Тёмный

Neema Mudosa ft - Michael Bakenda- Kuna Nguvu 

Neema Mudosa
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@renatusjoshualweganwa7119
@renatusjoshualweganwa7119 3 года назад
Kuna nguvu katika kukubali aibu maana kiwango cha aibu yako ndo kiwango cha utukufu wako... Nimependa wimbo mzuri sana!
@dreamsuccess7187
@dreamsuccess7187 2 года назад
Mimi Makoba Charles nafarijika na uimbaji wa nyimbo za namna hii, zinanipa nguvu sana katika kuishi kwangu na hatua ninazopitia katika tambo za maisha yangu.mbarikiwe sana kwa tungo sanifu.
@MichelBakenda
@MichelBakenda 3 года назад
I can wait
@jerrycifakenya
@jerrycifakenya 3 года назад
Neema zaidi Kaka pamoja na mamangu huyu Neema.Nimebarikiwa
@joelkisembo4435
@joelkisembo4435 Год назад
Papa Michel Bakenda, vs êtes une bénédiction pour le corps de Christ.
@douglasateka45
@douglasateka45 6 месяцев назад
Neema, I love the message of your song,very encouraging and inspiring, May God bless you as you spread the Gospel for those who have lost hop in life.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Год назад
Ubalikiwe mtumishi Michael bakenda na neema amen 🙏
@richiekisukuli
@richiekisukuli 3 года назад
Duh,, meseji is so powerful 🙌🏽💥. Mungu azidi kukutumia my sister 🙌🏽💥💪🏽🙏🏽
@anithaapolinary6391
@anithaapolinary6391 3 года назад
Wimbo mzuri na napenda sana sauti yako Neema sema huyo kaka sauti yake haijaendana na yako inakoroma sana. Ungepeta watu wenye sauti nyepesi au ukaimba peke yako wimbo ungenoga sana.
@genesishalisi7161
@genesishalisi7161 2 года назад
Ni kweli kabisa
@nzigirejudith751
@nzigirejudith751 3 года назад
Amen Amen maman asante kwa ujumbe mzuri sana sio rahisi kusamehe nakusahau ila Mungu akujalie neema
@blandinasamwel3512
@blandinasamwel3512 3 года назад
Ameeeen Ubarikiwe Sana Mtumishi,hakika KUNA NGUVU katika kusamehe
@a.j.m9740
@a.j.m9740 3 года назад
Waooo kama upo mpakani Mwa Tanzania ,Malawi na zambia naomba like comment yangu hiii tuipige nyimbo hiii mpakani hapaa. Viva Kongo hongera sana mitu ya kongo
@deusderrick4504
@deusderrick4504 3 года назад
Daah wimbo mzuri Sana Isay nimbearikiwa zaidi Mungu akazidi kukutumia kufikisha ujumbe wake note kwakeli kuna nguvu katika kuvumilia aibu na katika kusamehe🙏🙏🎶🙏🔥🇹🇿🙌
@komandowayesu3642
@komandowayesu3642 3 года назад
Hakika kuna nguvu🔥🔥🔥🔥 Barikiwa sana Dadaake
@dennisdedan5431
@dennisdedan5431 3 года назад
Mbarikiwe asante sana kwa nyimbo njema kama hii Mungu abariki kazi ya mikono yetu🙏🏽
@sedekiakiza
@sedekiakiza 2 года назад
Hiii nyimbo imebeba ujumbe wenye nguvu sana
@freegospel
@freegospel 3 года назад
Hongeraa sana mama mkwe Mungu azidi kukuinuaaa sana
@carolinenafula771
@carolinenafula771 2 года назад
Mungu azidi kukubariki zaidi wimbo huu bado unanihudumia #kuna nguvu
@genesishalisi7161
@genesishalisi7161 3 года назад
Nyimbo zako dada neema uwaga zina ujumbe unaovusha sana nakupenda bure
@officialneemagrace2791
@officialneemagrace2791 3 года назад
Wajina wangu mie....huu wimbo jameni😭😭 kweli Kuna nguvu....sio rahisi lakini Mungu anatuwezesha...baraka mummy
@jerrycifakenya
@jerrycifakenya 3 года назад
Oh....Glory to God forever more!!! Kuna nguvu katika kusamehe,kuna nguvu kusubiri... Mungu awapandishe levels zaidi ya hii Michael Bakenda na mama yangu Neema Mudosa.Nafwatilia nyayo yenu kwa karibu.
@Emmanuelbahatiartist
@Emmanuelbahatiartist 2 года назад
Very true...... May God bless my sister Kweli Kuna nguvu
@venancemlelwa7312
@venancemlelwa7312 3 года назад
KUNA NGUVU KATIKA KUACHIALIA, JESUS NATION. KUNA NGUVU KATIKA KUMTEGEMEA.
@dorcaspaulo7562
@dorcaspaulo7562 2 года назад
Hakika kuna nguvu katika kusimam na Mungu
@doryomary732
@doryomary732 3 года назад
Blessing always Ipo nguvu pia Kusamehe ni Ibada kamili
@silvanusmgogo4142
@silvanusmgogo4142 3 года назад
Umeimba ujumbe wa nguvu pia ujumbe unao ongea na una ishi, be blessed so much.
@Julzrash
@Julzrash 2 года назад
Wow...Da Nene. Mungu awabariki kabisa
@emmanuelmasisa1998
@emmanuelmasisa1998 2 года назад
Neema Kama jina lako Mungu akutunze sana
@issamalankari6956
@issamalankari6956 2 года назад
Dada naomba kufanya nyimbo moja nawewe naomba
@studiormsbkv
@studiormsbkv 3 года назад
Kazi zuri Dada yangu
@priscamrekoni272
@priscamrekoni272 2 года назад
Namuelewa sana huyu mdada kwa kuimba
@guywatundatv3018
@guywatundatv3018 3 года назад
Wimbo una upako sana, Baraka tele
@paullangu4424
@paullangu4424 3 года назад
kuna nguvu hongera dada kazi inaonekana
@mpfreeofficiel7078
@mpfreeofficiel7078 3 года назад
Kazi njema Dada yangu. Mungu aendeleshe kukubariki
@calvarymmbaga3519
@calvarymmbaga3519 2 года назад
Dada Mungu akubariki ujumbe mzuri
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 3 года назад
You never disappoint mamy
@nellychitera9065
@nellychitera9065 3 года назад
Haleluyaaa, hii ni ujumbe kabambi saaana. Ubarikiwe wa Neema wetu 💖💖
@melissarehema2176
@melissarehema2176 3 года назад
Kabisa kuna nguvu katika kukubali haibu
@roselynekazizetuzitapimwan9525
@roselynekazizetuzitapimwan9525 2 года назад
Ubarikiwe saana ma Cherie. .
@lilianboimanda7443
@lilianboimanda7443 3 года назад
Jamani i can't wait bado tuu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😍😍😍💃💃💃💃
@ozld4864
@ozld4864 8 месяцев назад
POWER FULL MSG-BE BLESSED
@hubirikandonga8035
@hubirikandonga8035 3 года назад
Duuuuu hujawah kukosea dada hiii ni shuhuda sana kwangu Mungu akubariki sana Kuna nguvu ktk kusamehe Kuna nguvu ktk kuachilia ubarikiwe mnooooo roho mtakatifu akufunike
@verroniccammbaga5894
@verroniccammbaga5894 3 года назад
Dada Kama dada hongera sana
@stewardshonza317
@stewardshonza317 3 года назад
Utukufu unayeye pekee Mungu aendelee kukutumia mpendwa
@janethmwinuka7689
@janethmwinuka7689 Год назад
Ujumbe mzuriii Sana🙌
@graysonmagaula1395
@graysonmagaula1395 2 года назад
🍾🍾🍾🤔🙏Long live Ma'am and Daddy 🥰
@sifamatcharaofficielle7091
@sifamatcharaofficielle7091 3 года назад
N'a barikiwa saaaana vraiment 😭
@christophermsapuka5451
@christophermsapuka5451 3 года назад
Wimbo mzuri sana huu unafundisha
@dianaakamala5489
@dianaakamala5489 2 года назад
Naupenda tu huu wimbo .
@jamesdonard2081
@jamesdonard2081 3 года назад
Amen Mtumishi kwa ujumbe mzr
@mwl.timothysangayoni2137
@mwl.timothysangayoni2137 3 года назад
Kazi nzuri Sana Dada angu
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 3 года назад
Oooh you make me cry again sis… 😭 oooh God bless you my sis.
@suriologymarangetios
@suriologymarangetios 3 года назад
Nyimbo nzuri,mafunzo ya kutia nguvu kiroho.
@giscardmugishomg2309
@giscardmugishomg2309 3 года назад
Amen!!! Big up saana sister Neema na Mungu azidishe kipaji
@stevenmwakaje1730
@stevenmwakaje1730 3 года назад
Hongera wimbo mzuri
@manjaruu679
@manjaruu679 2 года назад
Kazi nzuri imenibariki
@papaarobbysam2081
@papaarobbysam2081 3 года назад
Ssta Nakukubali Sana Sana
@PAPANYANGI
@PAPANYANGI 3 года назад
Bon travail , hongera sana dada yangu Mungu azidi kukuinuwa.
@LydiaOnesmo
@LydiaOnesmo 3 года назад
Mungu akuinue zaidi mpenzi
@souzannahchombeofficiel2809
@souzannahchombeofficiel2809 3 года назад
My lovely sister God bless you ma chérie. Unanibariki sana
@pastormosesy.marambo2914
@pastormosesy.marambo2914 3 года назад
Hongera sanaa,kwa wimbo unaotia moyo
@StellaEmmanuel
@StellaEmmanuel 3 года назад
Hongera sana Neema, Mungu akubariki mno
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 года назад
Barikiwa Sana Mtumishi
@sedekiakiza
@sedekiakiza 2 года назад
Barikiwa ndugu
@chanellenibikora4249
@chanellenibikora4249 2 года назад
Amen Mungu Awabariki sana
@hekimalukosi
@hekimalukosi 2 года назад
Iko vizuri Dada
@nyambabazichantal3231
@nyambabazichantal3231 3 года назад
Hongera sana dada neema kwa kazi nzuri
@nadinekibungank9605
@nadinekibungank9605 3 года назад
Amen amen amen Dada 🙌🙌
@lilianboimanda7443
@lilianboimanda7443 3 года назад
Haleluyaaaaaaaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@gisellebusimesepa3435
@gisellebusimesepa3435 3 года назад
Ubarikiwe Dada, kuna guvu 🙏
@EmmaFrancis14
@EmmaFrancis14 3 года назад
So powerful madame asante kwa ujumbe mzuri wana wa Mungu
@ibrahimkaseya9749
@ibrahimkaseya9749 3 года назад
Wimbo nzuri sana ubarikiwe sana dada NEEMA
@mariampascal7112
@mariampascal7112 3 года назад
Hongera dada neema kwa kazi nzuri 🙏🙏
@davidmwami7031
@davidmwami7031 3 года назад
Upakooo Mingi sanaaaa !🔥🙌🏼🙌🏼
@desmondmbasha8404
@desmondmbasha8404 2 года назад
Kazi nzuri
@officialneemagrace2791
@officialneemagrace2791 3 года назад
Ooohh wakati wa Mungu 🙌🙌
@princejimmy862
@princejimmy862 3 года назад
Kazi nzuri sana dadaangu 🔥🔥🔥
@gabililta
@gabililta 3 года назад
Strong msg
@jordanmweluka5490
@jordanmweluka5490 2 года назад
Hakika ipo nguvu
@nzeyimanalouise8646
@nzeyimanalouise8646 2 года назад
Mubarikiwe sana
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 3 года назад
Way you live long mama
@emmymwangosi2260
@emmymwangosi2260 3 года назад
Powerful song jmnnnn daaaaaaaah
@MrMwebesa
@MrMwebesa 2 года назад
Fantastic Song
@visentbarnaba5262
@visentbarnaba5262 3 года назад
Nice song"" barikiwa 🙏🙏🙏
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 3 года назад
You are blessed to be a blessing to this generation Dada
@irenemdoe8929
@irenemdoe8929 2 года назад
Nice song
@shadrackrobert_
@shadrackrobert_ 3 года назад
kweli kuna nguvuuu...powerful song.
@naimankimaro3329
@naimankimaro3329 2 года назад
My God bless this work
@henocmwambaofficial7784
@henocmwambaofficial7784 3 года назад
Glory to God
@nellygrace8451
@nellygrace8451 3 года назад
Wow naipenda
@claudinematundu5368
@claudinematundu5368 3 года назад
Bwana asifiwe♥️♥️🥰🥰❤️❤️😍💝💝🤩🔥💯💯💖💯🙏🗡️💓💓😍❤️♥️very nice song 💖💝💝💯💯🇨🇩🇨🇵🇹🇿🇰🇪
@mwetafils8875
@mwetafils8875 2 года назад
Un bon travail vraiment.
@lepalmierjean5998
@lepalmierjean5998 Год назад
Que Dieu te bénisse
@leahchepkemboi6139
@leahchepkemboi6139 3 года назад
Amen amen
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 3 года назад
Hallelujah
@subiramwaka9792
@subiramwaka9792 2 года назад
Very powerful message
@banzamukalay5396
@banzamukalay5396 3 года назад
Amen 🙏
@janethmwinuka7689
@janethmwinuka7689 Год назад
Kunanguvu
@chriskalume5082
@chriskalume5082 3 года назад
Be blessed nice song....
@rossettereborn240
@rossettereborn240 10 месяцев назад
Amen
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 3 года назад
You have a good voice
@chikotigele7590
@chikotigele7590 3 года назад
I Just updated my playlist with this amazing song!!
@EmmanuelSanare-bc7si
@EmmanuelSanare-bc7si 11 месяцев назад
@isakwisambyale5514
@isakwisambyale5514 2 года назад
This is powerful and anointing message
@rozaliamagige2109
@rozaliamagige2109 2 года назад
Wow
Далее
Neema Mudosa- Yabadilike (Official Video)
4:49
Просмотров 109 тыс.
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37
Neema Yako
12:49
Просмотров 967 тыс.
Neema Mudosa- Mapito  (Official Video)
4:46
Просмотров 34 тыс.
USIJITETEYE by NEEMA MUDOSA / BUKAVU CONGO
8:29
Просмотров 73 тыс.
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26