Тёмный

NENO LA SIKU | Yohana 2 | Maombi Ya Kujilinda Na Watu 

Neno La Siku
Подписаться 3,2 тыс.
Просмотров 794
50% 1

Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya pili, na tunaenda kufanya maombi ya kujilinda na watu. Tunahitaji kuwa na watu kwenye maisha yetu, kwa sababu Mungu anawatumia watu katika kutubariki, na kutusaidia kufikia hatima zetu.
Hata hivyo, shetani pia anaweza kutumia watu wake, kwa malengo ya kutuharibia maisha na kutuharibia hatima zetu. Kwa bahati mbaya si jambo rahisi kutambua watu wabaya wanaojitokeza kwenye maisha yetu. Mara nyingi tunapopatwa na mabaya, ndipo tunatambua kuwa hatukuwa na wa watu sahihi kwenye maisha.
Habari njema ni kwamba, tunayo nafasi ya kwenda mbele za Mungu, na kumuomba atupe ulinzi, ili pale ambapo watu wabaya wanataka kutudhuru, au kutuharibia maisha na hatima zetu, Mungu anaweza kuingilia kati na kutuokoa. Lakini pia, Mungu anao uwezo wa kutufungua macho ya rohoni, ili kutusaidia kutambua hatari na kuziepuka, ili tuishi maisha ya amani na ushindi.
Katika maombi ya leo, tunaenda kumsihi Mungu atulinde na watu wabaya wanaotumika na shetani kutukwamisha na kutuharibia maisha. Ninaamini YESU atafanya jambo kwenye maisha yako kupitia maombi ya leo. Ninaamini utaenda kuuona mkono wa BWANA YESU ukikuvusha na kukusaidia katika maombi ya siku ya leo. Kwa hiyo hakikisha unashiriki kikamilifu kuanzia kwenye neno, hadi kwenye maombi. Omba kwa kumaanisha kushinda, na omba kwa kumaanisha kuvuka, na utauona wokovu wa BWANA.
Mungu akubariki sana, na akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina la YESU. Amen!
Isaac Javan
+255 745 76 45 72

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@rhodamwakatundu5226
@rhodamwakatundu5226 День назад
Asante Bwana Yesu kwa maneno yenye nguvu na uponyaji
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE 20 часов назад
Asante Yesu kwa kunifunulia habari njema yaneno lako na maombi mbariki mtumishi wako kwa Neem ulioiachilia ndani yake
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE День назад
Asante Yesu kwakunipa ufunuo mpya Mungu wambinguni akubariki sana mtumishi wa Yesu
@cesiliamasumu432
@cesiliamasumu432 День назад
Bwana Yesu Kristo Asifiwe Kwa kweli Asante kwa Neno na maombi Kweli yaliyosemwa yanatokea maishani mwangu namshukuru Mungu ametupa mtu wa kutufundisha juu ya kweli ya Mungu Tunatamani kupata watu sahii kwenye maisha yetu watu wabaya hawana nafasi Asante sana Mtumishi kwa Kweli ya Mungu Barikiwa
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q День назад
Yesu naomba unipokee Bwana 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@MichaelKirei
@MichaelKirei 9 часов назад
Bwana Mungu alibariki neno lake🙏🙏🙏
@BethMdoe
@BethMdoe День назад
Ameen ameen hakika mtumishi leo umenigusa kwa kiwango cha juu mim nilikuw nabudhaifu wa kuamin watu kwa haraka lkn leo nimepona kwa jina la Yesu Ameen
@veronicawilson4263
@veronicawilson4263 День назад
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU namshukuru MUNGU Kwa kuniunganisha na Mtumishi wa MUNGU aliye hai kutufundusha kweli ya Mungu hakika MUNGU azidi kukulinda na Hila za yule muovu YESU nakukushuru kwa kunileta ktk sehemu sahii
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q День назад
Eeee Yesu nifungue macho yangu ya rohoni 🙏🙏🙏
@Tinahtinash
@Tinahtinash День назад
Amen 🙏
@christinemoranga7598
@christinemoranga7598 День назад
Amen and Amen more blessings ❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 22 часа назад
Amen Ameeeen
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q День назад
Eeee Mungu niunganishe na watu wema kwenye maisha yangu 😭😭😭
@creativepublishers7746
@creativepublishers7746 День назад
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, nimejifunza kitu Mungu anisaidie
@IrineoyaruOyaru
@IrineoyaruOyaru День назад
Amen mtumishi wa Mingu ubarikiwe sana
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q День назад
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE День назад
Amen tupo pamoja
@JUDITHNICHOLAUS
@JUDITHNICHOLAUS День назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@Zogath-h2p
@Zogath-h2p День назад
Ameen mtumishi ubarikiwe sana 🙏
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q День назад
Ameen mtumishi Mungu akubariki saaanaa ❤❤❤❤
@BRACEDESPamela
@BRACEDESPamela День назад
amen and amen 🙏🙏❤️ ubarikiwe Sana
@joycemkumbwa9550
@joycemkumbwa9550 День назад
Ameen Ameen Barikiwa sana mtumishi nimefunguliwa
@rizikimakupe-tw2sj
@rizikimakupe-tw2sj День назад
ameen ubarikiwe kwaneno
@JackTembo-c4z
@JackTembo-c4z День назад
Amen Dady ubarikiwe🙏
Далее
NENO LA SIKU | Yohana 1 | Maombi Ya Kupata Matokeo
38:39
NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako
32:29
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Просмотров 29 млн
VYAKULA VYOTE NI SAFI? | Mtume Maliyabwana
2:07:48
Просмотров 1,2 тыс.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako
33:23
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru
27:49
Просмотров 8 тыс.
NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho
32:55