All. Single mom tunatakiwa kujua ilo, nyumbani kwetu naawatoto cpo pakuleta mabwana. Yaani mimi naogopa ivyoivyo yani tupendane uko mbaliii cyo kuleta mapenzi om uku cjuii kama tutafunga ndoa ,wanangu pia watamjua baba tutakae funga ndoa inshallah
@@sikudhanimohammad7692 kunenepa ni vibaya sio tu kwa kuaribu umbo ila na kwa afya acha uwongo wa kudanganya watu kunenepa mpaka shingo imepotea manyama ya matako hayatoshei tena kwenye kiti hiyo si kupendeza hata kidogo pia na kukonda kuwa kama mreja pia sio vizuri kiasi inaitajika
Huyu Dem kipindi nasoma UDSM 2012-2015 nilikuwa silalali nilisoma sana kwa ajili yake😅najiambia nikipata mpunga tuu namtafuta but niliposikia amezaa na yule jamaa mfupi Steve Nyerere aiseee demu alinitoka kabisa nikafuta nyota zote😂
Kama mwanaume inabidi umpongeze huyu unayemwita mwanaume mfupi maana aliangusha mbuyu mzito fahamu alikuwa yuko na kitu huyo brother na ndio maana hiyo deal ikawa done!