Munguwe!!!!!!!! Ni kukaza roho kabsa. Hata kwenye nyumba ni vilevile maisha ya kijeshi. Binti uanze kufunga kinywa yako kuanzia hapo mpak kifo kiwatenganishe
Sipendi Mume ambae sio romantic, woiiiiiiiii.....mama wa Bibi harusi na ndugu hapo wanamwonea huruma ndugu yao. Hapo ni mbele ya halaiki na nisiku ya furaha anahenyeshwa hivyo he????!!!! Wakiwa ndani wawili?🙄🙄🙄
Hapana kwanza mjishi ana upole kwa mkewe kwani akisema atumie kijeshi mke atatoroka. Lakini mwenyendoa wa kike anapaswa kua Na busala mana yak e kujua namna ya kuhishi mu mmewe. Kwanza wajeshi wanajua kubembeleza wake zao