Тёмный

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako 

Neno La Siku
Подписаться 3,2 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kumi na nane, na tunaenda kufanya maombi ya kudai haki yako. Katika maisha tunayoishi kila siku, watu wengi haki zao zimezuiliwa na shetani, na wamejikuta wanaishi kwenye mateso, mahangaiko na vifungo vya aina mbali mbali.
Wapo watu waliozuiliwa haki ya kuishi, wengine wamezuiliwa haki ya kupona, wengine wamezuiliwa haki za kubarikiwa, na wengine wamezuiliwa haki ya kuwa na amani. Lakini habari njema ni kwamba, YESU aliposhinda kifo na kaburi, moja kati ya uwezo na mamlaka aliyotupa, ni kudai haki zetu ili tuweze kuishi sawasawa na mapenzi yake.
Katika maombi ya siku ya leo, tunaenda kudai haki zetu zote zilizozuiliwa na shetani na wajumbe wake. Nami nakuombea ukauone uaminifu na mkono wa Mungu ukikupigania na kukushindia katika maombi ya leo. Maisha yako yapate badiliko na ukapate haki zako zote zilizokuwa zimezuiliwa katika ulimwengu wa roho. Damu ya YESU inene mema na ikufunike na kukushindia daima. Amen
Isaac Javan
+255 745 76 45 72

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE 24 дня назад
Napokea hakiyangu iliyopotea katika jina la Yesu ameeeeeeeni
@TedyMosha-o2z
@TedyMosha-o2z 4 дня назад
Amina mtumishi napokea uzima na uponyaji ktk jina la YESU Amina
@tabithamselema166
@tabithamselema166 2 месяца назад
Ameen Napokea haki ya uzima katika jina la Yesu .Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@BRACEDESPamela
@BRACEDESPamela 2 месяца назад
Amen Amen 🙏🙏
@user-cb2gx4jd3n
@user-cb2gx4jd3n 25 дней назад
Amen 🙏
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 месяца назад
🙏 🙏 🙏 Asante mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI Ubarikiwe sana ❤❤ 🙏 🙏 🇺🇸
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 2 месяца назад
Amen
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q 2 месяца назад
Ameeen Ameeen asante Yesu napokea haki yangu
@TOBISTAR-m7k
@TOBISTAR-m7k 2 месяца назад
Amina ubarikiwe sana
@TofilaInyasi
@TofilaInyasi 11 дней назад
Asante yesu nimepokea haki yNgu
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 2 месяца назад
❤ Asante Yesu Amen Amen Amen 🙌🙌🙏
@angel54223
@angel54223 2 месяца назад
Kwa kweli Mungu Baba akubariki kwa chakula hiki ya kiroho unayoturisha hapa
@NatashaCharles-gv3qb
@NatashaCharles-gv3qb Месяц назад
Asante MUNGU kwa kuniwezesha kusikiliza neno lako nakushkuru baba Asante
@cesiliamasumu432
@cesiliamasumu432 2 месяца назад
Namjua aliye mwema kwangu atanipa haki yangu.Nitaomba mchana na usiku ili Mungu afute zuio la adui kushikilia haki yangu ya uponyaji. Yesu wangu ni mwema atanipa uzima Barikiwa Mtumishi kwa kuungana nami katika maombi . Mungu akubariki na nyumba yako
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 2 месяца назад
Amen Ameeeen.
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 2 месяца назад
Napokea haki yangu kw jina la yesu
@Mwx-zd4ov
@Mwx-zd4ov 2 месяца назад
Yesu nadai haki yangu kwa damu ya yesu
@Asiyedjali
@Asiyedjali 2 месяца назад
Sifa kwa bwana Mungu
@JovitaChilumba
@JovitaChilumba 25 дней назад
Amee yesu ahsante nimepokea haki yangu
@truphenakhagori9387
@truphenakhagori9387 22 дня назад
Amen Amen Amen
@stephanomollel1190
@stephanomollel1190 Месяц назад
Amen napokea haki ya uzima katika jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏
@samweliantoni7707
@samweliantoni7707 Месяц назад
Amen❤ Mungu nadaihaki yangu katikajina la yesu kiristo
@mirri8uchau614
@mirri8uchau614 2 месяца назад
Ninakushukuru Bwana Yesu kwa kuwa nimepokea Haki yangu iliyodhuliwa na adui
@user-or8yo2wj9v
@user-or8yo2wj9v 2 месяца назад
Amen barikiwa sana
@EmelineEben
@EmelineEben 2 месяца назад
Ameen.Ahsante YESU
@esthermutisya79
@esthermutisya79 25 дней назад
AMEN
@GetrudeKimage
@GetrudeKimage Месяц назад
Napokea haki yangu kwa jina la yesu
@WahindiKwembe-c1g
@WahindiKwembe-c1g 2 месяца назад
Asante Yesu nimepokea haki zangu
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 2 месяца назад
Amen ubarikiwe mtumishi Kwa maombi
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 16 дней назад
😂😂 amen nimepokea haki yangu Leo shetani wacha nikucheke😂
@user-ob9zc1xj9c
@user-ob9zc1xj9c 15 дней назад
Napokea haki ya kibali ktk jina ka Yesu kristo,
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q 2 месяца назад
♥♥♥♥♥
@bahatiBosco-jl3gr
@bahatiBosco-jl3gr Месяц назад
À Santé yesu
@RehemaMazambi
@RehemaMazambi Месяц назад
Amina yesu nitendeye mema
@AnithaPaul-p4u
@AnithaPaul-p4u 18 дней назад
Naomba kibalichakazi mtumishi
@user-rp5mh9md1g
@user-rp5mh9md1g Месяц назад
Napokea uzima kwa uzao wangu na wajukuu wote
@ModestaMduda-n9s
@ModestaMduda-n9s 8 дней назад
Mungu akubaliki sana mtumishi
@LeticiaMayai
@LeticiaMayai 9 дней назад
Amen🙏 napokea haki zangu
@user-rp5mh9md1g
@user-rp5mh9md1g Месяц назад
Napokea uzima na wadogo zangu na mama na kupokea haki kutoka kwa kadhi dhalimu kesi ya mirathi
@JacklineJohnson-q9k
@JacklineJohnson-q9k 2 месяца назад
Amina Barikiwa sana mtumishi nimeamini nimepokea vibali vyangu vyote Asante sana nimegalagala sana muda wa maombi naamini nimepata uponyaji 🙏🙏
@JaneStephano-uo8no
@JaneStephano-uo8no 2 месяца назад
MUNGU. akubariki🙏
@magdalenakabahinya5650
@magdalenakabahinya5650 2 месяца назад
Mungu akubariki sana mtumishi ❤
@ComputerRoom-t5q
@ComputerRoom-t5q 2 месяца назад
Yesu bariki huyu ntumishi wako na umlinde 🙏🙏🙏
@marlineelipid5952
@marlineelipid5952 2 месяца назад
🙏
@GetrudeKimage
@GetrudeKimage Месяц назад
Asante baba mungu akubaliki
@VELENARWEBUGISA
@VELENARWEBUGISA Месяц назад
ASANTE BWANA YESU KWA KUNIFUNGUA,USIKU HUU NAOMBA GUSA NA UZO WANGU AMNA
@GetrudeKimage
@GetrudeKimage Месяц назад
31:27
@DivinahNyambeki
@DivinahNyambeki 19 дней назад
Amen 🙏 🙏 🙏
@user-jv1qw8rw3k
@user-jv1qw8rw3k 6 дней назад
Amen 🙏
@FortunatusRweyemamu
@FortunatusRweyemamu 21 день назад
Amen amen
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE 25 дней назад
Amen
@dinalunda1939
@dinalunda1939 2 месяца назад
🙏
@agnesnafula5984
@agnesnafula5984 2 месяца назад
Amen 🙏 🙏 🙏
@FarhO-r7m
@FarhO-r7m Месяц назад
Amen Amen
@bettymoses2047
@bettymoses2047 25 дней назад
Amen
@user-rp5mh9md1g
@user-rp5mh9md1g Месяц назад
Amen
@GetrudeKimage
@GetrudeKimage Месяц назад
Amen
@user-ll2mf7xh1p
@user-ll2mf7xh1p Месяц назад
Amen
@ChristineWafula-tm2mp
@ChristineWafula-tm2mp Месяц назад
Amen
@johnngana7207
@johnngana7207 2 месяца назад
Amen
@dinalunda1939
@dinalunda1939 2 месяца назад
Amen🙏
Далее
А вам, слабо?
00:22
Просмотров 48 тыс.
NENO LA SIKU | Yohana 1 | Maombi Ya Kupata Matokeo
38:39
NENO LA SIKU | Luka 15 | Maombi Ya Toba Na Urejesho
32:55
MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN
34:07
Просмотров 131 тыс.
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru
27:49
Просмотров 8 тыс.