Тёмный

Ng'wana Kang'wa - Nalhi Nsukuma (Official Video 4k) 

Ng'wana Kang'wa
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 484   
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 4 месяца назад
Wasukuma tujuane like moja tu inatosha💚💚🇹🇿🔥
@Zainp-o4o
@Zainp-o4o 4 месяца назад
Mimi hap musuma lakini nipo Kenya
@amosipetermiraji8059
@amosipetermiraji8059 4 месяца назад
Mimiapa ngosha the Don nae njoyi nikiwa congo Kinshasa nitabaki kuwa msukuma mpaka nazumaleke nduhu kuleka asali yane🎉🎉🙏🇹🇿🇹🇿🇨🇩💪💪
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 4 месяца назад
@@Zainp-o4o jambo jema tuko pamoja
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 4 месяца назад
@@amosipetermiraji8059 naona unasukuma mitikas washile na congo
@Rashidy200
@Rashidy200 4 месяца назад
Uhakika
@sarahmarko7755
@sarahmarko7755 4 месяца назад
bwana kang'wa wewe ni msanii mzuri sana napenda kazi unayoifanya napenda kufuatilia kazi yako kila siku mimi sio msukuma lakini nawapenda wasukuma ninajua kuongea kisukuma najua mila za kisukuma nimeishi na wasukuma kwa sasa hivi mimi niko china lakini siwezi kuacha kufuatilia wewe ninakupenda sana wewe ni msanii mzuri hata kama nikiwa china lazima nikufuatilie 🔥🔥🥰🥰🇹🇿🇨🇳
@hassanlususu
@hassanlususu 4 месяца назад
Wasanii wa nyimbo za asili wapo wengi ila mwana kang'wa ni Mmoja tu 👏👏🤝🤝
@User255tv
@User255tv 4 месяца назад
Lyimbo lya wiza no Ntemi Omabala. Nigasegage ama Masanva utunge mimbo gangi masoga guti linili. Nali obabinza, guko nagashige unene, ibize mang'hwani, mabulaya nulu ng'wisho ya welelo; nali nsuguma du!
@ogabc5444
@ogabc5444 4 месяца назад
I'm currently in Denmark, I think this song dedicated to me!!! Nale nsukuma gete, thanks @ng'wana kang'wa ,,wabheja sana
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 месяца назад
Wabheja kulumba nkoi
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 4 месяца назад
Nyanda kwenye kitengo cha misosi yupo vizuri😀😀😀
@masanjawacha6077
@masanjawacha6077 4 месяца назад
Wewe hbagosha ngwanakangwa hapo sawa kaka endelea kutumixha kisuma
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 4 месяца назад
Sanaa ndiyo inatakiwa uwe mbunifu sanaaa. Unajitahidi sana kubuni na jamii inapata burudani zenye radha tofauti tofauti. Hongera sana kijana unajitahidi sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@RejinaSilvesta
@RejinaSilvesta 3 месяца назад
Mimi sio msukuma nimeishi usukumani sana wakalimu sana hadi sasa hivi najua kisukuma kushinda kabira rangu penda sana wanamaadili sana hata watoto wao hongereni
@SabinaCharles-ub2ec
@SabinaCharles-ub2ec 4 месяца назад
Kazi nzuri sana wasukuma jamanii raha sana najivunia kuwa msukuma
@SalomeJohn-ps8yl
@SalomeJohn-ps8yl 4 месяца назад
Abashina bugale na basuka mabele 🥰🥰🥰🥰 kazi nzur
@mazikumange9130
@mazikumange9130 4 месяца назад
Hizi ni za wachache wewe! Hatari ogopaa!! I'm proud of my tribe Nahli Nsukuma 🔥🔥🔥
@LeticiaPunguja
@LeticiaPunguja 4 месяца назад
Najivunia kuwa msukuma,,, hongera sanaa umenifurahisha mno
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 месяца назад
Asante sana ndugu
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 4 месяца назад
Kahama big boss wa kisukuma pongezi ulipotoka mbali toka Kwa juma mpaka Leo upewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ Yako.
@latifa7358
@latifa7358 4 месяца назад
Asantee sana msukuma mwenzetu unawakilisha vyema asili yetu , maua yako chukua 🎉🎊....❤, ngoma iko vizuri mnooo ✌ nasikiliza nikiwa🇸🇯
@JustineAloyce-lu8ux
@JustineAloyce-lu8ux 3 месяца назад
ALIYEMUONA NYANDA KABUNDI GONGA LIKE
@winfridasanyenge6510
@winfridasanyenge6510 4 месяца назад
Hatari na nusu,hii nyimbo nzuri haswaa
@DaudLazaro-n2c
@DaudLazaro-n2c 4 месяца назад
Leo nimeamka asubuhi hii ngoma inapigwa wasafi Tv nikaamua niisake kabisa kumbe bonge la nyimbo 🤝🤝
@frmacopanga
@frmacopanga 4 месяца назад
Kaka utakumbukwa kwa mengi kwa nyimbo nzuri kama hizi hakika wewe ni mshindi kazi nzuri sana❤❤❤❤
@paulinaernest
@paulinaernest 4 месяца назад
Umetisha wa kokaya wimbo mzurii sana na nimeshaudanilod
@StephanoJasson
@StephanoJasson 4 месяца назад
Nimeuelewa sana huu wimbo ntemi amejitahid sana huu wimbo
@maduhumanyangu1544
@maduhumanyangu1544 4 месяца назад
Mwana kang'wa piga kazi kote kote ni huduma tu usijali mtu mara aku judge eti Harusi. Mie nafikiri hata Nyimbo za harusi ni Fani kubwa sana...anayekujudge nyimbo za harusi ujue hajaelewa maana ya Sanaa inanzia wapi na kuishia wapi. Pga kaz mwamba..Bigup my Fellow
@GraceJKibomola
@GraceJKibomola 4 месяца назад
Msukuma mwenzetu umeweza sana 🔥🔥
@AdamHamis-sg6zz
@AdamHamis-sg6zz 4 месяца назад
waooooooo nimeuonaaaa wabheja sana bhung'ando Nalhi nsukuma getee
@AnthonyBilia
@AnthonyBilia 3 месяца назад
All in all Mwana Kagwa is a good singer from Sukuma tribe
@leonardmtemi2026
@leonardmtemi2026 3 месяца назад
Tulagaaa milimoo ntale kutoka Northern IRELAND 🇮🇪🇹🇿 kazi nzuri 🙌🙌🙌🙌🙌
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa Месяц назад
Obheja sana nkoi
@SikujuaPaschal
@SikujuaPaschal 4 месяца назад
Nimeupenda San huu wimbo hongera ng'wana kang'wa😮
@mashashpastory7467
@mashashpastory7467 4 месяца назад
Sukuma kings gonga like tuuenzi mziki wetu👍🏽🔥🔥🇹🇿
@JephtaJoseph
@JephtaJoseph 4 месяца назад
Kaz nzur sana kaka nimeielewa lazma ifke mbali haya ndo maadili yetu waskuma kama mi bongo fleva hii ni comasava
@auleusmuyamba4208
@auleusmuyamba4208 4 месяца назад
Kazi nzr kaka 💯💯💯Nakumbuka Kuna Rafk yangu nmesoma nae shule ya msingi, anaitwa Kang'wa...
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 4 месяца назад
Waandike wengine wao wanaiga wazungu, jamaa anaimba asili yake..... big up NG'WANA KANG'WA ❤❤❤❤❤
@SegesoMatondo
@SegesoMatondo 2 месяца назад
Huo wimbo unagusa mioyo ya wasikuma aisee hongela xana ndugu yan
@ManjiNzobheNzobhe
@ManjiNzobheNzobhe 4 месяца назад
Hiii kazi umetoa ndug yang. Nipo 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲 nimeipata
@RoseAmos-cg2ts
@RoseAmos-cg2ts 14 дней назад
Wimbo mzuri sana hongera kaka naomba swahili lyrics 🙏
@MadenjaMasungakabote
@MadenjaMasungakabote Месяц назад
Wimbo mnzuri sana
@mahungujulius1788
@mahungujulius1788 4 месяца назад
Hongera sana Kwa kazi Nzur sana Imesimama mno Sebha Agwambeleje Nkoi Doleho Egagongwa Nkoi
@humblebeauty5960
@humblebeauty5960 2 месяца назад
Nawagongea mziki mnene Dar es salaam, nalhi Nsukuma!❤❤
@Adelinaemily-p5x
@Adelinaemily-p5x 3 месяца назад
Asante sana ntemi always your in top position to all musicians. Very nice gubhashina bhugali
@MbukeLeonard-ym7hn
@MbukeLeonard-ym7hn 2 месяца назад
Hii ngoma nimeipenda sanaaa kiasili Safi sana
@limimayunga4708
@limimayunga4708 3 месяца назад
Nalashoka nhana yeeee
@restitutapaulfyeka4969
@restitutapaulfyeka4969 Месяц назад
Obheja noi Sezone!Yeeeh!Onishisha kaya gete nkoyi🎉🎉
@bonifacehamis4088
@bonifacehamis4088 4 месяца назад
Nalhi sunkuma 🔥🔥🔥
@ZakariaRichad-q1s
@ZakariaRichad-q1s 14 дней назад
Daaaah Ngoma Kali kweli
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 4 месяца назад
Msandawe mie nimekuja kusikiliza wimbo wa kisuma😊😊
@silasjidaha7184
@silasjidaha7184 4 месяца назад
Dah huu wimbo nimesikiliza kwa hisia kali sana mpaka nimepanga kusafiri kwenda nyumbani kwanza
@silasjidaha7184
@silasjidaha7184 4 месяца назад
Nyanda kabundi namuona kama kawaida malibhoto na mashono😂😂
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 4 месяца назад
Hata mimi nimekumbuka kwenda nyumbani, nyimbo za asili zinavuta hisia sana. Brother ametisha.
@mabalaVideostudio
@mabalaVideostudio 4 месяца назад
Hizi ni za wachache wewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yako moston
@MagdalenaKasomi
@MagdalenaKasomi Месяц назад
Safi Sana kaka attaching kuacha asili yetuuuu nampenda Sana kaka ntemi
@denischarles6409
@denischarles6409 4 месяца назад
Dàààààh umetumia ubunifu mkubwa kaka asante xana endelea kutuelimisha❤❤❤❤
@AlphonceTuli
@AlphonceTuli 4 месяца назад
hujawahi niangusha kaka ❤❤❤
@shinjengasa3574
@shinjengasa3574 4 месяца назад
Nyanda kabundi kafika huku tena,we ni balaa Mzee baba
@neemamasalu
@neemamasalu 4 месяца назад
yaan kwa huuu wimbo washabiki wenzangu msipo mpa mauwa yake jamn daaaa mtakua naloho za kipekee brooo chukua maua yako bhan 🌷🌷🌷🌷🌷🌷🥀🌹🥀🥀🌹💐💐💐💚💚💚
@VeronicaMaduka-p6l
@VeronicaMaduka-p6l 2 месяца назад
Umetisha sana Kaka napenda sana nyimbo zako. Mungu. Akupe ukipendacho
@PiusiMbilika
@PiusiMbilika Месяц назад
Noma sana wew boy
@massanja221
@massanja221 4 месяца назад
Hiv ndo vitu wasukuma tunataka sio kila siku za kwenye harus 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 4 месяца назад
Haufatilii tu mbn nyingi tu huwa anatoa sio za harusi. Lugendo unaijua ww..?..
@massanja221
@massanja221 4 месяца назад
@@thefactbook...1607 sasa si ya mwaka jana hiyo idadi kubwa ya mashabiki hawapendi nyimbo za kuimbia watu kwa mwaka unakuta ametoa nyimbo 15 ila 10 had 12 unakuta za kwenye mahrusi ye na ngelela ndo pigo zao hizo hafu unakuta jamii inahitaji nyimbo za kuelimisha mim kwenye simu yangu sina bongo fleva hata moja asili ndo nyimbo zangu ko najua nachokisem mana kila anapotoa nyimbo lazima inifikie
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 4 месяца назад
@@massanja221 sasa kaka hizo ndo kwao zinahela wasipoziimba hizo wakale wapi wacha waimbe tu maana wasukuma wenyewe ndo wanatoa hela wawaimbiwe.
@massanja221
@massanja221 4 месяца назад
@@thefactbook...1607 sema ni kwel ila wajitahid tu kubalance unaona mfano Elizabeth malinganya karbia kila week ana upload nyimbo ila nyimbo alizotoa ambazo hazihusiani na masherehe ni 3 sasa mana ake hapo amechagua watu wale ambao hawapendi nyimbo za kwenye maharus utakuta wanapunguza kukufatilia lakin hata ukienda kwenye mbina haipendez sana kuimba harus za watu ng'wana kang'wa base fani yake nikubwa san lakin ukimfuata mtu leo hii ukamwambia akutajie wasanii wanaofanya vizur sana ataanza na akina kisima bhudagala gudegude akimalza ndo atakuja sasa aanze kuchambua wengine ni kwann ni kwa sababu wale wamebezi sana kweny nyimbo za kuelimisha
@lucasathanasbi.i419
@lucasathanasbi.i419 4 месяца назад
Ng'wana kang'wa huu wimbo mkali sana, hapa unanikumbusha nyumbani chona
@PauloMaige-cr1eo
@PauloMaige-cr1eo 3 месяца назад
huo ni unyamwez was wasukuma sisi ni hatari namkubali gwang'ana
@PauloMaige-cr1eo
@PauloMaige-cr1eo 3 месяца назад
Saf sana kabundi
@amosmacompyuta1015
@amosmacompyuta1015 4 месяца назад
Hauna mpinzani kwa upande huu 🎉🎉🎉🎉
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 4 месяца назад
Asante kwa kutuheshimisha Ng'wakang'wa, nakupata nikiwa Dsm
@JumanneAbbas
@JumanneAbbas Месяц назад
Dah kakaa mkubwa nyimbo tamu sana, naipenda san kabla yaku lala lazma ni sikilize kwanza kakaa bigapu san🔥🔥
@MussaSalumu-f7z
@MussaSalumu-f7z 4 месяца назад
Awe eeeh 🎉
@maryamChumas
@maryamChumas 17 дней назад
Ntensukuma kokaya nalashoka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤baryad moja ❤❤❤❤❤
@Semenimussa-i7x
@Semenimussa-i7x 4 месяца назад
Kweli hii ni kazi nzuri
@MATIKO9640
@MATIKO9640 Месяц назад
Hii ya wote si ya wasukuma tu, jamaa fundi balaa ❤️
@janekiptoo7224
@janekiptoo7224 3 месяца назад
Mimi ni mkenya nimeolewa na msukuma.naipenda hii nyimbo.kangwa tamba kote kote
@ZawadAloyce-vz4yk
@ZawadAloyce-vz4yk 3 месяца назад
Najivunia kuwa Msukuma i love this song wabheja ❤❤
@RenatusMchanga-qo3pl
@RenatusMchanga-qo3pl 3 месяца назад
Wimbo nzuri sana nimependa(natogwa bholi)
@AnjelNgongo
@AnjelNgongo 2 месяца назад
Msanii wangu pendwa miaka mia daa asante umetufariji tulioko mbari daa nalewakobhakamba🔥🔥🔥🔥
@Mwanafundi
@Mwanafundi 4 месяца назад
Ee nakubali sana
@ShijaKagoke-oc2zu
@ShijaKagoke-oc2zu 4 месяца назад
Bhasukuma na asili yise🎤🎧
@MipandaKali-ij1yp
@MipandaKali-ij1yp 4 месяца назад
Asili ndani ya btm zipo zimelewa hongera kiongozi
@jamesmasangu2088
@jamesmasangu2088 4 месяца назад
umetisha Kaka,,
@pauldeus9741
@pauldeus9741 11 дней назад
Namkubali sana mwl. Ntemi omabala Kwa Huwa anaimba za kutujenga sisi wasukuma.
@thentuzumusic
@thentuzumusic 4 месяца назад
Musanii na Dr mungu awapatie miaka migi
@rebecaemmanuel8988
@rebecaemmanuel8988 2 месяца назад
Brother napenda sna nyimbo zako ❤❤ MUNGU mwingi wa rehema azidi kkjalia afya na utumishi uliotukuka
@Director_Kitindi_Complete
@Director_Kitindi_Complete 4 месяца назад
Unyama sana kaka Ng'wana Kang'wa Kazi Kali sana Respect Sana na Director Migera Good Job
@KasaiBoyTv
@KasaiBoyTv 4 месяца назад
Nilidhema Sikudhema 🔥🔥Naona moto mkali Mpka moto Unaungua.Commeny Yako muhimu hapa ntemi🙏
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 месяца назад
Shhhh🤫
@NanyambatcLaboratory
@NanyambatcLaboratory 2 месяца назад
Daaaa. Bhagoshaaaaa. Nakumbula kayaaaaaaa. Big up sana kaka Kwa wimbo mtamu. Mwezi ujao naenda nyumbn aisew
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 месяца назад
Ingawa naelewa kwa shida kidogo ila nafurahi kuangalia tu , mkuu karibu mno Dodoma
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 месяца назад
Asante sana mkuu
@jonathannteminyanda-lx6sy
@jonathannteminyanda-lx6sy 4 месяца назад
hongera sana mungu aendelee kukulinda una mafundisho mazuri sana❤​@@ngwanakangwa
@Zainp-o4o
@Zainp-o4o 4 месяца назад
Hongela sana kwa Kabisa zr
@IbrahimSamweli-nf9rt
@IbrahimSamweli-nf9rt 4 месяца назад
Kila saa inanimalizia mbs zangu 👍
@marymasota7846
@marymasota7846 4 месяца назад
Hii ngoma nzuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 4 месяца назад
Muraaaa ngoma kaliii hiii
@LeticiaThimothy
@LeticiaThimothy 2 месяца назад
Waooo naipenda asil yang moreeeeeeeeee
@danyapayi8218
@danyapayi8218 4 месяца назад
Asante sana mwanakang'wa endelea kutuletea ngomazaheshima kamahii
@khamisjohn7639
@khamisjohn7639 4 месяца назад
Obheja sana ngosha...lyembo ikali nooooooooooo...!
@alphonceehumba8907
@alphonceehumba8907 4 месяца назад
Chene gete oongw'ise ❤❤
@esterNzella
@esterNzella 4 месяца назад
Wimbo mzuri sana. Naomba mnisaidie wimbo wa lilombe lije kubabyele naupenda sana ila siuoni RU-vid
@esterNzella
@esterNzella 4 месяца назад
Naomba wimbo wa lilombe lije kubabyele
@djkmantz
@djkmantz 4 месяца назад
Wasukuma mko wapi tumsapoti Mwana Sasa maana hii kazi ni 🔥🔥
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 4 месяца назад
Tupo tunamsasurpot, soma comment
@charlesngasa5805
@charlesngasa5805 3 месяца назад
🎉
@AnjelNgongo
@AnjelNgongo 2 месяца назад
Wasukuma tuko🔥🔥🔥🔥
@AsiaJambo-b6x
@AsiaJambo-b6x 8 дней назад
Wasukuma tupo vizuri askwambie mtu❤❤❤
@mashaurikusekwa6264
@mashaurikusekwa6264 3 месяца назад
Lyimbo lya wiza sana. Nalilomba ulukigi gakubiza ho marekebisho, bhugali uzugwe mu nungu, maana Abhasukuma ba kale, wazugaga shiliwa mu nunghu. Shiliwa sha mu nungu shawiza no, kuliko isha mumasufulila, Guku olitalyaga bhugali bo mu masufulila. Shishabo ni Nghunda safi sana.
@ErastoPetro-qp6oe
@ErastoPetro-qp6oe 4 месяца назад
Kazi nzuri ntemi ujumbe muhimu
@felstaShidu
@felstaShidu 4 месяца назад
Asante sana temi omabhala unafanya kazi vizur
@mussakasela5562
@mussakasela5562 4 месяца назад
Safi Sana Ntemi kazi imekaa mahali pake
@maulisjonas3174
@maulisjonas3174 3 месяца назад
Hatali nyimbo zako zinaliza nyunzi mbini nyuz hongela sana nakupata nip sanza mkoa wasingida wilaya manyon
@marykatemi-vu2nt
@marykatemi-vu2nt 4 месяца назад
Wabheja wa ko kaya ❣️
@EmaanAl2
@EmaanAl2 2 месяца назад
Kazi❤❤❤❤❤❤🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🙏🙏🙏🙏🙏
@thentuzumusic
@thentuzumusic 4 месяца назад
Migera migera duuu
@mashaurikusekwa6264
@mashaurikusekwa6264 4 месяца назад
Jyimbo lya wiza sana. Najivunia kuwa Msukuma
@martharmichael7221
@martharmichael7221 4 месяца назад
Mungu ajitwalie utukufu kupitia wewe uko vizuri sana
@MkapaJohn
@MkapaJohn 4 месяца назад
Ponfezi Sana Kaka hii ngoma unetisha
@StephanoMichael-ym8cu
@StephanoMichael-ym8cu 4 месяца назад
Your so creative bro mungu akutangulie ufike mbali
@michaelpeter8948
@michaelpeter8948 Месяц назад
Niko ulaya lakini kama niko kahama wazungu nawachesha kama kawa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@denismusa4965
@denismusa4965 2 месяца назад
Nakubal wasukuma 2kopamoja San
Далее
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Просмотров 418 тыс.
Ng'wana Kang'wa - Lyakandwa Official Video HD.
8:52
Просмотров 174 тыс.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Ng'wana Kang'wa - Mwalimu (Official Video) 4k
7:42
Просмотров 97 тыс.
Mayiku Sayi_Jela_Official Video 4K
13:15
Просмотров 110 тыс.
Ng'wana Kang'wa - Tabasamu Official Video 4k
11:02
Просмотров 67 тыс.
Ntemi Omabala_Acha Tudange Official Video HD.
9:42
Ng'wana kan'gwa ufunguzi wa makula guest b by jA60
11:47