Тёмный
No video :(

NDUMBARO AFUNGUKA SAKATA LA YANGA NA MAGOMA : Tumieni MIFUMO Kumaliza TATIZO Ndani Ya YANGA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 44 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@user-rj3cd2lh8w
@user-rj3cd2lh8w Месяц назад
Tatizo ni vyombo vya habari kukurupuka na kupost mambo ambayo hawajayafanyia uchunguzi vizuri kama hili linaloendelea huyo anaedaiwa kushitaki amekanusha kufanya hivyo sasa swali ni nani aliyewapa taarifa wana habari mpaka wamepost na kuleta taharuki, hivi vyombo vya habari kuna siku vitaleta maafa makubwa
@AlexMbagata
@AlexMbagata Месяц назад
Sheria za kiroho hapa ndipo zinahitajika kwa watu Hawa wanaoitwa waandishi wa Habari hakika.
@RachelBujuli
@RachelBujuli Месяц назад
Kumwembe
@noahkamendu9081
@noahkamendu9081 Месяц назад
Endeleeni kupost eti Simba kafungwa 6
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 Месяц назад
Alafu Milard Ayo ni chombo kikubwa tunakiamini nacho kilipost mapema sn! Aibu sn
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi Месяц назад
Acheni siasi zisizo namaana katika soka la 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 eshimu bendera za viongozi wakuu wanchi.Tanzania kwanza🇹🇿🙏
@piusngasa4201
@piusngasa4201 Месяц назад
Huyo waziri mwenyewe ndo walewale ,njaa Tu zinamsumbua anataka pesa za Gsm
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Mimi ni Mshabiki wa Simba. Hii issue imekuzwa na waandishi wa Habari. Mzee Juma alikuwa amekaushia, sasa waandishi njaa wanaotaka umaarufu ndio wamelivalia njuga hasa MAULIDI KITENGE na wenzake Wasafi FM.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Месяц назад
Kenya watuazime GE Z tuende kwa magoma
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Asikilize nn jinga limoja tu sema baadhi ya waaandishi wachochezi hasa oscar
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu Месяц назад
Wapo wengine ndani ya serikali wanachochea vurungu,na hawachukuliwi hatua zozote,Mara mo anaiibia timu,akipewa timu siku moja tu hawezi kuiendesha.
@febiuskipokile5631
@febiuskipokile5631 Месяц назад
Akiivuruga yanga amevuruga nchi, itabidi ahame nchi
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Месяц назад
Haiwezekani watu wengine watumie pesa zao halafu mtu mwingine aje aseme yeye anaishije. Kwa kweli watu kama hao hawatakiwi kabisa kwenye jamii. Wanapaswa kutafuta ya namna ya kuishi. Hacha hizo Edo Kumwembe watu wanatakiwa kufanya kazi na kuridhika na wanachopata kwa mujibu wa sheria siyo kuwa kupe mtu.
@MohamedUchungu
@MohamedUchungu Месяц назад
Nchi hii kila mtu anakurupuka anaanzisha jambo ili atrendi na kweli anafanikiwa maana usimamizi wa viombo vya habari ni ziro
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Месяц назад
Osca ni jinga fulani hivi yeye ni vichekesho tu
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Месяц назад
Magoma mmoja tu..kaijambisha yangaa
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Месяц назад
wana yanga. eee tutengee Gn z yetu,,,break ya kwanza kwa boya magoma, kama haachi,,
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack Месяц назад
Kila jambo linafaida na hasara yake.Faida za vyombo vya habari ni nyiiingi,ila hasara zake ndy km hiziii
@user-sd9dg6ux9m
@user-sd9dg6ux9m Месяц назад
Duh umenena mkuu watu hawaa galii maslah mapana bali wanajali maslahi binafsi
@BennyTalimo
@BennyTalimo Месяц назад
Kenya walifungiwa kwenda mahakamani
@HappyClogShoes-hp9ho
@HappyClogShoes-hp9ho Месяц назад
Waziei dunduka aliekachochea ya pacome
@yohanamyumpu
@yohanamyumpu Месяц назад
Mzeee njaaa
@user-lb2jh4ss6v
@user-lb2jh4ss6v Месяц назад
Kibalaka wasimba anasumbuka haiwezi yanga
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Месяц назад
Muheshimiwa. Hapo. Tf. F. Na. Simba. Wanasababisha. Haya. Matatizo.
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Месяц назад
Wew unahararisha ujinga wa kusema tukae na mpuuzi huyu
@juliusejulius6704
@juliusejulius6704 Месяц назад
inakuhusu nn
@user-ur9um5zm7h
@user-ur9um5zm7h Месяц назад
Mkutano uliowachagua hawa vipngozi waliopo kama si viongozi halali, Basi huo mkutano pia haukuwa halali na wao walio andaa hawakuwa halali.
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Месяц назад
WAKATI VIJANA WANATAKA MANGUNGU. AONDOKE , HATUKUSIKIA HIZI BUSARA....ALI KAMWE ANASEMA KILA , SIMBA WAKIGOMBANA WAO FURAHA....
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Месяц назад
Mzee Magoma komaa na kaza hapo hapo kama mzungu wa sauzi na ndege yetu.
@hassankheri7593
@hassankheri7593 Месяц назад
kwaiyo ndo kombe lenu ilo Makolo mzee magoma😂😂
@FrancisBogori
@FrancisBogori Месяц назад
Saidia kiongozi na huyo magoma achukuliwe hatua
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
SHERIA KALI ZIWEKWE DHIDI YA VYOMBO VYA HABARI,HAWA NDIO VYANZO VYA CHOKOCHOKO
@krispinkomba4606
@krispinkomba4606 Месяц назад
Mm naamini hata hawa wachambuzi wangemsikiliza Magoma hata wasingechambua hivyo!!
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Shida tff niwatu wasiyo tenda haki pamoja nahao bmt rushwa ninyingi kazi yao kupindisha sheria ndiyo maawanachama wanakimbilia mahakamani wakatafute haki.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Месяц назад
Yanga inawakilisha nchi???
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Месяц назад
Kumbukeni huyu ni Simba damu hawezi kuipenda Yanga hta iweje
@gregory6165
@gregory6165 Месяц назад
Kwani ameongea nini kibaya
@proisolution7166
@proisolution7166 Месяц назад
WAZIRI SHERIA HAIKUPI NGUVU KAMA WAZIRI WA MICHEZO KUTOA MAAMUZI,CSE NAONA MAGAZETI AU REDIO HUWA MNAZIFUNGIA,HATA KAMA NI TCRA HUWA MNASHINIKIZA,JE MAGOMA KAMA MAGOMA KWA INTEREST ZA MICHEZO HUNA MAMLAKA NAYE?
@lekinyaurey5772
@lekinyaurey5772 Месяц назад
Mbona mgogoro wa Simba wazili ajaongea Leo anaongeaaa nnnnn sasa aunayeye ni yanga
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Месяц назад
Kama vile ulikuwa akilini mwangu. Mgogoro wa Simba waliiachia Simba yenyewe itatue hakuna statement ya waziri kama hii. Tusiwe na double standard timu zote ni zetu na ndizo zinazoipaisha taswira ya nchi kimataifa tuache ushabiki panapokuwa na tatizo tumsaidie kupata muafaka.
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Месяц назад
Uongozi ahutaki kuwasikiliza.
@djfunk255
@djfunk255 Месяц назад
C watoke tu waje kwetu Simba.
@Ambagaye
@Ambagaye Месяц назад
Kwa sheria za FIFA, migogoro ya michezo haiamriwi mahakamani; Magoma na wenzie walitakiwa wapeleke malalamiko yao TFF na BMT kabla ya kwenda CAF na huenda hadi FIFA, siyo mahakamani. Hapo pole pole Tanzania inainyemelea Kenya katika kupigwa ban na FIFA
@johnamos8651
@johnamos8651 Месяц назад
Huo si mgogoro wa michezo mnajua baadhi ya watu hamjaelewa nn huu mgogoro na nn Magoma analalamika ama kweli Watanzania tuamke. “furaha isikufanye usahau au kupuuzia haki yako Kwa mtu anayekupa furaha au raha, utakuja kulia kuliko kicheko” bongo lala tuamke na hata baadh ya viongozi serikalin hufanya hivi. Magoma hili swala ni la utawala, katiba na utendaji haliwez kwenda FIFA mzee hata mahakama inatoa hukumu. Sasa mawakili, wanasheria na jaji unataka kuniaminisha ujinga wako kuwa hawajui sheria na mipaka Yao mpaka waliamue hili. ? Usiropoke bhana
@Ambagaye
@Ambagaye Месяц назад
@@johnamos8651 Haki gani; yaani Magoma hajui maana ya representation. Kwani tunapotuma madiwani kutuchagulia meya tunatukuwa tumepoteza haki yetu ya kuchagua Meya? Yeye analalamikia representation ya watu watano katika tawi na kudai ati hao 95 wananyimwa haki yao. Mjinga sana huyo, amezoewea vilabu vya watu wachache wanaoweza kukutana wote pwamoja, hana ujuzi na organization kubwa zinazoongizwa kwa repreresentation. Kuhusu mgogogoro FIFA inazuwuia migogoro yote ya kimchezo na kiongozi kwenye vilabu isipokuwa criminal offences ndizo zinazopelekwa mahakamani tu
@fidelisjoseph-tt9zl
@fidelisjoseph-tt9zl Месяц назад
Heshimu maahakama na maamuzi yake
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Месяц назад
Hivi kweli waziri huu Ni mgogoro?!?! Kama kiongozi unasema mgogoro kwa mtu ambaye si meanachama
@gregory6165
@gregory6165 Месяц назад
Kwaiyo wewe unaona ni nini? Maamuzi ya maakama si yametaka uongozi wa yanga ung'olewe
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Месяц назад
Wewe ni kolo nini?​@@gregory6165
@yuzoooyuso583
@yuzoooyuso583 Месяц назад
Mnatukana Nini?kwani magoma si mwanachama wa yanga?mabaya mnapenda yawe Simba tuu ndio furaha yenu Sasa Mungu ameyarudisha kwenu vyura ondoeni ubabaishaji kwenye club.leo Magoma mnamuona mjinga lakini ipo siku mtamuona anaakili na nyinyi ndio mtakua wajinga
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Kama nyie mnavyomuona mjinga Mangungu ipo siku mtamuona ana akili😂😂
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 Месяц назад
Wakaanzishe timu yao watuachie timu yetu
@SaimonMakin-wo1oo
@SaimonMakin-wo1oo Месяц назад
Wewe hiyo yanga ni yako
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 Месяц назад
@@SaimonMakin-wo1oo ya mama yako
@user-xu3dx7vv8w
@user-xu3dx7vv8w Месяц назад
Kujitambua ni muhimu sana sasa Edo yuko kwenye position ya kusema tofauti na hivyo
@piusngasa4201
@piusngasa4201 Месяц назад
Wewe waziri umeiona migogoro ya yanga Tu sio ,ushabiki mandazi unakusumbua wewe
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Месяц назад
#Yanga Hii ..... tafuta asili yake utaelewa......
@JumaKifo
@JumaKifo Месяц назад
bongo nyoso!!
@BenjaminShilikale-i1h
@BenjaminShilikale-i1h Месяц назад
wewe muongo Sana
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Месяц назад
Walikuwa wanamzalu magoma wangemsikiliza wasingefika hapo waondeke tu
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Месяц назад
Alizulumiwa Kwa lipi? Unakichaa wewe! Yule mzee analipi?
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Iyo kuishije ndiyo maisha yalivyo popote duniani... Huwezi kukaa kiboya tu mahali kama Hao bendera Fata upepo.. Maisha ya mjini lazima ujue unakaa wapi kama watu hawaelewi unafyatua betri kama hivi 😂😂😂😂
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Месяц назад
Matusi si suruhu yanga mkae na wazee muondoe kesi mahakamani ,vinginevyo yanga mtafungiwa na Wenye Mpira FIFA
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Месяц назад
Ndicho mnachokiwaza
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 Месяц назад
Edo we nimjinga sanaa na ww ndo mchonganishi,,,, Magoma kwenye yanga ninan?? Ninyi ndo mnao chochea
Далее
THERE IS HOPE AHEAD JIMMY WANJIGI ASSURED KENYANS
31:37
CHEKESHA: FUNDI CHEREANI | NAPIMA T TATU
9:10
Просмотров 80 тыс.
Bishop Jacob Wamwea guborwo mbeca ciake ciothe ni mikora
1:08:46