sawa.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 11 дней назад
Usirudiye tena tunakupenda Sana wazazi wako akupe mwanzo mzuri
@user-it4uh7vu5c
@user-it4uh7vu5c 6 дней назад
Picha Tanzania bunge Kenya
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 10 дней назад
Hii apa tunaita hatakama hujui kusoma na picha huoni
Далее