Тёмный

New Couple Mjini, Ndoa mpya ndani ya Turufu, Tazama walivyopendezana, ni WELLU SENGO na CHRIS 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

#sengomatilda #chrismziwanda #wellusengo

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@sanisani5266
@sanisani5266 3 года назад
Binadam bwana akipungua tena mtaanza kumsema kama vile wema mara umekonda sana wembamba aukupendezi wataongea mengi tu nenepa tu kukonda kuje kwenyewe nasilujikondesha
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 3 года назад
Wana midomo sana tz kazi hatuwezi ni midomo tuuu
@naimakombo4576
@naimakombo4576 3 года назад
Yani sasa waangalie wao
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 года назад
wanao mpenda uyu mdada kama mimi tujuane wasio mpenda wafanyaje????????????????
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
tunywe sumu tukufe🤣🤣
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 года назад
hahaha
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Wakalie chupa
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
@@glorylema haki nimecheka🤣🤣🤣👌wee kiboko hiv watu mnawaxaga nn mpk.upate hili jibu 🤣🤣🤣
@glorylema
@glorylema 3 года назад
@@aminakipande5645 😂😂😂 niache mie 😂😂😂
@shifabeib4316
@shifabeib4316 2 года назад
Mko Juu Nawakubalii
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 года назад
Good point matilda nakupendaga wewe dada
@mariamissa1528
@mariamissa1528 3 года назад
Kumbe una mkumbuka matlida
@sinyobaby9777
@sinyobaby9777 3 года назад
Halafu siyo lazima uongee kingereza ndo uonekane umesoma....kiukweli watu wanaofuatilia tamthilia zenu ni watu wa uswahilini....wanapenda kiswahili na hata wazungu,wachina ,na kadhalika wanapenda kiswahili....kwahiyo tujivunie vilivyo vya kwetu
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 3 года назад
Wabongo ndipo wanapofeli hapo
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
hata mm nachukia hasa huyu dada anakera kinyama yan
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 года назад
Kwa ss tamthilia zinaonekana duniani kupitia RU-vid so naamini Luna watu WA mataifa mengine wanatamni kujua inahusu mimi so ukiwa unachaganya na kiingereza ina wapa wanga hata Kwa wasiojua kiswahili kujua nini kinaendelea nilikuwa natazama tamthilia ya kiphiipino wanaongea kiphilipino so natamani kujua mini wanazungumza so walipikuwa wakiongea kiingereza kidogo tu basi unaona angalau nini kinaendelea so mi sioni tatizo kabisa as long as kuna kiswahili lazima uelewe
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 3 года назад
@@zawadichalale4047meaningful,uko right tatizo huezi control mawzo ya kila mtu as long as it doesn't change anything from them, let them talk. Iyo ni kawaida kuongea tok enzi za mababu na mabibi
@naimakombo4576
@naimakombo4576 3 года назад
Mmh skia unajua elimu nyingi za jua Tanzania zinatumia kingereza hivy bas haya n mazoea kwakuwa MDA mwingi anatumia kingereza so Kwamb anatak ajionyeshe anajua kusoma
@yosray822
@yosray822 3 года назад
Tina uko vizuri yani mmendezaje mashallwa mungu awabariki mlikuwa muowane mmependezana ki ukweli mtu sifa yake mmependezana kuwa baba na mama mungu awajanze kheri na baraka nadni yake filamu zenu nnuri sana sana mungu wazidishie
@speciozaandrew1145
@speciozaandrew1145 3 года назад
🤣🤣🤣
@maisarakaitaba4347
@maisarakaitaba4347 3 года назад
Jamani minakupendaga sana, ilajamani punguza uo unene maana umennpa mnoooo
@jenifamligo5199
@jenifamligo5199 3 года назад
Ila anakiuno
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
🤣🤣🤣
@upendojosefu4457
@upendojosefu4457 3 года назад
Aiseh nyinyi ni wazuri sana
@neemamwaikenda4238
@neemamwaikenda4238 3 года назад
Kwn amesema unene unamtesa??
@bilikhamis8963
@bilikhamis8963 3 года назад
Naashukul Hana maziw
@madamboss348
@madamboss348 3 года назад
Napenda chris sana 💕💕💕he knows how to act kibenteni cha tesa huba bwana wa annet
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 года назад
Hongera my dear umeelezea vzr sana
@ab3ab313
@ab3ab313 3 года назад
Nawapend bure kbs
@merinaemmanuel3593
@merinaemmanuel3593 3 года назад
Big up sister, kazi nzuri kwako, ww n mzuri na hujskii I like u more than.
@qwqw1665
@qwqw1665 3 года назад
Turufu ninzuri sana jaman
@alinentahobari2930
@alinentahobari2930 2 года назад
Hivi kale kanyimbo ka turufu kwenye turufu yenyewe nitakapataje ao kanaitwaje guys
@tumainsawe6960
@tumainsawe6960 3 года назад
Nampenda sana huyu Kaka ako daaa
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 года назад
Safi sana Dada
@hiyarimakelele6899
@hiyarimakelele6899 3 года назад
leo ni wa kwanza naomba like zetu
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 года назад
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 3 года назад
Huyu dada alikua mzurii ndio kajiachia hivi 🙄
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
kaa tembo sasa🤣🤣🤣
@calvinjons4181
@calvinjons4181 3 года назад
yan Matilda anaongea kistar sana Namkubali kinoma
@miriam7186
@miriam7186 3 года назад
Hiyo move mbona siipati
@jenifamligo5199
@jenifamligo5199 3 года назад
Turufu imeanza jana
@elicegeorge9991
@elicegeorge9991 3 года назад
Kama huna king'amuzi Cha Azam baadae nishukuru umesikia👻🗣️ ingia you tube andika Azam group utapata tamthilia zote mi nimeibamba. Jana tamu balaa
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 года назад
Apunguze msosi atajikuta kama Shishi baby hapo anahemea juu juu nguo imembana vibaya mno. Ndoshasema ivooo
@hadijaomary2000
@hadijaomary2000 3 года назад
Humjui welu hajanenepa Leo ingekuwa kumfikia shishi angekuwa kashampita na kapasuka muda huuu
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 года назад
Haya na umesema kweli 🤣🤣🤣🤣
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@ubahalfan105
@ubahalfan105 3 года назад
Na utaki makasiriko🤣🤣🤣
@rahmadavid2479
@rahmadavid2479 3 года назад
akafanye tu kama alivyofanya wema....maana mnhhhhhhh kama jibwaaaa
@aishabrondi236
@aishabrondi236 3 года назад
Mbona huyo mwanamke kawa mnene sana kihivyo duuuu
@shellaking6185
@shellaking6185 3 года назад
Yeah tena xana anakaa ni mwili waukoo
@christinammassy1550
@christinammassy1550 3 года назад
Mume wake kamwambia anenepe anapenda kulalia nyama.
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 года назад
Mme wake hajalalamika,,Wellu is very beautiful
@danneismail5442
@danneismail5442 3 года назад
Kwa vile ameridhika mashallah
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 3 года назад
Unene wake umempendeza mbona alafu achani ujinga umuache mtu alivo ni kua kaamua nakapenda
@ummutaswaufi3980
@ummutaswaufi3980 3 года назад
Hiv Huyu Dada kaolewa?
@johnmwadime4590
@johnmwadime4590 3 года назад
Kampiku Tesa 😃😃
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 года назад
Mwili mkubwaaa kuliko nyonyoooo duuu hataree Sana alafu sijariii Wala Nini🙈
@ilhamhabuba5241
@ilhamhabuba5241 3 года назад
😃😃😃😃😃😃😃
@danneismail5442
@danneismail5442 3 года назад
Alafu kua mpole na huache uchochezi#uchokozi
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 года назад
@@danneismail5442 😷😷😪
@nicerjoseph6535
@nicerjoseph6535 3 года назад
Ndo vizur ssa
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 года назад
Matilda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Chris kibenten cha tenaaaaaa uwiiiii annet
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 3 года назад
Sijawahi kuona bongo tamthilia ikamuelimisha mtu zaidi ya kupotosha na kuiga Maisha ambao sio halisi katika tanzania
@annaanyosisye8682
@annaanyosisye8682 3 года назад
Wewe hujaona na hutoo ona coz hujaandaa akili yako kuelewa
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 года назад
Kwani hawa ni akina nani😳🤷‍♀️🤷‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 3 года назад
Waigizaji Matilda na Chris Mziwanda Matilda ni Mkongwe tok enzi za Kanumba Ila Chris alianza kujulikana ama kuskika kupitia Wana alikua kama video king wa Zuchu kweny video pia ameonekan tena Huba kibenteni cha Tesa Ako vizuri anavaa uhusika hataree
@nanamohamed6525
@nanamohamed6525 3 года назад
Kina Tina wenye turuku zao mjini
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 3 года назад
Sauti imefanana na ya Irene Uwoya.
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 2 года назад
Tina wellu sengo umenenepa sana nenda Gym
@sinyobaby9777
@sinyobaby9777 3 года назад
Sasa unene punguza Fanya mazoezi plz matilda
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 года назад
Anafanya
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Alo kujaza ufala kwamba mazoez yanapunguza unene nani
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 3 года назад
Well punguz uzito
@merinaemmanuel3593
@merinaemmanuel3593 3 года назад
Mshauri apunguze kucha haswa mkono wa kulia.
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 года назад
Hahahahaha na wakushoto VP na ndo unaosafisha huko chini
@godlema6104
@godlema6104 3 года назад
uyo jamaa ni mwenzetu kweli mbona analamba lips sana
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 3 года назад
Mwenzenu kivp🤣?
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
🤣🤣🤣
@fatmafatom3034
@fatmafatom3034 3 года назад
Tina kwenye turufu nimkosaadabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wala simpendi
@alisaid5378
@alisaid5378 3 года назад
Mwaaaaaaawah
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
Kwani anaongeaje jamani sijamuelewa mimi yaani sio mtanzania au inakuaje?
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
anaboa jmn aah
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 года назад
Acheni wivu
@SaraSara-gi9he
@SaraSara-gi9he 3 года назад
Waongea kama umemeza CD
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@fatumamkuzi1475
@fatumamkuzi1475 3 года назад
Dadangu mazoezi yana kuhusu kweli Mwili huo duh
@mapenzisylus4776
@mapenzisylus4776 3 года назад
🤣🤣🤣
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 3 года назад
Mmmh dada unanikeraga unavyojiongelesha sauti ya mnato 😏😏😏 hovyoooo, si uongee tu kawaida
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
Kwan na ww ukiongea itakuwaje
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 года назад
Ndo alivyo
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Ongea na wewe kama unaona anafaidi
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 года назад
Ongea wewe sasa muone kwanza
@jonh5624
@jonh5624 3 года назад
Bigap
@sylviakoech2204
@sylviakoech2204 3 года назад
Huyu naye anakaa tu community husband,hawa handsome men's jua hauko pekeyako mummy 🤦
@fatmafatom3034
@fatmafatom3034 3 года назад
Eeee uyu sasa amezidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama kiboko sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@glorylema
@glorylema 3 года назад
Ata hauchekeshi mshyuuuuu🤢🤮
@fatmafatom3034
@fatmafatom3034 3 года назад
@@glorylema 🤣🤣🤣🤣nachekesha fyuuuuuuuu pekeyako kiboko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣utajuwa hujuwiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 3 года назад
Shoga kono kama paja langu🙄
@halimauhuru3560
@halimauhuru3560 3 года назад
🤣
@bintisaid8053
@bintisaid8053 3 года назад
Ha ha ha nimecheka mm jmn
@danneismail5442
@danneismail5442 3 года назад
Wewe mchokozi😶😔🤔
@gloriakazungu7848
@gloriakazungu7848 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@jenifamligo5199
@jenifamligo5199 3 года назад
Hahahaaaa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
@aksinosingano8054
@aksinosingano8054 3 года назад
Mikucha sasa hata bule sikuoi...fake for everything...
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
unamtamani 🤣🤣🤣
@jamalmasaka.gmail.commasak3232
@jamalmasaka.gmail.commasak3232 3 года назад
Anaongea vibaya huyu Dada kama anajilazimisha vile anajifanya anajua kingereza mhhh hatar
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 года назад
Ata kwa hela usingempata pia
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 года назад
@@coletashirima2193 🤣🤣🤣
@neemamwaikenda4238
@neemamwaikenda4238 3 года назад
Kwn kasema anataka umuoe??
Далее
Cook with Wema Sepetu - S07E04 Wellu Sengo
8:01
Просмотров 24 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн