Тёмный

NDOTO YA KUPANDA MLIMA INABASHIRI KUFANIKIWA SANA KATIKA MAISHA //SHEIKH ABUU JADAWI 

ABUU JDAWI ONLINE TV
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

NDOTO YA KUPANDA MLIMA INABASHIRI KUFANIKIWA SANA KATIKA MAISHA //SHEIKH ABUU JADAWI

Опубликовано:

 

2 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 2 месяца назад
Shukran Jazaka Allah Khery
@oman1oman179
@oman1oman179 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh,mimi jana nimeota naenda kupanda mlima na huo mlima ulikua mrefu kisha umepamba majani mengi
@noorischmutisch5321
@noorischmutisch5321 Год назад
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh,Shukran sheikh wetu…
@kaundimemussa9575
@kaundimemussa9575 11 месяцев назад
As alleikum w w. Shehe mm niliota niko kwenye uwanja ukamwa mwanga wa taa kama balbu lakini ukanimulika sana tena sana lile eneo lote nililokuwepo likang'aa kwa nuru lkn nilipogeuka nyuma nikaona mlima kilimanjaro msafi sanaa unawaka na umependeza lakini mara nikaona giza na nikastuka. Naomba unisaidie hii ndoto inanipa wasiwasi. Asntee
@user-ky1ni2ly9r
@user-ky1ni2ly9r Год назад
Mimi niliota mfalme amekaa juu ya mlima wa uhud niliupanda mpaka nikaenda kuongea na mlame huyu nikamwambia ya rabby! Ya rabby! Nisaidie mimi mdhaifu nikiwa nimepiga magoti kisha akanishika mkono akanisimamisha akanifuta machozi akaniambia nenda nikasema Al hamdhulillah nikaamka nguo ilikua imejaa machozi
@KakaKirikalaizer-ph8ts
@KakaKirikalaizer-ph8ts Год назад
Mm nimeota naenda na watu tena wasee kabisa mm ni kijana lakini cha ajabu mimi nikashindwa kushinda iyo mlima nikitaka kuporumoka ndipo nikaamika uzingiz
@user-oj3pw5gl2f
@user-oj3pw5gl2f 8 месяцев назад
Naomba uniweke kwa group😊
@dyana7405
@dyana7405 11 месяцев назад
Mimi naota nachunga ng'ombe wengi Sana nikiwa Na watoto wadogo Wa miaka mitatu.
@user-qr5hw3mg1p
@user-qr5hw3mg1p 7 месяцев назад
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh.shekh mm nimeota nipo na wenzangu tunapita sehem mm nilikuw wa mwish sasa katik kupt hil sehm kulikuw n kam mlima lkn kulikuwa n njia nzuri tyuu y kupita wenzang wakapt wakafik juu mm bd nip nyum sasa wakt wa kupit mm ile njia ikapotea ule mlima ukajifung mm nkawa napang kam natambaa uku wenzang wakinisubili juu wanivute nikajitaid kutambaa kwa kujishikiz kweny mawe ile nakalibia kufik niliombaa saan saan msaad kwa wale wenzang waliok juu uku nikiwaita majina yao fulan na fulani nisaidien naanguka ..wakanivuta mmoj alinishik mguu n mwingin alinishik kifuan ananivuta nikafanikiwa kuvuk juu lkn niliach viatu vilinasa kweny jiwe moj..baadae nikaot tulizunguk upnd wa pil wa ule mlim tukaww chin sasa nkawa napga mawe nkavitungua viat vyang n ndot ikaisha
@RamadhanKagoma
@RamadhanKagoma 9 месяцев назад
Asalam allaykum Mimi niliwota Niko nakimbia narafikiyangu tukapanda mlima Mimi nikaishia katikati rafikiyangu akaumaliza alafu akatowa pesa uko juu yamlima sukuelewa iyo ndoto12:56 a😂
@Dirawandesiymran
@Dirawandesiymran 21 день назад
Je ukiota uko juu ya mti ?
@gracemathias-ub1dj
@gracemathias-ub1dj 6 месяцев назад
Mimi nimeota napanda gorofan ila Kila gorofa ilikua nagiza nikapanda mpaka mwisho halafu nikaanza kuludi na nikawa naona njia wakat naludi
@groliarafaeli7232
@groliarafaeli7232 Год назад
Nimeota nimepanda mlima kwa shida nipo na watto wangu badae nikadondosha sim nikashuka kuichukua niliposhuka nikaikosa nikapanda tena wepesi sana mpka juu nikaa uko na familiya yangu
@NuratyAlly-lq7xc
@NuratyAlly-lq7xc 2 месяца назад
Utafanikiwa
@aminasaidi4184
@aminasaidi4184 Год назад
Nimeota ndoto nipo mliman nawamasai wengi tunashuka juu yamulima tulikutana shimo kubwa sana nimebebwa namasai juu yamabega ya masai tukatoka kwenye shimo hiro lefu sana
@gracejonh4022
@gracejonh4022 10 месяцев назад
Umeota mkataba mbovu wa bandar
Далее
MAAJABU YA SHEKH MWAIPOPO ASIMULIA YALIO MKUTA SOMALIA
21:23
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Просмотров 468 тыс.