Тёмный

NEY WA MITEGO AKATAA MASHTAKA MAZITO BAADA YA KUFIKA BASATA/ "MIMI SITUMIKI KISIASA NA SINA CHAMA!! 

GOSSIP COURT
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Ney WA Mitego Ameandika Ujumbe Huu Kutoka Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram Kuwa Anahitaji Basata
SUBSCRIBE Sasa Kama Bado Hauja SUBSCRIBE Ili Uwe Wakwanza Kupata Habari Zote Za Burudani Na Michezo Ambazo Tutakuwa Tukikusogezea Kila Siku Inayoitwa Leo :)

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@KingaluSalumu-yv2vu
@KingaluSalumu-yv2vu 13 дней назад
Sisi congo tumependa sana iyo nyimbo
@vedastianmwita8460
@vedastianmwita8460 14 дней назад
Ukweli usimame kama ukweli tu hakuna cha kisiasa wa kiuchumi ujumbe wako upo vizuriiiiii Tena vizuriiiiii Sana nimependa Sana my brother Sasa hii ndio kioo cha jamii
@caromolel304
@caromolel304 10 дней назад
Kweli kabisa kaka
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 8 дней назад
Kijana uko vizuri. Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 14 дней назад
Yani hawa waandishi huwa wanapigo za kisenge sana mnauliza maswali ya kichochezi kana kwamba mmetumwa big up sana Ney tuko na wewe mpaka mwisho wa safari hii ya misuko suko tunayoipitia watanzania
@ELPHAZJAVANAMONAMON
@ELPHAZJAVANAMONAMON 14 дней назад
Real apriciated bro love you from Kigoma
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 14 дней назад
CCM acheni kutuonea huo wimbo haujamtukana mtu yeyote ipo siku nanyi mtakufa tu ney tukopamoja sana endelea kuimba
@musa-v3f
@musa-v3f 14 дней назад
angeimba nyimbo ya kusifu ngono kama DIAMOND usingesikia chochote kosa lake ni kuimba ku expose na kutetea haki za wananchi na kukemea maovu Tanzania
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 14 дней назад
Pamoja sana Ney wa Mitego❤❤❤❤❤
@HabibHassan-g2z
@HabibHassan-g2z 14 дней назад
Sema ney
@jameskorduni7361
@jameskorduni7361 13 дней назад
Nakuunga mkono msanii wetu good work we are together
@Noelkashilila
@Noelkashilila 14 дней назад
Kaka mimi nakuelewa tunzi zako zote mungu akulinde wewe ni tunu ya taifa songa mbele wanaweza kukufunga ila hawawezi kufunga karama uliyopewa na mungu
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 14 дней назад
Ney umesomeka kaka nimekuelewa sana
@alexaugustino3230
@alexaugustino3230 14 дней назад
What a Big Brain
@BduniaNengenenge
@BduniaNengenenge 14 дней назад
Ney namkubali sana mwanangu Yuko vzr
@nicholouspaschal3586
@nicholouspaschal3586 14 дней назад
Mungu I bariki Tanzania big up bro.
@FlorenceGacheri-nk2dt
@FlorenceGacheri-nk2dt 10 дней назад
Pongez sana tenasa neiii wamitegoo
@mwajumaadam5513
@mwajumaadam5513 14 дней назад
Safi sana kaka uko vzr
@btechie04
@btechie04 14 дней назад
Umeongea vzr sana Raisi wa kitaa
@khamisinjigamwanaume4652
@khamisinjigamwanaume4652 13 дней назад
Safi sana kaka uko vzr ❤❤❤❤
@mwansasungafumbwa9116
@mwansasungafumbwa9116 14 дней назад
Uko vzr dogo
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 14 дней назад
Mungu akulinde
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 14 дней назад
Ney,Roma na Mch.Mbarikiwa Mwakipesile mnafaa sana kuwa wawakilishi wa Wananchi(Wabunge),ili mkawatetee wananchi wanyonge, naamini ipo siku miongoni mwenu mtakuja kuwa wabunge.
@AbasiHassan-w4s
@AbasiHassan-w4s 14 дней назад
Tuna kusapot bro ney Mungu akutie nguvu
@rashdonetz5710
@rashdonetz5710 14 дней назад
Uko vizuri sana kaka una ongea kitu ambacho kipo akuna kuzibaziba kitu apo
@EmmanuelMaigemasingija
@EmmanuelMaigemasingija 14 дней назад
Hahahaaaaa nay umetisha sana mwaba🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🎉🎉🎉🎉🎉🥀
@EckrlistElbahati-j3w
@EckrlistElbahati-j3w 14 дней назад
Raisi tuko pamoja nskukubali mtetezi wa wanyonge❤❤
@MoshaMasha
@MoshaMasha 14 дней назад
Upo vzr braza
@oscarmwailubi5078
@oscarmwailubi5078 14 дней назад
😅kaka NEY upo very true bro , wanaoona wanasemwa na kuimbwa wabadilike sasa ujumbe umewafikia DAWA IMEUKUTA UGONJWA SASA WANAAZA TAPATAPA we bro endelea kutusemea tupo nyuma yako
@JescaSolomon
@JescaSolomon 14 дней назад
❤❤❤ ney
@YonaBangili
@YonaBangili 13 дней назад
Makuzi zao ney wasikuchoshe na mungu atasimama nawe mkuu
@EliezaPaul-rq9et
@EliezaPaul-rq9et 14 дней назад
Brother naumia san bro wasanii wa Tanzania wangekuwa km wew nzn tusingetekwa maana wasanii wengn wao n kusifia tu Brother ,nakukubali san
@KaizaElick
@KaizaElick 12 дней назад
Mungu atutetee libalikiwe jina la bwana
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 14 дней назад
Sawa Mr nakuaminia !!
@NungulaRais
@NungulaRais 14 дней назад
Mm nakuelewa sana kwel ww ni mzalendo sana
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 14 дней назад
Nakuelewa
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 14 дней назад
Fact
@richardnyarugenda9769
@richardnyarugenda9769 14 дней назад
Ipo siku *ukweli utasimama* Tanganyika ipo siku itamama. Ipo siku mbuga zetu za wanyama zitalindwa. Ipo siku bandari zetu zitarudi. Ipo siku wasiyojulikana watajulikana. Ipo siku walio madarakani watatoka na kutaingiawengine. Lakini tujue Haya yote Mungu anayajua. Mungu si wa kudhihakiwa.
@Herryboymapiano
@Herryboymapiano 14 дней назад
🔥🔥🔥🔥🔥🤝
@medakilemo565
@medakilemo565 14 дней назад
Ungeimba nyimbo za matusi ya nguoni wangekupenda sana maana hicho ndicho wanachokipenda siyo kuambiwa ukweli
@ElishaMwita-v2z
@ElishaMwita-v2z 14 дней назад
Achen. Ney aendelee watanzania wanajua kinacho endelea nchin mwisho wasiku nanyie.ni.wananchi
@g-zoman1081
@g-zoman1081 14 дней назад
Bro uko shujaa kbx🇹🇿👊
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 14 дней назад
Hivi watanzania tunataka nani aumizwe ndo tuchukie na kuchukua hatua dhidi ya hawa mazombi ccm?hivi tunadhani haki zetu atazidai lissu ama nay peke yake?tuache unafiki watanzania,hebu kila mtu aoneshe kuchukia uovu wa ccm
@FurahaMlowe-o1l
@FurahaMlowe-o1l 7 дней назад
Natutakusapoti kusema ukweli mbaka tufe😮😮😮😮😮
@EliezaPaul-rq9et
@EliezaPaul-rq9et 14 дней назад
Bro pamoj san tunaumia san Tanzania 🇹🇿 really ndg zetu wanatekwa nahutjui walipo bro mfano ,kaka angu kipnz n mfanybiadhra katekwa buchani saa tano asbh lkn hd saiv htjmuon naumia san bro hawajui tuu
@FurahaMlowe-o1l
@FurahaMlowe-o1l 7 дней назад
Kweli kaka hatuna watetezi Sema tu ukweli.
@shedracksheria1611
@shedracksheria1611 14 дней назад
MUNGU IBARIKI 🇹🇿
@DaudiLukumay-rq3wk
@DaudiLukumay-rq3wk 14 дней назад
😢😢 dah umeongea mpaka machozi hutoka bro akuna kitu umeongea kukosea
@dennismagana6040
@dennismagana6040 14 дней назад
Tusemee brother nipo sija ona ulicho koseaa nipo nayo nai sikilizaa sanaaaa
@AmusedEyeglassFrames-ed4uw
@AmusedEyeglassFrames-ed4uw 14 дней назад
Hilo landishi la habari lisenge linaogopa kusema ukweli. Umeliuliza kuhusu kuupenda wimbo limekaa kmy
@Emmanuelmwakatibir2512
@Emmanuelmwakatibir2512 14 дней назад
Aah umeji kwaa vizuli apo mweshimiwa
@SaimonWiliam
@SaimonWiliam 14 дней назад
Naomba Ney ikiwezekana apewe jukwaa aseme na Jamii wapnzani na wanaharakati tumuunge mkono. mchukueni kijana au muungeni na chama kwani nihaki ya mtu yeyote.
@MwajumaMrisho-mb1gj
@MwajumaMrisho-mb1gj 14 дней назад
Ney nili kwambikaka yangu wimbo mzuri lakini nili kwambia utakuwa miongoni mwawatu wanao tekwa kaka yangu kama uli pitia comenti yangu yamwajuma mrisho
@AlphaJosephu
@AlphaJosephu 14 дней назад
Mmh Kwan wanawake kwenye comment siwaoni ila basi mdomo unisaidie kula
@RusayaAweso
@RusayaAweso 14 дней назад
Tutakutee mm nakutaita kamanda wa haki
@TitusNgogolo
@TitusNgogolo 14 дней назад
Mwamba endelea kuelimisha jamii Kwan Ccm weng ni machawa wanaangalia matumbo Yao tuu
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 14 дней назад
Watangzaji kama vile wametumwa😢😢😢😢
@ElishaMwita-v2z
@ElishaMwita-v2z 14 дней назад
Shida ya viongozi wa.tanzania wanamini.wananchi hawajitambui ney kfanya kosa gani
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 14 дней назад
Du! Waandishi mmepwaya hamjui kuhoji kabisa. Rudini shule au wenye TV tangazeni nafasi yahawa Viraza
@edgarjoseph5573
@edgarjoseph5573 14 дней назад
Tatizo kubwa CCM wengi ata kutumia Smartphone 📱 HAWAJUWI! Haya mambo watayaonea wapi
@B23-i8p
@B23-i8p 14 дней назад
Mbona wasanii wengi wanatumika na ccm kwenye majukwaa, wao mbona hawaambiwi wanatumika
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 14 дней назад
Rais wetu
@ELPHAZJAVANAMONAMON
@ELPHAZJAVANAMONAMON 14 дней назад
Hii nchi kuna watu wanichukulia kam familiar yao kuna haja ya. Wananch kuungana tuwatoe kwa nguvu
@stevenwiston27
@stevenwiston27 14 дней назад
Umejikwaa vizuli hapo mheshimiwa😅😅
@GREATESTHITSREPLAYY
@GREATESTHITSREPLAYY 14 дней назад
Huyo mwandishi mnafiki tu. Kama anaogopa maswali asingeleta mic yake hapo mpuuzi huyo. Ana Sauti kubwa akili ndogo
@lukamwinuka2957
@lukamwinuka2957 14 дней назад
Tanzania inaenda wapi etii?
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 14 дней назад
KWA NINI CCM HAWAJIAAMINI SANA ANGALIA BOB NAY WASIKUTEKE WATU WASIOJULIKANA TUPO PAMOJA SANA MAMA RAIS WETU HANA WASHAULI WAZURI WENGI WAO WANAMPOTEZA
@AthumanMasanja-f9d
@AthumanMasanja-f9d 13 дней назад
wasilete use.................n hao Tanzania hakuna raisi Ila kuna mpigaji haelew hata anachokifanya
@AsukuluSalumu
@AsukuluSalumu 13 дней назад
Uyu jamaa nimkweli sana
@PendoMushi-io9uz
@PendoMushi-io9uz 14 дней назад
Kaka mimi sina cha kusema zaidi ni unaniliza 2 na zaidi yanayo endelea
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 14 дней назад
Haijalishi ujumbe umefika
@TynaKabuka-w8i
@TynaKabuka-w8i 14 дней назад
Kaniii nyie wàtangazajii mnajielewa?...mnaulizajee maswar ..yaivoo au mmetumwaa kumkandamizaa ney 😶‍🌫️
@GoodluckMmary
@GoodluckMmary 13 дней назад
OK
@seiftaji7838
@seiftaji7838 14 дней назад
basata nimdudu gani kwani?
@AlexMtawaliCharo
@AlexMtawaliCharo 14 дней назад
Wew. Ndio raisi wa kataa
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 12 дней назад
Sijawahi kusikia akina Diamond wanasemwa kutumika kisiasa
@YusuphSaidi-z1i
@YusuphSaidi-z1i 8 дней назад
mengi tuna yaona moyo ina tuuma atuna mtete tunao wategemea ndio wanao tuumiza
@Michaelagni
@Michaelagni 5 дней назад
Kwanza uku congo hatuna rais Kabisa uyu ni mwanamke kajifanya mwanaume hmmm
@IptsamSaid-u7m
@IptsamSaid-u7m 14 дней назад
Ujitambui
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 14 дней назад
Ulichofanya ni wajibu wako kama msanii, watu wasipotoshe ukweli, wewe ni kioo cha jamii.
@TuyageComcast
@TuyageComcast 13 дней назад
Ukweli wako Tanzania ni kama Rwanda na congo
@IptsamSaid-u7m
@IptsamSaid-u7m 14 дней назад
Mchochezi ndio we huoni sio lazima utaje mtu wenye D wote wameelewa
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e 14 дней назад
Wafungie na nyimbo za matusi
@JosephatPeter-jb5bq
@JosephatPeter-jb5bq 14 дней назад
Wafundish man awajitambui
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 14 дней назад
Ney ukweri usemwe na usikate tama
@SaidiMbwana-x6w
@SaidiMbwana-x6w 14 дней назад
Umeona kutekwA wewe mshukulu mwanashelia
@Msindo.Famiry.Korogwe
@Msindo.Famiry.Korogwe 12 дней назад
Mzee Ney..hao dawa yao P,DIDY tü. Wote watatulia, mkamateni p diddy..ili aziruhusu izoo Video za Ex za wasanii wetu walivyo pakatwa kwenye chumba cha kuangalia TV.
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 14 дней назад
Kwa iyo ukiimba vyimbo ya kuelimisha jamii unarumika 🙄🙄ukiimba jitoto cha 2000 ndio uko saw et
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 14 дней назад
Uyo mtangazaji anakauchama ndani yake ndio maana muoga
@MohamediManenoAthumani
@MohamediManenoAthumani 14 дней назад
Ukisema ukweli eti unaitukana serikali, hii sio poa, alisemaga mkatoriki
@GasperEmmanuel-v8z
@GasperEmmanuel-v8z 14 дней назад
wanatak mabango ya anaupiga mwingi
@RamadhaniTrump
@RamadhaniTrump 14 дней назад
Uyo mwandishi ndo wale wale wanafki kuma ya mama yake
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 14 дней назад
Haaanaaaa😊😅😅😅😅 jamaniiii😅😅😅
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 14 дней назад
Muwandishij mnafikii
@GoodluckMmary
@GoodluckMmary 13 дней назад
SLUNT
@AmosiPeter-z3g
@AmosiPeter-z3g 14 дней назад
Enderea kusema msemaje ww nimwamba
@AmusedEyeglassFrames-ed4uw
@AmusedEyeglassFrames-ed4uw 14 дней назад
Ney achana na hao watangazaji wasikuhoji maswali ya kijinga
Далее
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09
DUNIA (Ep 03)
23:01
Просмотров 162 тыс.