Тёмный

Nay wa Mitego alivyofukuzwa nyumbani na kuwa Kinyozi. (Part One) 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 530 тыс.
50% 1

OnAIR with Millard Ayo ni kipisi kingine kutoka kwenye channel ya Millard Ayo hapa YouTUBE ambacho kitakua kinakukutanisha na mastaa wanaohojiwa na Millard Ayo.

Развлечения

Опубликовано:

 

11 дек 2015

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 234   
@khadijanurdin9609
@khadijanurdin9609 3 года назад
Historia yako imenikumbusha dady wangu James kimbawala hongera kwa kuishi nae
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 4 месяца назад
Nimependa san stori hii. Hongera sana Nay. Wewe ni mafano mzuri sana kwa vijana. Ningependelea Vijana wapokee yale ya kujifunza ili waweze kujitegemea kama wewe bro. Mungu akubari bwashee. Na kinainjoi sana mziki wako.
@mikemwasambuchefdeparty.3546
Kaka Millad Ayooo... Inakuaje Kaka, I say Nazipata Sana Neno kwa ukurasa... Habari motooo
@saulimwakyusa3859
@saulimwakyusa3859 8 лет назад
dah haya maisha balaaa bt salute sana ney coz ndo mishe nami napitia saiz alfu nataka kua rapper na watu hawaamini ila najua wataelewa tu ck moja mungu nisaidie
@Jsploit
@Jsploit 3 года назад
5 years down the line and here I am for my guy Mr. Nay
@saidmkwabis1467
@saidmkwabis1467 Год назад
Nakukubalisana ney kwanyimbozako na ujumbe wako
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
a m her today 28 April 2023
@rich.kizza10
@rich.kizza10 2 месяца назад
​@@sifatiiman umeandika nn mzee?
@sifatiiman
@sifatiiman 2 месяца назад
@@rich.kizza10 😁😁😁😁😆3023😂
@madegemadege9080
@madegemadege9080 2 года назад
Kaka nimependa interview yako umenikumbusha mengi Sana ndomaana napenda kazi zako yaaap my brother
@madegemadege9080
@madegemadege9080 2 года назад
Ney namkubali Sana
@peterkaselema3276
@peterkaselema3276 4 года назад
Sanaa babayaga
@mariahamis3971
@mariahamis3971 8 лет назад
kwer mkaka umepitia maisha magumu muuombe mungu akuzidishie sana
@hemedhboy2847
@hemedhboy2847 5 лет назад
Ney nakubali
@manechashidema4647
@manechashidema4647 6 лет назад
4realy nay l love you be blessed my beloved bro
@josephjsadian4770
@josephjsadian4770 8 лет назад
hate him your self but cc wengine we love him and we aprishieti this guy ..ney keep it up never give up kutokupendwa na mtu mmoja ktk kundi haiwez kuzui mafanikio yako ,she or he is not god.
@agustinompoholo3754
@agustinompoholo3754 6 лет назад
ag
@mohamedomary3691
@mohamedomary3691 5 лет назад
Hook kill loop
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 4 месяца назад
Hongera sana kwa mapambano hayo Mzee, Kila Mgumu lina Mlango wa kutokea naami now days Bi Mkuu alishaelewa kulingana na kazi🎉🎉🎉🎉
@kietteabdykietteabdy1019
@kietteabdykietteabdy1019 8 лет назад
kiukweli nay una historia ya maisha kama yangu japo mimi si mwanamziki all about kupata wanawake wenye pesa big up bro da
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 4 года назад
Ney namkubali sana
@wilisonreli9575
@wilisonreli9575 3 года назад
Hongera sana bro ney wamitego
@jamessaitoti5119
@jamessaitoti5119 2 года назад
Nay me nakukubali 🙏🙏🙏🙏💪💪💪
@georgeyunji281
@georgeyunji281 8 лет назад
mhee Ney wa mitego umepitia Mazingira magumu xana na hata ukila good time ni HAKI yako kabixa
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 4 года назад
Napenda unampo mtaja mungu na kuamin kun vitu yeye ndiye aliye kuvusha bt Nashangaa Kuna interview et umesem huamin kuhus uislam Wala ukristo kaa..tafakar unayo zungumza..bro haijalishi tunafany zambi kiasi gani haiwez kuw sabb ya kuw mbali na mungu.
@philipoluoga8653
@philipoluoga8653 Год назад
Pamoja mzeee
@smrmb76
@smrmb76 8 лет назад
big up nay a man should stand for himself
@Modoo_255
@Modoo_255 5 лет назад
Iko poa san brother millard ayo
@user-rj2wk3pz2b
@user-rj2wk3pz2b 8 месяцев назад
Kumbe ney kaanza utukutu zaman sana kwaiyo hawezi acha jasiri aachi asili❤❤❤
@halimajumaavncggg3935
@halimajumaavncggg3935 8 лет назад
hee umepitia mtihani mgimu sana nay wa mitego lakini mshukuru mungu maali umefika na akuzidishie
@davidmwapinga1832
@davidmwapinga1832 8 лет назад
big up ma bro 1lov
@mlawatv7508
@mlawatv7508 6 лет назад
hiiii Kali kaka nay. ila kazaaa
@nurudinehamimu5658
@nurudinehamimu5658 6 лет назад
Ney ,tisha sana.
@famenaluck567
@famenaluck567 8 лет назад
Omar, it's like you are forcing those dimples while they are already there. Hata zinaonekana kama holes now, man!
@kevinuronu8351
@kevinuronu8351 6 лет назад
mbona kama sjaelewa kitu?amesema alopomaliza la saba alifukuzwa home jee hiyo 4m 1 aliendaje?maana 2001 aleenda 4m 1
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 4 года назад
2000 niko lakwanza
@boscoboy275
@boscoboy275 2 года назад
Kaka me mshabiki wako sanaaaanakukubali kinoma Japo Kaka Niko na Ngoma nimerecod japo sasa Kaka kushut video ndo shida kakanguuu nakulilia unitoe my brother's
@mickeyladyilikeyourvoice7851
@mickeyladyilikeyourvoice7851 8 лет назад
nay napenda unavoongea smart
@johnrafaeli4261
@johnrafaeli4261 5 лет назад
Noma sana
@royalVictor3960
@royalVictor3960 2 года назад
Salute nay✊
@mektrdacharlesmasili7244
@mektrdacharlesmasili7244 8 лет назад
pole my mungu akubark
@zubedakangomba2089
@zubedakangomba2089 7 лет назад
safi sana
@selemanlucas1473
@selemanlucas1473 8 лет назад
ayo sometime anamaswali ya kejer he ask forze washing" it pain MTU mzma unaulizw kuoga
@StephenMtei-mw3kz
@StephenMtei-mw3kz 8 месяцев назад
Neema zikupate ndugu Nay nipo Kenya tunakusapot my brother
@elvismramba6731
@elvismramba6731 3 года назад
Nakubal.. @KAMANDA..#FREE NATION
@vicentkatarire1110
@vicentkatarire1110 7 лет назад
moved
@dennismataula293
@dennismataula293 6 лет назад
Nay namkubali xana
@KingStarAfricansm-xw4nm
@KingStarAfricansm-xw4nm 23 дня назад
New store brother nay
@chazzyjuma7145
@chazzyjuma7145 6 лет назад
nice true boy
@JoyceGeorge-qv4ck
@JoyceGeorge-qv4ck 6 лет назад
ni rafiki wa shetani uyoooo
@rubenmegiro303
@rubenmegiro303 4 года назад
munguu akujaliee kipajichako chamiladi ayo iendelee
@OsiasSikuli
@OsiasSikuli 9 месяцев назад
Nataka namba Nay plus mimi ni mu congomani
@sadickallykingengena4034
@sadickallykingengena4034 6 лет назад
Gud
@princeommy1159
@princeommy1159 6 лет назад
uko vyedi sana ney, afu millard Ayo unatisha sana
@albayaanmschool8451
@albayaanmschool8451 6 лет назад
XT tectonic over ctone hundred thctousand words of for of
@Barakakayungilo-rm9yt
@Barakakayungilo-rm9yt 2 месяца назад
Ooooo mungu akubaliki
@Radiumflexx
@Radiumflexx 4 месяца назад
Kama unaitizama 2024 Weka like
@user-ww1gm5rc7g
@user-ww1gm5rc7g 5 месяцев назад
Pole Ney
@victorjohn6929
@victorjohn6929 8 лет назад
eti ulikua unaoga wapi?? millard bhana ma swali yako
@alexkessy51
@alexkessy51 8 лет назад
Iko poa sana
@stonezdefive5808
@stonezdefive5808 8 лет назад
Nimemuelewa sana
@catherinebernard9142
@catherinebernard9142 8 лет назад
Nyce
@isssammule1697
@isssammule1697 6 лет назад
magufuli
@hamisisalehe8216
@hamisisalehe8216 2 года назад
upo vizuri neyy 🙏🙏
@anordyadam4496
@anordyadam4496 8 лет назад
tisha xana bro!!
@chancedalisoul8500
@chancedalisoul8500 4 года назад
nice one
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 года назад
Nakupenda Sana mziki wko
@boscomwaisaka1010
@boscomwaisaka1010 5 лет назад
Unatisha nay
@aronnkonya2077
@aronnkonya2077 6 лет назад
Roma ziiii
@IsmailiKhalifa-rf1id
@IsmailiKhalifa-rf1id 5 месяцев назад
Jamani Nay duh
@leksonboy5987
@leksonboy5987 6 лет назад
Kazi zake
@saidikapite6260
@saidikapite6260 6 лет назад
nakubali sn
@agnessinjasinja4351
@agnessinjasinja4351 8 лет назад
Nc one ney wa mitengo
@dahmaweza6971
@dahmaweza6971 4 года назад
Dah aya maisha
@kondeyboyfabian8047
@kondeyboyfabian8047 4 года назад
nzur xana interview
@StephenMtei-mw3kz
@StephenMtei-mw3kz 8 месяцев назад
Aisese umepitia makubwa sana ila mungu yupo
@shebyprince7397
@shebyprince7397 6 лет назад
nakubalii
@ismahhussein4362
@ismahhussein4362 6 лет назад
nay🔥
@bwirehitira1638
@bwirehitira1638 7 месяцев назад
Nakukubali sana nay
@medardmwiyande-oc8ut
@medardmwiyande-oc8ut 9 месяцев назад
nakubali ney 🇨🇩♥️
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 6 лет назад
Hatarii
@middlemwashiwww8207
@middlemwashiwww8207 6 лет назад
Sikomi tv
@damu-safi3644
@damu-safi3644 2 года назад
Nc broth
@bonny1087
@bonny1087 4 года назад
Kaka
@marklimbu8287
@marklimbu8287 5 лет назад
Au CIO kaka
@sulemaniosman4336
@sulemaniosman4336 6 лет назад
Yok
@saidiismaili7508
@saidiismaili7508 4 года назад
kubal sana nay
@sadikihape8576
@sadikihape8576 4 года назад
nakubari iwabi
@bigmoneykaza4010
@bigmoneykaza4010 Год назад
vizuri sana
@kelvintheonest4191
@kelvintheonest4191 6 лет назад
bro nakukubal ile mbaya
@fadhilngaona3685
@fadhilngaona3685 Год назад
Hivi ney alikuwa na ukaribu na marehemu John mjema
@sulemaniosman4336
@sulemaniosman4336 6 лет назад
Yo
@StephenMtei-mw3kz
@StephenMtei-mw3kz 8 месяцев назад
Mr ema tuko nawewe pambana kaka tutetee
@kaskilebitendelo9794
@kaskilebitendelo9794 8 лет назад
Cool bro
@mwamininajim3031
@mwamininajim3031 8 лет назад
Millard Ayo. thanks ,but mbona akuisha kaka? I love you. I'm from UK
@emmanuelmlumbe9348
@emmanuelmlumbe9348 6 лет назад
Umeninyoa xana kaka mkubwa
@saidiselemani2275
@saidiselemani2275 4 года назад
Emmanuel Mlumbe oii
@michaelrufingo151
@michaelrufingo151 5 лет назад
🤙
@salummauzomauzo7988
@salummauzomauzo7988 7 лет назад
ugaidi tanzania
@kelvinmartin6296
@kelvinmartin6296 3 года назад
Chagaaaa
@elizabethmligo3180
@elizabethmligo3180 6 лет назад
naomba namba ya Ney millard Ayo
@buildertanzania4801
@buildertanzania4801 5 лет назад
Elizabeth Mligo 0717205406
@rahelmwaijande7883
@rahelmwaijande7883 6 лет назад
Kweli baba tumepitia Ayo wengi
@sillyso-saharan3767
@sillyso-saharan3767 8 лет назад
mie sina degree ya Radio presenta ila mbona Milliard anaangalia pembeni 24:21 mara kadhaa ka vile anaharaka au hana interest ya kumhoji ....? nampongeza uyu msanii anamoyo kudoji class kushiriki kwenye mashindano ya mziki alipokua pre-form 1!
@badyukwelianaoyeyeakulupuk5268
silly so-saharan BG up sana maisha no kitendawili songesha by bd gensta mbeya rungwe
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 года назад
Sisi tuliozaliwa mwezi wasita tunapambanaga Sana ila nyota hii Ina mahadui wengi
@hasmadimpoz3562
@hasmadimpoz3562 6 лет назад
kaka ney unajua sana kujielezea upon vizuli mno.
@mchikirwambombeyagonja4311
@mchikirwambombeyagonja4311 2 года назад
Yuko vzr mno
@emmanuelmagumba3536
@emmanuelmagumba3536 7 лет назад
Maisha Bila kuhassle hujajifunza
@nehemiakasiano2146
@nehemiakasiano2146 2 года назад
Nimecheka sana
@damydee5278
@damydee5278 7 лет назад
huyo mwanamke wako wa kwanza anaitwa nan?
@flameske293
@flameske293 2 года назад
Nay
@sifunimalila3744
@sifunimalila3744 6 лет назад
Live bobu kidume kujitoa ufaham
@miltonkelwa9419
@miltonkelwa9419 4 года назад
hae mku wa Lucifer
Далее
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Просмотров 778 тыс.
skibidi toilet 76 (part 2)
04:28
Просмотров 14 млн