Тёмный

Ndoto za Mbwa na maana yake (@MTAVASSY TV TANZANIA ) 

MTAVASSY TV TANZANIA
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@munirkhan3463
@munirkhan3463 Год назад
Salaam Aleyquum, Shukran Shekhe kwa Darsa.. Mm nimeota mume wangu ameng'atwa na mbwa halafu mm nikamuua yule mbwa Ina maana gani shekhe...
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Asalam alykum shekh mimi nimeota mbwa wengi wanazagaa mtaani watu wanakimbilia ndani wasingatwe mi nikawa napita zangu ila hawaningat wakijaribu kunisogelea mara wanakimbia na kuishia kubweka basi nikaingia nyumbani nakufunga mlango wao wakabaki nje hao mbwa kinachonishangaza mazingira ya hovyo sana yaaani eti mlango wa bati wakat sasa hivi nishaweka geti, basi nikivyoingia ndani nikawaona wanangu wamelala ila mazingira mabovu na mwanangu mkubwa nikawa simuoni nikaanza kuita ndo kustuka lakin kiuhalisia nasumbuliwa na mizimu na mashetwani chuki kali kutoka kwa ndugu, alhamdullillah nimekuwa mtu wa ibada na ninasoma sana dua, kuna hali humpata mwanangu nisiposwali lakin nikiswali na kusoma Qur'an anakuwa sawa , ila bado sijajua nini maana ya haya mazito kwani nimekuwa nikiota maisha ya kimaskin ili hali sina maisha hayo nimeshayavuka
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 года назад
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Shukran jazaakaAllahkheir💕💕💕💕💕👌
@LatifaKigumi
@LatifaKigumi 6 месяцев назад
Asalamu alyekum walahmatullah wabalakatu mimi nmeota ndugu yangu kageuka mbwa lakini uyundugu yang amepotea
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 месяцев назад
wa alaykum salaam warahmatullahi wabarakaatuhu, poleni sana ndugu kama mumepotelewa na ndugu yenu , walakini hii ndoto huja ikajulisha kuwa amekuwa akitumikia watu fulani au maisha ya kichokoraa, pia angalia maana hizi za mbwa na utaona ni nini
@LatifaKigumi
@LatifaKigumi 6 месяцев назад
Shukrani sana nikwer kabisa​@@MTAVASSYTv
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 3 года назад
A a aleikum ukimuota mbwa mzuri Na hana kelele wala hakudhuru ndiyo Nini maana yake
@zainabmutua9494
@zainabmutua9494 Год назад
Salam alaikum shehe nimeota mbwa mkubwa anataka kufanya mapenzi nini maanake?
@catherineongeri427
@catherineongeri427 11 месяцев назад
Mimi nmeota mbwaa tatu za auntie yangu zikinibwekea nlikuwa naenda kwake sasa nkaogopa kuenda nikasimama kwa gate nkamwita akakuja na kiberiti akawasha moto kumliza akunijibu😢
@zulfamnanga123
@zulfamnanga123 Год назад
Mm nimeota umbwa kazaa kitoto lakini kikawa kishakuga Sasa mtoto wangu mdogo wa kiume akawa ameshika fimbo anataka kukachapa kale katoto ka umbwa kaliko kufa,nikampigia kelele kakukagusa
@fadhilimatano3213
@fadhilimatano3213 Год назад
Sheikh nashkuru sana kwa ufahamu mzur sana usiku wa kuamkia leo nmeota nakimbizwa na mbwa mmoja ajabu nilikuwa nakimbia sana mara mama mmoja akanifungulia mlango nikaungia na mbwa akabaki nje akibweka kisha akaondoka zake.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Год назад
Uchawi/shaytwaan ndio unazungumziwa hapo jihadhari sana fanya tasbihi mara kwa mara na kinga mbali mbali lakini kuona mwanamke ndiye aloyekusaidia hii inaonyesba pia kama haupo katika ndoa ujitahidi liwe hilo kwani kuingia ndani hapo kuna mazingatio yake kama sio kuwa nabanwa hapa ninhesema zaidi
@answarmusaanswarmusa5797
@answarmusaanswarmusa5797 3 года назад
Asalamu alekum ustadh mimi nimeota napewa kunazi nyingi na ndugu yangu wa kiume mpaka zika jaa mfukoni nini maana yake shukran
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 года назад
Afya na kinga tumia majani yake ponda fanyia ruqya kisha oga na unywe kuyokana nayo inshaallaah utaona matokeo
@مونا-ج6ذ
@مونا-ج6ذ Год назад
Sas mim nineota ila walikuwa na wifi yangu awakunidhuri
@fayyaztvtz8432
@fayyaztvtz8432 3 года назад
Maashaallaah baarakallaahu fiik
@rylandlarry4853
@rylandlarry4853 3 года назад
I know im asking randomly but does anyone know a way to get back into an Instagram account?? I stupidly forgot my password. I would love any help you can give me.
@avidonovan3222
@avidonovan3222 3 года назад
@Ryland Larry Instablaster =)
@rylandlarry4853
@rylandlarry4853 3 года назад
@Avi Donovan i really appreciate your reply. I got to the site thru google and Im trying it out atm. Takes a while so I will reply here later with my results.
@rylandlarry4853
@rylandlarry4853 3 года назад
@Avi Donovan it worked and I now got access to my account again. I'm so happy! Thanks so much, you saved my ass !
@avidonovan3222
@avidonovan3222 3 года назад
@Ryland Larry you are welcome =)
@Ghanimasuleiman-k3k
@Ghanimasuleiman-k3k 9 месяцев назад
Shekh asalam ghalailum mm nimeota mbwa ananifukuza
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 месяцев назад
Kama ni mwanamke basi kuna mwanaume atasumbua kidogo, lakini kuwa makini hii ndoto hujukisha shaitwaan kuleta shida au mtu muovu kwamba anakuwinda
@rechopaul1855
@rechopaul1855 3 года назад
Samahani shekh naomba unijibu leo plz plz nimenunua mbwa nikampeleka nyumbani kwetu nilikozaliwa nikafanya nae mapenzi
@latifachilala2015
@latifachilala2015 3 года назад
Jana niota usiku naenda chooni si mbwa kanikimbiza nilivyomkimbia mungu anajua
@likumisalabakalatasi45
@likumisalabakalatasi45 2 года назад
Mm nimeota nilishika simu ile simu niliishikia shombo ya nyama mbwa akatokea akaipokonya ile sm nikaanza kutaka kuichukuwa ile sm mara akaimeza ile sim nikaumia sana kunalafki yangu wakiume nikamwambia sm yangu mbwa kameza yule mbwa alibaki anahangaika nayo tumboni alipo fka yule lafki yangu kwenye tukio mara ile simu nikaiona chini nikaichukuwa.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Umepata hasadi na umejisababushia eidha kwa kuitangaza neema 🤷🤷 lakini inshallah hiyo hasada itakuondoka kabisa
@IbrahimuMajengo-tv8ix
@IbrahimuMajengo-tv8ix 2 месяца назад
Ndoto ya mbwa kichaa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 месяца назад
Mtu mshari mwenye chuki na husda kubwa. (Je amefanya nini?)
@annajaydenjayden3517
@annajaydenjayden3517 2 года назад
Sheikh naomba nisaidie nmeota mbwa wengi saana wananikimbiza na kuningata
@yasobush4834
@yasobush4834 3 года назад
Assalamualaikum, nimeota boss wangu ameniahidi pesa 1800000 baada ya mm kuacha kazi,
@alhabibsalimibnsuwari4608
@alhabibsalimibnsuwari4608 3 года назад
Assalam allaikum ustadh, naitwa salim kutoka kenya. ukiota unatembea hewani na kama hiyo ndoto huwa inajiregelea kila Mara inamaanisha nini?
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 года назад
Mm nimeota mbwa ananilamba lamba usoni kwa upendo yaani anamanisha furaha, nn maana yake mtumishi, Mbwa alikuwa na rang ya kaki.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Huyo ni rafiki mzuri
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 года назад
@@MTAVASSYTv Ahsantee sana 🙏🏽🥰
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
​@@MTAVASSYTvnimeota mtu kaniachia mbwa wake nimlindie🤔
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 2 месяца назад
Nimeota mbwa aina wanatumiaga maskar ila mkali anawafukuza watu ila mim akunizulu anawafukuza wengine inamaana gani
@kissentertainment255
@kissentertainment255 3 года назад
Mimi nimeota mbwa wawili nilikuwa naishi nao umoja mweusi mwengine wa jano ila walikuwa nanipenda sana afu nilikuwa nawatu walikuwa nanifatiliya sana kwamabaya wakija tu kunitafuta wanifanyiye mabaya izo mbwa zinapambana nao sasa sijaelewa inamaanisha nini
@MwanashaKodi
@MwanashaKodi Год назад
Shekhe Mimi nimeota m'bwa watatu Moja chiwawa mweupe nawapatia chakula
@estherwangechi6249
@estherwangechi6249 Год назад
Mimi niliota mbwa wengi wakitaka kuwala vifaranga nikaja nikawachukua wale vifaranga nikawafungia Kwa Banda mbwa mmoja akaja akaningata Kwa mguu Kwasababu ya kuwazuia kuwala wale vifaranga lakini sikuhisi uchungu sana, hii ndoto inamaanishaje
@shufaamakame5839
@shufaamakame5839 2 года назад
Asalamu aleykum warhmatu-wahi-wabarakatu Shekh nimeota kinyesi cha mbwa kimejitapakaza kwenye fyagio langu la nyumbani ninosafishia la cherewa halikamatiki juu ht chini mbwa kalinyea Samahani hii ya ili kuona kinyesi cha mbwa tena.siku haziishani nn maana yke shek naomba unisaidie
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Kuwa makini na marafiki zako na watu wa karibu kuna watu wanakusema vibaya
@claudiabakisa8052
@claudiabakisa8052 Год назад
@@MTAVASSYTv kuota kumpiga mbwa maana yake nini shekh?. Asante
@saiame641
@saiame641 Год назад
Ukiota mbwa umemuua je?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 месяцев назад
Utapata rafiki au hayo tuliyoyaoridhesha hapo
@ishanihijabstyles5364
@ishanihijabstyles5364 3 года назад
shuqran sheikh 🥰
@swaphiatysaid5332
@swaphiatysaid5332 2 года назад
Assalaam Alaykum shekhe mimi nmeota mwizi ameniibia sim yangu tukamkimbiza tukampata tukampiga Sana lakini akaota sim nyingine mbovu ile yangu alimpa mwizi mwanamke akakimbia nayo tukaendelea kumpiga mimi nikachukua fimbo nikaanza kumpiga nayo sehem za Siri. Na mwizi huyu ninamjuwa nini maana yake tafadhali
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Kuwa makini mwenza wako anachepuka au kuna mtu anakuchunguza anatoa khabari zako kwa watu kuwa makini na marafikia ulionao
@swaphiatysaid5332
@swaphiatysaid5332 2 года назад
@@MTAVASSYTv shukran sana
@dottokambi7739
@dottokambi7739 Год назад
Ostadhi me nimeota kaja mbwa, chumbani kwangu na nipo usingizi lakini kila nikitaka kuinuka nashidwa na alipohondoka tu nikaweza kuinuka
@merhatyup9479
@merhatyup9479 2 года назад
Assalam allaikum ustadh, nimeota mbwa mwitu mweusi akiwa amefumbua mdomo amesimama pamoja na simba dume
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Kuwa makini, jiombee nusura kwa Allaah na usiamini watu kwenye mali yako, mipango yako, na kama umeajiriwa hii sio nzuri kabisa jiombee
@claudiabakisa8052
@claudiabakisa8052 Год назад
@@MTAVASSYTv ndoto ya kumpiga mbwa kibao Ina maana gani?
@irenemlowe8852
@irenemlowe8852 Год назад
Assalam allaikum ustadh mimi naota mbwa wamekonda sana alafu nidhaifusa sana Kisha sehemu waliojilaza Kuna mafuvu ya vichwa vya watu inamaanisha nini jamn na imenkaa sana kichwan haiishi kijirudia
@muntasirsalmin6444
@muntasirsalmin6444 Год назад
Asa apo inakuwaj
@ishanihijabstyles5364
@ishanihijabstyles5364 3 года назад
mimi nimeota nimeng'atwa alaf mwenye mbwa wala hajishughulishi yani hana habari,,,amening'ata kwenye goti hadi nyama inaning'inia ila cha ajabu nlikua sisikii maumivu kabisa😔
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 2 месяца назад
Mim nimeota napigana nae anataka kuwajeuli watu mim ndiyo nakuwa namshambulia yule mbwa ili kuwasaidia wale watu namshambulia hadi yule mbwa anakimbia, ila nikiwa na mshambulia ile bastola kwenye kumpiga yule mbwa ikagota dirishani ikatoa maji yale maji matone yakanilukia kwenye jicho kwa chini yake ila sikuacha kumshambulia huyo mbwa mwisho akakimbia, inamaana gani hii ndoto shekhe
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 8 месяцев назад
Mimi pia nimeota ubwa kajifugua
@IssaLukindo-cz5gu
@IssaLukindo-cz5gu 3 месяца назад
Nimeota mlango unahongwa mke wangu akaenda kufungua mlango wa chumbani kwetu,wakati huo mimi nimekaa katika kochi,baada ya kufungua tunamuona mbwa mkubwa anataka kuingia chumbani kwetu lakin tukamzuia pale mlangoni na yeye mbwa anafosi kuingia chumbani,inamaana gani ndoto hii?
@IssaLukindo-cz5gu
@IssaLukindo-cz5gu 3 месяца назад
Mbwa wa langi ya kaki
@IssaLukindo-cz5gu
@IssaLukindo-cz5gu 3 месяца назад
Rangi ya brauni
@EdistaSilayo
@EdistaSilayo 2 месяца назад
Nimeota mbwa mweusi ananizungukia ety anataka kulipa kisasi nikamfukuza akaingia chini ya mlango akatoka
@vallentinemideva3557
@vallentinemideva3557 Год назад
Mimi nliota alikua anataka kuniuma ila nlimrusha na mawe akaenda
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Год назад
Maashaallaaah umenusurika na balaa wewe Allah akulinde
@aminangalunda8348
@aminangalunda8348 Год назад
nmeota npo namme wang kisha mbwa kama wa3 wakawa wanatufata kama wanataka kutudhuru kisha mmoja kati yao akalamba mkono wang na akanpokonya funguo yanyumba ambayo tunaish ambayo kiuhalisia tumepewa notis tuhame bila ya 7b
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Год назад
Kuna hasada dhidi yenu mbwa ni mtu katika ndoto au shaiytwaan au mlinzi n.k ,sasa hapo ninachokiona ni nyinyi kuhusudika tu
@lugikorkafumu8896
@lugikorkafumu8896 3 года назад
shkee ukiota unaigana na mbwa ukawapiga zen ukawa unapaa..mmoja akakungangania mkono wa kushoto ila ukawa unakitu kikakuzuiaa ka grovusi ukamnyanyua unamchoma motoo...akaunguaaa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 года назад
kiufupi ndoto hii inajulisha ushindani wako na adui (jini au bin adam)
@alleysalum7274
@alleysalum7274 3 года назад
Mm nimeota kuna mwanaume anataka kumchoma kisu mume wangu mimi nikashika panga nampinga hakuna kumgusa ikawa namzuiya baadae nikaona mbwa 3mlangon hawabweki bali wanashangaa t mmoja wao nikampa kitasa mdomon kwake ili afunge mlango
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 года назад
Kuota nimelala nje na mbwa
@muzdalefaali4975
@muzdalefaali4975 3 года назад
Je ukiota mbwa anazaha
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 2 года назад
Je ukiota mbwa wako mdogo was nyumbani amekufa
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 8 месяцев назад
Nini maana yake shehe
@muntasirsalmin6444
@muntasirsalmin6444 Год назад
Mie nimeota kijibwa kidogo mwamzo alikuwa kwenye chupa ya maji alikuwa kqma kijusi mwanzo alaf akawa mkubwa lqkini nikammwagia maji akawa mkubwa baadae nkawa nafuga ila uyo mbwa wakizungu naa anabichwa kubwa
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 2 года назад
Shekhe ukiota uponjiani unatembea na nyuma yako akapitia mbwa anakimbia ,alivyonipita tuu Yule mbwa alikuwa amebeba mnzigo lakini alianguka mbeleyangu na mnzigowake ukaanguka ,alianguka chalii na akiwa kama anakataroho , jee hii ninini ? Iliota baada ya kumaliza swala ya hasubihi nilirudi kulala ndio niliota , nnikawanamshangaa Yule mbwa anavyo tapatapa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Год назад
Basi hii ndoto inakuarifu kwamba ameshindwa adui yako muda huo
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 Год назад
Shuklani shekhe mtavassy
@awaahassan936
@awaahassan936 2 года назад
mi sijangatwa Ila niliota ananifukuza Ila akunipata
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Maashaallaah ni mbaya kama angekung'ata hapo umenisurika na shari zao
@rahmamsagati9231
@rahmamsagati9231 Год назад
Je ukiota mbwa mwanamke anafanya mapenzi na wanaume wanne
@SophiaAlly-ih2ss
@SophiaAlly-ih2ss 4 месяца назад
Nimeota mbwa wanafanya mapenzi walikua 4 jikena tume
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 3 года назад
Shekhe mimi nimeota mbwa wengi wanapita huku wanakimbia.
@tukumbwikemwakatundu2052
@tukumbwikemwakatundu2052 Год назад
Nieota mbwa wengi wamekuja lkn hawakuwa na madhara walikuwa wengi likini hawakuwa na madhara..
@catherineelias5108
@catherineelias5108 3 года назад
Ukiota unasalimiana na mkoma kwakushikana mikono tafasili yake nn kaka
@amalmahmud8156
@amalmahmud8156 2 года назад
Mimi nimeota mbwa mdogo ananirukia shingingoni lkn hajaniumiza nine maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Katika njia ya mchezo tu au alikusudia kukudhuru?
@milkakhatengwa5795
@milkakhatengwa5795 2 года назад
Ukiota ndoto unafunga mlango alafu mbwa wanasukuma
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Katika upataji wako kuna mikono ya watu (mshike M/Mungu na maombi sana ya mara kwa mara kwasababu inaonyesha umehusudika wewe)
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 Год назад
Shehe nimeota ubwa kaniuma nyuma ya mungogo wangu
@irakozehidaya3606
@irakozehidaya3606 2 года назад
Nimeota imbwa inaingiya uwani kwetu mara ya kwanza nikaifukuza marayapili nd nikaona mwabae inaikimbilia nd ikaondoka inamana gani?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Huyo ni rafiki au mtu anaetumwa kupeleleza jambo mpelelezi/hasidi/mgonvi n.k yeyote miongoni mwa hao anakuvhunguza mara ingine hata hujulishaga kuwa kuna mtu ataleta posa lakini hatooa kwenu
@علياحمد-د3ش2م
@علياحمد-د3ش2م 3 года назад
Ni nin maana ya mbwa mweusi anakufukuza shekh
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 года назад
Huyo ni mchawi anakufuatilia pole sana jiombee
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 года назад
Nimeota mbwa mwekundu ananifukuza lakini nimeshikwa mkono na mtu na tukapaa juu tukamwacha chini
@raissamugisha1653
@raissamugisha1653 3 года назад
Ww nimeota naona mbwa Barbara babarani amekaa nikapit pembeni
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 года назад
Kama hujui kiarabu sio lazima useme!
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
duh mimi huyo
@claudiabakisa8052
@claudiabakisa8052 Год назад
@@MTAVASSYTv ndoto ya kuota mbwa mmoja na nguruwe wa tatu. Mbwa alikuwa ana bweka kaja upande wangu nikampiga Kofi kidogo maana yake nini
@chitrigger9704
@chitrigger9704 2 года назад
nimeota mbwa amevalishwa nguo na amefungwa kamba anatembea na mmiliki wake
@ibradaudi1451
@ibradaudi1451 2 года назад
Mbwa wanakuangalia na fedheha na mbuzi mmoja ndio ina magnus has nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 года назад
Kwa fedheha vipi? Yaani wao ndio wanamtazamo wa kuona haya ? Au wewe ndiye unafedheheka ? Weka wazi tafadhali
@claudiabakisa8052
@claudiabakisa8052 Год назад
@@MTAVASSYTv kuota mbwa mmoja na nguruwe wa 3, nikampiga mbwa Kofi alikuwa anakuja upande wangu huku ana bweka. Maana yake nini shekh.
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Год назад
Nawewe hovyo kweli unatafsiri au nasoma unaongea kama unakula mamung'unya.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Год назад
Ahsante kaka
Далее
Pro/Sheikh: Jafari Mtavassy Ugomvi Katika Ndoto
17:55
MADHARA YA KUMUOTA MBWA./ EFFECTS OF DREAMING A DOG
6:47
Ndoto ya Wanyama Wakari Simba,Chui n.k
9:19
Просмотров 17 тыс.
Aliyeona Shamba kwenye ndoto matokeo  itakuwa haya
11:39
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
Просмотров 56 тыс.
Ndoto ya zawadi : Skh Jafar Mtavassy
4:35
Просмотров 917
Ndoto za kukimbizwa/ kupambana na mbwa
12:38