Тёмный
No video :(

Ng'wana Kang'wa - Lalaga Official Video 4k. 

Ng'wana Kang'wa
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 67 тыс.
50% 1

#ntemiomabala#mwanakangwa#ntemi#omabala#nyimbompya#kisukuma#magufuli#lalaga#btm#2024#BTM#trending #kisukuma#kisima#bhudagala#migera

Опубликовано:

 

13 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 205   
@mtundaagnes5609
@mtundaagnes5609 4 месяца назад
kama umeusikiliza zaidi ya mara tano weka like
@maduhumanyangu1544
@maduhumanyangu1544 5 месяцев назад
Unabuni Vitu Vikali sana Omabala...Congratulation to u
@MASTABUYA
@MASTABUYA 5 месяцев назад
Mra saf sana ss hukumusoma ❤❤❤ Tunapiga kazi
@user-zg7gm3cy1j
@user-zg7gm3cy1j 5 месяцев назад
Kumbe wew ndio msanii mkubwa nimejua leo
@donbeteofficial
@donbeteofficial 5 месяцев назад
Daaah hii video balaa🔥🔥🔥
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 5 месяцев назад
Ntemi Omabala umetisha Brother kazi nzur ujumbe mzuri❤
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 5 месяцев назад
Safi sana kwa nyimbo nzuri, R.I.P JPM 🙏
@Ngwanasamaka
@Ngwanasamaka 5 месяцев назад
Wimbo jumla na video vyote sawa❤❤
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 5 месяцев назад
Daah, hukokwangoma za asiri wewe nimsaniiwangu pendwa🎉🎉🎉🎉❤
@bugalirecords4862
@bugalirecords4862 5 месяцев назад
Unyama sana kaka kaz nzuri 🔥🔥🔥
@PaschalAnthony690
@PaschalAnthony690 5 месяцев назад
Wimbo mzuri❤ pia Director Nampa maua yake
@kulwamaguzmaguzu2202
@kulwamaguzmaguzu2202 5 месяцев назад
Kwa kwel mmmm bc mungu anajuwa
@fotunatuspaul5665
@fotunatuspaul5665 5 месяцев назад
Ngoma kali sana ,,nakukubar wasukuma oyee
@neymussaneymussa2852
@neymussaneymussa2852 5 месяцев назад
Oyeeeeeeeeeeeee🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 5 месяцев назад
Wa Kwanzaaaa
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Chukua 🌹🌹
@ChifuBhuhimila
@ChifuBhuhimila 5 месяцев назад
Mimi nyanda memory wa morogoro ingia RU-vid utaona sauti yangu kaka please usiache uone Kaz zangu andka number Yako nitafute uszarau
@user-nq3ci2vf7v
@user-nq3ci2vf7v 5 месяцев назад
Hongera Kwa wimbo mzuri Ng'wana kang'wa
@user-pt2qu2wy1n
@user-pt2qu2wy1n 5 месяцев назад
Duuu nimeumia sana
@latifa7358
@latifa7358 5 месяцев назад
Ngoma kali sana 🙌
@JohnMapalala
@JohnMapalala 4 месяца назад
❤❤❤Hii imeenda
@user-rx1uu3zl8v
@user-rx1uu3zl8v 5 месяцев назад
Ng'wana kang'wa kaka hongera sana🤣🤣🤣
@Directorhernrypro
@Directorhernrypro 5 месяцев назад
👏👏👏👏👏
@deusgamaya7763
@deusgamaya7763 5 месяцев назад
unyama xana mtu wetu
@joeljulius5926
@joeljulius5926 4 месяца назад
🎉🎉 chukua maua yako,wimbo mzuri sana
@user-eo3lw1bc4g
@user-eo3lw1bc4g 5 месяцев назад
We mtoto Kiboko yao haki ya mungu, utalizaa watu kwenye huu wimbo, ujue tusifananishe magufuli na vitu vya ajabu,,, hapa Tz.
@AllyNyiga-wt1oi
@AllyNyiga-wt1oi 5 месяцев назад
Nice song
@joshuanjau3429
@joshuanjau3429 5 месяцев назад
Nomaaaa sana kk
@alphonceehumba8907
@alphonceehumba8907 3 месяца назад
Sana mdogo wangu tulaga milimo❤❤❤
@petrokatikilo630
@petrokatikilo630 4 месяца назад
Huwa nakuelewa bwana mdogo
@mrishobulabo8014
@mrishobulabo8014 5 месяцев назад
Mwaka huu hadi Maji yatalowa 😂😂yaani video kaliiii Ina hadhi ya VVIP hongera Sana director Migera your doing good work hongera Sana mwana kang'wa ujumbe mzuri 🔥🔥🔥
@CostantineKapella
@CostantineKapella 4 месяца назад
Nimekukubali sana
@kachelengwat
@kachelengwat 5 месяцев назад
Kazi nzur sana kakaangu
@user-cj9me5ro3h
@user-cj9me5ro3h 4 месяца назад
Hongera
@johnshimuda8331
@johnshimuda8331 5 месяцев назад
Umetukumbusha kumkumbuka shujaa wetuu Japokua hatujawahii kumsahauu
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 5 месяцев назад
👏👏👏👏👏👏 Safi sana kwa wimbo wa kumkumbuka JPM. Alikuwa jembe kwelikweli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ShamimuRajab
@ShamimuRajab 4 месяца назад
Umetutonesha hagi bagosha shatona😢😢😢kulaga uhangame nyanda
@WILLIAMJUMA-ow5zk
@WILLIAMJUMA-ow5zk 5 месяцев назад
Umezidi kuuchoma moyo wa watanzania
@charzykiyabo3263
@charzykiyabo3263 5 месяцев назад
Kazi safi
@kalibangulashollas7523
@kalibangulashollas7523 5 месяцев назад
mungu azidi kukupa ubunifu zaid bro unatuwakilisha vyema sana
@directedbundalasteve8760
@directedbundalasteve8760 5 месяцев назад
Mashine ya kazi
@gmaillameckmnyika
@gmaillameckmnyika 5 месяцев назад
Dah hakika hapa dunian tunapita 😢😢😢😢Aendelee kupumzika tu kwa aman baba eti inauma
@ktiboyofficialmusic9712
@ktiboyofficialmusic9712 5 месяцев назад
Tuko pamoja kaka
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Jaman anko magu 😢😢😢 namkumbuka mno
@judithsarahmasanja550
@judithsarahmasanja550 5 месяцев назад
Hongera sana sana. Umetukumbusha mbali sana
@barikigerewa8866
@barikigerewa8866 5 месяцев назад
Daaaaaaaaah
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 5 месяцев назад
Wabeja tuko pamoja na JPM sitomsahau
@MasanjaSteve
@MasanjaSteve 5 месяцев назад
Daah u made it bro
@user-qv2fe3hy2x
@user-qv2fe3hy2x 5 месяцев назад
Wimbo mzuri pia video nzuri sana🎉
@user-wl8fg8ne1f
@user-wl8fg8ne1f 5 месяцев назад
Mwanakangw,a nakubali Sana kaka upewe mauwa yako 🎉🎉
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Shukran kaka
@Mwanafundi
@Mwanafundi 4 месяца назад
Eee fundi ntemi sana hawakuwez wasukuma wote kwakuimba
@user-kd5fy5ln5t
@user-kd5fy5ln5t 4 месяца назад
Kaka ❤🎉🎉🎉 ASante sana mwenyezi Mungu akubalikitu hakuna neno nzuri kama hii❤❤❤
@MeliYaMaweBm
@MeliYaMaweBm 5 месяцев назад
Pamoja Sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 месяцев назад
Umenikumbusha mbali sana😢😢😢😢
@thentuzumusic
@thentuzumusic 5 месяцев назад
Migera migera wewe ni wakipekee
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 месяцев назад
Mungu amuangazie nuru njema chuma
@yovinampale4873
@yovinampale4873 4 месяца назад
Asante sana Kwa kazi nzuri sana.
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr
@MKOLOSAIonlineTV-cn2vr Месяц назад
Video nzuri sana umeipiga kisomi kaka hongera
@dianajohn8520
@dianajohn8520 5 месяцев назад
Wimbo mzuri sana ,umenitoa machozi ,umesimulia mazuri ya hayati raise JPM ,,pumzika Kila nafsi itapumzika .
@user-qj7ul3tr1g
@user-qj7ul3tr1g 2 месяца назад
Wooow❤❤❤❤am akenyan but the song is so nice...naipenda jamani keep it up
@Lugalilatv
@Lugalilatv 5 месяцев назад
❤❤ nakubar sana kaka ❤❤
@user-ft6qk8ev1d
@user-ft6qk8ev1d 5 месяцев назад
😢😢😢😢Umeniliza haki ...
@user-km9xp9hr1l
@user-km9xp9hr1l 5 месяцев назад
nyanda ndondo!!! hua sijutii MB zangu
@drhuman2474
@drhuman2474 5 месяцев назад
Ningekuwa mtoa tuzo, huu wimbo ungepata tuzo mwaka huu🙏
@FrankMagambo-fs1oh
@FrankMagambo-fs1oh 4 месяца назад
Kwakwel
@kadegeasilitv-zt9bv
@kadegeasilitv-zt9bv 5 месяцев назад
Hujawahi kufeli kaka🪆🪆🪆🪆🪆🪆🪂🪂🪂🪂🪂🪂🪂
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Amina bro
@kadegeasilitv-zt9bv
@kadegeasilitv-zt9bv 5 месяцев назад
@@ngwanakangwa tupo pamoja nawe mpaka tamati
@RashidiDaudy-ez6zt
@RashidiDaudy-ez6zt 5 месяцев назад
Ngoma moja kali sana Hongera Ntemi wa Mabala
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Asante sana kaka
@AnnaMwilo
@AnnaMwilo 4 месяца назад
Yaaan umetisha Hata kama taifa limsahau ila kumbe wapo wengi wanakumbuka alichofanya hakika tumepoteza kitu muhimu sana tz
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo 2 месяца назад
Hongera kwa nyimbo zak
@jumamarco
@jumamarco 5 месяцев назад
nimekuelewa sana mwanakang, wa
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 5 месяцев назад
Msaniii Nipe Like!!!
@user-jf2xy6er8q
@user-jf2xy6er8q 4 месяца назад
Miaka buku
@HamisiMasesa
@HamisiMasesa 5 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@user-jn2ud7pm5w
@user-jn2ud7pm5w 5 месяцев назад
Congratulations 🎉
@reginampigachai7645
@reginampigachai7645 2 месяца назад
Wooooh what a wonderful songs, he will always remain to be a hero president ever in Tz country . May he keep rest in peace❤️❤️😢😢😢👌
@user-tn1ij9hm5l
@user-tn1ij9hm5l 4 месяца назад
Jmn daaah😭😭😭
@jescajulius8023
@jescajulius8023 5 месяцев назад
Jaman ng'wana Suzanna alishalala kweli mh ni huzuni
@machiyajohnmbasa2746
@machiyajohnmbasa2746 5 месяцев назад
Well work broo
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Thanks bro
@ndakimanyakenda1519
@ndakimanyakenda1519 5 месяцев назад
sijuwi nikusifu vp tu kwa jinsi unavyo nikoshaga
@funuki_masala
@funuki_masala 4 месяца назад
Kaz nzur sans kaka
@Mackimilly
@Mackimilly 5 месяцев назад
Your voice my weakness ❤❤❤❤
@justinkadonya3434
@justinkadonya3434 5 месяцев назад
Nyanda wane safi sana sema kofia mama j nismkute kaifua napita nayoo😂😂😂😂
@user-tb3kn3oo9i
@user-tb3kn3oo9i 5 месяцев назад
😢Moses hongera kijana
@ntuzuboy7342
@ntuzuboy7342 5 месяцев назад
Umefanya vyema sana
@user-wy2em2jr5w
@user-wy2em2jr5w 2 месяца назад
We kaka uko mzuri ivo unaimba nyimbo gani imba za dini
@jamesjohn9160
@jamesjohn9160 5 месяцев назад
Hongera saana Nyanda.... lyembo lyawiza
@Yusudav
@Yusudav 5 месяцев назад
Umenikumbusha mbali sana, hakika nimejisikia vibaya sana kama amekufa leo tu😢
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Pole sana
@kazumbamaganga8714
@kazumbamaganga8714 5 месяцев назад
Hujawahi kufeli ntemi wa mabara
@user-hc4oh5np3q
@user-hc4oh5np3q 5 месяцев назад
safi 😅
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 5 месяцев назад
Rafiki wewe unamapenzi ya kweli RIp magufuli
@biglionmsaficlassic6928
@biglionmsaficlassic6928 5 месяцев назад
Audio video viko ok naiona ikifika mbali hii nyimbo mauwa Yako kaka🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@user-bo3fm8nb4l
@user-bo3fm8nb4l 4 месяца назад
Ya moto
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 5 месяцев назад
Ngoma kari sana yenye ujumbe tutazidi kumkumbuka jpm hatutamsahau kwakweri
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 5 месяцев назад
Nice song❤
@emmanuelqyukwa8578
@emmanuelqyukwa8578 3 месяца назад
Uko juu ntemi , endelea kufanya zaidi kaka 🎉🎉🎉
@khamzalockymaster6008
@khamzalockymaster6008 5 месяцев назад
Kazi nzuli saaana ngw'ana kangw'a tunakupenda kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤❤❤❤
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 месяца назад
Pamoja sana karibu 🇹🇿
@victorbariety3334
@victorbariety3334 2 месяца назад
Yaani sichoki kusikiliza wimbo mzur sana Wa hayat KIPENZI changu big up sana kaka Kwa Wimbo mzuri sana
@Ibrah_mwemela
@Ibrah_mwemela 5 месяцев назад
@sammymelkion
@sammymelkion 5 месяцев назад
Dah!!! Bro hii ngoma + Kichupa ni 🔥🔥🔥
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 5 месяцев назад
Thanks bro
@masaluleonardrobert57
@masaluleonardrobert57 4 месяца назад
Magufuli my favorite president ❤❤❤
@madinamaleka
@madinamaleka 2 месяца назад
kaka kazi mzuri big up dir.madina apa
@user-ef8nz9dw6l
@user-ef8nz9dw6l 5 месяцев назад
Tunakumic sana 😭😭😭😭 robo ya sukari Sasa hivi 130
@user-eu3ko2yz2h
@user-eu3ko2yz2h 5 месяцев назад
Wew jamaa hakuna was kukulinganisha nae kwa nyimbo za asili hakika tunakupenda sana❤
@user-pz9er6xt3z
@user-pz9er6xt3z 5 месяцев назад
Napenda sana nyimbo zake pia ananikumbusha baba yangu magufuri 😢
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 5 месяцев назад
Daaah Video na song but Everything unajua.
Далее
Ng'wana Kang'wa - Tabasamu Official Video 4k
11:02
Просмотров 54 тыс.
Ng'wana Kang'wa _ Kisima Official Video HD.
10:57
Просмотров 373 тыс.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 11 млн
Ng'wana Kang'wa - Nalhi Nsukuma (Official Video 4k)
6:19
Ng'wana Kang'wa _ Welelo (Official Video HD.)
7:22
Просмотров 103 тыс.
Bahati Bugalama - Shida |Official video
13:51
Просмотров 518 тыс.
Ntemi Omabala_Acha Tudange Official Video HD.
9:42
kisima _Bhazunije Official Audio
14:10
Просмотров 65 тыс.
Ng'wana Kang'wa _ China Plaza Official Video 4k.
9:39
Ng'wana Kang'wa - Mwalimu (Official Video) 4k
7:42
Просмотров 58 тыс.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11