Тёмный

Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video) 

Neema Gospel Choir
Подписаться 129 тыс.
Просмотров 134 тыс.
50% 1

Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida.
Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3).
🗯️🗯️🗯️🗯️
Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna:
📌Shukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu.
📌Imani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu.
📌Ulinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu.
📌Kudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu.
📌Kutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu.
Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja
Leader: ⁠David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago
--
VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024

Видеоклипы

Опубликовано:

 

28 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 419   
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 26 дней назад
Lyrics📌 Nani kaona yale mambo Mungu Baba kanitendea Kanifanya niimbe Mbele ya adui nivimbe Niko sure na huyu mzee Kanitendea Amesema yuko nami wala siogopi Maana he is on my side Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini Ni mtetezi wangu Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent Tumefunga naye mkataba Baraka sisi Mungu anatupaga Ulinzi wake tu unatoshaga Haki zetu anapiganiaga Oooh hatutanyang'anywa tena Nimeshikika kwake Sitachomoka kwake Nipo Permanent Baba kasema nisihofu yuko nami tena nisifadhaike Mkataba wa baraka Ni Permanent
@OFFICIALSEMAH
@OFFICIALSEMAH Месяц назад
Number 1 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania me your like now please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 soon My song it's enjoy your day for song neema gospel choir come like
@hezronbaraka206
@hezronbaraka206 29 дней назад
Alirejesha yale tulioibiwa, tukatabili na tukabariki,, sas yote yaliyolejeshwa na kutabiliwa na kubalikiwa leo yamekuwa PERMANENT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 watu wa maana kabisa hawa kutoka kwa Mungu aliye juu.......❤❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@isackobadiah484
@isackobadiah484 27 дней назад
Ameen Sana 🙏
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 19 дней назад
Amen
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 19 дней назад
Amen
@EdithaMwasha
@EdithaMwasha 13 дней назад
Umesomeka
@TheWorldGospel
@TheWorldGospel Месяц назад
Tuliobarikiwa , sasa baraka zetu zinaenda kuwa PERMANENT.Gonga 👍 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼
@user-lm7mk4bj9u
@user-lm7mk4bj9u 29 дней назад
Hakika mungu katutendea mambo permanent hakuna waku tunyang'anya💥💥baraka ni permanent
@celekhasoha5607
@celekhasoha5607 12 дней назад
Mkataba WA Baraka Ni Permanent 😘
@user-ls6co6fr7h
@user-ls6co6fr7h 3 дня назад
Mungu kanitendea❤❤❤neema gospel perma nent
@pascalthomas9481
@pascalthomas9481 11 дней назад
Ellice Ume fanya vizuri sana from Leandra
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 25 дней назад
Choirs nyinginezo zijifunze quality ya Recording kutoka kwa hawa jamaa, Mixing, Mastering ☑️
@isackobadiah484
@isackobadiah484 27 дней назад
Wimbo Mzurii Sana, Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Jumbe Zenu Nzurii Kila Kukichaa🙏🙏👏👏
@ngatatv1365
@ngatatv1365 Месяц назад
Ila nyie watu kuna huyu mtu anaitwa *Titus Alfred* Najua kuandaa Editin zake mazeee aisee sio kitoto ni vibao vya nguvu and they are very generous 😊
@titusalfred
@titusalfred 29 дней назад
😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Utukufu kwa YESU
@priscillamugisha794
@priscillamugisha794 29 дней назад
Kabsa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@kigura_jr
@kigura_jr 27 дней назад
Freddy Kuna namna ameumbiwa kuwa fundi wa muziki aisee, mwanamasanja ulemhola saana bhabha 🎹🎧🎸🎸
@user-wq4pl5dv6b
@user-wq4pl5dv6b 27 дней назад
Producer wawili hawa wakikutana ni hatari fredy na keifer vinanda moto
@dianachepkemoi5623
@dianachepkemoi5623 25 дней назад
Getting blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@philmonnem7294
@philmonnem7294 29 дней назад
Mnajua kuufurahisha moyo wangu kila nikisikiliza nyimbo zenu huwa nafurahi tu
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@BenyDaniel
@BenyDaniel 29 дней назад
Baba kasema nisihofu yuko nami Tena, nisifadhaike Mkataba wa Baraka ni Permanent.🎉❤😂
@JaneyIshengoma
@JaneyIshengoma 27 дней назад
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿🇹🇷🇸🇸🇱🇾
@robertisack4886
@robertisack4886 27 дней назад
Shetani na watu wake kimya, Mungu aendelee kuwaweka permanent, Kila kitu kipo sawa kizazi muhimu Sana Cha AICT KWAYA, Kuliko vipindi vyote nimevisikiliza, muwekwe kwenye kumbukumbu ya kanisa mmekuwa mfano wa kwaya zote za AIC Hilo halina kupingwa, Hakika mnaweka jiwe la ushuhuda kila mmoja anaona na kusikiliza, Mtu akiona Ni rahisi ajaribu kufanya. Hakika nimeamini Uwezo na bidii vinaanza ndio pesa inafata.🙌🙌
@GIDIONMBUJA
@GIDIONMBUJA 10 дней назад
Afu ctep safar hi ndo kama za chino duh 😮😮😮😮 jitahd kubadilsha kdogo lakn yote Kwa yote MUNGU AWABARIKI SANA Kaz yenu n njema sanaaa❤❤❤❤🎉🎉
@user-qy1nq8eg1d
@user-qy1nq8eg1d 15 дней назад
kuna mahali ninawaona zidi ya hapa mlipo mtafika kwa neema ya Mungu. HAMNA BAYA
@marthathomas1478
@marthathomas1478 29 дней назад
Aseee hamjawahi kukosea hata siku moja nyie watu,,,,NEEMA GOSPEL CHOIR 🥰🥰🎉
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Utukufu kwa Mungu 🙌
@Jrsonsimi
@Jrsonsimi 29 дней назад
Nakeshaa nasikiliza nyimbo zenu kila siku....zinanibarikii sanaa MUNGU AWATUNZE🙏🙏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Utukufu kwa Mungu
@dorrypol9911
@dorrypol9911 29 дней назад
Nlikua naisubir san kwa mara kwanz ilkua pale kijitonyama lutheran🎉🎉🎉🎉🎉 musicians Mungu awabariki🎉🎉🎉🎉
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@simonmahega3085
@simonmahega3085 29 дней назад
Wale wa gitaa la solo safari hii hawaja leta mambo yao sana, this time naona ilikuwa kwa pianist na bassist, na drumers . Wimbo mzuri edit nzuri, light engineer yuko vzr, stage sound yuko vzr pia.
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen utukufu kwa Mungu
@Africatenshi
@Africatenshi 12 дней назад
Mwanangu kwa amapiano kama hii solo inabidi wasikilizie kidogo.
@MaimunaMnandowa
@MaimunaMnandowa 11 дней назад
Haha madogo noma
@debrahkemuma3168
@debrahkemuma3168 28 дней назад
Mkataba wa baraka ni permanent
@NeemaMzuri
@NeemaMzuri 24 дня назад
❤❤❤ mna sehemu yenu mbinguni
@davidschaermann5270
@davidschaermann5270 29 дней назад
Greetings from Germany 🇩🇪 Siku moja mtakuja kwetu❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Hakika utukufu kwa Mungu
@jacobdamiano6492
@jacobdamiano6492 24 дня назад
Tuliokuwa tunasubiri huu wimbo kwa hamu tujuane
@glorymsuya9341
@glorymsuya9341 15 дней назад
Nawapenda sana aloo
@ngatatv1365
@ngatatv1365 Месяц назад
Ilikuwa TEMPORARY ila sasa ni PERMANENT May God greatly bless his servants and bless the works of your hands NEEMA GOSPEL CHOIR 🙏
@ADVANCE289
@ADVANCE289 28 дней назад
Tuliyorejesha saiv ni permanent BABA Kasema🔥🔥🔥🔥
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 27 дней назад
Mtaalam wa itifaki @Titus Alfred chukua maua yako mapema.
@izabayofelix8740
@izabayofelix8740 3 дня назад
🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 absolutely holy spirit is on me ❤❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 2 дня назад
Amen
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 19 дней назад
Mungu Yehova yu nami kwa Kila kitu permanent. Amen
@joycekayuni-qr5pw
@joycekayuni-qr5pw 29 дней назад
Nashukuru leo nimepata zawadi nzuri sana ya brithday yangu.....Naimba wimbo huu tu leo
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@HeriethMacha
@HeriethMacha 28 дней назад
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu mungu awabariki
@TwineKing
@TwineKing 28 дней назад
The calming sound of this song forces you to paying attention by default. and listen to the great words with no interruption. Edit: Well done Neema Gospel Choir for blessing us. Praised to the most high God.
@rosemarypauline6066
@rosemarypauline6066 25 дней назад
Powerful 🙏🙏 MUNGU AZIDI KUTUKUZWA KWA MAMBO MAKUU ANAYOTUTENDEA
@tricykalukwa5697
@tricykalukwa5697 19 дней назад
Wapiga Vyombo hata haturuki ruki vinaruka Vyenyewe vyombo🙌
@jamesmagwisha9634
@jamesmagwisha9634 27 дней назад
Hii ni Kubwa na Nusu,nina mwanangu hapa alikuwa anaipenda Temprary,ila kwa huu wimbo,namuona kauelewa zaidi,tumeurudia kuusikiliza zaidi ya mara Nne
@gracekihoti5432
@gracekihoti5432 29 дней назад
Eeeeeeeeish wapi likes za kenyans
@RenathaElias
@RenathaElias 29 дней назад
Mungu awatie nguvu muendelee kusonga mbele❤❤❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen 🙏 🙏 🙏 ❤️
@EstherSalla-l4d
@EstherSalla-l4d 4 дня назад
Mungu awabariki sana
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 дня назад
Amen
@stevenmshiu404
@stevenmshiu404 28 дней назад
What a hit song. Nyie watu wa Mungu mmebarikiwa. Tumerejeshewa baada kutabiri, na tukabarikiwa. Sasa zile baraka zimekuwa ni za permanent 😊
@charleskapama9333
@charleskapama9333 29 дней назад
Huu Wimbo Ni Wa Kimataifa Ikiwezekana Uwekwe Kumbukumbu Ya Kizazi Kijacho ❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
😃 😀 😄 😁
@micopeter7704
@micopeter7704 29 дней назад
You're of next generation , kubwa na la msingi kazi isiwe bure mbele za Mungu maana ndo lengo kubwa watu wafurahi na nyinyi muuone ufalme wa Mungu , kama yupo mmoja wa wanakwaya nina soda ya wapiga mziki kuipata tuwasiliane siku moja mkiwa mazoezini amin
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 22 дня назад
Nyimbo zakuumiza vichwa kutunga ndo zinatakiwa saivi biashara yakua navinyimbo mserereko haitakiwi... wana wa Mungu tunatakiwa tuliteke soko lahuko mitandaon,sio kitu rahisi lakini kwakaz kama hizi naamini inawezekana....
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 22 дня назад
Kwangoma hii daaaah .... yaaan alivyovinyang'anya shetan lazima virudi kwawana wa Mungu ngoma hiz zinatakiwa zilie saaaan
@frvictortahityaofficial5018
@frvictortahityaofficial5018 26 дней назад
Vous êtes ma chorale préférée . Que Dieu vous bénisse. Je vous à partir de Beni en république démocratique du Congo. Soyez bénît
@StephanoMgaya-ef1ws
@StephanoMgaya-ef1ws 29 дней назад
Hii ni Kali ya MWAKA
@rubbydorrie8827
@rubbydorrie8827 4 дня назад
This is well done. Ahsanteni sana
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 дня назад
Amen
@gospelman3720
@gospelman3720 6 дней назад
Mmeshatoa Temporary, now Permanent, Next song Jobless, mwisho Internship 😊😊😊😊
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 3 дня назад
😃 😀 😄
@elmasroj9712
@elmasroj9712 23 дня назад
Yaani uhuni wa dunia umeingia kanisani, ndo nini hiko
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 22 дня назад
Hujui unacho ongea
@hellenpascal9605
@hellenpascal9605 19 дней назад
Permanenttttt🎉🎉🎉🎉mkataba wa baraka ni permanent🎉🎉🎉
@FidelCastrol-fb5pn
@FidelCastrol-fb5pn 28 дней назад
Love from burundi🇧🇮🇧🇮Ampiano is good vibe
@ianadolph7721
@ianadolph7721 29 дней назад
Best gospell for realll🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ibrahimstanslaus9156
@ibrahimstanslaus9156 28 дней назад
Waooohhhhh hiii nyimbo kaliiii balaa hongereni sana Mungu awabarikin sanaa🔥🔥🔥
@happyshoo-to5sn
@happyshoo-to5sn 29 дней назад
Mkataba wangu na BABQ wa Mbinguni n PERMENENT ❤❤❤❤aiiiih❤❤
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Hakika 🔥 🔥 🔥
@lilechievangeline
@lilechievangeline 28 дней назад
Eiiyy jameni mbarikiwe kwa nyimbo huu🎉❤
@GeniLimbu
@GeniLimbu 18 дней назад
Penda san hii kwaya❤
@ministermossesmungure
@ministermossesmungure 28 дней назад
Family your amazing 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏽🔥🔥🔥
@evakatani636
@evakatani636 28 дней назад
Such a wonderful song, bless up guys 🙏
@NellySongolo
@NellySongolo 25 дней назад
Nawapenda bure nyimbo zenu huwa zinanibariki mubarikiwe
@dorisn9111
@dorisn9111 28 дней назад
Ameeen from temporary to permanent 👌👌👌👌
@evansimsagaatkog1953
@evansimsagaatkog1953 28 дней назад
The convenant of blessing permanent 🎺🎸🎤🎹🎧 Permanent to the World Permanent
@BenyDaniel
@BenyDaniel 29 дней назад
Amen amen, Hakika ni Permanent blessings🎉❤
@jinomoko5510
@jinomoko5510 27 дней назад
Mimi si mtaalam wa kucoment lakini hapa nimeingia kwenye coment dahhh mko juu sijawahi kuona hongereni sana
@AgnesMomanyi-xp7cq
@AgnesMomanyi-xp7cq 29 дней назад
Beautiful people you never disappoint! I love how you praise God He Is A Great God And He's Greatly To Be Praised 👏 🙌 🙏 ❤️ ♥️ 💖🎉👏 🙌
@user-ur4tz9xs7e
@user-ur4tz9xs7e 27 дней назад
Oooh yes nimefunga naye mkataba sitangangana tena Amen Amen
@PltLuckyGedion
@PltLuckyGedion 28 дней назад
This song is top notch...Mungu azidi kuwaenemesha na kuzidi kuwafikisha mbali.
@boscowafula2080
@boscowafula2080 26 дней назад
Beats iko sawa kabisa. Inakaa amapiano❤❤❤
@brianmutemi1
@brianmutemi1 29 дней назад
This song was arranged by a scientist💯❤️
@user-ob5ww1ju6v
@user-ob5ww1ju6v 29 дней назад
Drummer umeua vaibu kama lote👍👍👍👍
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 28 дней назад
🔥
@user-bq7gx1jh9s
@user-bq7gx1jh9s 29 дней назад
Weeeeeeeeeeh nimerejeshewa sasa naenjoy nani kaona
@parkengideon9374
@parkengideon9374 29 дней назад
What a song!! My prosperity is permanent
@irenemuli8994
@irenemuli8994 24 дня назад
Love ❤ from the 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kforkelvin457
@kforkelvin457 29 дней назад
I'm really blessed.... 🙏🙏🙏 Kuanzia kwa intro, sijui kama Kuna mwengine amehisi vile nimehisi.... These guys are heavenly singers, salute... 👏👏👏
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 28 дней назад
Amen
@BriannaPetra
@BriannaPetra 27 дней назад
Always nyie ni baraka kwangu
@JaneyIshengoma
@JaneyIshengoma 27 дней назад
God is Great to us . Napenda sana this Choir 🙏🇹🇿
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 27 дней назад
Amen tunakupenda pia ❤️
@arsenalpundit_
@arsenalpundit_ 27 дней назад
Ntakuj niwaon one day
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 27 дней назад
Karibu sana
@alexmichael7251
@alexmichael7251 29 дней назад
Can't get enough of it.. Nimependa zaidi mlivyorap Merry umetisha!
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@user-yl3hm6cm1e
@user-yl3hm6cm1e 21 день назад
love you all, May God Bless you forever more 🙌🏾🙏🏾❤️❤️
@DeborahYusuph-yf3fo
@DeborahYusuph-yf3fo 19 дней назад
Congratulation neema gospel
@MussaKazimili-jb1mh
@MussaKazimili-jb1mh 29 дней назад
Amina Mbarikiwe Sana Hakika Mmekuwa Safi Sana
@christophercheruiyot5755
@christophercheruiyot5755 19 дней назад
Everything in this song and is all about God
@edwatson7931
@edwatson7931 24 дня назад
Eeeish🎉🎉🎉 Si I love you guys...🥰
@ruthmalela3694
@ruthmalela3694 28 дней назад
Permanent ni firee,hao kastyle km kawimbo wa big God mmekawezea❤
@goldenboy8000
@goldenboy8000 28 дней назад
Ampiano mood😊😊😊😊😊😊❤❤❤
@tomkyalo1107
@tomkyalo1107 27 дней назад
NGC my best choir Kila wimbo mnasonga next level, next song change uniform 😂😂
@user-un7rz8mv6b
@user-un7rz8mv6b 29 дней назад
❤❤ finally Mkataba wa Baraka ni Permanent
@munyibonface166
@munyibonface166 20 дней назад
Aaaaaahh❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥
@derrickwasike6676
@derrickwasike6676 29 дней назад
Waaaw,You are a blessing to this generation. Everything on point, likes from KENYA
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
🙏 Amen
@ebenerkissanga6899
@ebenerkissanga6899 24 дня назад
💯📌♥️😍😍
@samuelnkola9309
@samuelnkola9309 25 дней назад
Blessings upon blessings
@emmanuelmusyoki3836
@emmanuelmusyoki3836 29 дней назад
i was excited to see female leads FINALLYYY, but it was a let down. just be a CHOIR. TUJIRUDI. with Love💌
@NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir 29 дней назад
Amen
@gloirekiza5276
@gloirekiza5276 26 дней назад
Waouh 🔥🔥🔥🔥
@nakalekwategeta8410
@nakalekwategeta8410 29 дней назад
Waooooo jaman mungu awabariki Kazi nzur sana❤❤❤❤❤
@danielmaguge5134
@danielmaguge5134 28 дней назад
God Bless you. Next Amapiano I will need to make the Gospel Rap verse to you. For the Glory of Jesus
@maitali4448
@maitali4448 29 дней назад
Si kila silu jumanne kwa wimbo huuu mmechemkaaaa
@elizabethmgombele-pr5lj
@elizabethmgombele-pr5lj 28 дней назад
Pole yako aiseee kama wimbo huu haujakubariki ungeweza kunyamaza ilikuwa haina ulazima ku comment kwa upande wangu ningeona umeongea cha maana kama ungetoa na maoni yako lakini kwa hiki ulichokiandika inaonekana wivu tu umekujaa @Neema gosple choir endeleeni kuifanya kazi ya Mungu kwa nguvu zote sisi familia yenu tunawapenda sana❤❤❤❤❤
@wuodsokia4512
@wuodsokia4512 28 дней назад
Wanachanganya mambo ya Dunia na vya Dini! Hii hata mm sijaielewa! Bora wabakie kule tulikowazoea
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 23 дня назад
​@@elizabethmgombele-pr5ljwachache ndo tunaelewa wamechemka kwenye huu wimbo hakika,mbona zingine wamefanya vizuri na tukawasifia?ila huu hapana bwana
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 22 дня назад
Siyo kila chakula kinaletwa mezan kwaajili yako hebu kaa pemben wengi wetu tunakula vyakiroho....
@EdithaMwasha
@EdithaMwasha 13 дней назад
Ngoja na mimi nichangie jambo japo kua ni wiki mbili zimepita. Muziki ni taaluma ya kufikisha ujumbe tuu, naelewa ungetamani music sound ya kidunia isifungamane na music sound ya dini lakini ni muhimu kujikumbusha kua Mkristo humuambukiza Mkristo mwenzie kulijua neno la kristo na sio vinginevyo. Kuna watu hutumia ngoma za kitamaduni kufikisha ujumbe wa Kristo hao nao utawapinga 😮?. Tuwatie vijana wenzetu moyo tena mkuu sio lelemama kumshinda shetani. Ubarikiweee 🎉
@therealaitar4149
@therealaitar4149 29 дней назад
Kubabake!! Humu tu! Humu tu! Humu tu!
Далее
Neema Gospel Choir - Temporary
8:39
Просмотров 1,9 млн
Спасибо Анджилишка, попил😂
00:19
Neema Gospel Choir - MWEMA
10:32
Просмотров 3,1 млн
Neema Gospel Choir - Tubariki Leo (Live Music Video)
5:58
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 134 тыс.
Tunatabiri (feat. John Kavishe)
10:14
Просмотров 3,9 тыс.
Patrick Kubuya - Ni Yesu (Official Music Video)
7:29
BEST OF NEEMA GOSPEL CHOIR 2023
1:20:20
Просмотров 174 тыс.
AD AKA DILOVAR - MILANA  ( 2024 )
3:19
Просмотров 1,3 млн
Ozoda - JAVOHIR ( Official Music Video )
6:37
Просмотров 6 млн
MASSA Feat. DITTO - Boss (Official Music Video)
3:23
Просмотров 332 тыс.
Gulinur - Chaki chaki (Official Music Video 2024)
3:32